Тёмный
No video :(

A - Z BABU RAMA wa KARIAKOO ALIVYOJIUA - HAPA NDIPO ALIJIPIGA RISASI - MWENYEKITI -DADA'KE WASIMULIA 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 23 тыс.
50% 1

A - Z BABU RAMA wa KARIAKOO ALIVYOJIUA - HAPA NDIPO ALIJIPIGA RISASI - MWENYEKITI -DADA'KE WASIMULIA
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 114   
@globaltv_online
@globaltv_online 5 месяцев назад
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@mariyammariyam1454
@mariyammariyam1454 5 месяцев назад
Usiwatetee au ulipowa chcht mzungumzajii iyo siokweli wamemsababishis mangapi iyo serikari iyo niserikari mukumbile ilo nijasho lakedhuruma jmn muiogope Dunia alikuwa na mgogoro miaka mingi Masada waserikari niuo kiua badirikeni Dunia sio yenu hii😮😮
@kelvinfasili44
@kelvinfasili44 5 месяцев назад
Damu ya uyu Mzee ipo mikononi wa serikali yaani Raisi, waziri mkuu na TRA maana taarifa zake wanazo. Inasikitisha sana hii Nchi Hakuna aliye salama.
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs 5 месяцев назад
Mwenyekiti upo gizani sana sema tu tumwachie Mungu
@kachabisnea8815
@kachabisnea8815 5 месяцев назад
Wewe mwenyekiti mapumbu ya baba ako mbwa wewe na ufe leo leo chawa wewe unaongea nini mbuzi wewe dah kwakweli inauzunisha sana kwa ili tukio majaliwa inabidi ajiuzulu haraka sana maana ameshindwa kumsaidia miaka 7 dah😢😢😢😢😢😢😢
@seluyangogo3965
@seluyangogo3965 5 месяцев назад
Mwenyekiti mweu
@tsumiduwe1406
@tsumiduwe1406 4 месяца назад
ASE HUYU BABA ALILALAMIKA SANA HAKUSAIDIWA ALIACHWA MWENYEWE MUNGU WA MBINGUNI AILAZE PEMA ROHO YAKE AMINA
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 5 месяцев назад
Mwenyekiti jiuzuru!
@anosiata8242
@anosiata8242 5 месяцев назад
Mwenyekiti hajui chochote.
@helencyprian8745
@helencyprian8745 5 месяцев назад
We baba nyamaza, watu wameumizwa sana na serikali hizi, we mshukuru mungu kama unaamani
@clementinerrwekiti5147
@clementinerrwekiti5147 5 месяцев назад
Mwenyekiti c bora unyamaze tu kwa sababu naona unaniboha
@OmarKayuki
@OmarKayuki 5 месяцев назад
Ndugu, huyu babu Rama ameumizwa na watumishi wa TRA tangu alipoingia Tanzania kutoka Afrika ya Kusini na bidhaa zake, TRA wamedhulumu nafsi yake, huwo ndiwo ukweli.
@kainimlowe9646
@kainimlowe9646 5 месяцев назад
Mwenyekiti naye kajichokea na maisha
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 5 месяцев назад
hana uhuru wa kuwakosoa viongoz waliopo atapotezwa watu walikosoa serkal kwa magu tu masio kwa samia ukikosoa unakwisha
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 5 месяцев назад
Chairman kalamba asali!!😂😂
@henrykibodya1207
@henrykibodya1207 5 месяцев назад
Mwenyeki takataka
@afandechanel1507
@afandechanel1507 5 месяцев назад
Huyu mwenye kiti anatakiw anunuliwe MB za kutosha ili anze kuangalia video RU-vid za mwanzo wa tatizo lake mpaka alipo fikia mwenye kiti mjinga kabisa kweli sio kila mzee ana busara eti babu Rama anataka kuchonganisha serekali na raia wake
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 5 месяцев назад
Mwenyekiti wa mchongo
@abednegomhamba1471
@abednegomhamba1471 5 месяцев назад
Hivi serikali inasemaje kuhusu hili sakata au TRA ndiyo wenye nchi? Basi watamaliza watu wengi
@MeryJonh
@MeryJonh 5 месяцев назад
Sijaelewa linaongea nini uyu atakuwa Muhamiaji labda🙆‍♀️🙆‍♀️
@vicentnyanda828
@vicentnyanda828 5 месяцев назад
Kama sio msemaji nini kimekupeleka hapo? Achia familia we
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 5 месяцев назад
Mwenyekiti alikua karibu na marehemu lkn hakuwahi kujua masahibu yake🤔!!!
@mwinshehenassib4853
@mwinshehenassib4853 5 месяцев назад
Mwenyekiti hajielewi yule. Anajaribu kuwatetea tra
@henryjoseph5233
@henryjoseph5233 5 месяцев назад
Mwenyekit acha ujinga
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 5 месяцев назад
Kaa kimyaaaa
@elioimer8423
@elioimer8423 5 месяцев назад
Ndio jinsi tunavyopotoshwa na hawa wanaojiita viongozi wetu. Msikilize jinsi huyu mwenyekiti anavyopindisha mambo yaliyowazi. Eti hajui kkitu chochote . Si jambo la ajabu sana hili ? Tuwe waungwana na wacha Mungu kwa mambo yaliyowazi.
@SangioNgoo
@SangioNgoo 5 месяцев назад
Hiki kifo kina utata mkubwa. Huyu mwenyekiti achunguzwe. Nasema hivi kwa sababu anasema watu waache kusema kwa hisia wakati yeye anatumia hisia kuhitimisha kuwa marehemu kajiua. Ni mwenyekiti mpumbavu tu ndiye anaweza kusema ujinga huu. Ukifanyika uchunguzi wa kina na huru unaweza kuibua mambo mwengine. Narudia tena. Huyu mwenyekiti kuna kitu anajua, na pengine ameshirikishwa kwenye kukifanikisha.
@estherkibajiro3480
@estherkibajiro3480 Месяц назад
Kabisa
@user-xy6ed7ve6r
@user-xy6ed7ve6r Месяц назад
Huyu ndiye Mwenyekiti
@brudapesa1674
@brudapesa1674 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂ila sinto bhna aibu naona mm😂😂😂😂
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e 5 месяцев назад
Hv ss watanzania tukoje? Mtu ametangaza kwenye media zote kwamba amezurumiwa na serikali ya tzania kuptia T.R.A.rais anajua wazri mkuu anajua, wazri wa fedha anajua lkn hakuna aliye kanusha tuhuma za huyu mlalamikaji. M/kt mungu anakuona acha unoko
@awadhally1052
@awadhally1052 5 месяцев назад
Kwel kabisaa hawa TRA. Ni nguruwe kabisaaaa
@awadhally1052
@awadhally1052 5 месяцев назад
Ila yupo Allah mfalme wa wa Falmee atawakomesha hawa nguruwe wote wa T. R.A. walio mzulumu mzee Rama.
@awadhally1052
@awadhally1052 5 месяцев назад
Inshaa Allah
@sumayasumaya6455
@sumayasumaya6455 5 месяцев назад
mshamba sana wee mwenyekit na utakaa hapo kutumika na uwoga wako tena unalana wee, utakaa na ulofa mpka kaburin uendako..yan brother huyo anapmbania haki yake for so long.. dhulma kafanyiwa na hata rais,wazir mkuu,wazir Wa fedha hakuna aliekanusha ila wewe uko porin hapo unaongea bila hata ya kujiridhirisha na kuja mbele ya mic.., acha kujipendekeza kwa viongoz wako Ili mtu marehem aonekane mkosefu..shit
@user-gy5en6cy8o
@user-gy5en6cy8o 5 месяцев назад
Mbona ameleza sana matatizo yake 😢serekal ndi wamemtapeli 😢 mpka amejiua😢
@davidmwandenuka1712
@davidmwandenuka1712 5 месяцев назад
Sijawahi kuona mpumbavu kama huyo mwenyekiti mshenzi kabisa ina maana hajasikia ntunzwe alivyo kuwa ana lalamika?mpaka kwa raisi na waziri mkuu??halafu unaongea ukenge
@user-hm5gh6ky9i
@user-hm5gh6ky9i 4 месяца назад
Amejiua au aliuwawa?
@abednegomhamba1471
@abednegomhamba1471 5 месяцев назад
Kujiuwa siyo sahihi lakini mwenyekiti asitetee serikali, TRA wamehusika mwanzo mwisho.
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 5 месяцев назад
Vitu kama hivi Mungu pekee ndiye ajuaye... 😭😭
@emmanuelletema8385
@emmanuelletema8385 5 месяцев назад
Acha tu😢
@user-lb6cx4wf7f
@user-lb6cx4wf7f 5 месяцев назад
Mwenyekiti anastahili kupigwa viboko 😂 awezi kuongea mtu mzima bila kujielewa na kujua kiasi icho au na yeye kaambiwa ataachia ngazi 😅..eeh mungu siasa zetu izi tunusuru nazo💔
@selemanibilali8405
@selemanibilali8405 5 месяцев назад
Mwenyekiti anaangua kichaa
@ChristerShao
@ChristerShao 5 месяцев назад
Mwenyekiti alipits bila kupingwa.
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 5 месяцев назад
Mwenyekiti famba kabisa
@josephinamkono5183
@josephinamkono5183 5 месяцев назад
Ayayay😢 jamaaa yangu huyu pore
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 5 месяцев назад
Kwan huyu mzee alikua hajui babu Rama alikua anawadai TRA
@patsonanyitike9584
@patsonanyitike9584 5 месяцев назад
Mwenyikt zinakutosha wwe
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha 5 месяцев назад
Natamani nimtie ngumi kumanyoko uyu sema nimegundua ntaua cmu yngu ila ww mwenye kiti kuna kitu
@agnesmgodogodo
@agnesmgodogodo 5 месяцев назад
😂😂
@longinuskomba9887
@longinuskomba9887 5 месяцев назад
Kwa hali ilivyo ukiona unabifu na mtu wa Serikali, cha kufanya ni kumalizana nao
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 5 месяцев назад
Huyu ndio mwenyekiti ?
@MussaSelemani-wz5np
@MussaSelemani-wz5np 5 месяцев назад
hamna kitu hapo
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 5 месяцев назад
Kwani wongo
@hijaabdalah9235
@hijaabdalah9235 5 месяцев назад
mali zao azito wa faaaa duniani wala Akhera .....Mwenda zake alikua ana utu ila kwa sasa serikali imejiziba macho
@hamadgusagusa8675
@hamadgusagusa8675 5 месяцев назад
Kiukweli haingii akilii ikiwa utafuatiliya kiundan
@user-hm5gh6ky9i
@user-hm5gh6ky9i 4 месяца назад
Huyu ni mtu wa wapi..ina maana hakujua alikuwa na mgogoro na TRA?
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 5 месяцев назад
Kapigwa risasi sio kajipiga 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@tamashaharuna9345
@tamashaharuna9345 4 месяца назад
Huyu hajajiua aliuwawa
@yusuphwella9651
@yusuphwella9651 5 месяцев назад
Kila saa anatoa wito...😢
@ZachariaLufunga
@ZachariaLufunga 5 месяцев назад
Hatari sn laana ya ukoo inawatesa selikali!
@abednegomhamba1471
@abednegomhamba1471 5 месяцев назад
Inasikitisha sasa!!
@vintagemusicgroup9236
@vintagemusicgroup9236 5 месяцев назад
Aagh, wapi, huyu kauwawa bhana..
@josephinamkono5183
@josephinamkono5183 5 месяцев назад
Tra wakikudai utaona ukiwadai mpaka ufe waziri mkuuu duu
@AthumanDauda
@AthumanDauda 2 месяца назад
Tra serkali wazir mkuu vyomba vya usarama na rais mnamaswari magumu mbele ya Allah tabaraqa kila mchunga ataulizwa alivyochunga
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 5 месяцев назад
Mwenyekiti tutokee hapa! Hivi milion 986 unaijua? Ukinyang'anywa na serikali utafrahia? Hujui kitu kaa utulie!
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 5 месяцев назад
Kama huchukui Rushwa vita ya Rushwa Ni nyepesi Saaana, kama hutumii au hunufaiki na madawa ya kulevya, vita ya madawa ya kulevya huwa Ni nyepesi
@sheikhaswalehsalim3392
@sheikhaswalehsalim3392 5 месяцев назад
Huyu kamroga ndio kajiuwa
@omarybasho2341
@omarybasho2341 5 месяцев назад
Wemzee unafirwA
@emmanuelletema8385
@emmanuelletema8385 5 месяцев назад
Hawa ndo wenyeviti wa Magufuli waliokuwa wanapita bila kupingwa .yaan hovyo kabisa hajui hat anaongea nn 😮
@danielmakelemo2395
@danielmakelemo2395 5 месяцев назад
Hata nyimbo ya mch Mbalikiwa hakuwahi kuisikia 😂😂😂simu anayo mwenyekiti ila uwa Haina bando
@mahamudali1453
@mahamudali1453 5 месяцев назад
Huyu marhemu apewe fidiya FAMILIYA YAKE NA SEREKALI NA AFISA WA TRA ASIMAMESHWE KAZI
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 5 месяцев назад
Tangu enzi za Maskulinum masikini kesi yake
@user-yo7sj8fs4h
@user-yo7sj8fs4h 5 месяцев назад
Malipo hapa hapa duniani. Lazima mupitie ngumu kabla hamujafumba macho.
@user-bi1mr8ju8c
@user-bi1mr8ju8c 5 месяцев назад
alaisi
@user-no4ny7ox2d
@user-no4ny7ox2d 5 месяцев назад
Hujielewi ww eti mwekiti mwenyekiti bongoooooooo
@iambaizo
@iambaizo 5 месяцев назад
Imagine huyu ni mwenyekiti just imagine tu ,
@user-nd8gg4ig7m
@user-nd8gg4ig7m 5 месяцев назад
Huyu babq amelalamika mno 😢😢😢
@goodluckkapinga2677
@goodluckkapinga2677 5 месяцев назад
Hakuna mwenyekiti hapo
@tanzaniaboy9605
@tanzaniaboy9605 5 месяцев назад
Akili za kuambiwa changanya na zako jamaa kapambana sana kutetea haki yake alafu mtu anakuja tu anabwabwanya unaambiwa malipo hapa hapa tu
@emilynathanielluvanda8298
@emilynathanielluvanda8298 5 месяцев назад
Unapoambiwa hujui kusoma hata pcha huoni? Ndo hiyo sasa.
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 5 месяцев назад
Ss si kila kitu aliwek waz
@BarnabaJaphety
@BarnabaJaphety 5 месяцев назад
Kwer hapo hakuna mwenye kiti hapo kuna mwenye kigoda tu
@mohdnasser3620
@mohdnasser3620 5 месяцев назад
Huyo ni uongo Hamisi kauwawa na watumishi wa TRA nasina Shaka hate serikali inahusika
@nicolauselias9084
@nicolauselias9084 5 месяцев назад
We mwenyekiti we ni mjinga usikatae yanayo ongelewa kaa na uwenyekiyi wako si unajilinda ndio maaana unakataa kua jamaa alikua hadai selekari
@wilsonchallange4420
@wilsonchallange4420 5 месяцев назад
Video Ina MAKELELE Mno.!
@stevensosipita
@stevensosipita 5 месяцев назад
HUO NDO UKWELI WEWE MWENYEKITI FUNGA MDOMO WAKO USITAFUTE LAWAMA NA WATU HUYO KHAMIS RAMADHANI KAJIUA KWAAJILI YA SERIKALI KWAKUDHULUMIWA PESA ZAKE NA TRA.
@emmanuelletema8385
@emmanuelletema8385 5 месяцев назад
Inasemekana kapigwa risas
@stevensosipita
@stevensosipita 5 месяцев назад
@@emmanuelletema8385 HILO PIA LIPO KWANI HIVI SASA TOKA JPM KAFARIKI SERIKALI HAIJALI TENA RAIA NA IMEFIKIA KUTOA WATU ROHO
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 5 месяцев назад
hapana huyu jamaa atakua kauliwa tunaomba uchunguzi ufanyike
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 5 месяцев назад
Kabisa jinsi ilivo kunamashaka sana juu ya kifo chake
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 5 месяцев назад
Mwenyekiti unaongea upuuzi tu pumbavu hujitambui mtu mzima ovyooo
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 5 месяцев назад
huyu baba analinda uwenyekiti wake maskini
@ntezealoyce7043
@ntezealoyce7043 5 месяцев назад
Mh mwenyekiti hata picha hauoni mwenyewe anachosema alafu wewe unamiatalia nini,ukapimwe afya ya akili mwenyekiti
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 5 месяцев назад
Mtangazaji mjinga alafu unamuoji mpumbavu...du
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 5 месяцев назад
Mzee unaongea pumba, myekaa
@mwinshehenassib4853
@mwinshehenassib4853 5 месяцев назад
We mwenyekiti na wewe hujielewi. yaani ndugu wa marehemu anasema marehemu anaidai tra wewe unasema anachonganisha. Watu wa serikali mnateteana hata kwenye uovu jambo linaloondoa uadilifu katika majukumu yenu.
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 5 месяцев назад
WEWE MWENYEKITI FALS KWELI, WALS HUKUWA HATA NA UWEZO WA KUMSHAURI NTUZWE LABDA USEME UNGETAMANI AKUPE HATA MKATE TU, NENDA KALALE TU.
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 5 месяцев назад
TRA ndio waliio muuwa
@lucasmourice8347
@lucasmourice8347 5 месяцев назад
Huyu mzee vpbona kama kalewa
@user-tm3jl4yx9f
@user-tm3jl4yx9f 5 месяцев назад
Pelek ujinga huko kwa sababu sio ndgu yako
@oyay2821
@oyay2821 5 месяцев назад
Ccm iliko na damu ya huyu mfanyi biashara
@omarimpogo6895
@omarimpogo6895 5 месяцев назад
Mbn km mzee umekuja kuwatetea watu fulani
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 5 месяцев назад
Wemwenykt huna akili we hujui kama alikua na mzozo huo? Mbwa we
@user-qk9iz5lt8q
@user-qk9iz5lt8q 5 месяцев назад
MWENYEKITI C UNYAMAZE TU ,MAANA HUKUMJUA VIZURI RAMADHANI AMEHANGAIKA NA TRA ZAIDI YA MIAKA MITATU WATANZANIA TULIKUWA TUNAFUATILIA , ALIPOAMBIWA ATALIPWA NDIPO ALIPOANZA KUTISHIWA MAISHA MBONA CLIPS ZAKE ZOTO ZIPO? WEWE BORA UNGENYAMAZA KULIKO KUMLAUMU MAREHEMU
@user-rz1fb4jj9j
@user-rz1fb4jj9j 5 месяцев назад
Ungemshauli nn ww tajili kama uyo
@user-to4jw7tm1j
@user-to4jw7tm1j 5 месяцев назад
Mwenyekiti wewe ndio walewale anaowasema makonda
@emanuelkidali9733
@emanuelkidali9733 5 месяцев назад
Hili lizee hamnazo kabisa
@michaelnehemia4932
@michaelnehemia4932 5 месяцев назад
We huna akili
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 5 месяцев назад
Mwenyekiti wewe ni zamwamwa mkubwa huna sababu ya kuwa kiongozi
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 5 месяцев назад
UNAAKILI NDOGO AMA HUJUI UNAELEZA NINI? HUYU NDG ALIKUWA NA MGOGORO NA TRA TANGU ENZI ZA MAGUFULI , ILA TUMWACHIE MUNGU NDO ANAJUA A~Z
@samsonkatigiri2344
@samsonkatigiri2344 5 месяцев назад
Huyu mzee kiukweli dam yake ipo kwa marehem magu,magu ndie alikuwa Rais na ndie alitoa amri ya huyu mzee alipwe,lakini hayati magu kamkwepa,badala awaamuru TRA wamlipe akakaa kimya mzee anahangaika huku na kule magu hana habari,msiwalaumu Tra hawahusiki
@stevensosipita
@stevensosipita 5 месяцев назад
WEWE ACHA UJINGA USHASEMA MAGU ALITOA AMRI ALIPWE SASA KUMKWEPA INAKUJAJE HAPO MAGU ALIPOTOA AMRI YA TRA KUMLIPA RAMADHANI MDA MFUPI MAGUFULI ALIANZA KUUGUA NA MUDA AKAFARIKI WAZIRI KASIM MAJALIWA NA RAIS WA NCHI SAMIA SULUHU HASSAN NDO WAKULAUMIWA KATIKA KIFO CHA HUYU MFANYABIASHARA
@frankmushendwas37
@frankmushendwas37 5 месяцев назад
Hili jambo linajulikana kila mahari hawa Viongozi wa ccm wanajifanya hawajui wajinga kabisa
Далее
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Просмотров 4,1 млн
Friends
00:32
Просмотров 175 тыс.
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Просмотров 4,1 млн