Тёмный

Mzungu anayeongea Kiswahili sanifu kuliko WAZUNGU wote 

Alex Joseck
Подписаться 5 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Amenishangaza sana. Lazima huyu awe amezaliwa Tanzania au Kenya.

Опубликовано:

 

10 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 92   
@zaprese
@zaprese 3 года назад
My girlfriend sent me this and now I have no choice but to learn. Asante Mazungu!!
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 3 года назад
'Mzungu' not Mazungu
@rajabuhatibu3225
@rajabuhatibu3225 Год назад
Welcome to learn kiswahili
@haroldtarimo342
@haroldtarimo342 4 года назад
Oh huyu bwana amenifurahisha Sana Kiswahili chake kizuri Sana Hakuna kiswakinge hapo pamoja na kuwa ni mzungu wabongo tujifunze hapo
@BARAKABLESSING
@BARAKABLESSING 5 лет назад
Namfahamu, anaitwa Jeremy anasoma chuo kikuu cha Indiana Marekani. Wenzetu wakitaka kusoma lugha wanajifunza kupitia 'native speakers' na kwenda kuishi nao kwa muda ili kuweza kujua lugha na utamaduni kwa sababu lugha na utamadun havitenganishwi. Tofauti na sisi tunavyofundishwa lugha fulani na watu ambao si wenye lugha yenyewe. Watoto wanasema 'a' for apple wakati hajawahi kuona hata tufaa lenyewe.
@AlexJoseck
@AlexJoseck 5 лет назад
Wazungu wanajitahidi sana yaani.
@TamuzaKale
@TamuzaKale 4 года назад
Umtafute na Mzungu Peku wa Morogoro. Utashangaa sana!
@shimronnetia
@shimronnetia 5 лет назад
wa.. Mazingira?... si jui niliskiya hiyo neno siku gani... Love fron Kenya...
@abuufundi8291
@abuufundi8291 4 года назад
Nairobi claws tuna want aka
@AminaShabani-y6t
@AminaShabani-y6t 11 месяцев назад
Jamani mwaaaaa hd raha
@FridaNgopa
@FridaNgopa Год назад
Kalibu Tena Tanzanian 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@mohamedjakaya5355
@mohamedjakaya5355 3 года назад
Sawa. Sisi ukarimu ni mila yetu kwanini tukifika kwenu mnatubagua na kutuona kama hatuna thamani wakati sote tumeumbwa na M/Mungu moja?
@happynessjoseph442
@happynessjoseph442 Год назад
Me ntapata wap whasap namba zake jamni
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 Год назад
Sio tu anaongea kiswahili kizuri kuliko wazungu wote, ila anaongea kiswahili kizuri kuliko wabongo wote
@dativaminja2278
@dativaminja2278 4 года назад
Wow nimependa sana
@impeccablerito7922
@impeccablerito7922 Год назад
Nilikua napiga matembele kinyama kabsa..🤣🤣🤣
@halimasulaiman3229
@halimasulaiman3229 3 года назад
Masha Allah nakupenda bure kusifiya nchi yetu 😀😀😀🙏🇹🇿
@paskalinasamwel7882
@paskalinasamwel7882 Год назад
waooo
@Elizaberthmashauri
@Elizaberthmashauri 6 месяцев назад
Kalibu
@happynessjoseph442
@happynessjoseph442 Год назад
Nisaidie nipate namba yake ya whasap plz au unambia instagram anatumia jina gan
@veenpoul900
@veenpoul900 2 года назад
Huyu mzungu anachapia lugha yetu kwny baadhi yasentensi lkn wala huoni mtu mweusi kumkosoa ila ebu ngoja aongee mtu mweusi lugha yakingereza AF akosee kidogo2 ndoutaona usenge utakavyowatoka,,,ebu wabongo acheni ushamba bnh haswahaswa wakenya ndowenye utumwa huo
@shimronnetia
@shimronnetia 5 лет назад
i wish all white people were like him...dont fear black people.. Love from Kenya
@stephenshayo9964
@stephenshayo9964 3 года назад
Good talking
@محمدالقايد-د6ب
@محمدالقايد-د6ب 3 года назад
Adi raha sana God bless you
@guracha200
@guracha200 3 года назад
Kijana mtalamu wa lugha ya kiswahili
@dennismacdenniton5943
@dennismacdenniton5943 3 года назад
Kiswahili kipi hicho ilhali lafudhi yake Ni kama mzungu wa kawaida...alfu kinafanana na Cha Wamaasai eeeh!
@divinehopeandsmile
@divinehopeandsmile 3 года назад
Wow🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@pyrex_011
@pyrex_011 3 года назад
Kiswahili kitukuzwe 💪
@vikrammach4659
@vikrammach4659 3 года назад
Waaaah
@emrekay7684
@emrekay7684 3 года назад
mzungu anasema kiswahili bila accent yoyote ka kizungu, ni bingwa kwa halisi
@estherwanjiru854
@estherwanjiru854 2 года назад
Hapa sasa sukuma wiki 👍🇰🇪🇰🇪
@halimasulaiman3229
@halimasulaiman3229 3 года назад
Kiswahili chako kizuri sana masha Allah
@linetatieno4594
@linetatieno4594 4 года назад
This is amazing,amenishinda.
@editherhevaristerh4641
@editherhevaristerh4641 2 года назад
Hmm huyo atakuwa kishuka 🤣🤣me bf wangu kakaa huku tz and hata mambow hajui
@194summer
@194summer 3 года назад
Karibu sasa kwa Yesu kama hujampa Yesu maisha yako ni muhimu sana kuokoka,Warumi 10:9-10
@fredialfredi202
@fredialfredi202 3 года назад
Ila nimegundua kuna karatas unasoma . Mzee baba!
@haroldtarimo3115
@haroldtarimo3115 2 года назад
unamakengeza mini anasoma wapi wakati anatiririka vizuri tu
@sarahsara4606
@sarahsara4606 2 года назад
Haya karibu tena Kenya
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 3 года назад
amewezaa sana
@dennismacdenniton5943
@dennismacdenniton5943 3 года назад
❤️❤️❤️
@howwasmade3314
@howwasmade3314 3 года назад
Huyu mwenzetu Kabisa
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 3 года назад
kenya hoyeee
@wechulipaul
@wechulipaul 4 года назад
Wah, ata mimi siwezi ongea hivyo.
@AlexJoseck
@AlexJoseck 4 года назад
Hatari sana yaani ha haaa
@egideniyonkuru9705
@egideniyonkuru9705 3 года назад
Anabonga kibongo
@saudangalleni388
@saudangalleni388 3 года назад
Njoo nikufundishe
@joankaranja5973
@joankaranja5973 5 лет назад
Your kiswahili mmmmwa
@mwl.michaelsainethmlowe2641
@mwl.michaelsainethmlowe2641 2 года назад
Upo wapi wewe?
@murtdaalabbas5550
@murtdaalabbas5550 3 года назад
Hi, aise nimependa gisi unaongea kiswahili yn nimefrai ,karibu tena kwetu africa sisi niwararim na tuna jua samani ya utu ,hasa kwa mgeni ,karibu tena ,mm na ishi burundi karibu kwetu
@magdalenayunia9102
@magdalenayunia9102 3 года назад
Nimependa
@AnnaNyalandu
@AnnaNyalandu 2 месяца назад
Nipo Tanzania natamani nipate mume wakizungu
@AnnaNyalandu
@AnnaNyalandu 2 месяца назад
Natafuta na mm mwanaume wakizungu wakuniowa
@dannymusic7798
@dannymusic7798 6 лет назад
Nice umehuwa
@paschaldavidrichard2672
@paschaldavidrichard2672 Год назад
Nilikuwa napiga matembele kinyama yani,,
@saidasaidi8335
@saidasaidi8335 3 года назад
Nice
@marianali7951
@marianali7951 4 года назад
Hakuna lugha nzuri duniani kama kiswahili.
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 3 года назад
Tz na Kenya hoooye
@saudangalleni388
@saudangalleni388 3 года назад
Gingers kujua kwa kujua kiswahili vizur
@nasrakapoza2582
@nasrakapoza2582 2 года назад
Hi
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 5 лет назад
hahahaha mwanza mwanza home sity home
@victoriamasawe2249
@victoriamasawe2249 5 лет назад
Hmmmmh huyo kiboko hongera sana
@handsomebosz6607
@handsomebosz6607 3 года назад
Nikweli my
@amourabdallah2978
@amourabdallah2978 3 года назад
Huyu boya sio mzungu ni muhindi huyu angalia hio lafudhi ya kipwani
@howwasmade3314
@howwasmade3314 3 года назад
Nmeappreciate bure kabisa
@shimronnetia
@shimronnetia 5 лет назад
accent is like Tanzanian..
@mawazoselemani614
@mawazoselemani614 4 года назад
Shimron Netia ..amechanganya accent...inasikika pia ya kikenya!
@TamuzaKale
@TamuzaKale 4 года назад
@@mawazoselemani614 Lakini sana cha Tanzania. Kenyan Swahili is very little!
@soomtan7171
@soomtan7171 4 года назад
Ume ongea vizuri
@mimiiarrow9803
@mimiiarrow9803 3 года назад
Kwiswahili sanifu Jameni wah,wah,wah...........
@princessann4257
@princessann4257 5 лет назад
Nimependezwa ma kiswa chako
@tunjevictor1178
@tunjevictor1178 Год назад
Kiswahili kitukuzwe
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 3 года назад
🥰🥰🥰😍😃
@victoriamasawe2249
@victoriamasawe2249 5 лет назад
Karibu tena
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 5 лет назад
huhuhuhu eti kinyama
@juliussanane1860
@juliussanane1860 3 года назад
Eti kinyamaa
@farhatihalfani8754
@farhatihalfani8754 3 года назад
Eti amekula malenda au nimesikia mwenyewe
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 3 года назад
Kinyamaaa
@kiloposimba2012
@kiloposimba2012 3 года назад
Umeongea Kiswahili fasihi endelea usiache
@dkmoses88
@dkmoses88 2 года назад
kiswahili yako inashinda yetu 'kales'
@Bintimrembo-y1v
@Bintimrembo-y1v 3 года назад
Dogo we umetisha kama fisadi
@kibeginiblue7188
@kibeginiblue7188 3 года назад
Jamaa anaongea Kama kazalia bongo
@اويمااويمااا
@اويمااويمااا 3 года назад
Marenda tena ila unaongea vzr
@alfoncewiliam6680
@alfoncewiliam6680 3 года назад
Huyu mswaili
@sabrasalum5622
@sabrasalum5622 4 года назад
Kalibun tena Tanzania
@tinakibiki2319
@tinakibiki2319 2 года назад
Duuuu
@SaraSara-tb2lm
@SaraSara-tb2lm 4 года назад
Kuja uone mzungu anaogea kiswahili sanifu
@MrNoNonsenseYes
@MrNoNonsenseYes 2 года назад
Sema njoo, na si "kuja"
@محمدالقايد-د6ب
@محمدالقايد-د6ب 3 года назад
Anaongeavizuriii
@muniraramadhani7775
@muniraramadhani7775 5 лет назад
Njo tukae wote
@kombomwamanza5918
@kombomwamanza5918 4 года назад
Nyege hizo tyr kinembe kimekusimama wamtaka mbaba wa watu
@nishabebe6768
@nishabebe6768 4 года назад
❤❤
Далее
КОТЁНОК ЗАСТРЯЛ В КОПИЛКЕ#cat
00:37
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
| LONGALONGA | Jifunze Kiswahili sanifu
9:32
Просмотров 30 тыс.
Vunja Mbavu wazungu wakiimba mbuga za wanyama tanzania
14:45