Тёмный

Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yasitisha kulitambua Hezbollah kama kundi la Kigaidi 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 82   
@DismasMaturine
@DismasMaturine 3 месяца назад
Uzuri Hezbollah wanajisimamia kama wahouthi nao wanajisimamia na hawajali
@KatemboJeremica
@KatemboJeremica 3 месяца назад
achani ujinga nimuda waku piga wote achani ujinga wakusema Hezbollah's nima gaidi ivi kuna magaidi zaidi ya wa Israël au wamarekani
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 3 месяца назад
Umeeeelewa kwanza😂 yaaani hapo walicho sema waarabu ni kwamba hizbollah sio shirika la ugaidi
@ramamakelo3780
@ramamakelo3780 3 месяца назад
Saluti Jeremica
@Pablolookman
@Pablolookman 3 месяца назад
Hao magaidi wakizungu walikua wanatudanganya zamani wao ndio magaidi namba one mwarabu akijipambania anasingiziwa ugaidi
@ShedrackShedrack-c2b
@ShedrackShedrack-c2b 3 месяца назад
Dagaro hanavyo uwa watu weusi kule Sudan hanauwa nawazungu hahu dagaro nimzngu kama somwarabu yani waharabu ugaidi na kuuwa wanzao wamezoea hangalien uyo hanacho wafanyia wa Islam wenzake pale sudan
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko 3 месяца назад
​@@ShedrackShedrack-c2bpumbavu we nae hujui hata kuandika
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 месяца назад
​@@ShedrackShedrack-c2bww shoga ujitambui wazungu ndo wanaodhamin
@husseinc
@husseinc 2 месяца назад
vyombo vyao vya habari vya magharibi (west) vilituaminisha gaidi ni muislamu kwa lengo la kueneza chuki dhidi ya uislamu na waislamu ndio maana mshambuliaji akionekana ana jina la kiislamu litaitwa shambulizi la kigaidi shambulizi kama hilo likifanwya na mtu asiye muislamu litaitwa shanbulizi mshambuliaji
@mudiskaina2342
@mudiskaina2342 3 месяца назад
katika quran mungu anasitiza umoja katika uislam hata upo wapi likija suala la muislam mwenzio kupigawa unatkiwa kama una uwezo utumie nguvu zako zote ili uslam ushinde
@blueboybajos6880
@blueboybajos6880 3 месяца назад
watakuja tu pole pole😂😂😂putin iko nanyoosha watu kimya kimyaa
@SwedyMohamed-vt5zm
@SwedyMohamed-vt5zm 3 месяца назад
Tatizo la waarabu wamekuwa mateka wa marekani na ulaya.Wamekuwa vibaraka wa US & Ulaya sana.Wajitambue sasa waache kuburuzwa na wamarekani na shoga zake
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 3 месяца назад
Ww na hao waarabu nan mwenye akili una coment 2 bila akili
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 3 месяца назад
Kwanza umeeelewa
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh 3 месяца назад
Wanafiki sn Yaan hata hiyo taarifa yao usiitie akikin Manak hapoo wanaweza muita sultan wa saudia tu wakabadkisha maneno
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 3 месяца назад
Naona ivi walishaanza kujitambua
@Gulfnas1
@Gulfnas1 3 месяца назад
Mambo yameinza kudamshi
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv 3 месяца назад
Atauawa huyo kiongozi na wamarekani
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 месяца назад
Kadri siku zinavyoenda magaid wa kweli watajulikana tu
@yohana1242
@yohana1242 3 месяца назад
Na ndo dalili za kiama izo
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 месяца назад
Israel ndo magaid mashoga makafiri
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 3 месяца назад
Mashoga itawauma sana
@Raboudiblaq
@Raboudiblaq 3 месяца назад
Mambo yanapamba moto siii warabu wanaungana sasa sijui Israel 🇮🇱 itapiga uarab wote
@AhmedAhmed-z6m7t
@AhmedAhmed-z6m7t 3 месяца назад
Mdogo mdogo wataelewa tu
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko 3 месяца назад
Naliona limarekani linavyochukia
@shakilajazla8893
@shakilajazla8893 3 месяца назад
❤❤❤❤Nimependa❤❤❤❤
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 месяца назад
Israel ndo magaid mashoga
@MAHAN-SMART
@MAHAN-SMART 3 месяца назад
Kidogo kidogo mtaelewa t
@bakarmsangimsangi7757
@bakarmsangimsangi7757 3 месяца назад
Mashaallah waislam sasa tunaanzaa kuungana nasiyo kuchukianaa kisa hawa makafir mollah ifanyee thabiti mioyoo yaoo
@amournassorsaid7694
@amournassorsaid7694 3 месяца назад
Watoe hizbollah waiweke israel
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 3 месяца назад
Hiiii ni habar njema
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 3 месяца назад
Tutaelewana tu polepole
@DismasMaturine
@DismasMaturine 3 месяца назад
Hao si hawana msimamo
@dullahabdallah-nu1py
@dullahabdallah-nu1py 3 месяца назад
Umeja ni nguvu,waarab wameanza kujitambua
@moohazuume
@moohazuume 3 месяца назад
Waarabu wanatakiwa wajiamini
@OctavianiRongino
@OctavianiRongino 3 месяца назад
Uchambuzi wenu kama unaeneza itikadi mgejikita sana kuusu matatizo ya afrika amuongelei Kongo sudani naijeria afrika magalibi Kuna makundi megi ya kigaidi wafrika wakiuna uwezi sikia nchi yakialabu ata1 ikilaani acheni kieleele amjiulizi waalabu wengi kwanin uamia ulaya na malekani acheni kawaabudu waalabu tatizo mwislamu mweusi akimuona mulabu umtukuza sana
@yohana1242
@yohana1242 3 месяца назад
Shoga wee
@namisgiggah1571
@namisgiggah1571 3 месяца назад
Tunapokwenda nikumoto
@IsackIsacksamson
@IsackIsacksamson 3 месяца назад
Hao wote hawana International legitimacy wanaongozwa na udini dunia haina dini watu wake wana dini utawala wa namna hii hautoboi nenda ulaya kuna dini gani inaendesha nchi nenda urus kuna diningani inaendesha nchi ndio mana hata iran inataabika sana ndani na nje kiutawala bisha lakini hii ni hoja usilete itikadi kwenye ukwel huu
@MaryamIssa-y7v
@MaryamIssa-y7v 3 месяца назад
Chama kilochoshika hatamu Ugerumani ni chama Cha Nini km sio Cha kidini au hutambui siasa za dunia
@mudiskaina2342
@mudiskaina2342 3 месяца назад
tatizo nchi za kislam wengi wao hawana ushirikiano na unafki wa kushirikiana na wazungu kama kweli waislam wangeungana na kutumia nguvu zao hamas na Hezbollah israil ingekua ishapigika vibya ila wazungu wanaakili sana wanawagawa ili kusiwepo ushirikiano
@mudiskaina2342
@mudiskaina2342 3 месяца назад
kwani alipo jaribu kushambulia irani israli nani walimpa data marekani na israli si hao warabu akina saudia rabia na akina misri jordan kama kweli waislamu wamue kupigana na israli hachukui duru ashapiga unafki unatutesa uislam
@OctavianiRongino
@OctavianiRongino 3 месяца назад
B
@suleimanrashid3918
@suleimanrashid3918 3 месяца назад
Hawa nao waliamshwa ni genz wangeendelea tu ujinga wao
@frankbutati8343
@frankbutati8343 3 месяца назад
Hesebolla ataiponza Lebanon, muda utaongea Israel inashambuliwa na hesebolla kutoka Lebanon na watu weusi wanaipongeza lqkin badae mtaanza kuionea huruma
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 3 месяца назад
Israel hawezi ni shoga muoga Irani rebanon hizbollah hamas zote zinamtazama afunguke aone atafutwa yeye na hiojodani inayomtumia sms za umbea
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 3 месяца назад
Huruma ilikuwa Zamani kiazi😢
@Awatee
@Awatee 3 месяца назад
Wapigane na hizbullah na sio raia wasio kua na hatia wazayun wanaua raiya vita hawawezi
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 месяца назад
Israel mashoga
@BenjaminMetanyau
@BenjaminMetanyau 3 месяца назад
​@@Awatee hezbrollah wametangaza kuwa vita ikianza hawatojari , Sheria za kivita🤔 watapiga popote😏 nafikiri kufanya hivyo nikama kumtupa🦴. Samaki baharini😡 huko hafundishwi kuogerea🤐 Sasa hao raia sindo wanao wahifadhi nandio wanawapa nguvu fumua hiyo mizizi ya fitina wata surrender wenyewe😡😡😡
@josepheriah5977
@josepheriah5977 3 месяца назад
Acha wauliwe na israel
@yohana1242
@yohana1242 3 месяца назад
Kafirane uko
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 3 месяца назад
American ndo magaidi
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 3 месяца назад
Ali masubi aliwah kusema kuwa israili wali ipiga hamas had wakaisha hamna nchi yeyote ya kiarabu itskayo ingilia wala kusapoti chochote na waki subutu tuu wata juta kwa kichapo na nina amoni kuwa ni ukweeli kabisaa kwa nionavyo hali inavyo enda kwa sasa kuhusu waarabu
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 месяца назад
Choko ww uwelewek
@ShedrackShedrack-c2b
@ShedrackShedrack-c2b 3 месяца назад
Haho magaid wakiislamu ezbolla hawana makaz mahalumu lakni magaidi wenzio uku wakiislamu hambao hawajtambui hususani weusi kama pua yammbwa wana jifanya wao ndo dini wanaijua kuliko walio ianzsha
@Awatee
@Awatee 3 месяца назад
Magaid makafiri wenzio
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 месяца назад
Ww shoga na wazungu mashoga wenzako 🖕
@mudub0etz
@mudub0etz 3 месяца назад
Hatup0tezi muda na makafir sisi 😂 Tunajua huna jipya t0ka enzi iz0 subili adhabu zenu t. Uko kaburini
@ramamakelo3780
@ramamakelo3780 3 месяца назад
Sema wewe una hamu ya kufilwa
@salimali-rf9er
@salimali-rf9er 3 месяца назад
​@@Awateehata kuandika kiswahili hujui,nenda kwanza kajifunze lugha ya kiswahili halafu ndio uje ucoment,DABBAB, DUYYUS WEWE
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 3 месяца назад
Wanafki tuu
@JeanMalilo
@JeanMalilo 3 месяца назад
Subiri mzayuni afyatue makombola, waanze kulialia
@Awatee
@Awatee 3 месяца назад
Wazayun munaona kama ndio waendeshaji wa dunia uo ni upuuzi kua Mateka wa mwanadam dhulma maisha Yote haidumu ni jambo la muda tuu
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 месяца назад
Wazayuni mashoga
@JeanMalilo
@JeanMalilo 3 месяца назад
@@omarymwaluko9765 na shoga wao watafyatua tu
@MaryamIssa-y7v
@MaryamIssa-y7v 3 месяца назад
Mzayuni hawezi ata kumudu kikundi kidogo Cha wanaume labda wanawake na watoto bila kusaidiwa baba zake nchi za mashoga au hujuwi TELAVIV Israel kuwa ndio kitovu Cha sherehe za ushoga Duniani afu mnafumbwa macho mnaambiwa Taifa la Mungu sijuwi Mungu Gani mnaemkusudia anaeunga mkono dhuluma na ufiristi au Lusifa maana nae wenzetu wanamwita Mungu
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 3 месяца назад
Safi sana ❤❤❤❤
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 3 месяца назад
❤❤❤❤❤
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 3 месяца назад
❤❤❤❤❤
Далее
КОТЯТА В ОПАСНОСТИ?#cat
00:36
Просмотров 1,8 млн
How Israel Assassinated  Hezbollah Commander?
8:48
Просмотров 1,9 млн
How to win a argument
9:28
Просмотров 577 тыс.