Тёмный

GPS:VITA kamili kati ya ISRAEL na HEZBOLLAH vyazidi kunukia! Mashariki ya Kati Itatikisika 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 35 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Авто/Мото

Опубликовано:

 

22 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 582   
@amraniamuri3080
@amraniamuri3080 Месяц назад
Kama unaikubali SNS naomba likes
@AyoubHajj
@AyoubHajj Месяц назад
Katika category ya silaha ndiyo zipo groups tofauti kama hivi Hmg - heavy machine gun Lmg - light weight machine gun Mmg - medium machine gun Gpmg - general purpose machine gun SMG - Sub machine gun, ambazo ndani ya smg tunapata izo kwa mfano AK 47 and UZI
@julesndayi3787
@julesndayi3787 Месяц назад
Dj sma mtu na nusu kweny uchambuzi aiseh, weka mbali na watoto, ni genius kabisa. I appreciate you brother sma
@sosbrayantbenjamin9701
@sosbrayantbenjamin9701 Месяц назад
Huyu sma 🙌hatari sana ukiwa na akili ndogo huwez kumuelewa weng wamepigwa brainwash ma mainstream media
@user-vi7ly9zh1q
@user-vi7ly9zh1q Месяц назад
Kweli kabisa 👏
@Kim19onlinetv
@Kim19onlinetv Месяц назад
Huyu kijana mwenye t-shirts ya njano bado anatakiwa kua msikilizaji (2) ufafanuzi wa huyu jamaa aliye kati uko super sana mmi nimekua mfuatiliaji wa migogoro ya middle East na nimegundua kua graph ya kuizuia Israel ki jeshi imezidi kua juu
@HajiJuma-xw7vh
@HajiJuma-xw7vh Месяц назад
Kabisa
@seifalzakwan5663
@seifalzakwan5663 Месяц назад
Hana moja analo jua sijui kama anajua idadi ya wanajeshi wa israel wanao kufa anajua kama wanaa andamana wasiende gaza?!
@ChachaRichad
@ChachaRichad Месяц назад
Ni kweli na kama hajui kuwa bila marekan israel hana ishu unajua wengine umarekani mwingi wanajiita wanyamwez
@hunstonjuliusmkonyionlinetv
@hunstonjuliusmkonyionlinetv Месяц назад
Hata we na uyo jamaa ni wote hamjui kitu
@djumadjumbe6907
@djumadjumbe6907 Месяц назад
Hamja muelewa uyu jamaa ,mi nimesikia makala zake nyingi ana madini, n'a kingine smaa n'a uyu jamaa wana mitazo tofauti na ndo ina koleza genge
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 Месяц назад
Good Job SMA.... Ufike mbali zaidi
@HalimaAbdul-xd6el
@HalimaAbdul-xd6el Месяц назад
Ali masubi ndo mchambuzi Bora na intelligent..ni mtu wa kufuatilia mambo na anaelewa chenye Kiko wazi..❤❤❤ Ali Yuko juu..from kenya
@abushaddad989
@abushaddad989 Месяц назад
Dj Smaa Leo kasimama vizuri
@bajosdamour2347
@bajosdamour2347 Месяц назад
Ila siku anasimama vizuri uyo mzee me nakubal sna
@PatrickJulius-uy3yb
@PatrickJulius-uy3yb Месяц назад
Sio leo kila anapo fanya sma ni critivu
@nyemondagalla608
@nyemondagalla608 26 дней назад
Smaa ni bora siku zote.
@khaledmbongo2339
@khaledmbongo2339 Месяц назад
Dj smaa ananyoosha sana, Masubi mchanbuzi mzuri ila anazunguka sana
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ Месяц назад
Dj smaa ni anaongea kishabiki lakini masoud anaongea fact
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Месяц назад
Nahisi labda ana kigugumizi mkuu.
@HafidhOmar-rs4ty
@HafidhOmar-rs4ty Месяц назад
Jmn mbna kunawatu wanapenda kuponda kilaktu cc niwackilizaji2 ukipnda pongeza au ucpongeze ila kuvunja moyo custarabu
@kitengedimaria3667
@kitengedimaria3667 Месяц назад
Uyu jama anajua Sana ilaa kueleza ndio kupangilia tatiz sijui Kwa sababu y kigugumizi au
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Месяц назад
@@kitengedimaria3667 Itakuwa mkuu Jamaa labda ana kigugumizi hasa akiwa anaongea muda mrefu.Ila Mimi napenda anavyo-balance story haegemei upande wowote ule, japo mada nyingi ni za upande 1 ila Jamaa Yuko balance sana
@abdallahibrahim280
@abdallahibrahim280 Месяц назад
Namkubali sana dj sma, ni mchanganuzi wa fax kwa uwazi sana
@AbdulaziziMikidadi
@AbdulaziziMikidadi Месяц назад
Ally masub yupo vizur na mwanzo nilikuwa namuelewa lakin kadir nnavyozid kufatilia nimegundua hayupo deep anaongea vitu kama mwanafunz aliekaririshwa haongei vitu katika uhalisia wake,kuna vitu bado anahitaji kujifunza
@sharifuahmed8340
@sharifuahmed8340 Месяц назад
Kabxa yaan mpk ananiudhi kishenz
@karimmunis8302
@karimmunis8302 Месяц назад
Anaependa sana Israeli na iron dome
@wazirie4070
@wazirie4070 Месяц назад
Kabisa, anakera sana
@ghazarahmed80
@ghazarahmed80 Месяц назад
@@karimmunis8302😂😂😂😂😂😂 nimecheka sana
@mamilooutukufu3516
@mamilooutukufu3516 Месяц назад
Masubi umeshaambiwa ni mwanafunzi wa chuo kikuu elewa hivo bado ni chalii dj sima ni mtu mzima katambo mim kiukweli masubi according na age yake .yuko vizur
@wisegeniuz5574
@wisegeniuz5574 Месяц назад
People I deeply appreciate your work since you started having my attention. I have a little suggestion to Mr. Masood, you are very good but you have to let your intelligence exceed your intellect, you can learn that from your brothers DJ SMA and that Lawyer brother, they do it well. Salute to the our excellent host Sky Walker. Thanks
@abdullahmapesa
@abdullahmapesa 12 дней назад
Kweli kbs shukran Sana GBS
@l.j.fadhili5744
@l.j.fadhili5744 Месяц назад
Hapo kipara aliposema defense system ya Israel ni dhaifu, kwa kulinganisha na mashambulizi ya Hamas, sio kweli kwa sababu Israel ameshambuliwa na Iran ambaye ni mwezeshaji wa both Hamas na Hezbollah lakini hakushake... Kwanza mmekaa tu hapo hamjui hata SMG mnabishana bure kwanini msiiende huko mkajionee mkae angalau wiki hivi mtuletee taarifa ya kina ya kinachoendelea
@MohammedGabaye
@MohammedGabaye Месяц назад
Mfate maxtech tv kuus iyo ishu ya Iran utaelewa
@karolialex5734
@karolialex5734 13 дней назад
alisaidiwa wewe acha kudanga mataifa sita yote yalisaidia kudungua makombola ya iran
@mohamedabdulkadir6186
@mohamedabdulkadir6186 Месяц назад
Good work guys, keep it up🎉....this show is really entertaining as well as educating.
@Daidizz01chinga
@Daidizz01chinga Месяц назад
Dj sma turizana baba utafika mbari unaweza🎉❤
@user-vi7ly9zh1q
@user-vi7ly9zh1q Месяц назад
Dj smaa nimmoja tu 🎉🎉🎉 Allah akulinde kaka
@user-gb5vz6wm2q
@user-gb5vz6wm2q Месяц назад
Nawakubali sana Sky,Dj Smaa na Ali Masubi keep on going msiache
@rashidmaty7824
@rashidmaty7824 Месяц назад
Dj Smaa,ww uelewa wko ni mkubwa sana Mungu akuzidishia ,unadadavia kitu hata kma mtu n mgumu kuelewa anafuka wkt anaelewa
@DAVIDMMASSY
@DAVIDMMASSY Месяц назад
SMA Yuko vizuri sana kwenye uchambuzi geo politics na MASUBI yupo vizuri sana kwenye technical stuffs ila wote wako smart sana linapokuja swala la history na predictions za Nini kinafuata. I think SKY ungefanya session Moja ya gps in form of good arguments kama mdahalo btn sma na MASUBI kipindi kitakuwa very interesting kila mtu atatoa madini ya maana kabisa but in the end we are all SNS FAMILY .
@hassanibanzi9322
@hassanibanzi9322 Месяц назад
Oya Dj smaa mtu flan yuko deep ni 🔥 nawapata kutoka LA
@user-xb6tc4bb3z
@user-xb6tc4bb3z Месяц назад
Jmaa wa tshrt ya njano na yeye pia huy ni muisraeli
@abubakarimuhidini5236
@abubakarimuhidini5236 Месяц назад
mi napenda sana discussion za dj sima na ally masud
@Hawa-qc9fo
@Hawa-qc9fo Месяц назад
ALI ANACHAMBUA ILAA HAWEKI WAZI SIJUI KASHATISHWA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 SASAA ANAOGOPA KUFA😂😂😂😂😂 DJ SMAAAA HILI NI NYUKILIA HAOGOPI KITU BUT KAZI NZURI WOOTE MM NAWAAFATILIAA SAANA❤❤ NIKIWAA DUBAI MUNGU IBARIKI AFRICA 🌍 MUNGU IBARIKI TANZANIA 🇹🇿 ❤❤
@iddykivu1336
@iddykivu1336 Месяц назад
Mimi nawa kubali Wote Hongereni Sana
@msodokidasilva6739
@msodokidasilva6739 Месяц назад
Dj sma is masterclass 🙌
@ahmadabdu2998
@ahmadabdu2998 Месяц назад
Hongereni kwa kutuelimishaa
@user-sb4ky2hf8c
@user-sb4ky2hf8c Месяц назад
Mada yenu ni nzuri nimeipenda mbarikiwe
@SadikiMwakisambwe-yw9cp
@SadikiMwakisambwe-yw9cp Месяц назад
Huyo Muha muondoeni mbishi kama mshipa amwachie Dj
@evodiusbahegwa6557
@evodiusbahegwa6557 Месяц назад
Ww huyo dogo ni atariiii sema yuko tu humble hapendi ubishi na hana mihemko
@AliJuma-go4rc
@AliJuma-go4rc Месяц назад
Huyu mwenye t-shirt ya njano bado sana kwenye uchambuz .love you from 🇮🇳🇮🇳
@FoxManTZ
@FoxManTZ Месяц назад
Mchambuzi mzuri ila wewe uliefia kwenye udini huwezi kuelewa
@zuricakes6817
@zuricakes6817 Месяц назад
@@FoxManTZ Jamaa wanataka kusikia Israeli itashindwa ndio maana wanamkataa Ali....HAKUNA KITU KAMA HICHO!
@AliJuma-go4rc
@AliJuma-go4rc Месяц назад
Sio udini kiufup bado mm nafatilia kwenye makala zote na chambuz zote huyo bado
@AliJuma-go4rc
@AliJuma-go4rc Месяц назад
@@FoxManTZ vita havina mshindi mzee wala mm siko kwenye udini Ila huyo Ali bado sana anabebwa na brand ya sns tu
@zuricakes6817
@zuricakes6817 Месяц назад
@@AliJuma-go4rc sio huyu bado, wewe ndio bado. Uwezi kujua uzuri au ubaya wa kitu kama wewe mwenyewe hukijua hicho kitu. Wewe unataka kusikia unachotaka kusikia.
@zuwenarajab6675
@zuwenarajab6675 Месяц назад
Sma 💯 unajishusha sana halafu unajibu kwa hoja, pili unatoa fursa ya kumsikiliza mwingine na ndio kitu kizuri kwenye mjadala.
@Africaamkenitznawenuso
@Africaamkenitznawenuso Месяц назад
Kumamae wayahudi tokeni kwenye ardhi ya watu. Mnalazimisha kuhalalisha visivyo vyenu.
@kassimbayuu5217
@kassimbayuu5217 Месяц назад
Hongeran sana kwa kazi nzuri
@allymwilu8089
@allymwilu8089 Месяц назад
Sna upo active sana we jamaa aaah hatali sana kweli nimekubqli
@jumaramadhan1600
@jumaramadhan1600 Месяц назад
DJ sma uko vizuri, America ilitambua Israeli chini ya dakika 5 baada ya kujitangaza kama taifa
@jumaramadhan1600
@jumaramadhan1600 Месяц назад
Mtu akipata nafasi angalie RU-vid channel enternal passenger kuna historia ya Palestine na Israel imelezwa vizuri sana
@samwelsanga5339
@samwelsanga5339 Месяц назад
The guy with black t-shirt is more smart in describing 😊
@Joshuajereman
@Joshuajereman Месяц назад
Uyu ameanza kupinda aongeo fact Bora mwanasheria na DJ smaa
@mozamoza3960
@mozamoza3960 Месяц назад
Walipo pigana turu y2 kwanini Wali toka dro kwa hio hizo ndege haxikuwepo
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 Месяц назад
Hii bato ya Dj smaa na Ally masubi ni kwere
@Raboudiblaq
@Raboudiblaq Месяц назад
Dj smaa nimegundua sii mbishi na hapendi kubisha ila huu jama mwemye t shirt ya njano mbiishi sana oya mwanetu dj sma anaongea vitu na ushaidi siku nyingn jitaid umskilize kwanza mimi apa shabiki yenu kutoka Burundi 🇧🇮
@hamimhassan9354
@hamimhassan9354 Месяц назад
Ally, Sma and kaka mkubwa sky fantastic round table discussion. Daah nipo singida na enjoy sana madini
@trendz_2548
@trendz_2548 Месяц назад
Madini mengi sana humu.nafatilia told Kenya
@saidjuma7878
@saidjuma7878 Месяц назад
Masubi fanya utafiti israil ni mtoto pekee wa marekan na uingereza, hajawahi kupigana vita vyovyote peke yke, vita vyote anekua na support moja kwa moja
@HajiJuma-xw7vh
@HajiJuma-xw7vh Месяц назад
Ivoivo kaka
@SerahGlam
@SerahGlam Месяц назад
Gen zs tupo nawewe masubi unachofanya Sio kdogo kaka waonyeshe kuwa Gen zs tunauwelewa sana pia Kaka sma asante kwa kutufungulia njia kaka sky asante sana kwa platform yako gps ndo kpnd bora kwangu hadi natamani ni SUBSCRIBE kila siku ikifka sku ya gps
@SadikiMwakisambwe-yw9cp
@SadikiMwakisambwe-yw9cp Месяц назад
Dj yuko vizuri ila huyo jamaa mwingine mweupe sana hata history ya Dunia hajui mbishi tu kama Muha
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Месяц назад
Wote wanajua ila kuna vitu wanatofautina. Dj Smaa amesema miaka ya 70 Marekani ilikuwa bado haijawa superpower na wakati ukweli sio huo. Marekani imekuwa superpower tangu 1945 baada ya vita kuu ya pili ya dunia.
@star_wizard2792
@star_wizard2792 Месяц назад
Two elephants in the room ni 🔥🔥🔥 sana sns kisima cha maarifa aseee sky be blessed kaka
@mohamedrashid6578
@mohamedrashid6578 Месяц назад
Ally tutakupangia kazi nyengine😅
@user-gk1uw9sy5r
@user-gk1uw9sy5r Месяц назад
Machekesha
@samirmswahili
@samirmswahili Месяц назад
Djsma nyoko sana kwa kufafanua apo sheli umeniua🙌🏽
@user-jb5xc3bi6e
@user-jb5xc3bi6e Месяц назад
Naikubali sns, mimi kwa ukweli na uwazi imenibidi nikiri tu. Hakuna, hayupo na bado sanaaa taifa lolote mashariki ya kati litakalofaulu kupiga Israel. Tuweke ushabiki mbali kabisa.
@magnuslunyungu4894
@magnuslunyungu4894 Месяц назад
Kudos dj sma🔥
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
Huyu mjjomba mwenye njano team metanyhu huyu mwenye nyeusi angali upande yupo super katika uchambuzi
@Bally272
@Bally272 Месяц назад
@sns sky uko vizur kwa vijana wako nawa amini sana sina Haja yaku fuatilia main stream media nikiwa na sns yangu nawa fuatilia kutokea Arizona USA ila Henry yuko wapi sky kila videos ya geopolitics ya sna and Niko nayo kweny mind yangu love you Guys wote wako vizur sana Dj Sma my favorite, afu wangine
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 Месяц назад
Jamaa mwenye njano anaongea ukweli na anajua sana
@omarsheha566
@omarsheha566 Месяц назад
Yaani Hadi raha 😅❤ mimi niko Netherland lakini hii sns inanifanya nijihisi kama niko home Africa... najua hivi vipindi haviwaingizii pesa za kutosha,,,ila wapiganieni waafrika nyinyi ndio incredible people for African's future
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 Месяц назад
Mwenye njano anajua sanaaa
@KAMTUPE
@KAMTUPE Месяц назад
Dj smaa & alli masubi. 💥💥
@TwahaMaziku
@TwahaMaziku Месяц назад
Kiukweli nafurahia sana mijadala kama hivi lakn ndo vizur kila mtu kuzungumzia. Anachokijua god bless all
@leandrecelen4497
@leandrecelen4497 Месяц назад
Nakubali Sana masubi
@HajiJuma-xw7vh
@HajiJuma-xw7vh Месяц назад
Dj smaa.. akili nyingi mnoooo
@hamimhassan9354
@hamimhassan9354 Месяц назад
Hii round table Mr sky kuna mtu mmoja mtafute mtu mzima muongeze hapo anaitwa mzee Hamdun Marcel hii round table itafana sana.
@williamferdinand4796
@williamferdinand4796 Месяц назад
Samahani sana ila kivyangu naona dj sm anaongerea upande frani.
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila Месяц назад
Mungu atulinde jamani na atupushe na vita
@niyonkuruasman
@niyonkuruasman Месяц назад
Ali anajua kuchambua lakini tatizo anatia ubishi sana,
@lodricophd728
@lodricophd728 Месяц назад
Hajui bn
@williamferdinand4796
@williamferdinand4796 Месяц назад
Namukubali masubi
@wazirie4070
@wazirie4070 Месяц назад
Cruise missiles have an 8.5-foot (2.61-meter) wingspan, are powered by turbofan engines and can fly 500 to 1,000 miles (805 to 1,610 km) depending on the configuration.
@franklihwa6331
@franklihwa6331 Месяц назад
DJ Sma, soma tena maana ya geo fencing
@user-pd3hs4ze7i
@user-pd3hs4ze7i Месяц назад
Sma acha kua unaegemea upande mmoja unachambua vizur shda udn
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 Месяц назад
DJ SMA upo vizuri sana
@barakamwamasage-hy2jo
@barakamwamasage-hy2jo Месяц назад
Sasa Wana Sns wachambuzi wote wakiwa na mawozo Sawa ladha yakipindi itapotea tusiwavunje moyo kupitia wao wote tunapata uwelewa
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Месяц назад
Sema Ally Masubi Yuko balanced sana kiuchambuzi, Kwahilo Nampa hongera sana na huo ndo maana halisi ya uchambuzi.DJ-SMA anajua sana ila tatizo ana upendo kupitiliza sehemu moja au ana-base upande mmoja zaidi. Ila yote kwa yote hongereni sana kiuchambuzi.
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 Месяц назад
Ni kwa sababu anaiponda israil😂😂😂
@abdullahnassor9433
@abdullahnassor9433 Месяц назад
Waziri wa ulinzi anakiri kuwa wanajeshi elfu 70 wa Israel wamepata ulemavu huko Gaza, hiyo ina maana kuwa wamekufa au hawafai kuchukuliwa hatua.. basi fikiria Hezbollah
@timothybanda3219
@timothybanda3219 Месяц назад
Kuna tofauti kati ya star na superstar, dj smaa ni superstar na ally ni star. Level tofauti kbs
@KakaMois
@KakaMois Месяц назад
Nawakubali Sana wachambuzi wa dunia Kweli kabisa
@poldavyselassie4365
@poldavyselassie4365 Месяц назад
SMA ní fundi sana appreciate
@evodiusbahegwa6557
@evodiusbahegwa6557 Месяц назад
Dj Sma,mihemuko mingi factless,Masubi anaongea Ukweli mtupu
@Ibrahimkhamis005
@Ibrahimkhamis005 Месяц назад
Ally hajui historia yeyote anapiga kelele tu hapo namkubali sana dj sma
@raydanfrenk
@raydanfrenk Месяц назад
😂😂😂😂 udini ndy shida yenu subili kichapo utajua mwenyew
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Месяц назад
​@@raydanfrenkWw mdada upo kweli, daah kitambo aisee.
@lodricophd728
@lodricophd728 Месяц назад
Sasa udini unaingiaje apo kwani ally na smah s dini moja au..
@hamimhassan9354
@hamimhassan9354 Месяц назад
Ally nakukubali, Sma unatema sana madini hakika hawa vijana ni materials Kwa nchi.
@raydanfrenk
@raydanfrenk Месяц назад
Mchambuzi wangu pendwa MASUND Unajua na unajua mpka unakela Baba 😂😂😂😂😂😂
@dudumankidume3046
@dudumankidume3046 Месяц назад
Ally kigeugeu aleweki ,ni shida 😅😂
@Siasia209
@Siasia209 Месяц назад
Yaani amekalia ubishi tuuu
@hadijaossi7821
@hadijaossi7821 Месяц назад
Huyu babu Ali amekalia ubishani tuu... DJ SMAA HUYU JQMAA ANAJUA
@gnmbi
@gnmbi Месяц назад
Hakuna bunduki inayoitwa S.A.R bali kuna SKS SAR ni uwezo wa silaha kwamba haiwezi kupiga mfululizo yenye inapiga single na kuji koki yenyewe ndio maana wengi upenda kuita semi automatic rifle likini jina la brand ya silaha yenyewe ni SKS
@masoudomiy4051
@masoudomiy4051 Месяц назад
Good
@raymrash
@raymrash Месяц назад
Misri hawakuikomboa Suez Canal Bali walipewa kwa kusaini Peace Treaty.
@MAHAN-SMART
@MAHAN-SMART Месяц назад
Muwe munachumbalia hizi habar bila ya kuchelewa by the way hongeren sana SNS tupo pamoja kila hatua nawakubali nyote!
@user-hi2rt4jn3k
@user-hi2rt4jn3k Месяц назад
naona uyo jamaa mwingine kama anamshika sana dj smaa
@msafirimichael9150
@msafirimichael9150 Месяц назад
SMG ni mfumo. yaani silaha yoyote yenye chaguzi ya mapigo na Ak47 ni aina ya silaha yenye chaguzi za mapigo ilikuwa tolewa na Mrusi mwaka 47 aliyeitwa A kalashkov lakini zipo sub mashine gun zilizotolewa na matiafa mbali mbali kama mchina mwaka 56
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Месяц назад
What does SMG stand for? Nambie kirefu cha SMG
@rehemaringo9441
@rehemaringo9441 Месяц назад
@@rumdeesonsoa1811 Sub Mashine Gun SMG
@fujoprofessional1344
@fujoprofessional1344 Месяц назад
There isn't a specific engine type called a "cruise engine." The term "cruise" in cruise missile refers to its flight characteristics rather than the type of engine it uses. Cruise missiles typically use jet engines, such as turbojets or turbofans, which are common in various types of aircraft. These engines allow the missile to maintain a constant speed and altitude, enabling it to "cruise" efficiently towards its target.
@mussajuma7460
@mussajuma7460 Месяц назад
Tatizo moja la kaka angu na dj smaa. Dj smaa anajua vzur kuwa magharibi wanatumia media kutupumbaza kusifia vitu vya kwao ila ukwel sio kivileee ila kaka etu hapo anatumia sana nguvu kuelezea kitu ila kwenye mapambano hatuone zile sifa tunazopewa na media
@victorngulwa2311
@victorngulwa2311 Месяц назад
Cruise missiles are guided, jet or propeller-driven projectiles that can fly at low altitudes, follow a flexible path, and are capable of precision strikes. Ballistic missiles, on the other hand, are unguided, rocket-powered weapons that follow a high, arching trajectory before descending toward their target.
@aminielkombe66
@aminielkombe66 Месяц назад
Good, waendelee kukaa pamoja wasuguane wawe bora zaidi
@user-eg1ts2fu9z
@user-eg1ts2fu9z Месяц назад
uchambuzi wa dj sma na ali naukubali sana
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 Месяц назад
Ali namkubali kasoma kuliko dj smahar
@Ibrahimkhamis005
@Ibrahimkhamis005 Месяц назад
Ka ally kanajifanya kajuaji lakini hakuna kitu kapuuzi tu mnakawekaga ka nini hapo
@dudumankidume3046
@dudumankidume3046 Месяц назад
Umeshaonee😢
@user-xb6tc4bb3z
@user-xb6tc4bb3z Месяц назад
Anazingua ana ushabiki huyo
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Месяц назад
Mamahako hanatombwa wima halafu hahoshi
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 Месяц назад
Hemed mwipopo IRINGA.Ninavyo ona Vita vya hisbullah na Israel kwa awamu hii vitakuwa vibaya sana kuliko vita zilizo pita vya mwaka 2006 kwa pande zote mbili lakini hali ya vita kwa kipindi hiki itakuwa mbaya zaidi kwa Israel kwakuwa siku zote hisbullah ilikuwa inalenga zaidi miundo mbinu ya kijeshi lakini kwa vita hii inayo tegemewa kupiganwa itakuwa tofauti kabisa kwa kauli ya hisbullah kwamba haitafuata Sheria za vita hapo inamaanisha kwamba atakuwa tayari kulenga hata makazi ya raia na Maeneo mhimu ya kiraia, pili vita itakuwa mbaya kwasababu hisbullah anaweza kuwa na siraha mbaya zenye madhara makubwa kwa Israel ambazo sisi hatuzijui pia hisbullah atakuwa na washirika ambao wataisaidia kushambulia kutoka pande mbalimbali nje ya Lebanon ambazo ni Syriya na Iraq na Kila mmoja atakuwa nashabaha tofauti za mashambulizi ambayo yatasababisha Israel Kusalenda vita. Huu ndiyo mtazamo wangu.
@user-gk1uw9sy5r
@user-gk1uw9sy5r Месяц назад
We ni mlevi uliye vaa suti
@rashidchimwenda
@rashidchimwenda Месяц назад
Huyu Ally anamrekebisha bwana Sky matamshi ya Turbo wakati yupo sahihi. Ally anaitamka turbo kwa kiswahili. 😊😊
@chapaudindiudindi8804
@chapaudindiudindi8804 Месяц назад
Nawakubali sana wachambuzi
@Marcsites
@Marcsites Месяц назад
Muelewesheni Ally kwamba SMG ni kundi la fire arms, SMA yupo correct
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Месяц назад
Usichambue hamas na hizbllah wao kama wao angalia nani yupo nyuma Yao, I love sns
@star_wizard2792
@star_wizard2792 Месяц назад
Powerful Sana mwamba alie nyuma yako ni Nani?
@user-yf3eu2hk9q
@user-yf3eu2hk9q Месяц назад
🎉Smaa hyo jama umemtolea wP tishet ya njano hajui
@peterilimwa5754
@peterilimwa5754 Месяц назад
masubi yuko sawa
@ramadhanngwilili6261
@ramadhanngwilili6261 Месяц назад
Huyu Jamaa Ally ni Mweupe hakuna anachojua zaidi ya Kukariri
Далее
MPYA: KABURI NAMBA SITA - 1/9 SIMULIZI ZA MAISHA.
54:37