Тёмный

Jussa arejea Zanzibar, apokewa kwa dufu na haluwa 

Weyani Tv
Подписаться 82 тыс.
Просмотров 102 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 431   
@aliarkam9548
@aliarkam9548 3 года назад
Alhamdullah . Kila jambo linalo mfika kiumbemwenyez Mungu ameandika ,pole sana Jussa nawa walewe wote walipoteza maisha mwenyez Mungu awajalie kaul thabit amsamehe makosa wagonjwa wapone . Amiin 😭😭😭😭😭
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 3 года назад
Ya Rab tunakuomba mponyeshe na waponyeshe ndugu zetu wote. Allah tunakuomba vijaalie Visiwa vyetu barka utulivu na amani. Amiin.
@chamritaabdul1592
@chamritaabdul1592 3 года назад
Aamiin
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 3 года назад
Amin yarab
@munasuleyman3159
@munasuleyman3159 3 года назад
Amein Yarab
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 3 года назад
@@munasuleyman3159 Kila wakati dua. Hasa nyakati za sala. Allah anapokea dua hivyo tuviombee dua Visiwa vyetu mema. Mwenyezi Mungu! Tulishie maskini wenzetu, waponyeshe wagonjwa wetu,wastiri mayatima wetu,wakinge wanaonyanyaswa kijinsia. Amiin.
@mheshimiwapimpanajiitaamja7787
@mheshimiwapimpanajiitaamja7787 3 года назад
Yess rasta Ismail Jussa yuko salama na tumefurahi kuona upo hai We will make togeza zanzibar beta Tupo pamoja
@captain_kharus4784
@captain_kharus4784 3 года назад
Masha Allah mapokezi ya mheshmiwa jussa yameonesha jins gani upendo umoja na uzalendo wa kweli katika chama cha ACT wazalendo
@annapeter4994
@annapeter4994 3 года назад
Aliyetuma yatendeke haya tunamlaani Watanzania woote Bara na Visiwani. Pole sana Jusa
@suleimansalym7537
@suleimansalym7537 3 года назад
Exactly dada
@mwadinimwadini4068
@mwadinimwadini4068 3 года назад
Alhamdullillah Allah Akupe Nafuu Na Upone Haraka Ismail Jusa Ladu. Mwenyezi Mungu Ndie Ajuaye. Kwakweli Inauma Sanaa
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf 3 года назад
Wallah machozi yananitoka. Allah atawalipia. Alhamdulillah uko hai . Allah atakujaalia speed recovery, ALLAH awaafu wote na awarahamu maiti wetu wote in sha Allah
@abdulihalfani9133
@abdulihalfani9133 3 года назад
+255777290221
@misscoast3174
@misscoast3174 3 года назад
Allah akuvue hilo na jengine yaarabby
@aishaseif7127
@aishaseif7127 3 года назад
Mashaallah. Nikobali na, nyumbani. Ila nimefurahisana Allah ape wepesi zadi
@Oman-tt1hn
@Oman-tt1hn 3 года назад
Muungu awaponye walewote walio pata majiraha na matatizo katika kipindi kile kigumu cha mpito na wale walio kwisha tangulia muungu awasamehe makosa yao Amiin
@khajumkhamis7910
@khajumkhamis7910 3 года назад
Amiiiin
@arafahassan5257
@arafahassan5257 3 года назад
Ammin ya rabby
@suleimansalym7537
@suleimansalym7537 3 года назад
Ameen
@aishaharuni2937
@aishaharuni2937 3 года назад
From Kenya ni nn kilifanyika
@khajumkhamis7910
@khajumkhamis7910 3 года назад
@@aishaharuni2937 kama ungelikua unafuatilia sasa za Tanzania ungejua lililotokea
@mussabaucha8175
@mussabaucha8175 3 года назад
Inasikitisha kwa kweli Allah akufanyie wepesi jusa twakupenda sote
@user412
@user412 3 года назад
ماشاءاللہ Twasubiria na upokezi wa Masheikh إن شاء اللهَ Allah atujaalie afya njema na furaha ya kudumu Amiin
@fatmamohammedali4306
@fatmamohammedali4306 3 года назад
ALLAH atawafanyia wepesi na wao watoke kwenye hio zahma
@hplatnumz5690
@hplatnumz5690 3 года назад
We wait that day our shekh be free wallah all Zanzibar will be happy inshallah allah give them shifaa
@daliladalilasamehere9356
@daliladalilasamehere9356 3 года назад
😭😭😭😭😭😭😭
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 3 года назад
Naam inshaallah tunawaombea na wao watolewe wallah 😢😢
@adijei
@adijei 3 года назад
Amiin Insha'Allah
@fatmambarouk8107
@fatmambarouk8107 3 года назад
Allah atamfanyia wepesi kipezi chetu Allah atakufanyia shifaa kipezi chetu na Hao waloyafanya haya Mungu atawahukumu kila La heri jussa wetu tunakupenda na tutazidi kukupenda kamwe hatutokusaliti tunakupenda sanaaaaaa..... Zaidi ya sanaaaaaaaaa...
@yussuphshilingi3258
@yussuphshilingi3258 3 года назад
Pole xana kiongozi jusa kwakweli inatuuma Sana kwawaliyo tufanyia CCM hatuwasamehe mpaka mwisho wauhai wetu
@asiakhamisi469
@asiakhamisi469 3 года назад
Mw. Mungu akulinde na kila shari akujalie uzima na afya njema
@laylamohamed5015
@laylamohamed5015 3 года назад
Ameeyn
@misscoast3174
@misscoast3174 3 года назад
Ila wazanzibar sie kwa manjonjo 😁 tungekua tupo huru na nchi yetu aaah tungeifukiza udi nchi nzima na maasumini kila pahali aaah hatuna dogo wenyewe 😁
@nusaybasaid3378
@nusaybasaid3378 3 года назад
😁😁😁😁😁😁😁
@topaviator
@topaviator 3 года назад
Kweli
@salyali7807
@salyali7807 3 года назад
Kweli
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 года назад
Ujinga huo,,,,,,,nenda Syria uone kama watu wanapiga ngoma kwa Uhuru kama hivyo!!
@Anonymous-sy5kx
@Anonymous-sy5kx 3 года назад
Wapi! Wasnzibari wachafu sana! Unapikwenda uchafu watu wanatupa taka bila kujali iwe beach, barabarani kwmeye makaazi...machupa, foils, kokwa za ubuyu, Pampers etc....eti udi! Hahaha
@fatmahamad9314
@fatmahamad9314 3 года назад
Nina furaha km zote kumuona Jussa wetu 💗💗💗💗💗💯
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 2 года назад
Jusa ni mwanasiasa mkweli nampenda sana wazanzibari mumtumie sana huyo jamaa ni tunu hiyo
@trustman8034
@trustman8034 3 года назад
Machozi ya furaha.. Sasa sijui anajiskiaje yule alietenda mabaya kwa mwenzake...?? Ubaya haudumu... Kila la kheri Jussa
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 года назад
Walofanya Mungu atawarudi kwa HARAKA SANA KWA DHULMA WALOIFANYA...
@rahamaraalkheir6604
@rahamaraalkheir6604 3 года назад
Wahalifu willasakwe wahukumiwe kwa vitendo walivyovifanya, nyimbo na kudemka haitosaidia kitu.
@aishaharuni2937
@aishaharuni2937 3 года назад
From Kenya ni nn mbaya
@kiri5807
@kiri5807 3 года назад
Hayo km ACT haimo ktk serekali unafikiri yangefanyika? Askari wangepiga watu hapo .
@safiyasaid1291
@safiyasaid1291 3 года назад
Wallah umenena ....hta siku moja yasinhefanyika
@nassorrashid2857
@nassorrashid2857 3 года назад
Sasa hivi tunaweza kufanya tutakavyo
@linmixtv
@linmixtv 3 года назад
Sherehe hii yengependeza tungepata madaraka lakini ccm watu washamaliza kazi yao bardi saiv watawacha mufanye mtakavo saiv
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 3 года назад
Fact bab hakika
@asayubeejr1199
@asayubeejr1199 3 года назад
@@linmixtv waaaallah katika mtu ulio ongea ukweli ww mmoja wake yani hawa wanakuwa watu wazuri ila majini karibu na uchaguzi wanakuwa wafanyama kasoro mkia asa
@safiyasaid1291
@safiyasaid1291 3 года назад
Wale walomtesa Jussa Allah atawaongoa....jemedari kaingia leo tunampokea.....💃💃💃💃💃💃💃
@salmaseif1070
@salmaseif1070 3 года назад
Waliyomtendea vbaya jusaa hawana usoooo .... Looolll mungu awalaaani wotee
@hudaasaalim1333
@hudaasaalim1333 3 года назад
Allah akuvuwe na kila hasada 🤲
@shixeoshxs7276
@shixeoshxs7276 3 года назад
Mungu akufanyie wepesi wa afya na siha jusa hadi nalia kwa uchungu mungu aendelee kutupa subra
@mamymamy7938
@mamymamy7938 3 года назад
Mashaalla kiongoz wetu
@andersonnyahove2867
@andersonnyahove2867 3 года назад
For real, Jussa is the coming Maalim Seif Shariff Hamad, note and underline my words.
@adilhabibu7958
@adilhabibu7958 3 года назад
In shaa allah mwenyezimungu akufanyie wepes jussa
@rashidrashid1105
@rashidrashid1105 3 года назад
Dah Allah akujaalie uzima urudi ktk majukumu yko na hao walowatuma na walfanya Allah awahukumu hapahapa duniani sote tuwaone na Akhera awafyeke Jahannam wakae milele. Aamin
@alimpatani6296
@alimpatani6296 3 года назад
Hii ni zaidi ya mapenzi ama kweli wazanzibar tuna mahaba duuu mungu azidi kuimarisha afya yako mh jussa
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 года назад
Mna mapenzi au mmeshikwa na ibilisi?
@sameramwajdu9029
@sameramwajdu9029 3 года назад
@@jumakapilima5674 upendavo tafsir yaliyoyafika watu simadogo kama nww ungelijuwa kuwa niubilisi au nimapenzi
@badranassor3303
@badranassor3303 3 года назад
@@jumakapilima5674 Iblis mkubwa ni wewe. Usiopenda kuwaona wazanzibar wanapendana. Hasid mkubwa wewe
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 3 года назад
@@jumakapilima5674 ww itakuwa ni mchawi wewe si bure, hasidi mkubwa
@vikitu4793
@vikitu4793 3 года назад
@@badranassor3303 Kupendana huku mnatiana fitna na chuki kila kukicha?
@AbdulSaid-bn2gi
@AbdulSaid-bn2gi 18 дней назад
Mashallah ❤❤ kiongozi wetu Kwa kurejea nchini
@rastafare878
@rastafare878 3 года назад
Huu ndio utamaduni wa Zanzibar , I love this, dufu zuri sana
@ruthkimaro6137
@ruthkimaro6137 3 года назад
Karibu nyumbani Jussa.Mwenyezi Mungu akujaalie upone haraka insha Allah
@maumpemba1088
@maumpemba1088 3 года назад
Pole sana kiongozi, Mwenyezi Mungu ndie hakimu kuliko mahakimu wote
@abdulihalfani9133
@abdulihalfani9133 3 года назад
+255777290221 by duli mpemba
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 года назад
Tunakupenda baba ishalla Mungu akupe maisha marefu yenyeher na baraka
@mgeniali941
@mgeniali941 3 года назад
Mungu atujalie naupendo uwo uwo act oyee ishaallah allah atafanya wepes
@munasuleyman3159
@munasuleyman3159 3 года назад
Allah Akuvue hili na jengine ndugu yetu shujaa wetu
@salmasalim6055
@salmasalim6055 3 года назад
Mashallah mashallah nawapenda sana
@skeneali6125
@skeneali6125 3 года назад
Mashaa allah allah akuvue hili na jengine in shaa allah utapona vizur allahumma amin allah akulindeni kwa kila shari na baalaa
@alirashid1727
@alirashid1727 3 года назад
Ammin
@shaharaltaiwan4645
@shaharaltaiwan4645 3 года назад
Aamin
@ummysaid8273
@ummysaid8273 3 года назад
Allah azidi kukulinda na maaduwi, Allah ndiye hakimu wa haki
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 года назад
Shukuran njema zmfkiye Allaha Kwa kuturejesheya jusa wetu akiwa hai na salama ishalla kwauwezo wake Allah atakurejesheya afwa njema nakila alokuzulumu ishalla Mungu amuangamize
@selwanmohmmed8792
@selwanmohmmed8792 3 года назад
Tunamuomba Allah akuponyeshe kwa haraka kwa uwezo wake bdo tunakuhtaji ktk harakat zakuijenga zanzbar yetu
@adamabui6121
@adamabui6121 3 года назад
Pole Allah atajalia haki ya wazanzibar itarudi kwa nguvu za Allah inshaallah wamekuuumiza wewe ni mpambanaji
@harounaakhiy4700
@harounaakhiy4700 3 года назад
Allah amjalie uzma jemedari wetu apowe inshaallah
@1carbon676
@1carbon676 3 года назад
Umeniza sana lakini tumwachie Allah yeye ndo kila kitu Allah atakusimiya na atakupa uzima wako wewe nakila alohasirika yaraab
@mussamahmoud2376
@mussamahmoud2376 3 года назад
Polesananusa Allah jibri (A.S) amesema kumwambia Mtume (SAW) wemahauozi nazambi haisahauliki na Allah hafi ukishajuaivo fanyautakavo Kama ulivolima ndivo utakavovuna nakwavovotevile utavowafanyiawatu naww utalipwa kwakitendoicho polesanajusa Allah atubariki sote waislaam nawaumini.
@rahmabilali541
@rahmabilali541 3 года назад
Mashaallah Allah azidi kumpa shifaa na kila mweny marz Allah amponye na alotangulia amps kauli thbt walobaki awape mwisho mwema
@hajikombo8578
@hajikombo8578 3 года назад
Hongereni waislamu muliomo katika vyombo vya dola kwa kutufanyia unyama mkubwa mungu atawalaani hapa duniani na kesho akhera😢😢😢😢🤲🤲🤲🤲🤲
@khajumkhamis7910
@khajumkhamis7910 3 года назад
Hii kasida ina ujumbe mzito kabisa Ila ALLAH ndie hakimu wa mahakimu wote .. Na kwake ndio marejeo
@nailamohd7693
@nailamohd7693 3 года назад
Kweli kabisa mwerevu ndie atakae elewa.
@fatmamasoud5395
@fatmamasoud5395 3 года назад
@@nailamohd7693 Allwa akupe subra pamoja na wale walotendewa na mtendaji basi ajue kwamba kuna mungu ajue kesho Yake
@fatmamasoud5395
@fatmamasoud5395 3 года назад
Jusa pole sana
@adilhabibu7958
@adilhabibu7958 3 года назад
Jussa in shaa allh kila la kher mwenyezmungu atatupa kher wallah dah hatar sana
@MAPETEE
@MAPETEE 3 года назад
Pole sanaa kipenz chetu Kila Alie husika kuku piga ww Allah Ata hukumu
@laylamohamed5015
@laylamohamed5015 3 года назад
In sha allah
@salehmadawa7035
@salehmadawa7035 3 года назад
Inasisimuwa na inasikitisha kusikia , mungu akujalie upone haraka amin, hakika jussa kutokwa na machozi inatia majonzi sana
@sharifabdul6085
@sharifabdul6085 3 года назад
Yaani siku nimeskia huyu mtu ameumizwa nilihuzunika sana,lakini ninachomkubali ni mtu mwenye moyo wa kishujaa,na ameonesha uzalendo,tuko pamoja mh jussa na Allah yupo nasi
@aliymsellem1462
@aliymsellem1462 3 года назад
WALIYOYAFANYA HAYA WATALIPWA HAPA HAPA DUNIANI IN SHAA ALLAH MAZALIMU HAWA
@duniaileile5522
@duniaileile5522 3 года назад
Allah awalaani waliompiga na waliokuwa sababu ya hilo 😰😰😰 Allah akupe sihha na afya na subra jemedari wetu
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 года назад
Mungu akuvuwe hili na jengine. Na awalipe hao waloyafanya hayo... Mungu IBARIKI Zanzibar na watu wake. Amin
@aliyasaa7972
@aliyasaa7972 3 года назад
Asante kiongozi wetu mungu akupe umri mrefu lnshaallh lla hatuwez kusahauu yalio tutokea lkn lnshaallh mungu yupo na atatulipia kw dhulluma llio tokea lnshaallh
@mashaallahshehkhafidhmunga1764
@mashaallahshehkhafidhmunga1764 3 года назад
Masha Allah jusa ata kama wamekufanyia mabaya lakn sis bado tunakupend
@duniaileile5522
@duniaileile5522 3 года назад
Jazaa ya Muovu ni hapa hapa duniani kwanza Allah atamlipia jussa kwa unyama aliofanyiwa na Allah atamlipa kwa subra yake na atawashinda Madhalim inshaallah
@shersaid7988
@shersaid7988 3 года назад
Allah atakuhifadhi na atawalaani walokupiga
@al-mamarial-mamari5457
@al-mamarial-mamari5457 3 года назад
الحمد لله على السلامه. الله يعطيك الف عافيه
@abdulihafidhali5379
@abdulihafidhali5379 3 года назад
Allah amjalie apone na wale wote walioumia wapone pamoja na majeruhi wote na waliotangulia mbele ya haki Allah awajalie jannat firdausi na sisi tulio kuwa hai Allah tujalie mwisho mwema Isha Allah
@alirashid1727
@alirashid1727 3 года назад
Ammin ammin
@abdulihafidhali5379
@abdulihafidhali5379 3 года назад
@@alirashid1727 Insha Allah
@hajimwahu1421
@hajimwahu1421 3 года назад
Kwanini msiheshimu Dua wengine mnafanya mambo mengine tu
@suleiman_002
@suleiman_002 3 года назад
Allah atakujaalia uzima inshallah🙏🏾
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 года назад
Maa shaa Allah 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@adilhabibu7958
@adilhabibu7958 3 года назад
Machoz yetu kwako hayato mwagika bure mwenyezimungu atayalipa kwa kher
@arafahassan5257
@arafahassan5257 3 года назад
Wallah mn najikuta nalia kwa uchungu
@sabraabdilnasir8826
@sabraabdilnasir8826 3 года назад
Masikini aliniliza jussa allah akujaaliye umri mrefu akupe na afya na allah ndio hakeem wa yote alhamdulilah
@mariamfaki1166
@mariamfaki1166 3 года назад
Mash allah upendo wenu ni hali ya juu I like it
@britishadam1896
@britishadam1896 3 года назад
Allah akujalie afya nzur kiongoz wetu jussa
@munamohd963
@munamohd963 3 года назад
Alhamdulilah. Mungu atakuafu inshaalwah
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 3 года назад
Daaa! Allah akulinde kiogozi
@badriaahmed4373
@badriaahmed4373 3 года назад
MashaaAllah tunafurah kubwa sanaaa wallah
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 года назад
Welcome back Mr. Jussa.
@rastafare878
@rastafare878 3 года назад
Zanzibar tuwe Na akili tunawapigisha wazanzibari wenzetu kutoka Kwa watu wengine kisa ni kudai haki , iko siku yatakwisha In'shaa'Allah
@tuterlakapo2016
@tuterlakapo2016 3 года назад
'Bismil'Lahimaashallah Mola akuzidishieni imani na ehsani ya upendo wahesiya za nyoyo thabit juu ya ubinadam wenu..na mshikamano wa kuaniyana..amin, na hilo c jmbogeni kwetu.. kwani ndivo khasa ilivo khulka ya Zenjybabar tangu..azal tukiyaona juu ya wazee wetu washao tangulia mbele ya haki.. M/Mungu awarehm amin. Ishaallah tunamuombea Mola amzidishie afyayake Mh Jussa na amzidishie imani ya subira ktk yalio mfika na yaliotokea tukijuwa kuwa yote hayo ni maandiko ya Muumba, lililobakia na la mhimu zaidi ni mshikamano wa kulijenga Taifa jipya palipo na matumaini ya kusonga mbele na kusahau na kuyazika kbs!! Yote yaliopita na kwa uwezo wke..Allah atajalia yale yote yanayo tgmewa na kwa manufaa ya wote..Yaa Rabby tufungulie kheri ktk Kisiwa chetu, na wape nguvu na busara za uwongozi wao uwe ktk mikono yako..juu ya sheriya na uadilifu..amin'
@kingmagufuliforever3144
@kingmagufuliforever3144 3 года назад
Sasa umekua kilema kwa kuendekeza siasa umepata faida gani zaidi ya hasara pole Sana jussa this is the lesson
@mohamedmussa6170
@mohamedmussa6170 3 года назад
tunamapenzi na viongozi wetu ALLAH atakujaaliautapona
@adilhabibu7958
@adilhabibu7958 3 года назад
Maa shaaa allah
@topaviator
@topaviator 3 года назад
Pole sana
@hibaalfarsi7756
@hibaalfarsi7756 3 года назад
Allah atakuafu kwa rehma zake
@aliymsellem1462
@aliymsellem1462 3 года назад
ALHAMDULILLAH KWA KURUDI UKIWA UPO MZIMA WA AFYA ALLAH S W ATAZIDI KUKUPONYA IN SHAA ALLAH BIIDHINI LAAH
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 3 года назад
Hakika nimeumia sana ndani ya moyo wng na nimelia vibaya mno ila ipo siku yatakwisha na haki ITASIMAMA kwa wazanzibar in sha Allah kwa uwezo wa Allah
@balqisabdullah6200
@balqisabdullah6200 3 года назад
😭😭😭😭 speedy recovery in sha allah.Na Waliotenda hilo allah atawalipa malipo wanayostahiki.kwani malipo ya allah ni bora zaid.
@bakarikhatib6777
@bakarikhatib6777 3 года назад
Mwenyezi mungu akupe nguvu zaidi kiongozi wetu
@allymrisho2775
@allymrisho2775 3 года назад
Allah awanusuru kwa hili na jengine inshaAllah
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 года назад
Alhamdulillah
@didapk2529
@didapk2529 3 года назад
Yaani MashaAllah MashaAllah munainda
@allydaruweshi5983
@allydaruweshi5983 3 года назад
Allah amfanyie wepes inshaallah
@hassanturky7511
@hassanturky7511 3 года назад
Hio kumswalia mtume huku vigelegele,na kucheza. Ni kufru na sio neema.
@sabrasuleiman9624
@sabrasuleiman9624 3 года назад
Kuna aliekata kiuno hapo? Kwaio mtu asitikisike acha chuki ww
@theophilwilliam6906
@theophilwilliam6906 3 года назад
Madhila na makovu ya uchaguzi hayo! Mwenyezi Mungu atutie nguvu na wote walioathiriwa awape wepesi ktk yote wanayopitia.INSHAALLAH..!
@aminahhamed747
@aminahhamed747 3 года назад
Alhamdulillah alaaa kulli hali mungu mkubwa utapoa baba etu uendelee na majukumu yko
@omarynassor6313
@omarynassor6313 3 года назад
Sasa nikipi kinachosherehekewa kushangaza sana
@biaysha8553
@biaysha8553 3 года назад
MashaAllah tabaraka Allah
@samsungj7pro64gb5
@samsungj7pro64gb5 3 года назад
Pole sana Allah atadhidi kukuponya
@bjzee1981
@bjzee1981 3 года назад
Ndio Nani sasa. Wa zenji kwa midundo nao. Chapeni kazi ndugu acheni kunengua viuno
@faridaali6850
@faridaali6850 3 года назад
ALLAH azidi kukupa afya Amiin
@aminially4456
@aminially4456 3 года назад
Allah akupe nguvu ishaaa allah
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 3 года назад
Kwanza tukubali kwamba tuliposusia uchaguzi wa Marudio 2016 ndipo zilipoanza hujuma za kututeswa, kudhulumiwa na kuuliwa. Tazameni kumbukumbu za Wazanzibari walioteswa, waliodhulumiwa, na waliouliwa tokea 2016-2019, na mwaka huu ndio yalizidi kasi kwa hali ya juu. Sasa je tungelikuwa hatujasusia Uchaguzi wa marudio 2016 yangelitupata hayo!? Je, 2016-2020 tungelikuwa ndani ya SUK yangelitufika hayo!?
@othmankhamismaalim7461
@othmankhamismaalim7461 3 года назад
Sijeng picha siku wakitolew mashekh wetu
@kitangaramadhan5145
@kitangaramadhan5145 3 года назад
Allah akuhifadhi kaka jussa nimeifungua hii link wallahi mwili Wangu wote umesisimka ni faraja kubwa sana japo umekumbwa na mtihani Allah akudumishe ktk ibada inshallah kiukweli mapokezi kama hayo uwapata wafanya ibada wachache mno angalia waumwa lakini utafikiri umetoka kufunga ndoa "Mashallah" Nawatakia kila lakheri wote walioguswa na tatizo lako
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 3 года назад
Allah azidi kumpa shifaa jussa yarrab
@mdungially2342
@mdungially2342 3 года назад
Huyu mwanamke walikua wampe japo kofia ile ya like ajistir
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 3 года назад
Uslazmishe kila mtu afuate utamadun wako choko wewe
@mdungially2342
@mdungially2342 3 года назад
@@ladislausngoyinde4384 ww mpumbav unajua maana ya kulazmisha na ushaur lkn au ilimrad na ww useme tu
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 3 года назад
@@mdungially2342 kwani amekwambia anataka ushaur? Kamshaur mke wako shenzi wewe
@mdungially2342
@mdungially2342 3 года назад
@@ladislausngoyinde4384 acha upumbav ww mjinga kua muungwana bc au hujui uustarabu unakuaje pleas jiheshim
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 3 года назад
@@mdungially2342 haya bana
@kiri5807
@kiri5807 3 года назад
Mh Jussa umeondoka juzi tu unatamani vyakula vya kwenu hivyo jee siye tulokimbia kwetu tangu 1995?
@ashaproudofyoubabahaji8523
@ashaproudofyoubabahaji8523 3 года назад
Umeonaaa chakula.cha kwetu peke yake
@ahmedabry3508
@ahmedabry3508 3 года назад
Dah kweli tunapamis kwetu sana
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 3 года назад
Ulikimbia Kwa hashuo lako boyaa
@kiri5807
@kiri5807 3 года назад
@@salumjumaruhaga2513 Salmini ndio alinikimbiza . Lakini nashukuru ukupigao ndio ukufunzao , kuna wengi wanatamani wawe km mimi , hata wewe ukiwa 1 .
@suleimansalym7537
@suleimansalym7537 3 года назад
@@kiri5807 Usigombane nao wasiokujua maana ndo hawajui chochote kuhusu mtu hakujui lkn anatoa domo lake kukuhukumu bila kujua sababu ya wewe kuondoka
@annapeter4994
@annapeter4994 3 года назад
Serekali hii jamani watu wameumizwa wameuawa... Wamepotezwa.. Mola msamehe ndugu mdhalimu huyu😭😭
@vikitu4793
@vikitu4793 3 года назад
Ukilaumu mjambaji, usimsahau mpika mbaazi
Далее
Always Help the Needy
00:28
Просмотров 7 млн
无意间发现了老公的小金库 #一键入戏
00:20
Jussa azuru kaburi la Marehemu Maalim Seif
37:57
Просмотров 21 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [60]
23:51
Просмотров 90 тыс.
ZIARA YA MAALIM SEIF MICHEWENI KISIWANI PEMBA
2:35:59
Просмотров 29 тыс.