Тёмный

Justin Bieber ampiku Rihanna,alipwa Bilioni 27 kutumbuiza kwenye sherehe ya mtoto wa tajiri Mukeshi 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 36   
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 3 месяца назад
Huyu jamaa atakuwa ametenga billion elfu moja za kitanzania kwa ajili tu ya harusi ya mtoto wake!! Ingekuwa bongo hapa watu wangeanza kumpangia matumizi ya pesa yake.. Utasikia oooh si bora angesaidia masikini!!
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 3 месяца назад
Utazani mtu huwa anahangaika kutafuta pesa kwa ajili ya kutoa tu msaada sio kwa ajili ya matumizi yake khaa walimwengu ni watu hatari sana
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 3 месяца назад
@@yusternyirenda7231 sure aisee... Hiyo misemo huwa inakwaza Sana pindi mtu anapotumia jacho lake kunifurahisha mwenyewe.... Msanii wa bongo akimwagia watu hela kwa club.. Dah hayo majungu yake si mchezo
@LouisaFidelis69
@LouisaFidelis69 3 месяца назад
wahindi wengi ni beliebers/mashabiki wa Bieber kuanzia mwanzo hivyo Justin ndiye anayesikilizwa zaidi kuliko wote India
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi 3 месяца назад
Yn utajili wa diamond mtu analipwa usku mmoja nyie 😢😢
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 3 месяца назад
Sio usiku mmoja, ni dakika kadhaa tu hata lisaa halifiki
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 3 месяца назад
Sasa jiulize huyo anaye mlipa yeye anazo kiasi gani
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 3 месяца назад
Kwa nn reference iwe diamond??? Mbona bongo hapa kuna watu wana pesa mbaya kabisa huwa wako kimya tu.. Mwacheni msanii wetu tajiri afanye Maisha kwa uwezo wake...
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 3 месяца назад
Anautajir huo khaa
@Onge-shabani1994
@Onge-shabani1994 3 месяца назад
Wewe uho ndo utajiri wa Diamond?
@luisojr3480
@luisojr3480 3 месяца назад
Daaaa kwa hiyo harusi bado sa siku ya harusi yenyew itakuajee
@JUSTNEMITOMINGI
@JUSTNEMITOMINGI 3 месяца назад
Wajina piga hela hao
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk 3 месяца назад
Sns je rayvanny alilipwa kiasi gani cha fedhaaaaaa nae mlisema alipafomuuuu huko huko na rihaana asije akawa amelipwa mabilioniiiii akaja akatununuaaaaaa watanzaniaaaaa wote akasema tuondoke
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk 3 месяца назад
Hiyo milioni 10 US dollar aliyolipwa Justin Bieber kwa marekani ndogo sana atanunua nyumba ya kawaida na magari nyumba ya p.didy tu anauza US dollar 70 milioni
@AhmedAslam-ip8mu
@AhmedAslam-ip8mu 2 месяца назад
😂disgusting km hela ndogo asingekubl
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 3 месяца назад
Halafu baada ya siku chache zikazo utasikia wameachana .
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 3 месяца назад
Hata diamond Hana utajiri huo alielipwa Huyo dogo hiyo ni Pesa nyingi sana
@ZawadiRobati
@ZawadiRobati 3 месяца назад
Sarut
@weahfeint3406
@weahfeint3406 3 месяца назад
Maskin wakina justin Bieber wawatu wanafata ridhiki!.
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 3 месяца назад
Wasoma nyota tuna sema herufi j ni moto kuliko R
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 3 месяца назад
Wanaosomaga nyota wengi Hali zao kiuchimi ziko chini Sasa sijui inawafaidishaga nini?
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 3 месяца назад
Nikwel kaka herufi j ni mashalah...
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 3 месяца назад
Ila ni istirafu ..SEMA pesa ni sabuni ya roho na pesa inakufanya mtu ukufuru wakati mwingine...alikuwa Hana sababu yakufanya istirafu yote hiyo hali ya kuwa Kuna watu wanauhitaji wakimaisha ...watu hawana hata mitaji lakin pesa zinatumika ovyo..Kwa riha Yan sifa..kulikuwa hakuna haja ya kutumia mipesa yote hiyo ..wakati wengine wanauhitaji Zaid.kwamaon yang lakin...kwamana alishafanya shughuli ilikuwa Haina haja tena yakutumia mapesa kibaaaaao wakati alishafanya shughuli
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 3 месяца назад
@@jamilaathumani5481 nikweli
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq 3 месяца назад
Ala wapo wahindi wanalala nje kwa kukosa malazi
@AhmedAslam-ip8mu
@AhmedAslam-ip8mu 2 месяца назад
kwni marekani hmn walala nje?😂
@tomsijohni
@tomsijohni 3 месяца назад
alafu kumbuka Rihanna ni mutu mweusi awezi kulipwa pesa sawa na mutu weupe
@faucynkrctian6607
@faucynkrctian6607 3 месяца назад
Akili finyu Hiyo n biashara na biashara ni maelewano haihusiani na maswala ya weusi au weupe Na kama ulikuwa hujui rihanna anapesa zaidi ya mara nne ya justin
@tomsijohni
@tomsijohni 3 месяца назад
@@faucynkrctian6607 akili finyu ni wewe kwa matusi alafu ujielewi wewe mwenyewe ujatembea ndiomaa
@noelmunuo4660
@noelmunuo4660 3 месяца назад
​@@faucynkrctian6607huyo kweli anaakili finyu Mayweather ni mweusi na alikuwa analipwa pesa ndefu kuliko mwanamichezo yoyote yule duniani, Tiger woods pia ni mweusi na aliongoza list, jay z kaongoza rapper anaelipwa duniani, Beyonce aliongoza kwenye wasanii wa kike kulipwa pesa ndefu kuliko kina Celine Dion, Madonna
@faucynkrctian6607
@faucynkrctian6607 3 месяца назад
@@tomsijohni sija kitukana nimekufungua akili kwamba weusi na weupe sio sababu ya mmoja kulipwa pesa nyingi na mwingine kulipwa pesa ndogo kwani hiyo ni biashara na biashara kama hakuna makubaliano then you are free to walk away
@faucynkrctian6607
@faucynkrctian6607 3 месяца назад
@@tomsijohni hii ni karne ya 21 mjomba hata watu weusi wanaweza shika pesa na kuwa katika ngazi kubwa za uongozi(obama) maswala ya weusi na weupe ni kwa watu wenye akili ndogo na mindset za kimasikini
Далее
HAKUNA NDOA
11:49
Просмотров 353 тыс.