Juma Jux na Ex wake Vanessa Mdee kwa mara nyingine tena wameacha maswali mengi, kama ni kweli bado wametengana baada ya kuperform pamoja kwa hisia kali jukwaa la Tigo Fiesta Classic Mbeya
15 сен 2024