Interview yote ni vanessa ata ukijaribu kumtoa anarudi tyuu 😂😂😂😂get back together guys. Ati he is waiting for her to move on 😝😝😝😝.wishing you guys all the best 😄😄
Yaani jux anaimbaga nyimbo kwa hisia daaaa yaani kibongo bongo sijaona kama wewe wengine wanapayuka tu na kuruka ruka na bado natafakari nikufananishe na msanii gani wa mbele bado sipati jibu aseee nakupenda kufaaaa
m! u were a great couple thats why ua protecting each other up to now we cant comment any more about u cs u only know whats in your hearts mm! mh u makes me happy by protecting ua secrets i like that so more
I love the music industry so entertaining but Love exposure can not be taken serious with propagandist despite Jux and Vanessa ,We are all fooling ourselves JUX and Vanessa wana siri zao ampapo ata kama mtu yeyote anae jua mapenzi ,hatuwezi kuwa tenganisha ...Tuache umbeya Jamani msiharibu maisha ya wasani tuwape uhuru katika mambo yao... Ndiyo maana sipendi camera ... napenda ukweli ....JUX and Vanessa u really r too good a couple to be separted ...Love all u songs my duo couple artists J and V---- your fun and friend Alex
mhhh, Jux umepata mtu, kwa akili yangu ya kiutu uzima, si rahisi kukubali kuachana na Vanessa hata kama alisema kuwa akiachana na mtu awezi kumrudia, uko unakosoma utapata mpenzi mzuri.
Yni jux nimekupenda bure ni kweli kabisa yni km mimi pia sipendi nimtumie sms mpnz wangu then aipotezee wanawake tuko hivyo tunapenda sana kujaliwa vitu mnavyo viona ni vidogo kwetu ni vikubwa.
Ni kweli vitu vdg chanzo cha tatizo kwa watu wengi na watu wengi wanadharau vitu vdg, poleni sana mnaweza kurudiana kwa vile mmejua udhaifu wenu kila mmoja
Duh hii couple ilikuwa yakweli ila na nyie wakaka mjifunze msiwe mnachukulia poa baadhi ya vitu hata kama ni vidogo as wadada wakipenda hupenda hasa hata kwa hivo vidogo mkishindwa kuvifanya wanahis hawapendwi kifuatacho ni kuondoka tu😳😳😳
jux naomba utafute kwa njia yoyote ile.......huyo ndye mwanamke wako wa milele sisi tunaona bana.........bado kuna nafasi hayo ni maneno tuu jux fight for her men