Тёмный

Kagoma akiri kusaini Yanga,Aanika chanzo cha kuwaacha na kuichezea Simba,Semaji lawatolea uvivu. 

Zoomer Online Tv
Подписаться 46 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

#simba #yanga #michezo #kagoma #ahmedally

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 5   
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 7 дней назад
Msitwambie Kagoma kasema halafu mnasema nyinyi mnamsemea Kagoma media gani hii ya kipuuzi kabisa komeni na uongo wenu umechupa mipaka.
@HawaMkomwele
@HawaMkomwele 7 дней назад
Kagoma amegoma kuomba msamaha na kagoma kucheza yanga Ally mjukuu wangu weka akiba ya maneno wewe asiyekupenda achana nae
@shijamatheus
@shijamatheus 7 дней назад
Awaache maneno wanabwabwajasana
@BorySaronge
@BorySaronge 7 дней назад
Huyu Ally kamwe nafikiri hajawai kuona ni kwa namna gani hata posa inavyorudishwa ilikotoka baada ya mposwa kuikataa posa iliyotolewa na ndio maana hata binti huulizwa kama posa inaweza kupokelewa au la.Allykamwe anatakiwa afanye kazi yake kuihamasisha yanga kwa mechi zake aachane na habari kagoma anapoteza muda na kilichobaki ni kuwadanganya wanayanga kwa kitu ambacho hakina maslahi yoyote maana utotoalionao utamshushia hadhi yake kwa wana yanga.
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 6 дней назад
Kaka Saronge Huyu Ally Kamwe anatumwa na wakubwa kuendeleza kiberiti muache atakula matapishi yake na mabwana zake wanaomtuma. Unajua Hwa wasemaji hawasemi ila wametumwa akisema asichoambiwa utaona kabisa kwamba hapa karopoka hata club yake utaona inapingana na alichoseama. Muache yeye na wanaomtuma yatawatokea puani.
Далее
Real respect sig
00:48
Просмотров 1,6 млн