Тёмный

KAJALA AFUNGUKA NDOA YA PAULA NA MARIOO/PICHA ZAKE ZA BIRTHDAY/SIJALI MKINISEMA/UBALOZI WA VITAMBAA 

Carrymastory
Подписаться 465 тыс.
Просмотров 37 тыс.
50% 1

Tumepiga Story na Kajala

Развлечения

Опубликовано:

 

22 июл 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 61   
@user-zx5uq1vb2g
@user-zx5uq1vb2g Год назад
Kajala Nampenda Tuh Na Sijui Mbona Watu Wanamchukia Bila Sababu Olee Wenu Watuachia Kajala Wetu
@VenerandaHerry-os1br
@VenerandaHerry-os1br 11 месяцев назад
Nampenda ye na mwanae jmn🥰
@DaliusJulius-ry8uq
@DaliusJulius-ry8uq Год назад
Mm nampenda mno na uyo mtoto wake yan watu wakiwa wanawatukan nachukia😢
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Год назад
Huna Kaz wee
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 Год назад
Wanamchukia wakati yeye mwenyewe kajala hajui
@esthermkuchu-vm1yj
@esthermkuchu-vm1yj Год назад
Yani miaka40 ad leo ujaongeza mtoto mwingine
@ronacassm9516
@ronacassm9516 Год назад
Mungu akujaalie upate watoto ulee km yy
@tabiangonyani3526
@tabiangonyani3526 Год назад
Hata me nampenda sana wenye roho ngumu itawauma sana na sura zao ngumu kama roho zao
@hawaayussuf7768
@hawaayussuf7768 Год назад
Ukubwa una Nini.....😊 nampenda sanaaa uyu kajala na mwanae😊
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 Год назад
Huyu mtangazaji wa kike ana maswali mazuri sana.
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 Год назад
Mtangazaji wa kiume unazingua bro. Jifundishe kuuliza maswali, shule muhimu bro
@user-cm6ec7zz2w
@user-cm6ec7zz2w Год назад
Kajala me na mpenda sana❤❤❤
@KlthomTenz-jd1un
@KlthomTenz-jd1un 7 месяцев назад
Kajala mzuri pamoja na mtoto wake na mambo yake pia mazuri mwanamke kupambana safi kabsa namna hii
@marydamakatana-dq7it
@marydamakatana-dq7it Год назад
Nakupenda mama pau
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 Год назад
Ongela mama pau❤❤❤❤❤
@taitadollnicky273
@taitadollnicky273 Год назад
My favourite 😊
@user-yo3yy7fx1i
@user-yo3yy7fx1i Год назад
Nakuja pia vitambaaa modern quality❤🇰🇪
@aishakambenga6191
@aishakambenga6191 Год назад
Fanya ki2 Roho inapenda ❤
@waridimapunda1837
@waridimapunda1837 Год назад
😂😂😂😂fanya unachokipenda kajala
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 Год назад
Big up Kajala! You are indeed a Queen! Happiest birthday to you!🎉🎁
@OliverDavid-fd3kr
@OliverDavid-fd3kr Год назад
Wanakuonea wivu wewe mzuri kwanza uku kunawatu Wana miaka hamsini wa hovyo
@tabiangonyani3526
@tabiangonyani3526 Год назад
Haswa wivu wanao ndugu yangu kajala mzuri na mwanae
@gracemunthali7945
@gracemunthali7945 Год назад
Paula naye ni mtoto mdogo sana. Lakini Mungu atambariki sana na mjukuu wake. Achana na hao wanaosema. Enjoy your life.
@teresianjoroge2112
@teresianjoroge2112 Год назад
She's simple ❤
@neemapraigory8832
@neemapraigory8832 Год назад
Nawapenda sana
@mariamosaideabdo9953
@mariamosaideabdo9953 Год назад
Amo o sei jeitinho de ser 😘😘😘💕💕♥️🇲🇿
@user-gy3dv3tq8d
@user-gy3dv3tq8d Год назад
Sema mimi ninaishi kiutuuzima sana na hekima
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Год назад
40 HONGERA sana UMEUPIGA MWINGI mnooo bado unajitunza mnooo
@user-gy3dv3tq8d
@user-gy3dv3tq8d Год назад
Mungu wangu kumbe tupo Sawa duu makubwa
@rachelnabarikiwasanananyim784
@rachelnabarikiwasanananyim784 11 месяцев назад
Nampenda sana kajala jaman
@comm611
@comm611 11 месяцев назад
nawapenda familiya ya masanja
@user-ce9rx5fv7n
@user-ce9rx5fv7n Год назад
Ntaubeba🎉
@user-rv8wz1rx7s
@user-rv8wz1rx7s 11 месяцев назад
😢
@arbinuwamahoro7370
@arbinuwamahoro7370 Год назад
Huo ni ukosa dabu kajala mana wewe ni mam mweny mtoto mkubw
@user-zq4sg8wd1e
@user-zq4sg8wd1e 11 месяцев назад
Niambie ujanja
@saudashani5981
@saudashani5981 Год назад
Live mbayaaa
@mwatumsaidi5104
@mwatumsaidi5104 Год назад
Lengo la pc ni kujiuza
@estherminnahboaz6956
@estherminnahboaz6956 Год назад
Kubwa jinga😂😂😂
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 Год назад
I'm prepared to sleep
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Год назад
Umepunguza minne....una miaka 44 kajala, Toka enzi hizo
@marthastephen6600
@marthastephen6600 Год назад
Mbona Lulu kaanza kuonekana mda mrefu lakin so mkubwa so kuonekana kwa mtu mda mrefu haimaanishi ndo mkubwa
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Год назад
@@marthastephen6600 ...kajala konkodi..!
@aishambagi7371
@aishambagi7371 Год назад
Anatangaza biashara za ngozi
@ashaali2853
@ashaali2853 11 месяцев назад
Kumbe ni mtu mzima hyu
@mercyshikoh3690
@mercyshikoh3690 Год назад
I love you mama pau
@JacklineNamundengozi
@JacklineNamundengozi Год назад
Good unfortunately this woman and her daughter are sex workers so they are not role models to envy there is nothing here 😂
@merinakassembe118
@merinakassembe118 Год назад
Muongo huyo. Anamiaka 43 huyo huyo ni mama
@user-tt6jt8pz5m
@user-tt6jt8pz5m Год назад
45 kajala mie mamaake mdgo
@gressjoseph5615
@gressjoseph5615 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂
@user-uo6bo3ph6g
@user-uo6bo3ph6g Год назад
😂😂😂😂😂😂
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 Год назад
Mmmmm muongo 46
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Год назад
Ndio ana 46 yy na zari sawa sawa
@zakhiamsuya4922
@zakhiamsuya4922 Год назад
Kuanzia tarehe 21 july n nyota ya kaa nyota ya simba n waliozaliwa mwenz wa sita mpka wa saba tarehe 20
@giftj4606
@giftj4606 Год назад
Na kikubwa zaidi jna lake linaanzia f nyota ya mshuke tumelishwa matango boli😂
@aggiemarley5742
@aggiemarley5742 Год назад
😳😳😳😳
@aisharajimbo6784
@aisharajimbo6784 Год назад
Wajuaje km ukaamua tuu kujifanya hiii mwezi bt kazaliwa hio hio june
@skeeteranderson375
@skeeteranderson375 Год назад
Kajala wa dday ni mdada wa hapa ni mbibi duuh kwn usipokaa uchi u ďont look sex? Mama anafanya je mtoto na ndio hivyo anafata nyao za mamake
@MariumAlly-ii4mh
@MariumAlly-ii4mh Год назад
HIV unaitwa bibi nan
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 Год назад
Mtangazaji una maswali ya kijinga
Далее
Разбудили Любимой Песней 😂
00:14
지민 (Jimin) 'Who' Official MV
03:28
Просмотров 13 млн
CHURCHILL SHOW S1E2 2024
22:20
Просмотров 191 тыс.
Paula kajala Vs Kajala masanja nan mkali
8:28
Просмотров 72 тыс.
Must watch new special comedy wait for end 😆🤣
0:49
У Котика Отняли Игрушку 🥺
0:15