Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe play.google.com/store/apps/de...
Skyler woka noma Sana mzee Mungu akuzidishie Sana mwaka 2024 Na pia tunataka utuwekee na pisi Kali iwepo Hapo mezan itakunywa unyama mwingiiiiiiiiiii Sana brother
Wauuu Paula alikua hajapata mwanaume sahihi ss hv kampata katuliya mpk cm yke anampa mariyoo na mpk akitongozwa anasema kweli kapenda kaamua kutuliya alikua sio Malaya hajapata tu mwanaume sahihi ss kampata si huyo katuliya mlikua mnamsema mm mara nyingi nilikua namtetea Kwa Hilo ummeamini km sio Malaya paula
2024 inabidi maskini tuwapunguze kwa kila namna.Maskini wao wamewekeza kwenye ngono na mapenzi tu,na hata ukimwi wameletewa maskini ili wapungue.vile nikikaa nawa😅😅😅 maskini