Yaani when I play back this I prove my self that I'm a smart man enough to make mines happy and give peace of mind. Sheikh Abdul Razzaak Allah akujaalie umpatie mtoto huyu QUEEN ili umwin umzima mzima mpaka asahau kama kama kuna PESA HELA MONEY hapa duniani. You proved her wrong you did it and it's done.
Siku ukisema mapenzi kwanza kisha pesa ndipo utakapoolewa tofauti na hapo utachezewa kwa kutamanishwa pesa Kisha uachwe. Unanini wewe Mungu akupe vyote kwa ukubwa unaouhitaji? Pata pesa kidogo na Mapenzi uyapate sasa wewe au kama unachagua pesa tafuta pesa mapenzi achana nayo. Kisicho ridhiki hakiliki na Mwenyezi Mungu ndiye apangaye huwezi kujipangia wewe unachokitaka kisha kiende kama ulivyotarajia Bali utapata vile vyote unavyostahili.
Yes alot of women love those kinds of guys (the things he does kwa social media) that's why she saw a chance and took it to advertise her self , desperation too comes with her age
Ilo ndo tatizo lako Diva na ukisubili ilo utazeeka adi unatembelea mkokoja omba Mungu akupe Mume mwema bc pesa si lolote wapo wanaishi kwenye majumba ya kifahali wanatembea na michepuko bodaboda yote wanakosa vitu adimu itakayowafanya mioyo yao itulie
Wanawake Kama Hawa ndio wanaoichafua dunia kwa tamaa zao fikrah zao ndogo hawajui thaman yao tafta pesa yako usiangalie pesa ya watu na jifunze kuwa unajaali Hali yako