Тёмный

Kamati ya Maridhiano Six:Mhe Tundu Lissu April 16 2014 

Kamati Ya Maridhiano
Подписаться 8 тыс.
Просмотров 247 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 155   
@gabrielmalecela3701
@gabrielmalecela3701 5 лет назад
Ipo siku mungu atadhibitishaa ukuu wakoo ,uzalendo wakoo bingwa nyaturu mwenye unyaturu wakiharakati , wew ni shujaaa Wa taifa- wale madicteta uchwala wanakuogopA dingilAi, see you AgAin✌ get well sOon tundu
@nuruelymollel707
@nuruelymollel707 4 года назад
Wanaomuangalia lissu 2020 tujuane
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 4 года назад
Uhakika
@ktk-ke7mh
@ktk-ke7mh 3 месяца назад
2024 niko hapa
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 2 месяца назад
2024 hii😅
@husseinbakari8903
@husseinbakari8903 5 лет назад
Daaaah yani huyu Jamaa namkubali mpaka nalia duuuuh natamani nimrithi huyu jamaa
@isayaemanuelshalali8453
@isayaemanuelshalali8453 6 лет назад
Nimekuelewa vizur sana mheshimiwa. Mungu akubariki.
@barakamathayo5946
@barakamathayo5946 3 года назад
Tunaoangalia hotuba za mwamba Tundu Lissu 2020 tujuane kwa like hapa
@uriotv9989
@uriotv9989 6 лет назад
Lissu Mungu yu pamoja nawewe
@piallamushi6484
@piallamushi6484 5 лет назад
s ngumi
@husseinbakari8903
@husseinbakari8903 5 лет назад
Verry verry good miss sana hy jamaaa kichwa sana gombea uraisi kaka nyerere sio mungu
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt Месяц назад
Oooh allah wewe ni mjuzi wawa juzi hujua tusivyo vijua tujaalie amani mola wangu❤❤❤
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt Месяц назад
Ccm ni chama tawala
@mwinyimjaka4782
@mwinyimjaka4782 4 года назад
Tundu lisu unatisha uko vizuri Sana mungu akulinde na maduwi mungu AKIPENDA UTAKUWA RAHISI WETU
@mengishilogela9710
@mengishilogela9710 6 лет назад
Mh;tumekumic XANA bado tuko p1nawewe mungu akujalie afya njema !
@flavianwilliams2888
@flavianwilliams2888 2 года назад
Zitto ukimwangalia postures zake ni kwamba anamuelewa mno Tundu Lisu, man of steel Tundu Lisu
@edrickbyamaka4950
@edrickbyamaka4950 6 лет назад
Nimekumic sana nakuombea urud kwenye hali yako
@nyangwetv2204
@nyangwetv2204 6 лет назад
Edrick Byamaka daahhh, hadi napata uzuni
@davidkaguru9511
@davidkaguru9511 5 лет назад
Lissu the great
@chachamagoti2400
@chachamagoti2400 5 лет назад
Kweli Tz haiwezi endelea kama mtu wa aina hii anawindwa kuuliwa.
@zephaniapaul4437
@zephaniapaul4437 4 года назад
Uliongea poainti Sana kijana....kamwe hatuwezi kuendelea
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 5 лет назад
Huyu ni zaidi ya watu milioni mia
@williamkirway4620
@williamkirway4620 3 года назад
Maelezo ya lissu zinaonyesha umakini na ananukuu anafwatilia sana historia yenye uwazi,kuhusu muungano.watakukumbuka,kwanza katiba haionyeshi kuungana,mkataba haionyeshi hati ya muungano haipo,ipo siku tutaelewa.
@trilionea_online_TV
@trilionea_online_TV 6 лет назад
Kweli shangaa kabla hujashangiliwa, nikifatilia coment nyingi humu ndani zinampongeza lisu, nikiangalia coment za mwaka jana zinamtukana lisu,, shangaa kabla hujashangiliwa
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 5 лет назад
Je waliomtukana ni wale wale waliomsifia..??
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 4 года назад
Waliomtukana wengine wale majiwe wasiolewa kinachozungumzwa wanaompongeza humu wanaelewa nini anazungumza
@christinamsongole7877
@christinamsongole7877 6 лет назад
lissu ni rasimali ya Taifa kiujumla
@jacoblaizer8222
@jacoblaizer8222 4 года назад
Hakika ulikua mtu wa pekee hapo mjengoni... kura yangu October Ni kwako.
@mwinyimjaka4782
@mwinyimjaka4782 4 года назад
Anaye mlani lisu mbumbavu Sana na mungu alani
@AdamMayumbila
@AdamMayumbila 22 дня назад
Mi jaman kutoka moyon tundu lisu namuelewa sana yaan hyu ni mzalendo wa taifa hili
@simonfundi3609
@simonfundi3609 4 года назад
2020 president
@mohamedykabwanga1647
@mohamedykabwanga1647 2 месяца назад
Tunaomwangalia lisu 2024 tujuane
@trgphonegeorge3832
@trgphonegeorge3832 6 лет назад
Msomi ni msomi tu!!!!
@nabakitz83
@nabakitz83 8 лет назад
That is quite true!!!
@yohanapetro4937
@yohanapetro4937 4 года назад
Kwa halihiyo lazima ccm wakuchukie kwasababu Hawakuwezi kwahoja nikiwa namtoo nitamuita lisu lbda Anaweza kuwa km yy
@starniceofficial5492
@starniceofficial5492 4 года назад
😂😂kwel kabsa
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn Месяц назад
The genius one
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 11 месяцев назад
HUYU MWAMBA HAJAWAHI KUPOA❤❤❤❤❤❤❤❤
@saifalbarwani4993
@saifalbarwani4993 4 года назад
safari hii sijui watakuua na nini mzee baba
@feyzalyusuph14
@feyzalyusuph14 4 года назад
Ukweli sisi watanzania hatujamtendea haki Tundu Lissu...ilibidi abaki Bungeni mpaka 2025 halafu baada ya hapo tunampa Urais
@saifalbarwani4993
@saifalbarwani4993 4 года назад
yaani bunge la mwaka huu sijui litakuaje
@fredhilary7954
@fredhilary7954 4 дня назад
2024 his words are still valid
@uwezobenard5319
@uwezobenard5319 7 лет назад
Noma sana
@shizoshop2469
@shizoshop2469 Год назад
Huyu mwamba namuelewa sana namuona zitto katulia anasikilza madini ya mkulungwa lissu
@mwidausaid5701
@mwidausaid5701 5 лет назад
Watu km hawa ni hazina ya nchi tulitakiwa kuwaenz na kuwaheshim sio kuwapiga risasi huu ni ushetani aliofanyiwa Huyu jamaa
@tawfiqissa6123
@tawfiqissa6123 4 года назад
Kabisaaa upo saw sana t
@najmaharoub280
@najmaharoub280 3 года назад
Najiona kama napindukia kukupenda lissu mkombozi wa wa tanzania waambie wasio jijua
@MajiiIfande
@MajiiIfande 7 месяцев назад
Watu makini huwa hawapendwi na watawala
@inocentmarandu3323
@inocentmarandu3323 5 лет назад
Asante lissu kwaukweli
@zakaboy1305
@zakaboy1305 5 лет назад
we miss you lisu
@hemmyphilbert8725
@hemmyphilbert8725 6 лет назад
one of my role model,hon Tunu Lissu
@acreyseverian7129
@acreyseverian7129 6 лет назад
Saw Rais 2020
@maximemasinga9504
@maximemasinga9504 Год назад
Hicho kichwa Baba we ach t 2022
@issacallando6222
@issacallando6222 4 года назад
Kuna ukweli mwingi Sana huu
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 4 года назад
Afu jamaa anaongea watu wapo serious akuna anaecheka ndio ujue anaongea mambo ya msingi na siyo comedy kama wakina musiba
@polycarpmdemu3552
@polycarpmdemu3552 3 года назад
Unatuharakisha Admin
@donaldshadrack3186
@donaldshadrack3186 3 года назад
Yaani huyu jamaa, angefaa kupewa wizara katika awamu hii ya Tanao
@imranijuma6955
@imranijuma6955 2 года назад
Marehemu ALIVOKUWA na ubinafsi
@athuimansaid1369
@athuimansaid1369 3 года назад
Hichi kichwa nibalaaa
@richardmchelema6828
@richardmchelema6828 4 года назад
genius
@mackrankagenzi5236
@mackrankagenzi5236 Месяц назад
2024/08/02 Big up Hon: Tundu A. Lissu
@chachamagoti2400
@chachamagoti2400 5 лет назад
Huyu ndiye mzalendo wa Tz acha akina musiba.
@abdulmubason7542
@abdulmubason7542 9 лет назад
Lisu big up
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 4 года назад
Mshaona wapi magu anatoa madini kama haya wanaomponda wakapimwe malaria
@sombakombo2143
@sombakombo2143 4 года назад
Safii sanaa
@bsmonline8482
@bsmonline8482 4 дня назад
Hilo Jitu kwelikweli
@fungamtamafrancis3719
@fungamtamafrancis3719 9 лет назад
Lissu ni kisu.
@zungukazily1825
@zungukazily1825 6 лет назад
unasema ukweli kaka
@philipowyinjones9645
@philipowyinjones9645 4 года назад
Nice oneeeee
@allenjoseph8314
@allenjoseph8314 3 года назад
Ama kweli uraisi unakufaaa
@simonmagembe7140
@simonmagembe7140 6 лет назад
Rasilimali MTU ndo hii
@nzeyyunus5990
@nzeyyunus5990 6 лет назад
We Miss Youu Lissu
@denischacha9104
@denischacha9104 6 лет назад
Noma
@manihanzumbi7767
@manihanzumbi7767 3 года назад
Jaman kama huyu mwamba ni shujaa wa Dunia
@alihijiiddi8977
@alihijiiddi8977 3 года назад
WAMBIE WAMBIE VICHWA VIGUMU HAWA MADIKTETA WA CCM AU MCC WAPUMBAVU TU AKILI HAWANA KIKWETE KASOMESHWA ZNZ NA ANAITIYA ZN Z AIBU HERO TUNDULISU ANAWASOMESHA WAPUMBAVU WASIOTOSHEKA KUIBA MATRIONI YA ZANZNZIBARI 🇹🇿😇👹🇹🇿😇👹🇹🇿😇👹🇹🇿😇👹🇹🇿😇👹🇹🇿👹🇹🇿😇👹🇹🇿😇👹🇹🇿😇👹🇹🇿😂👹🇹🇿😇👹🇹🇿😂👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿😇👹🇹🇿😇👹🇹🇿😇👹🇹🇿😇👹🇹🇿😇👹🇹🇿👹🇹🇿😇👹🇹🇿😇👹🇹🇿😇👹🇹🇿😇👹🇹🇿😇👹🇹🇿😇👹
@maryjoseph7931
@maryjoseph7931 3 года назад
Ujuzi unapotumika kutetea upuuzi😇😇
@shaficabdalaziiz218
@shaficabdalaziiz218 Год назад
Makalio yanapotumika badala ya akili
@avitymendezy9891
@avitymendezy9891 Год назад
2023 gonga like
@bakarijuma3006
@bakarijuma3006 3 года назад
Mungu mjaali lissu
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 7 месяцев назад
👍👊✌️.
@philimonambilikile6645
@philimonambilikile6645 2 года назад
Tatizo lako unajaribu kuwafunua waliofunikwa kwa chupa tundu lisu wewe ni mtata sana pole kwa kuwa unajaribu kuwaweka sawa wanaoliwa
@athuimansaid1369
@athuimansaid1369 3 года назад
Huyu jamaa nishida
@MajiiIfande
@MajiiIfande 4 месяца назад
Siku zijazo tutakuelewa tukiwa tumechelewa sana
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd 3 месяца назад
Huyu mwamba anaitendea haki Elimu yake kweli
@nunikayuni867
@nunikayuni867 5 лет назад
Nimekwerewa kwamaneno
@saidhamza5318
@saidhamza5318 Год назад
Angekuwa mzalendo Kwa vitendo na si Kwa maneno angekuwa mtu sahihi wa kutuongoza .. lkn wapi 🤔
@DanielDaniel-jp3iw
@DanielDaniel-jp3iw 4 года назад
Naona Lowassa anasikiliza kwa makini,
@joshuakalimpic6302
@joshuakalimpic6302 4 года назад
We Agnes erasto unamkosoa Nn lisu Huyo ndiye rais wa sheria laiti angekuwaekuwemo humo Bungeni Asa hv wangenyoooka . Yaani anacho kiongea ni ukweli Mtupu Wala Hapana kupinga tundu lisu Mungu akujaaalie tu ya
@emanuelwakawenga4023
@emanuelwakawenga4023 Год назад
2022 mpo
@markkayuni9775
@markkayuni9775 6 лет назад
akuna kama lisu duh
@laummasi462
@laummasi462 5 лет назад
Mark Kayuni love it
@amaniasheri2120
@amaniasheri2120 6 лет назад
Moto wa kuotea mbali
@eliurumameshak3533
@eliurumameshak3533 7 лет назад
tunahitaji viongozi kama hawaa
@allyngatta9327
@allyngatta9327 9 лет назад
Viongozi kama hawa wanafaa
@joshuasamson4174
@joshuasamson4174 4 года назад
Mwendelezo jamani ili tumalizie ukweli wa story
@davidkaguru9511
@davidkaguru9511 5 лет назад
Hivi huyu MTU wanataka kumuua kwa sababu zipi?haswa wajibu maswali anayoyauliza
@Nyanda506
@Nyanda506 Год назад
Muuuhh huyu jamaa natamani arudi bungeni tena😅😅
@abilahimbinga3509
@abilahimbinga3509 5 лет назад
Lisu sio mnafiki kabisa. Ni muwazi Sana yaaani hata ccm wenywewe wanaona aibu ccm hawana ukweli. Ayo yote yapo hai na walioandika vitabu wamo umo ila hawatetei maandiko yao ya kweli Bali Ni matumbo yao aibu Sana.
@pascarmwatosya5855
@pascarmwatosya5855 4 года назад
Mmm nomaaA
@meshackelias7267
@meshackelias7267 5 лет назад
an assert
@nak3477
@nak3477 4 года назад
Mtetezi wa wanyonge
@simongodola4813
@simongodola4813 4 года назад
Akili kubwa
@josephrichard3967
@josephrichard3967 2 месяца назад
2024/06/19
@Wakaliwatown
@Wakaliwatown 23 дня назад
2024 10_K
@wisewise2482
@wisewise2482 4 года назад
Kaka ww ni kisanga cha ccm
@daudhenry8909
@daudhenry8909 4 года назад
Strong mp
@kishepokishepo4971
@kishepokishepo4971 6 месяцев назад
Wale wa 2024 tujuane tuliotoka tiktok
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 4 года назад
Shida mwenye akili akikaa katikati ya wajinga ataonekan yeye ndye...
@kfastak
@kfastak 6 лет назад
Dah . Lisu
@ngassalindani1852
@ngassalindani1852 4 года назад
kua uyaone na kuona ni kwa mimi. dhaaa basi yote maisha.
@robbiejerrson7437
@robbiejerrson7437 Год назад
Duuh, TL wewe ni kiboko. You know a lot. Hapa uliwapasua pasua kabisa CCM kiasi cha kutia mpira wa utunzi wa katiba mpya kwapani na kukimbia uwanja!
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 года назад
Hakuna tena nchi inayo itwa zanzibar tena ni kisiwa cha zanzibar chini ya tz passport 1 lungha moja chama kimoja, isipokua malipo ya ushuru ndio tofauti ikitoka zanzibar kwenda Bara uipinchwa kama una TV au gari pesa tena, na unasaeachiwa kama gaidi 🤣👍😜
@imranijuma6955
@imranijuma6955 2 года назад
Kwakweli
@jonasmaganga7433
@jonasmaganga7433 3 года назад
Nakukubal sana lisu
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 4 года назад
Hv kwann mlimshambulia, kosa lake nini. Watanzania ifike wakati tuwetunasikiliza ushauri
@eliyakitamwas4156
@eliyakitamwas4156 2 года назад
Gemd
@johnsanda4931
@johnsanda4931 3 года назад
Tundu lieu anajua Sheria jamani tuache ushabiki.
@thomasmanyama9154
@thomasmanyama9154 5 лет назад
Kuna wasomi wameelimika na wanajua na huyu anajua kumbe ameelimika!
@gilbertmtoshu4334
@gilbertmtoshu4334 6 лет назад
mic u lissu
@bahatisadikiwambura8547
@bahatisadikiwambura8547 6 лет назад
huyu anakipaji kwenye fani hii hana mfano kwa hapa Tanzania
@godlivingmboya2899
@godlivingmboya2899 6 лет назад
Ugua pole jembe karibu tena Tanzania mh lissu
@musabashiru2705
@musabashiru2705 4 года назад
Kaka lisu nakusamimia mimi
Далее
BAJETI KUU 2017/18:Tundu Lissu amgusa JK
7:49
Просмотров 120 тыс.
ПРОСТИ МЕНЯ, АСХАБ ТАМАЕВ
32:44
Просмотров 2,4 млн
Tundu Lissu alivyo fyatuka Bunge la Katiba
6:02
Просмотров 343 тыс.
BUNGE - JULY.03.2015| TBC
8:42
Просмотров 39 тыс.
Tundu Lissu- ccm ni Fashist
8:22
Просмотров 67 тыс.
Makutano Show: Muungano UmeKufa - Tundu Lissu
8:37
Просмотров 50 тыс.