May 5, 2017 mkutano wa saba wa bunge umeendelea ambapo Wabunge walikuwa wakijadili na kuchangia mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, utamaduni, sanaa na michezo kwa mwaka wa fedha 2017/2018.
AyoTV imenasa hizi za Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi 'Sugu' na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu.
4 май 2017