I dont mean to be so offtopic but does someone know of a way to get back into an Instagram account..? I somehow lost the account password. I would appreciate any tricks you can give me
Lissu ni mwanasheria bora kuwahi kutokea Tanzania na mzalendo mtu kama huyu unatakiwa kumtumia vizuri kwa maslahi mapana ya taifa na sio kumpiga vita lissu utakumbukwa sanaa na watanzania na alama uliyoiweka Katika taifa hili
Tundu Lisu Urais 2025 Hadi 2045 unakustahili KWANI UTAKUWA UMELIWEKA TAIFA VYA KUTOSHA KTK MWAMBA IMARA WA SHERIA. WEWE NI MWANA SHERIA BORA NA UBORA WAKO HUIMARISHWA ZAIDI NA HAKI NA UJASIRI ULIVYOJALIWA NA MUMBA WAKO!!! BARIKIWA SANA TUNDU LISU.