Simba walipaswa kuwa naye kichuya hata km kiwango chake kimeshuka kwani bado umri unamruhusu.Hy ni damu ya Simba,na ndio mana sichoki kuiangalia hii mechi
Viongoz wa Simba huwa wana kiburi ssna. Lufunga hakuwa na hadhi hata ya kukaa benchi Simba. Binafs nlishukuru sana alivoondoka na nafas yake kuchukuliwa na Salim Mbonde