Тёмный
No video :(

KAMCHAPE 50, WALIOINGIA KIGOMA, KUPAMBANA NA WACHAWI SUGU, WAKAMATWA NA POLISI. 

KADI NEWS24
Подписаться 15 тыс.
Просмотров 43 тыс.
50% 1

#kigoma #uchawi

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 62   
@user-zh8yk8kb5r
@user-zh8yk8kb5r Год назад
Kiongozi uko vizuri kwmchape ni matapeli na wachonganishi sana
@wazir_prince2
@wazir_prince2 10 месяцев назад
hujarogwa wewe..
@NeemaJuma-os6uo
@NeemaJuma-os6uo 26 дней назад
Kwakweli ​@@wazir_prince2
@saigonernest7631
@saigonernest7631 7 месяцев назад
Afande ubalikiwe sana, halafu hao wanaozomea, baadae ukiwauliza wanakwambia wana dini zao na wanamwamini Mungu, Sasa Mungu na kamchape nani zaidi? Hao makamchape wenyewe asili yao ni wachawi; ni zao LA hao hao wachawi
@FollowGospelSingers
@FollowGospelSingers 7 месяцев назад
Safi🎉🎉🎉
@FilbertKalembe-fy4oq
@FilbertKalembe-fy4oq Год назад
Mkuu uchawi upo maisha hayo sisi tumeshayapitia tumelogewa ndugu zetu sema hawa hawakufata utalatibu wa kisheria
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Год назад
Mkoa wa kigoma ungekua namaendeleo makubwa sana ila wachawi wameroga watuwengi kitambo mpakaleo ndomana tukakimbilia mikoa mikubwa
@Masaweruben44
@Masaweruben44 10 месяцев назад
Kamchape waendelee kufanya kazi wabebe mizigo
@HusseinGabu-wr3xh
@HusseinGabu-wr3xh Год назад
Waacheni kamchape wafanye kazi wachawi ni adui wa maendeleo
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Год назад
Hao ni matapeli mzee. Mimi niliwaambia wafanye usiku wa manane walikataa
@HusseinGabu-wr3xh
@HusseinGabu-wr3xh Год назад
@@gibsonjosephat6352 inaonekana hata wewe pia ni mchawi mi wachawi wameniaharibia maisha Bora wachapwe ingekuwa ni utapeli wachawi wasingekua wanaenda kujisalimisha wenyewe
@amanmalima940
@amanmalima940 Год назад
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@uzimameditv8148
@uzimameditv8148 Год назад
Ukweli wakati nyingine polisi wetu mnakazi kubwa , ila kwa huo utu ulionao utshinda ubarikiwe
@kishimbaigobeko2297
@kishimbaigobeko2297 Год назад
Km vitabu vitukufu vinautambua uchawi wewe ni nani usiutambue?! Nahis wewe ni mchawi
@uzimameditv8148
@uzimameditv8148 Год назад
ukiwa na imani na na Mungu katika Jesus hayoyote hayakutishi.
@fadhilphone2515
@fadhilphone2515 Год назад
Acheni wafanye kazi uchawi umezidi
@evamethod7031
@evamethod7031 10 месяцев назад
Acha wafanye kazi uchawi umezidi kiqoma kwetu Kama sio kizuri acha wawachape waache uchawi
@user-xo4hc7hn5z
@user-xo4hc7hn5z 6 месяцев назад
wachape babu au we mwenyew ni mchawi
@uzimameditv8148
@uzimameditv8148 Год назад
Wewe RPC Mungu akubariki na tunakuombea
@tinkybellah6634
@tinkybellah6634 Год назад
Au nawewe mchawi
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 11 месяцев назад
Wenda Nawewe Mwanga Wewe Sijui Unatembea Na Iridhi Wewe Unabwabwaja2
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Год назад
Kamchape siomatapeli sema kisheria uchawi ueleweki kwasababu hauna ushahidi wa vitendo
@uzianeshon1061
@uzianeshon1061 Год назад
Waache kigoma wamezd
@bashkidana9404
@bashkidana9404 11 месяцев назад
Mbona pale wananchi walipouliza maswali hampaonyeshi
@fadhilphone2515
@fadhilphone2515 Год назад
Af wew Rpc nimpuuzi inatakiwa urogwe kwanza af tuone unabwabwaja vipi tena
@anuwarylyanga6424
@anuwarylyanga6424 11 месяцев назад
Anachale Hadi za ikulu
@iraakasubete8287
@iraakasubete8287 Год назад
Yaani huku kwetu baada ya Kamchape kupita Kijiji kiko shwari yaani Kiufupi ni watendaji wazuri mno wa Kazi,huwenda huyu kamanda. Na yeye yumo
@shammhagama2527
@shammhagama2527 Год назад
Safi sana jeshi la police, naunga mkono hiyo kamata kamata ya waganga wa kienyeji na Mungu awaongoze big up
@YorandaBonephas
@YorandaBonephas 5 месяцев назад
Sasa unatakaje watu waendelee kurogwa mbona kenya wachawi wanapelekwa makamani naanahukumiwa ila huku et uchawi haunaushahidi wakati ushaidi mko mnashudia misukule tiari wengine wamesha katwa ndimi mpaka hapo siyo uchawi?wanainchi wamesha choka nauchawi.
@evamethod7031
@evamethod7031 10 месяцев назад
Wanqeanza na nyie kwanza
@AbrahBuraheze
@AbrahBuraheze 11 месяцев назад
uchawi upo watu wariga sna sna tena sna
@evamethod7031
@evamethod7031 10 месяцев назад
Wachawi wanatuludisha Manisha nyuma
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 Год назад
Subir waondoke na Wew
@FilbertKalembe-fy4oq
@FilbertKalembe-fy4oq Год назад
Nyie si wapelelezi afande tafuteni maoni yaewatu kuhusu hilo hao walioleta talifa kwenu niwachawi hawataki kuchapwa afande uchawi upo acheni watusaidie tumeteswa mno
@jaminusisanga607
@jaminusisanga607 Год назад
Mnajitaidi kutoa elimu jeshi la police shida ni ujinga na upumbavu, lakini umeeleweka kamanda hata Kama umetoa elimu kwa watu wagumu
@saadomar2480
@saadomar2480 Год назад
Utapeli uchonganishi kabbisa, Tena hao wakamatwe wafungwe MAISHA pumbavu hao washirikina wakubwa.
@vitusjackson1354
@vitusjackson1354 Год назад
Wewe unauchawi ndio maana unapongeza
@anuwarylyanga6424
@anuwarylyanga6424 11 месяцев назад
Mzigo umeendaa au
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 Год назад
Kamata kabisa kijiji kizima na wote waliotoa fadha na kuwapa kamchape
@nasramohd9924
@nasramohd9924 Год назад
Kw hiyo wachawi sio wachonganishi wanatesa watu wachawi
@user-ym5ko9ov2o
@user-ym5ko9ov2o 11 месяцев назад
Usiache mchaw akaishi
@zilipaerasto3276
@zilipaerasto3276 8 месяцев назад
Serikali litazameni hili kwa jicho la tatu jamii zimepoteza imani, imefika hatua hadi taasisi za dini nazo wameliamini why?
@eliudezekiel8615
@eliudezekiel8615 Год назад
Huyo kamanda atakuwa mchawi hata Sula yake inaonyeonyeshaaaa pia Mwenyeiwee ni mchawiii
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 Год назад
Wachane kabsa
@JumaCosmas-cb2vt
@JumaCosmas-cb2vt 11 месяцев назад
Uganga unashelia wewe kuma acha mambo yaajabu mpuuzi wewe
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 Год назад
Kamchapee 😂😂😂😂
@nasramohd9924
@nasramohd9924 Год назад
Wasichukuwe pesa za watu tu iyo ni zulma ila mim nahisi weulizwe wananchi ikiwa wanarizk na huduma zao basi waachwie wafate sheria tu kw sababu uchawi upo ila njia sirikali haamin uchawi Kenya wenzetu wanaamin na unapelekw mahakamn
@tinkybellah6634
@tinkybellah6634 Год назад
Wewe rpc uko hapo kwaajili yaserikali, naserikali haiutambui uchawi wewe unasemaje kuhusu uchawi upo? Naumejuaje kama nimatapeli Kama vipi wapeni vibali nausimamizi wakiwa nimatapeli swekeni ndani
@mustaphawelder7022
@mustaphawelder7022 Год назад
Swala la bandari hamuongei ila kwa maswaala yasiyowahusu ndio mnajua kuzungumzia
@user-hm2ru1sq5e
@user-hm2ru1sq5e 11 месяцев назад
Hawa wanaongea ivi kwakua niwachawi nao acha wachape wawaweke hazalani
@ligobethgwakula8314
@ligobethgwakula8314 11 месяцев назад
hujawahi kulogwa wewe kwani wakicha wewe unapatann
@mustaphawelder7022
@mustaphawelder7022 Год назад
Hao police wasitudanganye kwan hao hao tunawakuta kwa waganga, tena nilishawaona kwa babu yangu sio china ya watu 10
@silvesterfesto2457
@silvesterfesto2457 Год назад
Elimu itolewe kwa jamii kamchape hao ndo wachawi
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 Год назад
Vitu visivyo na ushahidi kabsa anayewaza hvyo ni sawa na mtu anayeogopa kivuli chake mwenyewe ni iman kam ya mafuta
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Год назад
Hao kamchape kama wanautalamu kwanini wasiwashughurikie usiku wa manane?
@yawepetro2049
@yawepetro2049 Год назад
Atamaandiko yanasema wachawi wapo
@fadhilphone2515
@fadhilphone2515 Год назад
Zoezi letu liko pale pale nyie serikali bwabwajeni tu
@khalidharuna7452
@khalidharuna7452 Год назад
Polisi usidanganye watu uchawi upo na kamche wachen wafanye kazi yako unakata wasichape nawewe nimchawi kwaunavyo ongea uchawi upo wanatesa watu sana
@veronicapesambili
@veronicapesambili Год назад
Rafudhi tu imeonekana wewe tena ni mwenyekiti wao mpaka wakuie mama na kizazi ndo ujue nimeketeka sana ningekuwa kalibu ningekuwa kalibu sjui ningekamata Nini
Далее
Triple Protein Sandwich
00:32
Просмотров 4,4 млн
Timings hated him #standoff #timing #meme
00:14
Просмотров 469 тыс.
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Просмотров 4,2 млн
Top U.S. & World Headlines - September 3, 2024
9:18
Просмотров 159 тыс.
A Day in Life of Operators of US Most Feared Drone
15:57
Triple Protein Sandwich
00:32
Просмотров 4,4 млн