Тёмный

KAMGISHA KUONDOKA KWA MKOJANI ''CHANDIMU ANATAMAA SANA /MKOJANI GANG HELA IPO YA KUTOSHA 

BIN K TV
Подписаться 23 тыс.
Просмотров 37 тыс.
50% 1

#mkojani #mkojanigang #chandimu #diamondplatnumz #alikiba #zuwena #harmonize #zuchu #mkojanigang #kicheche #dullamakabila #yangasc #bongotrend #wasafitv

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 53   
@fezarashidi6392
@fezarashidi6392 4 месяца назад
Hiyo ni kweli bro
@abdululedi9141
@abdululedi9141 4 месяца назад
Mambo
@vkivurugecomedy1496
@vkivurugecomedy1496 4 месяца назад
Nikweli kabisa❤❤❤mkojani songa mbele
@mgogokagongo1387
@mgogokagongo1387 4 месяца назад
Kamgisha umetisha sana ndugu
@emmaandrew3298
@emmaandrew3298 4 месяца назад
Aiseee bro uko vizuri sana
@AlifaHamis
@AlifaHamis 4 месяца назад
Sasa unafikili hatakama ni kweli Ata ongea ukweli jamani
@kelvinnyunza-us9jj
@kelvinnyunza-us9jj 4 месяца назад
Really❤❤❤❤❤
@QUEENBEEOG
@QUEENBEEOG 4 месяца назад
Kweli ukitoka kwa mtu Toka kwa aman coz ujui kesho itakuaje kumuongelea mtu vibaya aipendezi
@StevenFiyovele
@StevenFiyovele 4 месяца назад
Safi sana nibora mtu unasema ukweli kamugisha mwamba,
@rogynee8135
@rogynee8135 4 месяца назад
Kamugisha. Nakupenda bure umeongea ukwel mtupu
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 4 месяца назад
Dah! Kiukweli nimemuelewa Kamugisha, ameongea point sana.
@Villagekidtz
@Villagekidtz 4 месяца назад
Mkojanigang for life 💪💪💪
@KomboD
@KomboD 4 месяца назад
Mwalivandaaaaaa
@Villagekidtz
@Villagekidtz 4 месяца назад
@@KomboD oyooo
@MbalasaJRMwakabalile
@MbalasaJRMwakabalile 4 месяца назад
Vanda boy
@georgeboniface-r9e
@georgeboniface-r9e 3 месяца назад
Manager kazi unaiweza😂
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 4 месяца назад
Doh! Kumbe kweli kwenye mbuyu bagamoyo mmefanya vimbwanga🤣🤣🤣. Mmewanga kweupeee😄
@SammyOmary-fb1qk
@SammyOmary-fb1qk 4 месяца назад
Nice kamugisha
@NassibUkasha
@NassibUkasha 4 месяца назад
Kamugisha mm natamani Sana niwe mkojani geng nipo kenya natamani Sana mkojani aniite walah nahamia Tanzania
@RukiaKhamis-pu9zv
@RukiaKhamis-pu9zv 4 месяца назад
Kamugisha nmemuelewa sana
@rajabuidd45
@rajabuidd45 4 месяца назад
Wewe msanii mkubwa sana na una kitu kikubwa anzisha gange yako na unaweza check chumvinyingi
@yasrynyawita5540
@yasrynyawita5540 4 месяца назад
Kila mtu ataongea kwa wakati wake mda ukifka hata ww utasema tu
@charleshenrydembe5633
@charleshenrydembe5633 4 месяца назад
amini kwamba...maana samofi nae alishayamwaga😂
@osirismibexeb9783
@osirismibexeb9783 4 месяца назад
Fact na nimekuamin
@iddothmani2304
@iddothmani2304 4 месяца назад
Dah 🤭 umemaliz utata Broo . Mwenye Macho haambiw tazama
@AmilyBanoba
@AmilyBanoba 4 месяца назад
Hio ni kwer kaka
@saidilome-ue2df
@saidilome-ue2df 4 месяца назад
Kamugisha na Baruti ndio watu pekee hawawezi kumuacha Mkojani Bin Daruwesh
@officialjordan497
@officialjordan497 4 месяца назад
Baruti kamuacha mbona
@AmosSinkala-lx4sl
@AmosSinkala-lx4sl 4 месяца назад
Yupo angalia mgombea series ya Sasa ​@@officialjordan497
@ezrafrancis9519
@ezrafrancis9519 2 месяца назад
​@@officialjordan497kalishwa ugali na sukari kama fei kaamua kurudi😂😂😂
@Viponlinemediatz
@Viponlinemediatz 4 месяца назад
gud sanaa
@swabiaa1489
@swabiaa1489 4 месяца назад
Chandimu kama ametoka kwer bas amepoteza kwa sababu kipaji anacho na mkojani ndo anajua karakta za kumpa bora qludi2
@ZawadiMuhammad
@ZawadiMuhammad 4 месяца назад
Anapendeza na kanzu
@ManDculture
@ManDculture 4 месяца назад
Tukiachana na Kamugisha kuna huyo mshamba niliye mtumia kaji sent alafu anajikuta mjanja. Soon namuaribia ajajua chuga uyo 1:52
@naibusanga9416
@naibusanga9416 4 месяца назад
Kamugisha utafika mbali
@NassibUkasha
@NassibUkasha 4 месяца назад
Naomba Sana nafas ya chandimu 😂
@aminiayubu4199
@aminiayubu4199 4 месяца назад
Nimekufata vizuri ka mugisha hapo ulipo fika kwenye uchawi inaonesha kweli kuna mambo ya kichawi mkojani anawafanyia usiku mukiwa huko bagamoyo 😭😭 ila umeficha sisi wenye akili timamo tayari tumekuelewa, Tutegemeye ipo siku mmoja wenu atatowa kama kafara😢 Watanzani bana nishida😂😂
@SharifSadiki
@SharifSadiki 4 месяца назад
Kiukweli nikichunguza maneno ya kamugisha naona kunamambo mengi anaficha haya maneno anayosemewa mkojani uwenda niyakweli ukizingatiya wasani waliondoka mkojani gang ni wengi sana Ila mkojani unawapa umaharufu sana
@kakabeka2515
@kakabeka2515 4 месяца назад
..ni ukweli mtupu hujawai kosea broo alafu chandimu yule ni mtoto Bado hajajua maisha
@MamWadar
@MamWadar 4 месяца назад
Na pia chandimu bila ya mkojan asingejulikanaa
@MandelaWilliam
@MandelaWilliam 4 месяца назад
Uposahihi broo
@NassibUkasha
@NassibUkasha 4 месяца назад
RIZIKI popote pale mtu akiondoka Acha aende Tu ili mradi kaamua kulingana na sababu zake za msingi
@NassibUkasha
@NassibUkasha 4 месяца назад
Nakama cha ndimu kaondoka kweli basi arudi Tu waelewana vyenginevyo amefeli kuunda geng Sio mchezo afikirie aliko toka asichk Tu mbele akili kichwani
@mosesjanuaryakyoo1417
@mosesjanuaryakyoo1417 4 месяца назад
Unaongea ukweli kabisa kaka,shida ni njaa na tamaa ndo maana vijana wanaamuwa kumwongelea vibaya mkojani,ila mie nawaombea sana mzidi kutowa movie za kufundisha,hakika sintochoka kuzifuatilia maana zinanifundisha mengi..!
@ChaxyboyClassic-jq1gg
@ChaxyboyClassic-jq1gg 4 месяца назад
Hapanaa maharuni mkubwa ayuuni bure bure kabsa
@NassibUkasha
@NassibUkasha 4 месяца назад
Kuanzisha geng wazee sio rahisi wenzangu fanyeni kazi wazee acheni umba mbamba😂
@danielbrizzy
@danielbrizzy 4 месяца назад
mmm 😭😭
@NassibUkasha
@NassibUkasha 4 месяца назад
Ukitupa mwenzio atakiokota na kukitumia
@HamisiKigumi-rm8oo
@HamisiKigumi-rm8oo 4 месяца назад
Tatizo muda
@IanPhilipo-rj2hq
@IanPhilipo-rj2hq 4 месяца назад
Nothing serious, just promotion of the gang
@juniormediajm2245
@juniormediajm2245 4 месяца назад
Kumbe dogo anazingua,mumsamehe tu
@naibusanga9416
@naibusanga9416 4 месяца назад
Na huo ndo utu
Далее
GUEST YANGU 🏠🛀MKOJANI,SAMOFI CHANDIMU KAMUGISHA
12:58
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Просмотров 33 млн
КТО БОИТСЯ КЛОУНОВ?? #shorts
00:20
Просмотров 443 тыс.
Jinsi Msanii Mdogo Anavyoingiza Vocal
2:33
Просмотров 10 тыс.