Тёмный

KAMPUNI ZA KITALII ZILIZOTAPELI WAZUNGU HIZI HAPA.... 

Mwanga Tv
Подписаться 29 тыс.
Просмотров 1,2 тыс.
50% 1

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Constantine Kanyasu ameyaweka bayana Makampuni yanayotoa huduma kwa Watalii yanayoshutumiwa kufanya vitendo vya kuwatapeli wageni kwa kuchukua fedha zao na kushindwa kuwahudumia kwa mujibu wa makubaliano,
Kanyasu amebainisha jambo hilo Jijini Arusha wakati wa Kikao baina yake na wadau wa Sekta ya Utalii ambapo ameongeza kwamba Wizara ya Maliasili inaadaa mpango wa kuorodhesha kwenye mtandao (website) Kampuni za Utalii zilizosajiliwa Nchini ili kuondokana na vitendo vya kuwatapeli wageni na kuiletea Nchi sifa mbaya.

Опубликовано:

 

14 авг 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Recap 2019
16:15
Просмотров 191
ЭТОТ ПЕНЁК ИЗ PLANTS VS ZOMBIES - ИМБА!
00:48
Tanganyika Wilderness Camps
5:08
Просмотров 1 тыс.
80 Year Olds Share Advice for Younger Self
12:22
Просмотров 1,5 млн
Kati Kati Camp Serengeti, Tanzania, Africa
3:54
Просмотров 3,2 тыс.
Vyuo Vinavyotoa Kozi za Utalii Tanzania
1:45
Просмотров 2,3 тыс.
ЭТОТ ПЕНЁК ИЗ PLANTS VS ZOMBIES - ИМБА!
00:48