Тёмный

KAMWE ATOA NENO KUHUSU USHINDI/"WAJE ZANZIBAR KUONA MOTO/MAKUNDI HAYOO". 

Mpenja TV
Подписаться 542 тыс.
Просмотров 46 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 60   
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 6 дней назад
Tunashukuru Alahmndulilah tumepata ushindi na hakuna ushindi Mwembamba ushindi ni kushinfa
@mwadinimwadini6069
@mwadinimwadini6069 6 дней назад
Wananchi tufura na ushindi wa ugenini tujipange mchezo ujao tuwaache waache wachambuzi wauze maneno.
@julianasimon5518
@julianasimon5518 5 дней назад
Semaji letu Hilo, tunalo na tunatamba nalo🤣💚💛💪
@MussaBakar-p2p
@MussaBakar-p2p 4 дня назад
Mashabiki yanga mulizeni msemaji wenu kagoma yukowapi mana anaropoka kamachizi
@godianibrahimnyabendaunaum7946
@godianibrahimnyabendaunaum7946 6 дней назад
😅😅 achen udunduka nguruwe poli nyie azizi mwachen kwan lazima afunge subili tr 19 tutaona kama azz mhun au laa😂😂❤
@ShamimAli-o4h
@ShamimAli-o4h 5 дней назад
I LOVE YOU YANGA Mwaaaaaaa!!!
@perepetuajohn
@perepetuajohn 6 дней назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁 kweli bro, ngoja tuwaone hao panya road kesho, Hongereni wachezaji wetu na bench pamoja na viongozi wetu na mashabiki wetu🎉🎉🎉💚💚💚💛💛💛💛🙏🙏🙏🙏🙏
@MauBonde
@MauBonde 6 дней назад
Watu wengine wa nje hatuna ..tuna uzalendo....zingatieni......
@fadhilaabdullah6412
@fadhilaabdullah6412 5 дней назад
Goli moja kwetu kubwa sana ilo tujipongeze tuu yanga kwakweli sisi ndo yanga daima mbele nyuma mwiko
@Elihurumamathew
@Elihurumamathew 5 дней назад
Timu ikiwa mbovu lakini inashinda mataji nani bingwa katika taifa lake wala hakuna shida yanga mbele nyuma mwiko gsm mbele heris saidi mbele tumi mbovu imezifunga timu zote Tanzania kuanzia simba mpaka walioshuka daraja😂😂😂
@errydeo8865
@errydeo8865 6 дней назад
It doesnt matter how you win,A WIN IS A WIN! Shida ni kwamba Yanga IMEWEKA STARNDARD.ya kufunga magoli mengi! Tusipo fanya hivyo, shida
@hamzanangameta6243
@hamzanangameta6243 5 дней назад
Umeifunga lini?
@JescaPhilipo-u6r
@JescaPhilipo-u6r 6 дней назад
All in all 3 zetu muhimu tumebeba
@FrankCharles-f1q
@FrankCharles-f1q 6 дней назад
All kuchezea zanzibar nikuhatarishamchezo ukizingatia nimchezowamaamzi bola tungechezea kwamkapa ambapo vijanwamepazoea pia mchezo utakosa mashabiki nimawazoyangutu
@mrdoller2127
@mrdoller2127 6 дней назад
Hujambiwa lazima kuja pumzk 2 ww sis tutaenda
@BonificationOfAFRICA
@BonificationOfAFRICA 6 дней назад
Facts
@zubeydamahmoud-gq2hq
@zubeydamahmoud-gq2hq 6 дней назад
Mashabiki watajaza uwanja usiwe na wasiwasi
@othmantv2654
@othmantv2654 6 дней назад
Jifunze kwanza kuandika ndo uje ushauri watu😂😂😂
@dashiftvtzonline5579
@dashiftvtzonline5579 6 дней назад
hahaha
@henelckneatunga2720
@henelckneatunga2720 5 дней назад
KAMA YANGA NI MBOVU BASI SIMBA AU TEAM NYINGINE NI MBOVU SANA MAANA KWA BONGO HAKUNA TEAM AMBAYO HAIJAFUNGWA NA YANGS.
@user-yh7vq9fj8z
@user-yh7vq9fj8z 5 дней назад
Ahly mara ya mwisho mmeifunga lini.
@mariamemadoshi5540
@mariamemadoshi5540 6 дней назад
Sawa timu yetu mbovu lakini tunakupenda tunaiamini na tuna wakubali na timaamini makundi lazima wewe na hao nguruwe wako nawewe ushinde
@EmmanuelMatunge-b9h
@EmmanuelMatunge-b9h 6 дней назад
Kama ni ushindi mwembamba shindeni ya kwenu.
@paulchaula6796
@paulchaula6796 5 дней назад
Hahahaahahahaa
@Officialmkomig
@Officialmkomig 5 дней назад
Ila camera man😅
@dahelahmad6331
@dahelahmad6331 6 дней назад
Kama goli Moja jepesi lichomoweni
@devotabashome1090
@devotabashome1090 6 дней назад
Hamna sauti mbona
@devothaignatius5256
@devothaignatius5256 6 дней назад
Sauti ipi?????
@gadisonmichael7805
@gadisonmichael7805 6 дней назад
kisenge kwel ww
@josephfrank4446
@josephfrank4446 6 дней назад
😂😂😂😂nyie ndo mnasemaga al ahly ni mbovu kisa inafungwa na simba
@boazgodfrey865
@boazgodfrey865 6 дней назад
Washamba tu,wamekabwa koo,sasa wanaanza kujitetea,tena yy ndo alisemaga hivyo,,,nilitamani wakutanishwe kwenye hii hatua ndo ajue hajui
@dalmasokoth4190
@dalmasokoth4190 6 дней назад
Nyie makolo hamna lolote! Unatamani akutanishwe na Alhahly kwanini usitamani akutanishwe na timu yako!! Washamba Sana nyie madunduka
@kassimomar7589
@kassimomar7589 5 дней назад
Tangu lin yanga kukosa mashabiki zanzibar wacheni chuki
@laurentmyeule859
@laurentmyeule859 6 дней назад
Hapo Zanzibar mshatolewa ha ha ha hamjawahi kushinda hapo nyie
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 5 дней назад
Wewe ni chizi sio bure
@damianichayo895
@damianichayo895 6 дней назад
Yaan Kamwe bwana mambo ya All hilal uliyaongea wewe leo et unasema kuna watu walibeza Al hilal si wewe? Yan huyu jamaa kasoma lakini ziro. Alfu angalia matusi yako et panya road kwa hiyo mzoefu wa panya road si wewe? Mbona mwenzio huwa anakushusha kwa maneno mazito sio kama hayo? Unadiwa na Manara kwa kweli
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 6 дней назад
Dube mbovu,bora Baleke
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 6 дней назад
Mbovu wewe
@MzansiDiski27
@MzansiDiski27 6 дней назад
Maxi, Chama, Pacome, Aziz, Mzize wote wamekosa magoli ya wazi, kwahiyo ni wabovu
@user-nb9nj7vp2t
@user-nb9nj7vp2t 6 дней назад
unatafuta matusi
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 6 дней назад
Acheni kuchafua wachezaji wetu Kwa maneno yasiyo na tija
@mkombozimella8436
@mkombozimella8436 6 дней назад
Kombe la crdb Yanga alichukulia wap???
@MagrethCostantine
@MagrethCostantine 6 дней назад
Timu bovu Hilo hamna polite utopolo
@bensonchota3461
@bensonchota3461 6 дней назад
Alikamwe Kama Teja anasema ee. Eeen
@boazgodfrey865
@boazgodfrey865 6 дней назад
Hukumbukagi maneno yako,wewe ndo uliwahi kusema Al ahyl najui,ni kibonde na hana mpira na hivyo simba hukutana na kibonde,leo kwasbb umenyongonyeshwa ndo mpira wa kibingwa aise!!!,,,yetu macho!!
@AminaTapwale-e5t
@AminaTapwale-e5t 5 дней назад
Anazungumzia Al ahaly bigwa sio al ahaly Tripoli inayocheza na usimba
@kassimomar7589
@kassimomar7589 5 дней назад
Tangu lin yanga kukosa mashabiki zanzibar wacheni chuki zenu
@NasibuAlban
@NasibuAlban 6 дней назад
Timu mbovu
@AlexAmbrose-y8l
@AlexAmbrose-y8l 6 дней назад
Timu lako ilifungwa ngapi na Yanga?
@FloraChami-o7s
@FloraChami-o7s 6 дней назад
Tim Yako ilifungwa ngao
@florentinigawday1094
@florentinigawday1094 5 дней назад
Timu yetu mbovu
Далее
КОСПЛЕЙ НА СЭНДИ ИЗ СПАНЧБОБА
00:57
SNAKE BOY | ep 38 | final mwisho | SEASON TWO
26:41
Просмотров 367 тыс.