Тёмный

KASEKENYA AWAKA, "MKANDARASI ONGEZA KASI" ZAIDI YA TSH. BILIONI 62.7 KUTUMIKA BARABARA YA.. 

Wizara ya Ujenzi
Подписаться 5 тыс.
Просмотров 561
50% 1

NAIBU Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya amemwagiza Mkandarasi anayetekeleza Barabara ya Maragarasi, Ilunde Uvinza kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilomita 51.1, kuongeza kasi ya ujenzi kufuatia kazi hiyo kusuasua na kukiuka matakwa ya mkataba ambao unaelekeza akabidhi barabara hiyo mwezi oktober mwaka huu.
Naibu waziri Kasenya ametoa agizo hilo mkoani Kigoma mara baada ya kukagua Barabara hiyo inayojengwa kwa gharama ya zaidi ya shilingi Bilioni 62.7,na kisisitiza kuwa hatua ya asilimia arobaini na tano iliyofikiwa kwa sasa haiendani matakwa ya mkataba

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
ITZY "GOLD" M/V
03:20
Просмотров 3,4 млн