Тёмный
No video :(

KASSIM MGANGA: BADO NAISHI NYUMBANI, TUMEKUA WATU WA KUJIFICHA, SIAMINI CHALLENGE 

Crown Media
Подписаться 129 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
- www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Опубликовано:

 

4 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 52   
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Месяц назад
Crown tutafika mbali Sana Sio Kama Sile Media Za Familia . Kutoka Gikombaa Nairobi One Love Oll Fan's On Crown Media
@davidibrahim9138
@davidibrahim9138 Месяц назад
Acha majungu we mshamba
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Месяц назад
@@davidibrahim9138 Unatakaje? Wasafi ni media ya family Ukae Kwa Kutulia
@stevenromanos5290
@stevenromanos5290 Месяц назад
Travella unahitaji kipindi kwenye tv unamaswali mengii sana good
@kharashbabar7393
@kharashbabar7393 Месяц назад
MY first favorite artist in Tanzania,, it's Kassim Mganga...I like so much he's voice na mashairi yake...is bhuhat bhuhat Sundar 👌👌 bhuhat Pyaar Laga♥️♥️♥️♥️♥️
@kakafungo1448
@kakafungo1448 Месяц назад
Namkubali Sana Kasim mana ngoma yake ya awena ilinisaidia kumrudisha mpenzi wangu, mwaka 2009 nili achwa unampenzi wangu baada yakumuahidi nguo yalaidi alafu sikumpa ikabidi iwe mziki Mnene. Nilijaribu kubembeleza mtoto kwajuhudi zangu zote nikashindwa kufanikisha ila nilipo kopi shairi ya awena mtoto alinikubali Sana yani
@shanimbwando863
@shanimbwando863 Месяц назад
😂😂😂
@user-yi3mb4hn8y
@user-yi3mb4hn8y Месяц назад
😆😆😆😆😆😆
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 Месяц назад
❤❤❤nilimkubuka sana uyu mwamba bado mb dog 🐕
@karimniyo1909
@karimniyo1909 Месяц назад
Kassim katulia hana papara wala mbambamba...
@dottombilinyi5979
@dottombilinyi5979 Месяц назад
wakwanza leo
@sabrahnibuka1211
@sabrahnibuka1211 Месяц назад
Nampendaga tu kwanza ñyimbo zake Pili anefanana na hubby wng jomonii raha tu tuletee kitu kipya bahna Kassim mganga ❤ hataree
@Lebabaz
@Lebabaz Месяц назад
Hapa ni nyumbani 🎉🎉🎉
@user-dn7gn6ib4k
@user-dn7gn6ib4k Месяц назад
❤❤ like him kassim
@Oficialkb
@Oficialkb Месяц назад
Safi sana, hapa n nyumban 🎉🎉🎉🎉
@muksinjuma4685
@muksinjuma4685 Месяц назад
Crown 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@FadhiliHamza-mz1wu
@FadhiliHamza-mz1wu Месяц назад
Hapa ninyumbani👑👑👑
@kakafungo1448
@kakafungo1448 Месяц назад
Kweli kabisa nahivi naishi naye kama mkewangu huku South Africa 🇿🇦
@BrunojnrMz
@BrunojnrMz Месяц назад
Cassimo ntu wa maana kabisa 🎉
@seifwashule274
@seifwashule274 Месяц назад
Tujuwane apa watu wa barabara za namba,hatuna tabu. mambo yetu taratibu😂 hatuna haraka
@thomasbutingo17
@thomasbutingo17 Месяц назад
travellerbang ni 🔥🔥🔥
@user-ct2ee1ri8u
@user-ct2ee1ri8u Месяц назад
Mbona blue hajaingia crown
@Aluseta-ww5yb
@Aluseta-ww5yb Месяц назад
Watatu leo
@jinjadarfox2906
@jinjadarfox2906 Месяц назад
Jinja dar fox
@JohnUruban
@JohnUruban Месяц назад
Uyo brother namuelewa sana
@Officialmodel_001
@Officialmodel_001 Месяц назад
Hapa ni nyumban kwel kwel🤗🔥🔥🔥🔥🔥
@muniraoman9551
@muniraoman9551 Месяц назад
❤❤
@KarisBaya
@KarisBaya Месяц назад
Hapa ni nyumbani kwa kweli
@user-qz8gn6bn6r
@user-qz8gn6bn6r Месяц назад
Noma
@user-dr5xg8kj9w
@user-dr5xg8kj9w Месяц назад
Tumekumis tupe burudani
@kessesqalead6241
@kessesqalead6241 Месяц назад
Travella ni mnoma sana ana unyama mbaya sana
@uwezonkayamba5916
@uwezonkayamba5916 Месяц назад
Tajir wa mahaba
@yusuphcastory2870
@yusuphcastory2870 Месяц назад
If u know u know
@user-ct2ee1ri8u
@user-ct2ee1ri8u Месяц назад
Mbona blue ajafika nyumbani
@maximusalnono6425
@maximusalnono6425 Месяц назад
Inakuaje mtu unahojiwa halafu unachezea mapua ukisagasaga?😁🤣
@bakarimajaliwa247
@bakarimajaliwa247 Месяц назад
travela fundi
@abdalaseleman921
@abdalaseleman921 Месяц назад
Nyimbo yako nafsi nyonge mpaka leo naielewa
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 Месяц назад
🔥🔥Kasim
@user-mu1xq9md5w
@user-mu1xq9md5w Месяц назад
🎉🎉
@user-zo8ri6wl9j
@user-zo8ri6wl9j Месяц назад
@mdbosco1640
@mdbosco1640 Месяц назад
❤❤❤❤
@khadija5761
@khadija5761 Месяц назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@user-zo8ri6wl9j
@user-zo8ri6wl9j Месяц назад
🇧🇭🇧🇭
@femexpress7857
@femexpress7857 Месяц назад
Kipindi kikavu sana.. wekeni japo kamelod kwa mbali.. kiwe bora zaidi
@fakiimohamed6163
@fakiimohamed6163 Месяц назад
kasaund track ama nini
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Месяц назад
Huyu mganga gani linene ivi au ni mganga mfawidhi
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 Месяц назад
Anaitwa Kassim mganga sio kwamba cheo chake ni mganga😂😂😂😂
@bockerNyarusahi
@bockerNyarusahi Месяц назад
​@@fettiemaganza1484huyo fala anazingua
@FadhiliHamza-mz1wu
@FadhiliHamza-mz1wu Месяц назад
Hapa ninyumbani👑👑👑
Далее
MILLION JAMOASI 2024 4K
2:17:51
Просмотров 11 млн
Salama Na Masoud Kipanya
52:05
Просмотров 19 тыс.
MILLION JAMOASI 2024 4K
2:17:51
Просмотров 11 млн