Тёмный

Kauli ya Tundu Lissu baada ya Rais Samia kufanya uteuzi wa Mawaziri, Akomaa na Mkataba wa DP WORLD 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 42 тыс.
50% 1

Hotuba ya Tundu Lissu wakati akizungumza na wananchi wa Kyabakari Wilaya ya Butuama leo Septemba 03, 2023.
#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama

Опубликовано:

 

22 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 89   
@BarakaMaglaniLaizer
@BarakaMaglaniLaizer Год назад
Waambie ukweli hawa wasenge wa CCM ni majizi wote
@BarakaMaglaniLaizer
@BarakaMaglaniLaizer Год назад
VIVA LISU
@aminakhamis2276
@aminakhamis2276 Год назад
Ww mungu atakupa lakukupa na ufisdiwako
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 Год назад
Siyo wakati wa kampeni hii op okoa bandari na. Katiba mpya ukifika wakati huo ndio ataongea sera za chama
@OlePertet
@OlePertet Год назад
Why did Mama Samia give away the Maasai ancestral land to the Arabs? Thanks Hon. Lisusu for bringing this and other issues to the limelight. African Spring brewing 🔥
@DaudiMleo
@DaudiMleo Год назад
Mh. Lissu ni mtu makini mno hakika Tz tunakitu cha kujivunia. Mungu mlinde Lissu thidi ya hawa wakora wa taifa letu
@yasiniswedi8835
@yasiniswedi8835 Год назад
Hujitambui
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Год назад
Siku ukipata ufahamu utajua Wapi ulikua unafeli,Sema Saivi jamaa wanajua kushikiria fahamu zenu hata wasema Nini nyie mtaona lulu Wala Hakuna kupinga chochote wasemamacho na anaepinga mnamwona mwiba na kumshushia matusi badala ya kujibu hoja na kutambua demokrasia Sio vita Wala uadui,Hawa jamaa mnawaonaga kama lulu na kwamba hawakoseagi hio ndio Shida yenu,Wala hamtaki Wala kupenda wanapokosolewa,Wamewaaminisha hivyo na mumekalili hivyo.
@eissangyandetaulwa7141
@eissangyandetaulwa7141 Год назад
So bandari imegawa Bure au imeuzwa?
@twalibuchaye7687
@twalibuchaye7687 Год назад
Tundu Lisu Acha Matusi
@JacksonKaswaka
@JacksonKaswaka Год назад
Sent and delivered
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 Год назад
Huo msukule umepewa bando. La. Elf 5 tu kuja kutukana wala haitasaidia
@mashakaamosgabinza3893
@mashakaamosgabinza3893 Год назад
Mungu tusaodie hii nchi waliosema wanaleta suluhu kumbe ndiyo hatari 😢😢😢😢
@babusadala5732
@babusadala5732 Год назад
😃😃😃
@kiatu
@kiatu Год назад
Wanasheria, maaskofu, hawa ni kati wasomi hapa nchini - je madaktari, waalimu, na wengine wenye professional bodies maoni yao yako wapi? Au wanadhani wako salama?
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke Год назад
Sjaskia la maana bado
@mariamumechara3398
@mariamumechara3398 Год назад
Lisu uko poa sana
@salehalzakwani3283
@salehalzakwani3283 Год назад
Kiki hizo huwi raisi ndio wale wale hamna tafauti utakayo badilishaa
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Год назад
Utuwambie nini wewe chama chako tumekigundua cha udini na ubaguzi huwapendi wazazibary
@charlesmbudy7541
@charlesmbudy7541 Год назад
Kwakweli sisi watazania hatuna hakiri, Bado tunamzalau lisu anayo sema kweli 😢😢
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Год назад
Kweli ipi anayosema huyu? Alikuwa hapo zamani yeye na Slaa sio leo!si ni juzi Tu amesema kuna kampuni Kule Simiyu imepewa ekari milioni 6 ktk mbuga za wanyama?muongo mkubwa huyu,mbona hasemi nini anafanya na kampuni ya Kijerumani iliyopa nchini?na vp arudi apokelewe na balozi WA Ujerumani?kuna nini hapo?au haya munayafumbia macho na kuziba masikio Kwa sababu Tu munampenda?
@josephngasa6984
@josephngasa6984 Год назад
​@@AliSalim-yu4momimi nimezaliwa meatu, wilaya ambayo hifadhi ya Serengeti inaanzia, hiyo mwiba naijua vizuri na majanga yake, na nakuhakikishia, Lisu anasema ukweli, kama anadanganya kwanini asishitakiwe kwa upotoshaji? Na kama kuna company ya kijerumani inamfadhiri ni wajibu wa wapinzani wake kulisema hilo kwa ushahidi, sio poroja kama unavyosema hapa.
@yasiniswedi8835
@yasiniswedi8835 Год назад
Hv huyo lisu nimsomikweli au cheti Feki?mbonakila ajenda haimalizi?
@nyerere1259
@nyerere1259 Год назад
Achana na MAGUFULI we ulitumwa na wazungu uhujumu NCHI sasa we si kama msaliti/jambazi/mnafki risasi ilikua sawa tuu
@karanibonge6072
@karanibonge6072 Год назад
Stop stupid thought
@Sisopotashiumz
@Sisopotashiumz Год назад
Umeongea kwel kabisaa,wakibishana na ww wasongeshe kwangu nitawapa ushahidi.
@WeremaWangwe-l9l
@WeremaWangwe-l9l Год назад
Je kama lisu ni mwizi haya ya CCM mnayaona kweli
@yusufismail3116
@yusufismail3116 Год назад
Kwani SHOGA ndio RAFIKI?
@filbertkumburu8015
@filbertkumburu8015 Год назад
Tanzania bwana wanazani haya ni ya lisu anayoyasena,thubutu yenu,yeye anatimiza wajibu kama mhubir anavyopaza sauti na wajinga wakiamua kutubu dhambi haya,na wasipoamua watanzania ziwa la moto liko juu ya vichwa vyao...ebo!
@BarakaMaglaniLaizer
@BarakaMaglaniLaizer Год назад
wachane live
@kiwangasaidi6284
@kiwangasaidi6284 Год назад
Vp Wazungu Mmefulai
@jaliabahat1520
@jaliabahat1520 Год назад
waeleze wanachama wenu luzuku mnapelekaga wapi mama anawapa ela Kisha mnamtukana
@abdultandala6576
@abdultandala6576 Год назад
Tundu Lisu ni mshenzi ila kwasasa naona ushenzi wenye maana🤣🤣
@BalkisAbdulkadir-ug4wu
@BalkisAbdulkadir-ug4wu Год назад
Lisu unajipya
@innocentmwakibete8060
@innocentmwakibete8060 Год назад
Kweli analo jipya. Ungesema "huna" jipya ndio ningeshangaa😂😂😂 mnanunuliwa simu za kucomment ili kubadili upepo wakati kuandika tu hamjui
@samsonmwijage1869
@samsonmwijage1869 Год назад
Ukiangalia vema mahudhurio wengi ni watoto chini miaka 18!!!!
@emmanuelchiza7733
@emmanuelchiza7733 Год назад
Atuangalii mahudhurio ya uwanjani bali tunaangalia na kusikiliza hoja zenye mashiko kwa taifa letu na vizazi vijavyo, wewe endelea kuwa mashabiki maandazi wa mafisadi pumbavu wewe
@samsonmwijage1869
@samsonmwijage1869 Год назад
@@emmanuelchiza7733:- you look like crazy and hopeless guy because you failed to interpret my opinion. You are damn fool.
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Год назад
Jinga sana alafu huna adabu hatuwezi chagua majitu yanayounga ushoga na usagaji na kutetea wazungu na kushikiria ndege zetu,Acheni njaa na siasa za kuwaridhisha wafadhili wenu wakanada na ulaya.Hatuwataki wadudu kama nyie.
@PantaleoBundala-tl2kd
@PantaleoBundala-tl2kd Год назад
Nchi haina dira kwa sasa
@RuthMeemba
@RuthMeemba Год назад
wambie bwana
@frednandnsakuzi7584
@frednandnsakuzi7584 Год назад
Huu siyo wakati wa kuishi kwa ngonjera za wanasiasa majukwaani nenda kamsubiri getini kwake pale ikulu umwambie hayo unayoyasema ili iwe kwa vitendo kama ni kusema kwenye majukwaa mmesema sana na hatuoni mabadiliko fanyeni kwa vitendo kwa kumfuata yeye,si yupo bwana
@jayson.chanel.9870
@jayson.chanel.9870 Год назад
Weweee peleka huko
@BarakaMaglaniLaizer
@BarakaMaglaniLaizer Год назад
wewe fred nandnsakuzi :inatakiwa uwe na uwezo wa kufikiri kwa kina maana inaonekana kuwa una maji kichwani . lazima wananchi waambiwe vituko vinavyoendelea ndani ya nchi yetu.
@andrewkissavah8272
@andrewkissavah8272 Год назад
Kwani wewe ambaye himpendi lisu si inyamaze kwani kinakupwita nini acha lisu aungurume utakufa bure lisu ni moto wa kuotea mbali
@jeffhard5773
@jeffhard5773 Год назад
Vip Fred una weweseka au umekurupuka usingizini
@ezekiakiwovele7794
@ezekiakiwovele7794 Год назад
Akiri ndog kama hizi haziwez kuendesha akiri kubwa
@stevenwimbe3113
@stevenwimbe3113 Год назад
Wambie ukweri mwamba
@danielchacha1305
@danielchacha1305 Год назад
Hivi wewe abdullamasakata ni mnufaika wa mkataba wa DP WORLD? Mbona hauna adabu wala uzalendo?
@Sisopotashiumz
@Sisopotashiumz Год назад
Tunaombeni kadi ya chama tusimamishe nchi kwa sera na akili,na sio elimu,elimu bila akili ni ujinga ulioboreshwa kwa kiwango cha chuo kikuku.
@justinejackson-es3tp
@justinejackson-es3tp Год назад
Niheri mwizi uliemzoea kuliko mwizi mpya ambaye ni mnyilamba
@sadikathumani1003
@sadikathumani1003 Год назад
kwani huyo mwigulu nchimba ni mchaga?
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Год назад
Bora Mwigulu kuliko Yule anaekaa na wazungu anawaomba maokoto ili awatetee kukamata Mali na ndege zetu,Yeye anauzalendo upi?
@janeemmanuel3615
@janeemmanuel3615 Год назад
Utafanya nini, malalamiko club
@brightonshoo6312
@brightonshoo6312 Год назад
magufuli alifanya ya hovyo tena?? unatuchanganya sasaa nahisi haupo 100%correct ila una content nzuri apart
@twahirmjeda4580
@twahirmjeda4580 Год назад
Leo magufuli Ndo imekuwa unampenda lisu dah kwa hakika wewe mnafki mkubwa hapa duniani😂😂😂cjapata kuona jamaa muongo duninia nzima😮😮😮😮
@jumahante1900
@jumahante1900 Год назад
hante
@Halfanhemedi-ec2cp
@Halfanhemedi-ec2cp Год назад
ongea point ukipewa nchi unamikakati gani unaongea pumba
@brunokimaro1053
@brunokimaro1053 Год назад
Nchi anapewaje mzushi Kazi iendelee
@thomastemu3332
@thomastemu3332 Год назад
Anaongea Mavi tu..Mi sijamwelewa badala aseme ya chadema anaambia watu siasa za abunuwasi kila Mara ana jipya mara Bandari mara mawaziri mbona haeleweki kama kipanga 😂😂
@innocentmwakibete8060
@innocentmwakibete8060 Год назад
Nchi yenyewe mtampa kweli?? Au mnataka aongelee tu akipewa nchi atafanya nini na mwisho wa siku nchi yenyewe hampi. Mwache atoa hoja zake na nyie jibuni hoja zake kwa hoja sio kuongelea akipewa nchi atafanyaje wakati uchaguzi haujaanza
@innocentmwakibete8060
@innocentmwakibete8060 Год назад
@@thomastemu3332 mi mwenzio namwelewa kweli sijui kwa nini.
@RamadhanMohamedi-j3d
@RamadhanMohamedi-j3d Год назад
Ovyo tumegunduwa miongoni mwa walioingiziwa mabilon unayatumikia
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Год назад
Sasa amepona na anatembea Kwa miguu yake nadhani angalikuwepo mwendazakeee!alishazimaa zamani huyuu!
@WeremaWangwe-l9l
@WeremaWangwe-l9l Год назад
Bora huyu anaesema kuliko wanaonyamaza
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Год назад
@@WeremaWangwe-l9l huyu Hana jipya kazi yake kuropoka Tu!na kumsingizia watu uongo ili nyie musiokuwa na tafskuri muhemukwe!
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Год назад
Nimegundua kitu Kwa Watanzania na hasa Watanganyika wao wanafanyakaxi Kwa kuambiwa na bila ya kutafakari,Kwa mfano huyo anatejiita mwanasheria nguli (Mwabukusi na Slaa)eti wanashangaa Rais kuteuwa NAIBU Waziri Mkuu! wao kidhsti kabisa wanakuwa katiba inamruhusu lkn Kwa sababu wanakuwa akili za Watanganyika zilivyo basi wamewahemua na kuhemuka!nadhani wao wangalisema kwamba katiba inampa mamlaka makubwa Rais sasa ni muda muafaka tuwe na katiba inayoendana na mazingira ya demokrasia hapa tungemuelewa Sisi tunaotafakari bila kuhemukwa!
@mohamedmakamba5746
@mohamedmakamba5746 Год назад
Huwez kupata nchi kwa style hiyo,wewe tangaza sera zako tu acha kuongea uongo,kwan nani yupo gizani hiyo bandari ipo miaka yoote kipi cha maana ulichowahi kushauri juu ya hiyo bandari
@yusuphswaibu8532
@yusuphswaibu8532 Год назад
Acha ujinga wewe
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Год назад
Umeishiwa rudi ukimbizini ubeligiji tuondolee ushoga na usagaji hapa, Kwani wewe umeifanyia nini nchi kibaraka mkubwa wa wazungu,Wewe kipindi ni mbunge ulisaidia wangapi?Kipindi cha Magu ulikuwa wapi shimoni au maficho gani,Magu angekuepo usinge ropoka ujinga ujinga kama huu,Sema mama karuhusu demokrasia alafu mnamdharau wakati kawatoeni mafichoni.
@innocentmwakibete8060
@innocentmwakibete8060 Год назад
Demokrasia ni haki ya kikatiba so imeruhusiwa na katiba
@justinejackson-es3tp
@justinejackson-es3tp Год назад
hatukutaki we mwenyewe ukipewa nchi hutoiba
@PantaleoBundala-tl2kd
@PantaleoBundala-tl2kd Год назад
Nibora tumpe yeye kuliko ccm wanafiki wakubwa!! Majizi yanayorurudisha nyuma kila mwaka.
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Год назад
Wajinga na wavivu ndio watakuunga mkono sio werevu.
@jonathanntare4787
@jonathanntare4787 Год назад
Pumbavu la kutoka ZANZIBAR
@phabianshimba6791
@phabianshimba6791 Год назад
Wewe una uelewa Gani kama sio porojo tu
@jeffhard5773
@jeffhard5773 Год назад
Naona umekuja Kama kamas Sasa unategemea Nini zaidi ya KUPENGWAA!!
@ezekiakiwovele7794
@ezekiakiwovele7794 Год назад
Akiri zako ndog sana
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Год назад
Kati ya Mimi na wewe nani juha? Maana ungekua unajielewa usinge ropoka matusi badala ya kujibu hoja, Mnakimbia hoja za msingi embu niambie kalifanyia Nini taifa hili,Jema gani alilofanya Hadi taifa ijivunie kama Mtanzania tuambie tujifunze,Hawa sindio waliokua wanakaa meza Moja na wazungu ili kutetea maslahi Yao?Kwani waliokua wanahamasisha kushikiliwa Mali na ndege zetu walikua wakinanani?Vipi umesha wahi ona wakitetea maslahi ya nchi yetu ulaya?Wapi ulisikia wakiwa ulaya au Nchini wametoa waraka wakupinga ushoga na usagaji kama kweli Wana Nia njema Kwa taifa hili?Au Wapi ulisikia wakihamasisha watu kupinga ushoga hadharani,?,Zaidi watakwambia huo ni Uhuru wa faragha,Sasa mimi niwaunge mkono Kwa juhudi za kutafuta madaraka na kujificha kwenye katiba mpya,Siasa sio matusi Wala Ugomvi Bali ni maisha, Demokrasia wanaililia lakini wanakosa vifua vya kuhimili kishindo chake maoni na mapendekezo ya Wengine kwao ni mwiba, Huwezi jiangalia kisogoni Kwa macho Yako tu.
@thomastemu3332
@thomastemu3332 Год назад
Wewe fanya siasa achana na rais mbuzi wewe
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi Год назад
Kwahyo Mh.Rais sio mwanasiasa?😂😂, na ni siasa gani inayokataza kumuongelea Mh.Rais?
@florencemwamkoa1264
@florencemwamkoa1264 Год назад
Wewe hunajema hata moja.Wewe ukipewa nchi utafanya mabaya zaidi yahayo unayoyaona kwawenzako
Далее
ТЕСЛА КИБЕРТРАК x WYLSACOM / РАЗГОН
1:40:47