Тёмный
No video :(

KAULI YA WAZIRI SILAA BAADA YA KUIBUKIA MRADI WA SAMIA, ATOA MAAGIZO "MIJI MIKUBWA IJENGWE" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 15   
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 11 месяцев назад
Tuendelee kuwa Wazalendo na kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Dokta Samia katika Utekelezaji wa Maendeleo Nchini. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee.🇹🇿🇹🇿
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 11 месяцев назад
Well said, Mh Waziri. You are smart 😊
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 11 месяцев назад
Kila.wilaya.jengeni nyumba A gorofa moja. Moja jamani
@richardbegga6679
@richardbegga6679 11 месяцев назад
Hizo Nyumba wajenge hata Miji mingine mana Mji kama Mwanza Arusha na Mbeya hizi nyumba wakijenga watauza tu
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 11 месяцев назад
Jengeni Dar es salaam kwanza kariako na posta pamoja na upanga
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 11 месяцев назад
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inatoa Dira nzuri kama Wizara kiunganishi kwa Wizara zote maana hauwezi kufanya Miradi yeyote bila kushirikisha Sekta ya Ardhi. Hongera Waziri Jeryy Silaa unatekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi na unaendelea kumsaidia Mheshimiwa Rais Dokta Samia Kutatua Changamoto za Ardhi na Makazi. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee🇹🇿🇹🇿
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 3 месяца назад
Leteni wilayani karqgwe wajengee.watumishi.pale.zilipo NHC ZA ZAMANI ZIVUNJWE imechakaa
@DrFatmaKhanPanAfrikan
@DrFatmaKhanPanAfrikan 11 месяцев назад
National Housing vijijini
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 11 месяцев назад
Jengeeni walimu.ny7mba jamani. Mnapqta.dhambi kila.shulemioqte nyumba 20
@user-rv7zt6tj3d
@user-rv7zt6tj3d 11 месяцев назад
Waziri tembelea na mkoa wa singida tafadhali miradi kule imelala ttz nn!?
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 11 месяцев назад
Myapachike majengo majina ya kiswahili seven eleven ya Nini iteni saba kumi na moja, Square ya Nini iteni Kona tukuze kiswahili
@mrbolt8194
@mrbolt8194 11 месяцев назад
Punguza misifa anzachangamoto zawanainchi njoo kasulu tumelipa pesa zailasimishaji hawaji kupima wizalayako imejaa majambazi
@user-tj2sc8yz5h
@user-tj2sc8yz5h 11 месяцев назад
Ombi langu kwa mheshimiwa ni lilelile. Asaidie kumaliza mgogoro wakati ya DDC na mitaa ya Mbopo, Mabwepande, Kibesa na Kisauke kutoka manispaa ya Kinondoni pamoja na mitaa ya Msumi, Tegeta A na Goba Kulangwa kutokea manispaa ya Ubungo.
@user-cw7fn4zz2z
@user-cw7fn4zz2z 11 месяцев назад
Hamna lolote mbwembwe tu
@laurentwilson-db4ir
@laurentwilson-db4ir 11 месяцев назад
🙄🙄
Далее
아이스크림으로 진짜 친구 구별하는법
00:17
Х..евый доктор 😂
00:15
Просмотров 127 тыс.
아이스크림으로 진짜 친구 구별하는법
00:17