Тёмный
No video :(

KERO SGR, SITI MOJA KUKATIWA WAWILI, KUCHELEWA KUONDOKA, MKURUGENI AKIRI ZIPO, AFAFANUA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 61   
@raymondsekabigwa5907
@raymondsekabigwa5907 2 месяца назад
Kero mavazi mafupi ya wahudimu WA kike. Hivi kutuonyesha mpaja ya mabinti hawo ndo utamaduni gani huo? Kwani wakivaa nguo za kistaarabu inakuwaje?
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 2 месяца назад
Yale si mafupi
@georgewilliam6001
@georgewilliam6001 Месяц назад
Ni ushamba
@samasob8233
@samasob8233 Месяц назад
Mzee ulitaka wavaeje?
@samasob8233
@samasob8233 2 месяца назад
Hongereni sana TRC, huduma zitakuwa nzuri tu, tunaamini hivyo, teething problems are expected and can be dealt with due time, wakati huohuo endeleeni na huduma nzuri tuliyoisubiri kwa hamu, safi sana lakini msimsahau muasisi wa mradi Mh Magufuli aliyekuwa na uthubutu wa kufanya kitu hiki kikweli kweli si kimakaratasi yaliyokaliwa ofisini miaka nenda rudi
@GodlivenMaximillian-ot7mg
@GodlivenMaximillian-ot7mg 2 месяца назад
Hongereni sana TRC WAZO: Msiweke manyimbo ya ovyo ovyo mle acheni documentary za kawaida za kizalendo. Manyimbo ya matusi na watu ambao hawavai nguo kama kwenye mabasi haipendezi, acheni.
@abdulwaheedsheikh8015
@abdulwaheedsheikh8015 2 месяца назад
Hata sauti, volume iwe ndogo, sio wote wanapenda kelele
@GodlivenMaximillian-ot7mg
@GodlivenMaximillian-ot7mg 2 месяца назад
@@abdulwaheedsheikh8015 Ni KWELI kabisa, daaah tumechoka na uhuni wa kwenye mabasi ngoja tupumzike huku ukisafiri from Dar to Dodoma unafika kichwa kinauma
@maase2023
@maase2023 2 месяца назад
Duh mapema yote hii tena
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 2 месяца назад
vina mudaaaaaa basi achieni wazungu 😂😂😂😂😂
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 месяца назад
😂😂😂😂😂
@noeljuvenalmunishi75
@noeljuvenalmunishi75 Месяц назад
Huyu jamaa anachukulia maswali sensitive kwa wepesi sana. TRC must be serious Even Single minute delay should not happen
@listerkongola6872
@listerkongola6872 2 месяца назад
Tatizo lilelile "denial of the truth" na kukataa ukweli. Wengi tumeshasafiri sana duniani,hakuna matatizo kama haya!! Kubali ukweli,toa solutions. Kulikuwa na muda wa kutosha wa majaribio,sasa tatizo tena nini??
@Majhidymhessa
@Majhidymhessa 2 месяца назад
Acha uongo ndugu!!! Hata Ulaya Delay za 🚆 Train zipo hadi zaidi ya masaa. Mimi mwenyewe naishi Ulaya zaidi ya miongo miwili na nusu sasa
@Majhidymhessa
@Majhidymhessa 2 месяца назад
Tujipe muda ndiyo kwanza tumeanza jamaani. Kikubwa tupo ndani ya mifumo ya kidunia.
@samasob8233
@samasob8233 2 месяца назад
Acha uongo ndugu!! labda useme dunia ambayo na sisi wengine hatujasafiri! Uingereza, Switzealand, Poland, Norway, Sweden na hata hao magwiji wa uchumi bara la Ulaya Ujerumani, changamoto ni hizi hizi, delays happen, technical faults na unatangaziwa mapema tu, kukutayarisha kisaikolojia, tuambie wapi mwenzetu hakuna hizo changamoto za treni? TRC wanajitahidi sana na waendelee tu, service zitaimprove
@magorymara5515
@magorymara5515 2 месяца назад
Huwa mnachelewa kwasababu ya wizi ama ya kiusalama kwenye miundombinu​@@Majhidymhessa
@Nedjadist
@Nedjadist 2 месяца назад
We are not serious because we are used to be pushed. Bring a manager from Germany and there will be no changamoto! It is demeaning, but truth.
@djovitadiyami6085
@djovitadiyami6085 2 месяца назад
Futeni hilo meno changamoto.HAMJUI NENO 'COMPETENCE' na hamko tayari kufanya hudumuma kwa viwango vya kimataifa....bado ni 'uswahili' maneno kibao HERI contract out management kama Kenya walivyofanya waendeshe wachina miaka 5 nipate mafunzo kijeshi.
@Nedjadist
@Nedjadist 2 месяца назад
Matamko haya yaondolewe kwenye msamiati wa Kiswahili: changamoto, ajali, bahati mbaya, matatizo, kupambana... Hata hiyo fibre kukatwa, kwa nini hamkuwa na back up? Mara fulani taa za kuongozea ndege Kilimanjaro airport zilipata shoti. Ndege zilielekezwa Uganda. Watalii wengine iliwachukua siku tano hadi kuweza kufika! No back up hata uwanja kama KIA! Hiyo ndiyo Tanzania! Halafu kujisifu sanaaa hasa awamu hii, kama watoto!
@RAHIMAWAZIRI-ik2kq
@RAHIMAWAZIRI-ik2kq 2 месяца назад
Kiukweli wanajitahidi kwenye muda... Wanamsimamo mzuri mno. Leo nimechelewa kukata ticket, dakika kumi na tano kabla ya safari wanafunga madirisha ya ticket. Dakika tano kabla ya safari wanafunga milango ya mabehewa. Wanaondoka ndani ya muda. Wengi waliokata nimeshuhudia wakiachwa leo. Kwnye siti hapo nilipata changamoto one time.. Ikabidi mim na mtoto wangu tutengwe siti ilihali tulikata siti za kufuatana. Sina hakika kama wameweza kutatua hii ishu ya siti number.
@Mohamed-sc6bk
@Mohamed-sc6bk 2 месяца назад
Hatuja😂zoea kujitawala tumezoea kutawaliwa ivo ndio hujuw number ya siti nauweze kuuza kw mujibu wa tickets
@fatumahassanduale4701
@fatumahassanduale4701 2 месяца назад
Hayo ni mambo ya kawaida Kwa shughuli mpya,ila yatatuliwe na yasijirudie.
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 2 месяца назад
Usitetee ujinga na tusipokua makini itakua kama mabasi ya mwendo kasi
@kidsontemba1641
@kidsontemba1641 2 месяца назад
HONGERA SANA MUHESHIMIWA KADOGOSA HAKIKA UMEPAMBA MENGINE TARATIBU TU YATAKAA SAWA USHAURI WANGU ENDELEA KUSIMAMIA VIWANGO TUTAFANIKIWA
@YasreArafat-kk9en
@YasreArafat-kk9en 2 месяца назад
Anajitetea Sana mwishoe ni uongo Wanaosafiri ndo wanaolalamika Ilitakiwa uwe upande wa wananchi Hujatetea hata kidogo manake hayo yote yanayomzungumzwa yafanyieni Kazi Na muaeshimu wananchi
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 2 месяца назад
KWA UKWELI NA UWAZI.... TANZANIA BADO HATUFAHAMU UMUHIMU WA ,KUTUMIA MUDA KWA WAKATI(ON TIME).... -WAZO: OMBI KWA WAZIRI WA ELIMU ,KUWEKA SOMO HILI....MUDA...AU WAKATI ...KATIKA SHULE ZA MSINGI...KAMA ZAMANI .(SAYANSI KIMU).....INGAWA KWA SASA ,HAKUNA
@user-xg6fx4jm3h
@user-xg6fx4jm3h 2 месяца назад
Mm sipendi meneja wa kusema changamoto kwani hizi changamoto mwanzo wa majaribio hamkuziona ????na vp mnaanza kazi rasmi tena mnakuja na changamoto tena
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 2 месяца назад
Huo ndio upuuzi inakuwaje siti 1 watu 2? Aibu sana kwa karne hii.
@kamazima11
@kamazima11 2 месяца назад
Mwendokasi ( DART ) mwanzo ilikuwa ni nzuri ila kwa sasa hivi ni Kama wakimbizi wanagombania chakula hali ni mbaya mno, SGR naanza kuona tunaelekea kwenye DART , sijui kunashindikana nini kwenye utunzaji wa hizi mali za watanzania 😮
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 2 месяца назад
Tuna ujinga mnoo na upuuzi mwingi hatujawahi kuwa serious na jambo lolote unashindwa vipi kucontrol na unajua wakuingia wangapi na tiketi ulizouza na ndo maana washaanza kuita wawekezaji maana wao kuweza hawawezi bora wawaite tu hao kina bakharesa basi
@lilyjones3584
@lilyjones3584 2 месяца назад
Mapema yote hii tumeshaanza kuuziwa siti moja watu wawili!!! Tanzania Tanzania tumetia fora kwa magumashi!!!
@guydonacklandgereta3805
@guydonacklandgereta3805 2 месяца назад
Lazima watu wajifunze kwenda na muda inapofika muda wa kuondoka hata kama train Ina watu kumi inatakiwa train iondoke kwa kufanya hivyo watu watakuwa makini na muda
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 месяца назад
Yatakuwa kama magari ya DART
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 2 месяца назад
Muda wote nimeipanda wanaondoka ontime. Changamoto ilikuwa kiti kimoja watu wawili.
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 Месяц назад
Mbona mambo ya kusema changamoto yanaanza mapema? Kwani muda wa kuondoka haujulikani, tiketi zinakatwa kwa mkono? Kama sivyo siti moja wanapewaje watu wawili?
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 месяца назад
Kumekucha!
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po 2 месяца назад
Milrad jitahidi upate picha za kwetu naona unaweka picha za wakenya achananazo kaka
@jumandegwakazee
@jumandegwakazee 2 месяца назад
Chuki itakuwa unaka kama mchawi ameamuka akiwa uchi
@kisutabora5914
@kisutabora5914 2 месяца назад
Mie napenda kujua kama msafiri ana mabegi mawili au matatu ametoka airport na anataka kusafiri na SGR, utaratibu wa station kupokea mabegi upoje?
@user-xg6fx4jm3h
@user-xg6fx4jm3h 2 месяца назад
Kaka kadogosa sisi watanzania tunajua Porojo tu si wakurugenzi wala wakuu wa idara na ninavyo kuona kadogosa ushaanza kutupanga na maneno ya kuamini kwamba changamoto ndio zitakazo ua shirika tena ambazo haziepukiki mbona mapema sana unatutisha
@user-pv9zh3oz5t
@user-pv9zh3oz5t 2 месяца назад
Tatizo trc niwa swahili hawapo proper hata ya meter gauge nihivyohivyo
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 2 месяца назад
Kadogosa anatania tunapanda ndege mbona hakuna tatizo? Wizi ushaanza watu wanao ongezwa kwenye hesabu hawamo kwa sababu kinacho hesabiwa ni wanao kaa kwenye viti. Kwa mfano una mabehewa kumi na una jua kila behewa lina beba watu mia moja unauzaje tiketi mia na kumi? Kadogosa anasema kuhusu watu kusema ndio treni imeanza lakini kwa gharama kubwa sana kupita makadirio yake na hayo yalisemwa na CAG. Tatizo ni wizi au njama za kukabidhi kwa watu binafsi kama bandari tumeitanua kwa fedha za kodi zetu halafu tumempa mwekezaji ambaye hajachangia.Tufanye kama china ukiiba au kuhujumu Mali za Uma au rushwa hukumu yake kifo nchi yetu itaendelea haraka sana.
@mpefu_4936
@mpefu_4936 2 месяца назад
Unatelezaje kwenye kazi kuweni makini acha umangumashi
@user13375
@user13375 2 месяца назад
Tayari mbwa mwitu washavamia😢😢😢😢
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt 2 месяца назад
Hujuma zimenza hili shirika alifiki mbali tanzagizayetu
@bilid4128
@bilid4128 Месяц назад
Bado kunguni siku sio nyingi mtakuwa nazo hapo Kwenye SGR
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Месяц назад
😂😂😂😂😂
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 2 месяца назад
Only in Africa 😂😂😂😂😂
@elianzenge9500
@elianzenge9500 2 месяца назад
Jamani naonbaa mnisaidie kwa dar tren stesheni yake iko sehem gani kama nataka nipandie tren dar plz wadau nambieni
@S-am-salum
@S-am-salum Месяц назад
Kipo mbele kidogo baada ya flyover ya bandari... Au ukifika tu kariakoo..... Uliza ilipo stesheni utaelekezwa....... Kama kituo cha basi ni goldstar, barabara - Nyerere road
@Nedjadist
@Nedjadist 2 месяца назад
Ipe miezi mitano tu, rudi uitazame!
@vom84
@vom84 2 месяца назад
Tayari
@mpefu_4936
@mpefu_4936 2 месяца назад
Tunaomba mfike na kagera
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 месяца назад
Duh mbona aibu sasa🙄🙄🙄🙄
@dancerboy2686
@dancerboy2686 2 месяца назад
changamoto zmeanza
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 2 месяца назад
Changamoto ni lazima zitokee ili ndio ujue vya kuzitatua
@kisutabora5914
@kisutabora5914 2 месяца назад
Mie napenda kujua kama msafiri ana mabegi mawili au matatu ametoka airport na anataka kusafiri na SGR, utaratibu wa station kupokea mabegi upoje?
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 месяца назад
mabeg yanaruhusiwa ila sio sulfetiau viroba bigno
@Nedjadist
@Nedjadist 2 месяца назад
Hakuna utaratibu...bado twashugulikia hatukufikiria mtu atakuja na mabegi kutoka airpor. Tulijua atakuja nayo kutoka bandarini tu!
Далее
would you eat this? #shorts
00:29
Просмотров 1,3 млн
The Week Ahead | 17 August 2024
1:38:56
Просмотров 14 тыс.
KwaZulu-Natal 2021 floods impact research reveal
1:56:37