Hongereni lakini macho yenu yawe wazi kabsaaa kuhusu hio kampuni Yaki faransa roho zao mbaa hawapendi maendeleo kwa nchi za afrika ipo tarehi mbaa katika aéroport ya mwalimu nyerere kwa ujengo wakwanza mwaka 80 zaidi ambao mfaransa ndo aliijenga nini lilotea ???? kafuteni document mtaelea uhuni wa ufaransa