Тёмный

KERO ZA JULIUS NYERERE AIRPORT na  

Witness Vlog
Подписаться 14 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 198   
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Habari. Mlinituma niwaletee Elly. Nilipata nafasi ya kufanya mazungumzo naye. Bonyeza link hii hapa kuangalia 👇🏿 NILIKOSA VISA YA MAREKANI MARA 8 | NILIUZA MKOJO WANGU MAREKANI KWA MWAKA MZIMA ru-vid.comqTIa7FZt3Ic?feature=share
@upendogreutert199
@upendogreutert199 Год назад
Kama Mimi siku nasafiri kwa Mara ya Kwanza nilikuwa na nguo zangu Passport Gate Pass niliotumiwa baada ya kukatiwa tiketi na Mhusika alienialika, nimefika Airport naonyesha Documents naambiwa eti sielewi hii documents ya Safari. Nikafungua simu yangu nikamwambia soma hapa, Kama huelewi nimpigie simu alienitumia hii tiketi . Akasema sawa Nenda hakuna shida, so wengine wanakuwaga Ni Kero fulani Fulani
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Imagine 🥹. Tumezoea kusumbua watu ndio kufanya kazi
@ernestnchellu-hl2km
@ernestnchellu-hl2km Год назад
Appreciate sana brother wewe ni mmoja kati ya watu wema sana🔥🔥
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@Justine_Tz1
@Justine_Tz1 Год назад
Duh wabongo tuko nashida sana mungu hatusaidie
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Yani inabidi tubadilike
@ghelimafilemon9653
@ghelimafilemon9653 Год назад
Turkish nilinyanyaswa airport 2019, sitarudia hiyo ndege. Wana silent airport, wanashift gate Kimya kimya kwa makusudi ili uachwe ununue ticket upya, na utalala aiport, utakaguliwa kila baada ya dk 20 pale airport. Ukiwa kwenye que unatolewa pembeni kwa kuwa wewe ni mwafrica wanaanza kukukagua, foleni inaenda wewe umewekwa pembeni. Passport na permit wanaikagua kwa lens, hawaamini mwafrica. Turkish puu
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
😳😳Pole sana jamani. Sema airpot nyingi kubwa ni silent. Yanii sijui wanatuonaje🚮🚮
@happymerry8675
@happymerry8675 Год назад
Ila wakija Tanzania wahudumiwe vizuri Tu,
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Watu wa west Africa hasa wanigeria ndio wamesababisha haya sote black tuonekane ni vibaka tu wabeba unga au tunapeleka uhalifu nchini mwao au tumefoji documents
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 6 месяцев назад
@ghelimafilemon9653 kweli changamoto daaah
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Kwann wazungu hawasumbuliwa sana tofauti na race zingine, wazungu wapo smart sana wanaogopa kuvunja sheria ugenini kwa sababu wanaziogopa jela za Africa,pia awajalelewa malezi ya rushwa,wao uuliza taarifa zote kwa maajenti wa safari ukiona mzungu kafanya kosa kawamisleaded na mswahili.
@AzharluqmanHema
@AzharluqmanHema 11 месяцев назад
Rushwa.. kupita hapo laki tano kwa hao watu ..kama india na thailand.malayisi mpaka utoe hela ukifika juu shukuru mungu
@Witnessvlog
@Witnessvlog 11 месяцев назад
Kwakweli
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 6 месяцев назад
Duuuh nazidi kupata experience daah
@valerieshinia8526
@valerieshinia8526 Год назад
Watching from kenya 🇰🇪 ni ukweli ndugu yangu most of them have not traveled at all aki inauma maana sisi wote ni wa moja mbona wivu na tamaa yaani kupanga safari si mchezo alafu mtu acheze na visa yako😭😭😭😭😭😭
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Exactly it is really sad. Si hata waje Kenya Waangalie wengine wanafanye. Wasalim Kenya
@valerieshinia8526
@valerieshinia8526 Год назад
@@Witnessvlog mimi niko kenya and am telling you it's just the same ..alot of people complaining about the treatments in the airport yani watu wenye rangi nyeusi tunachukiana kabisa
@lilibet1326
@lilibet1326 Год назад
Kweli kaka umesema ukweli wanakera sana wale wahudumu wa airport ata uwe na resident permit wanakuuliza maswali hadi unakasirika.
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Wee usinambie😳😳😳. Maswali ya nini na mtu ana residence permit?
@lilibet1326
@lilibet1326 Год назад
@@Witnessvlog wanaikagua hio resident permit afu wanaulizia unafikia wapi😂 na ukifka hio nchi unaenda nchi nyingine sasa ninakibali ata nikienda nchi nyingine wewe inakuhusu nini si ntaomba visa kupitia nchi ninayoishi ilibidi tu nimjibu ntakupigia simu nikitaka kwenda nchi nyingine.
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 6 месяцев назад
​@@lilibet1326😢kweli changamoto Allah atunusulu
@stellabugingo4071
@stellabugingo4071 Год назад
Na mimi imenitokea mara nyingi mno hizo kero bila rushwa unaweza kulia wanakukaanga na maswali pamoja na vitisho na si tu Airport nna experience ya kunyanyaswa hadi boder ukifika upande wa nchi yako unapata bp kwingine wala. Hivi vitu vinatia hasira sana kwakweli.
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
I can imagine. inakara sana wanakutengenezea kila mazingira uwape rushwa.
@ValerianBampo
@ValerianBampo Год назад
Ni jumbe nzuri. Ahsante witness
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Karibu sana
@romeobulelwa4487
@romeobulelwa4487 3 месяца назад
Ni kweli kabisa, umeongea pwenti muhimu sana, hata mimi niliwai kusumbuliwa na wake wasenge nilikua naenda zangu Japan. Wale ni matapeli na inatakiwa uongozi wa airport uuangalie hilo swala, kweli wanakera sana wale washenzi.
@kadhyajuma3471
@kadhyajuma3471 11 месяцев назад
Ni kweli best yangu yamemkuta z'bar
@gracemkomasy8257
@gracemkomasy8257 Год назад
Asante kwa Elimu Vlog
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Karibu sana
@Ibrahimamanimussa-o8g
@Ibrahimamanimussa-o8g 9 месяцев назад
Iyo kweli kaka wa Tanzania washamba sana wanajifanya wanajuwa wakati awajuwi
@gracemkomasy8257
@gracemkomasy8257 Год назад
Thanks VLog Kwa Maarifa
@IbrahimOmary-d2x
@IbrahimOmary-d2x Год назад
Wanyoosheni kwenye sheria kama kilakitu chako kiko sawa hunahaja ya kulaumu chukua ushahidi kisha panda mahakamani mkifanya hivyo watanyooka.bila yahivyo kazi bure
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Kwakweli tukifanya hivyo watanyooka🙌🏾.
@MAISHAYACROATIA
@MAISHAYACROATIA Год назад
Sstr channel yake inaitwaje huyu???
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
youtube.com/@EllyDavid
@aishahamis1609
@aishahamis1609 Год назад
Ila kweli wanalera utakuta mtu una passport yako viza ipo vizuri una residence namkataba unao lakini wanakuuliza unakwenda wapi ? Mimi walinikera sana eti wakaambiana hakuna kusafiri mpigie boss wako tuongee nae atuhakikishie nilipogiga boss hakua hewani begi limesha pelekwa cargo likashushwa nikarudishwa eti wakasema muache arudi boss wake ana hela atamkatia tiketi nyingine😢 iliniuma sana sana tena mwingine anasema mwache aende si mtu mzima kweni mtoto huyu istoshe amefanya kazi huko muda mrefu anapajua anapokwenda sio chizi niliskia hasira nikarudi home kesho yake waliomba rushwa kwa boss then nikasafiri niliumia sana boss alikasirika alisema tz nchi ya ajabu sana sijui njaa inawasumbua ni aibu
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 6 месяцев назад
Daaah pole sana
@MaulidLihendeko-zu4mv
@MaulidLihendeko-zu4mv 26 дней назад
Airport ya tz haiko busy kama airports zingine duniani ndio maana wanapata muda wa kusumbua wasafiri me mwenyewe ni muhanga wa usumbufu pale uhamiaji.
@Witnessvlog
@Witnessvlog 26 дней назад
Yani kwakweli haiko busy.
@MAISHAYACROATIA
@MAISHAYACROATIA Год назад
HUYO JAMAA SISTER INABIDI UFANYENAE INTERVIEW MTU SANA HUYO TUNAOMBA SANA
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Hata mimi natamani. Nimeshamtafuta Hope tutafanya kitu
@mariamdimosso621
@mariamdimosso621 Год назад
Mimi uwa ananifurahisha sana
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
@@mariamdimosso621 Yuko vizuri sana
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 Год назад
Hyu jmaa ana nondo san
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Год назад
Nondo gani yaani kukuhoji ni lazima sababu ukipita halafu ukafika nchi nyingine kukawa Kuna shida labda Kuna vitu havjakamilika unarudishwa Sasa shirika si litapata hasara we ulieruhusu apite ufukuzwe kazi au ukatwe mshahara wako hebu Niambie milioni 2 Kwa uzembe tu hapana
@dorahmcharo3083
@dorahmcharo3083 Год назад
Hivi umeshawahi kusafiri pale Amsterdam Schiphol Airport ukiwa una connect namna unavyohojiwa mara uwekwe pembeni kidogo. Yaani kero na foleni ndefu ya kugongewa mhuri.
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Haijawahi nikuta. Ila i feel youu
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Conflict of interest wakat wa utoaji huduma,uhamiaji wapo kwa ajili ya usalama wa nchi na Sio kwa ajili ya biashara kama mashirika ya ndege. Ishu za usalama zinahitaji mda zaidi wa kujiridhisha ndipo utoe huduma sahihi kwa mtu sahihi ishu za biashara zinataka mtu asikae kwenye foleni ahudumiwe haraka zaidi ndani ya mda mfupi. Kukaa mda mrefu kwenye que ni ishu za usalama zaidi.
@subiratembo3033
@subiratembo3033 Год назад
Ni kweli mimi baba yangu alikuwa anakuja kwénye matibabu Uturuki akaulizwa maswali mpaka eti annaenda kukojoa Kila baada ya muda gani nililia kwani sijajisikia vizuri kwa kweli.
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Wewe😳😳😳. Ila kweli kuna maswali ya ajabu. Hivi sijui nani anawafundishaga . They are so unproffesional.
@dn.n4983
@dn.n4983 Год назад
Jamani hii kero ebu wasaidia sasa mnawajima mstanzania kwenda kutafuta mbona kuingiza wageni warudiwa kuondoka shida nini hii Rsis ingilia kati hakuna viza miichango turshe ndege hsta bure siosndi better nipande baskeli
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Haki Uhamiaji they should do better
@monicahovda5890
@monicahovda5890 Год назад
Hawana lolote Ni wivu tu unawasumbua watu Wengine. Anawauliza na Wageni wamefwata Nini? Tanzania wakati Kila siki Tanzania inajitangaza kupata watalii ili nchi ipate hela za Kigeni. Mijitu mingene inawekana tu kwenye sehemu za Kazi. Na hawana hata ujuzi wa hizo Kazi. Elimu hamna. Alimladi tu wanawekana na vyweti Mbandia
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Wasipokurudisha lazima utarudishwa tu nchi husika kwa gharama za ndege husika ndo maana kama haujakamilika hawawezi kukuchukua ili shirika la ndege lisipate hasara ukikataliwa na nchi uendapo. Shirika la ndge halipo tayar kupata hasara kwa uzembe wa mfanyakazi ni lazima mfanyakazi akatwe mshahara kwa uzembe wake sasa nauli ya milion 2 atakatwa mda gani.
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 Год назад
Hii nchi ukisema ukweli unageuka kuwa adui,we need to stop that nonsense of fear
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
You are right
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Suggestions box zipo airport zetu pia unaweza tumia hata platform zingine zikiwemo social media mfano jamii forum
@YahyaSaid-nv1ri
@YahyaSaid-nv1ri 5 месяцев назад
Kwel kabisa bro wale Wana roho mbaya Nia Yao wapate Hela au wakukwamishe ucsafiri
@helinahenry2363
@helinahenry2363 Год назад
😂😂 DAAH WANAULIZA MASWAL AMBAYO YANAJIJIBU KWA DoCS, lakini nadhani watakuwa wanabanwa sana na wenyew, c mnaonaga ile camera karbu na mashine ya fnger 😂, mm niliulizwa et shule ya msngi umesomea wapi, nkajiuliza safar yangu na shule ya msngi wapi na wapi jmn😂😂😂 kama hujiamni unaeeza jisaidia hapohpo😭😭
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
😂😂😂😂daah🙌🏾
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Alitaka kujua ulivyopata passport au usahihi wa u Tanzania wako. Swali lolote we ulionalo la kipumbavu kwa elimu ya maswali Huwa Lina kusudi flani unaweza ukajichanganya akapata jibu
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Maswali kuulizwa mengi ni ya mitego ili muuliza swali apate taarifa Fulani ajiridhishe nazo. Kumbuka akihudumia abiria feki au asiyesahihi jela yake au kufukuzwa kazi.
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 6 месяцев назад
​@@heritier5119Daaah mtihani sanaa
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 6 месяцев назад
@helinahenry😢daah mitihani
@OmanOman-ky2oo
@OmanOman-ky2oo Год назад
Ni kweli kaka❤❤❤
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
🙌🏾🙌🏾
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Endelea kutoa kero Serikali ya mama itazifanyia kazi, kuongea ndio kujua kero zipi zitatuliwe
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Zipo njia nyingi za kuhakiki viza ngoja tukahakiki pana mitambo ndani,pana mawasiliano na ofisi za balozi zote,pana mawasiliano na nje uendapo wanatumiwa documents wanaangalia kwenye mitandao yao kama ni zao au ni feki,pana mfumo wa kimataifa wa kuhangalia documents zote
@helinahenry2363
@helinahenry2363 Год назад
Kweli ubaguz kweny ndege upo, mm juzi tu kadada kalikuw kanaptisha glass za maji bahat mbaya maj yakamwagika kwangu na kwa mzungu, akasema dorry kwa mzngu,akamfuta mzngu na mikon yke then haraka akamtelea tissue mm walaaa hakunipa jicho🥴🥴 nkasemaa haashh lidada lizuri la sura libaya la tabiaa😂😂
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
😳🥹🥹🥹 Wee usinambie ungemwambia . Hawa watu need to be confronted wanajikuta spesheli sana. Pole sana
@helinahenry2363
@helinahenry2363 Год назад
@@Witnessvlog shukrani
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Pole, ubaguzi ni asili ya race zisizofanana hata sisi ni wabaguzi
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 6 месяцев назад
Ungemwambia aache utumwa na roho mbaya
@alainkatini3107
@alainkatini3107 Год назад
Hongera Sana kwa maneno yako yenye busara. Naomba Namba zako za Simu ndugu yangu.
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Kamfolo instagram @ elly david
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 6 месяцев назад
​@@Witnessvlog RU-vid anatumia jina gani hana channel
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 Год назад
Roho mbaya ndo shida ya bongo
@sophiaselemani2474
@sophiaselemani2474 8 месяцев назад
Hata flaydubai waudum wanadharau sana tena haswa kale kachina kafupi mbwa kale
@Witnessvlog
@Witnessvlog 8 месяцев назад
😂😂eeh asante kwa kushare
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 6 месяцев назад
Daaaah😂
@halimaally23
@halimaally23 Год назад
Tatizo wakisha kuwa na vyeo basi wanaona maisha wameyapatia
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Sad yani . Sijui tutabadilika lini
@sporastica7174
@sporastica7174 Год назад
Airport naichukia ni ya dar es salaam😂kama unataka usipate usumbufu uwe unacheka cheka tu kama chizi wakianza kukukagua na uwahi tu kufika airport maana unaweza ukaachwa kisa wanakukagua😂😂😂nilitoka ujeruman na visa ya Thailand nikaenda Tanzania holiday wiki tatu then niende Thailand kisha ujeruman nusu niachwe ndege uzuri nilikata qatar nikaenda kwa desk kuwaambia wakapiga simu ubalozi nikaachiwa nimeenda nakimbia kwenye ndege niko wa mwisho😢
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
😂😂🙌🏾🙌🏾 ukiwa serious imekula kwako
@sporastica7174
@sporastica7174 Год назад
​@@Witnessvlog wana wivu and not professional hasa wanawake 🙄nazan kuhus Turkish airways kama unajua una connect ndege zaidi ya masaa matano hakikisha tanzania unapata karatas ya offer ya hotel so hili linaweza kuwa sio kosa la ndege bali kosa lilifanyika tanzania
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Hapo nadhani kutakua kulikua na delay ya ndege. Kama ndege ndio wamezingua ni wajibu wao kuwapa accomodation
@sporastica7174
@sporastica7174 Год назад
@@Witnessvlog maybe lakini my favorite emirate Turkish na qatar I always have good experience for 7 years now Ethiopian airline ndo ndege yakuacha kupanda 😁😂 I did two time I will never ever again
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
I understand you . Kuna watu wana best experience
@شهابالنبهاني-و6ض
Umeongea ukweli kk maana wanatusumbua sana
@mwalimualli3076
@mwalimualli3076 Год назад
Kama wao wanajua sana wamuulize Tundu Lisu kwanini anakwenda nje ya nchi na kurudi kama anapakia Daladala. Unaongea ukweli sana.
@abdifatahduchtholland5473
@abdifatahduchtholland5473 Год назад
Mimi kila niki enda afrika nina safari nayo klm ni mzuri sana iam dutch national asili yengu ni afrika
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Asante sana kwa nyongeza. Mi mwenyew natumia hio na sijawahi kua na experience mbaya however wengine wana bad experience.
@ChizaSaidi
@ChizaSaidi Год назад
Hahahahaha mie washawah kunikataza nisiende italy et kwa sababu sina sojono😂wakat mie natumia british passport
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Sojono ni nini tena
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Kwann utoe rushwa ukiwa umekamilika wengi hawan elimu ya safari ingekuwa hivyo basi watz wengi wasingesafiri kwann utoe rushwa,kwann usiripoti mamlaka za juu
@Josh_1194
@Josh_1194 Год назад
Mwaka 2021 during corona time walinizungusha sana, hadi ndege ika board , af mind you mimi nina indefinite leave to remain (uk) baada ya ndege kusepa ndo wakarudi wakasema sorry , niliwareport na nn but ilikuwa kero sana
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Eeh pole sana. Na walilipa hizo cost za ndege?
@Josh_1194
@Josh_1194 Год назад
@@Witnessvlog no they didn't, waliongea tuu na shirika la ndege n wakanpandisha daraja baada ya kuwakaanga sana
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 6 месяцев назад
​@@Josh_1194Safi sana ulivowakaanga
@emilenayuburundi2350
@emilenayuburundi2350 Год назад
Nikweli kaka
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
🙌🏾🙌🏾
@MariamIbrahim-wq5re
@MariamIbrahim-wq5re Год назад
Ni kweli kbs hilo lipo
@magesadavid7708
@magesadavid7708 Год назад
Uyu jamaa tunaomba ufanye nae live 😀😀😁
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
🤣🤣🤣yani anaongea kwa msisitizo
@moshirajabu5148
@moshirajabu5148 Год назад
Kweli kaka
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
🙌🏾🙌🏾
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Camera kila kona hio rushwa ataichukulia wapi wakat anapohudumia juu kuna camera ujatendewa haki kwann usiende lalamika sehemu husika achukuliwe hatua,tuache tabia ya kulalamika hovyo wabongo tufuate taratibu za safari uliza taarifa za kutosha. Nenda airport kahakiki taarifa zako ndipo ukate tiketi mtaani.
@sariamichael4667
@sariamichael4667 8 месяцев назад
Inaonekana ujawai kusafiri ngoja siku ya kukute ko hawa watu wote wanaolalamika ni wajinga au
@HalimaKisandu
@HalimaKisandu 2 месяца назад
Usikute anahusika ndo anawatetea
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Tapita canada November hope to see you
@happymerry8675
@happymerry8675 Год назад
Nilitamani kujua taasisi hasa inayowasumbua abiria kumbe ni hao airline basi wajitahid sana kuboresha mazingira maana ile ni biashara
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Exactly
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Kuulizwa maswali ni lazima hata ya kipumbavu zile ni technic za kutafuta taarifa fulani ili mtoa huduma ajiridhishe akihudumia abiria asiye sahihi jela inamuhusu, kufukuzwa kazi au vinginevyo, wanafanya kazi kwa miongozo na sio kwa uamuzi wao binafsi wanafata sheria za nchi na za kimataifa.
@mishigwan6598
@mishigwan6598 Год назад
Mbona nchi za wenzetu hawafanyi hivyo au wao hawafanyi kazi
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
@mishigwan6598 Swali zuri
@reganmartin5485
@reganmartin5485 11 месяцев назад
Muuliza maswali ni mtoa visa na siyo mkagua visa
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Год назад
Kwakweli Tz eaport hapana wanaudhi sana
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Sikatai yani
@MariamIbrahim-wq5re
@MariamIbrahim-wq5re Год назад
Ni kweli wanarudisha watu wengi
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Kwa ambao awajakamilika
@amourhemed4343
@amourhemed4343 9 месяцев назад
Niagra je vipi brother
@mfaumemkoma-ey2jd
@mfaumemkoma-ey2jd 8 месяцев назад
Ndugu umefanya vizuli sana kutoa hividio ilitatizo lipoapo nyumbani tanzania wamekua wasumbufu sana haswa apo mwalim nyerere eapot mimi mwenyewe niliondokea nailobi
@Witnessvlog
@Witnessvlog 8 месяцев назад
Kwakwei kero zimekua nyingi
@SolangeAziza-f1l
@SolangeAziza-f1l Год назад
Kaka mtalifikisha sehemu husika nitumie no nikupe mawasiliano mao wawa myoshe
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Kosa lipo kwa wakata tiketi maajenti wao wanaangalia maslai Yao bila kuhakiki documents
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Hata ukienda omba viza kwenye balozi huwezi pewa tu viza kama ticket maswali lazima uulizwe.
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Год назад
Wanafanya kazi Kwa miongozo yaani wewe unataka wapite to kisa wana visa hapana wewe ndio hujui ndio maana unaongea hivo kisa wazungu kwani wazungu ndio majambazi wakubwa broo mm naishi dar lakini ticket yangu ilonesha nipite Zanzibar na niliulizwa hivo.hivo kwanini unapita huku nikamwambia jinsi ilivyokuwa akaelewa nikapita lakini wengine walirudishwa hivo yaani wakuruhusu upite tu thubutu
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Mtu anarudishwa mara tatu we uoni ni tatizo lake,kama amekamilika documents ina maana hazioni mamlaka husika akatoe malalamiko
@rab792
@rab792 10 месяцев назад
Turkish air ni wahuni bora utembee kwa miguu
@Witnessvlog
@Witnessvlog 10 месяцев назад
Alooo😃
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 6 месяцев назад
😂😂😂😂@rab792
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Shida ni elimu ya kutosha kuhusu safari ukiwa umekamilika unazuiliwa vipi kama ujatendewa haki si unaripoti mamlaka za juu afisa yeyeto yeye sio mamlaka ya mwisho
@hidayakisensi2747
@hidayakisensi2747 Год назад
Hata passport hawana ila usumbufu tu wanakera sana yani
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
😂😂🙌🏾 sana yani
@tatumzelela5515
@tatumzelela5515 2 месяца назад
Shida ipo Airport na bandarini yaani shida juu ya shida
@Witnessvlog
@Witnessvlog 2 месяца назад
Sana yani ni keroo
@karlschrader4026
@karlschrader4026 9 месяцев назад
Wapuuzi sana
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Hizo ndege zipo airport zinatoa huduma hata kabla wewe haujazaliwa hadi leo zinajaa achana chuki.
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Ndo maana mnaambiwa wahi masaa 3 kabla ya safari ili kama kuna tatizo la kutatua kabla ya safari litatuliwe,sasa we unakuja nusu saa kabla ya ndege kufunga mlango so unataka ndege ikusubirie wakat ndege uenda kwa ratiba
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Unaruhusiwa kusafiri ukifika dk 40 kabla ya ndege kuondoka. Na sio dk 30 Any way ukifika mapema zaidi ni vizuri sana na kuna punguza stress
@salumbujjo2320
@salumbujjo2320 Год назад
Kaka mfumo ndio tatizo ilikuwa shwari 2015- 2020 baada ya hapo 🤮🤮
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Mfumo mbovu haswwaa
@jacqlinejames7568
@jacqlinejames7568 Год назад
Ndo zao hzo hata mm walinikazia na ninadocument nikatoa laki tano na elfu40 ili nisafiri inakera kiukweli
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Aisee mbona pesa nyingi hivi?? Shame on them
@joblulandala8614
@joblulandala8614 3 месяца назад
Watu waliopo ktk ofisi za Umma wengi wao ni wabinafsi na wanafanya hivyo ili kutengeneza mazingira ya rushwa!, Hawa watu ukiwakuta ktk hizi ofisi ni mingus watu!, ALIWAWEZA MAGUFULI TU!, WAKATI WAKE WATU WALIBADILIKA NA KUFANYA KAZI
@Witnessvlog
@Witnessvlog 3 месяца назад
Kwakweli tutamkumbuka
@azamakulwa4604
@azamakulwa4604 Год назад
Anasema ukweri kabisa
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
🙌🏾🙌🏾
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Kuulizwa maswali ili wajue upewe huduma ipi stahili so mnataka muingie tu kama bubu je akiingia gaidi je si ndo wa kwanza kulalamika
@subiratembo3033
@subiratembo3033 Год назад
Qatar's airways wanajali sana wateja japo bei zao zipo juu.
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Vitu vya bei ndogo navyo vina kero nyingi kwakweli.
@ChrisZLC
@ChrisZLC Год назад
Naunga mkono. Qatar waliahirisha safari kwa sababu za kiufundi pale KIA na wakanilipia hotel Kibo Palace.
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
@la-safarisbeachholidays6713 Wow wako vizuri. And that's how customers should be treated
@mariamdimosso621
@mariamdimosso621 Год назад
Ngoja nicheke😂😂
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Alooo😳😂
@jhbakili9483
@jhbakili9483 3 месяца назад
No choyo kichovuka mipaka na tamaa.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 6 месяцев назад
👍👊✌️.
@Paula-zo2ev
@Paula-zo2ev Год назад
Naitaji kukuona in box
@Deeqoadann
@Deeqoadann 5 месяцев назад
Rushwa inaa wajanganyaa
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Viza feki, show money, ticket feki zipo tele kariakoo na watu kibao wamepigwa,ndo maana ya kuhoji umepataje viza
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Asante kwa maoni yako
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 Год назад
Wachane mwamba
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Kabisa aisee
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Maswali ya ajabu ajabu lengo ni kupata taarifa sahihi.
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 Год назад
umepata wapi hiyo
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Unampaje rushwa kama visa ni halali
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Kamata ushahidi peleka mahakamani
@MariamIbrahim-wq5re
@MariamIbrahim-wq5re Год назад
Sauti ndogo
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
pole
@DotoSimbe-de6ir
@DotoSimbe-de6ir Год назад
Jibu nimemfuata mamako
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Calm down😊
@MAISHAYACROATIA
@MAISHAYACROATIA Год назад
Ngoja kuna mtu namtumia hii video iende kwa mama direct kazi ndogo hii😡
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Eishhh🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Yani umetisha sana kwakweli. Imfikie haswaaa
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 Год назад
Ahsante sana utatusaidia wengi kaka
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Год назад
Sema kaka hata mimi yamenikuta hayo
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
@@aishafrancis7714 Pole sana kwakweli
@aishahamis1609
@aishahamis1609 Год назад
​@@Witnessvlog17:31
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Mr una negative kuhusu aspect kuhusu airport,hizo ndege kusema hazina wateja umecheck idadi ya abiria wanazopata. Kama hazina wateja si zingeshafilisika. Hizo ndege zipo hata kabla ujazaliwa na zina operate
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Mengi ni uongo na chuki zako binafsi pale pana watu wa usalama zaidi ya 300 wasiyagundue uliyoyasema. Kuongea ni haki yako lakini yote yana jibika.
@bigboys016
@bigboys016 Год назад
Sasa kama ndomara yakwanza kusafilibona balaa
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Yani wanakwaza sana . Ni kuhakikisha tu uko sawa ki documents
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Conflict of interest wakat wa utoaji huduma,uhamiaji wapo kwa ajili ya usalama wa nchi na Sio kwa ajili ya biashara kama mashirika ya ndege. Ishu za usalama zinahitaji mda zaidi wa kujiridhisha ndipo utoe huduma sahihi kwa mtu sahihi ishu za biashara zinataka mtu asikae kwenye foleni ahudumiwe haraka zaidi ndani ya mda mfupi. Kukaa mda mrefu kwenye que ni ishu za usalama zaidi.
@Paula-zo2ev
@Paula-zo2ev Год назад
Naitaji kukuona in box
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Niandikie Ig @Witness Vlog
Далее
HAKI YA NDOA KWA TIMETABLE | NIMEUZA MKOJO MAREKANI
53:51
Kero za JK Nyerere Internationsl Airport
41:37
Просмотров 2,7 тыс.
ŠKODA не перестает удивлять
00:48
Просмотров 379 тыс.
HERE WE GOOOOOO! 🔥 #ufc308
00:14
Просмотров 548 тыс.
Awo's Death: What Happenned in the Bathroom?
12:24
Просмотров 91 тыс.
Eric bailly sort de son silence il parle
7:01
MTANGA NA BAMBO ,KANJIBHAI MUONGO ,UTACHEKA.
8:05
Просмотров 58 тыс.
How a Bunker Buster Bomb Works?
9:11
Просмотров 787 тыс.
ŠKODA не перестает удивлять
00:48
Просмотров 379 тыс.