Тёмный
No video :(

NILIKOSA VISA YA MAREKANI MARA 8 | NILIUZA MKOJO WANGU MAREKANI KWA MWAKA MZIMA 

Witness Vlog
Подписаться 14 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

7 авг 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 214   
@Witnessvlog
@Witnessvlog 4 месяца назад
Habari wapendwaa. Lengo la kushare story hii na story za wengine ni kuwapa mwanga wa struggle za watu. Usikurupuke kumlipa mtu akutafutie visa ni ngumu. Fanya your own research kwanza. Nimepata malalamiko kadhaa kuhusu elly na issue za visa za Canada. Usikurupuke kulipa pesa wengi wamenifata na wamesema wametapeliwa. Kwahio kua makini. Hakuna shortcut ya kuja ughaibuni. OGOPA MATAPELI
@gidesbalunguza7152
@gidesbalunguza7152 8 месяцев назад
Watching this from TANZANIA,, 🇹🇿 November 2023, hii interview imeniongezea morale ya kupambna kuja majuu,, na imenijenga ktk upambanaji na kutokata tamaa,, thanks sister witness and Elly for this inspirational interview 🙏🙏
@Witnessvlog
@Witnessvlog 8 месяцев назад
Thank you gides for the positive feedback. Keep your dream alive💪🏾
@Mazoea
@Mazoea 9 месяцев назад
I learn something from this guy.never give up until you get what you want.Where there is hope.
@Witnessvlog
@Witnessvlog 9 месяцев назад
Exactlyy👏🏾
@mohamedhussein-qb5sg
@mohamedhussein-qb5sg 11 месяцев назад
very impressive ,uplifting and motivational story . Keep up the good work .
@Witnessvlog
@Witnessvlog 11 месяцев назад
Really Impressive
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Год назад
Wanaokuja canada nunueni vitu vya winter huko huko niliingia hapa koti la hovyo tu dola 200 please nunueni vitu huko atleast ukija uanze kununua vitu mpakamwaka baada ya kujitafuta na kujipata.ushauri tu
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Ushauri mzuri sanaa
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 11 месяцев назад
Yeah!!
@kakamkuu5383
@kakamkuu5383 10 месяцев назад
Hongera dada wness Kwa kutukutanisha na Elly David
@EdimundiRweyemamu-ej6nv
@EdimundiRweyemamu-ej6nv 9 месяцев назад
Jamani sauti inakua ndogo atusikii ongeza sauti
@user-lo9zn9gb9c
@user-lo9zn9gb9c Год назад
Asante mdogo wangu Ely nimejifuza kitu pia Asante kwa kuliweka waz kwa hawa viumbe.Ukiwa ughaibun wanahis kuna sehem unapopoa pesa kama maembe hao hao wambishi hela hawajuw unaipataje
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Kabisa yani wanafikiri kuna mti mahali😂
@Swedishmumy
@Swedishmumy Год назад
I didn't know this kaka ni Mkalimu kiasi hiki Haki History yake inafundisha Sna nimeguswa na History yake. Be blessed tho wit kwa kuleta Watu Kama Elly Coz Wat ni Me learn kutoka kwake Uvumilivu na Kutokukataa Tamaa . Shikilia ulichonacho Never let it Go
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Thank you dear. Kwakweli alinifundisha kitu na mimi.
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb
Waoooow asante kwa uvumilivu songa mbele usiludi nyuma good job 👍
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Hakika🙌🏾🙌🏾. Asante sana dada stella
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 4 месяца назад
Eli mdogo wangu nakupenda buree we mkweli Safi sana
@fredymkanza
@fredymkanza 9 месяцев назад
I didn't know that This Guy has smart mindset like this. I appreciate...Jamaa uko open mpaka basi. Ingetakiwa uwe Pastor umenijenga sana
@Witnessvlog
@Witnessvlog 9 месяцев назад
He is very smart
@abdulajuma3486
@abdulajuma3486 10 месяцев назад
Thank you brother tupo pamoja na kupata vizuri
@Witnessvlog
@Witnessvlog 10 месяцев назад
Asante sana kwa kuangalia
@negwamwaipopo6467
@negwamwaipopo6467 Год назад
Hongera sana unaongea ukweli, binafsi umenibariki sana. Mungu azidi kukubariki na kukuacha hukohuko Canada, maana mimi nina mpango wa kuja huko Canada.
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
🙌🏾🙌🏾
@joasitz9559
@joasitz9559 Год назад
Thanks for sharing my madam, huyu kaka he is very authentic and genuine. Nilikuwa naomba unisaidie jinsi ya kuwasiliana nae, anisaidie hata tourist visa.
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Mfolo Ig ndugu @elly david
@azamakulwa4604
@azamakulwa4604 Год назад
Big up ndg yangu leo umefanya vizur 100%
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
🙌🏾🙌🏾Asante sana kwa feedback
@hellenmawere9284
@hellenmawere9284 11 месяцев назад
To be honest i like this man. Elly your something else, congratulations.... Thanks Whitness for all the contents you use to shair with us 💓💓💓
@Witnessvlog
@Witnessvlog 11 месяцев назад
Dear Hellen. Thank you for the feedback and thanks for watching
@hellenmawere9284
@hellenmawere9284 11 месяцев назад
​@@Witnessvlog Loving you darling. We appreciates your work
@Witnessvlog
@Witnessvlog 11 месяцев назад
I appreciate that🙏🏾🫶🏾
@sadiqmwafrica6759
@sadiqmwafrica6759 10 месяцев назад
Nimependa sana hii interview, mimi niko UK, lkn inagusa kila anayeishi nje ya Tanzania, yaani expectations kutoka home hazina uhalisia kabisa, universal receiver lkn ukienda wengine hata kuja kukusalimia hawaji na wakija wanategemea hela nyingi za kugawiwa, yaani holiday sometimes inakuwa ni kero tupu, kila mtu matatizo yasiyoisha
@Witnessvlog
@Witnessvlog 10 месяцев назад
Exactly. Kuna muda hata hutamani kwenda holiday nchini. Ni mzigoo Nashukuru sana kwa feedback na wasalimie UK
@bakarisultanindima3513
@bakarisultanindima3513 Год назад
Safi sana ndugu zetu
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Shukrani sana
@SabcoAthuman
@SabcoAthuman 2 месяца назад
Kumbe kyoma na cheki sana RU-vid
@sarah-hy7gz
@sarah-hy7gz 11 месяцев назад
Very true my brother ely
@negwamwaipopo6467
@negwamwaipopo6467 Год назад
Big up sana kaka Elly , hata mimi ningekubali for money na kuwasaidia wengine. Umejaa hekima kaka
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
🙌🏾🙌🏾
@AfricaQueen
@AfricaQueen 10 месяцев назад
Kweli kabisa wabadilike na wajifunze kuongea na wageni hata English mbaya sana Watanzania tunamengi ya kujifunza 🤔Asante sana bro kwa hili 👍🙏🙏🙏🙏
@Witnessvlog
@Witnessvlog 10 месяцев назад
Shukrani sana kwa feedback
@restyrose1574
@restyrose1574 10 месяцев назад
Nilikuwà nimelala nilivyoona Elly usingizi ukakata Namkubali Sana Anafurahiaha Big up whitney
@Witnessvlog
@Witnessvlog 10 месяцев назад
Wee usinambie🤣. Asante sana kwa muda wako
@Annie-mg7sz
@Annie-mg7sz Год назад
Hongera sana kaka Heri! Nimefurahia upambanaji wako... Mungu azidi kukupa hekima...usirudi nyuma kaka.
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
🙌🏾🙌🏾
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 11 месяцев назад
Huyu mkaka nimempenda Sana yani ,,anaongea point zote yani
@Witnessvlog
@Witnessvlog 11 месяцев назад
Mnoo yani kwakweli🙌🏾🙏🏾
@blaciachiunga8271
@blaciachiunga8271 11 месяцев назад
Daaah Elly unatisha,,nimekupenda bure kbsa kwa ujasiri uliokuwanao,,no kweli ukitaka kutoboa usione aibu fanya kile unachoona kinakufaa,,Bigup Elly
@Witnessvlog
@Witnessvlog 11 месяцев назад
Yani anatia hamasa sana🙌🏾
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 11 месяцев назад
Yani kwenye hii interview ni nzuri Sana na nimejifunza Sana,,na nimejifunza kuwa muelewa usifosi baadhi ya tabia,
@Witnessvlog
@Witnessvlog 11 месяцев назад
Hakika yani inamafunzo mengi sana
@nassinassor872
@nassinassor872 11 месяцев назад
Witness,nimeipenda sana hii video na huyo jamaa,anafurahisha sana alafu amekaa kama comedian
@Witnessvlog
@Witnessvlog 11 месяцев назад
😂😂Yes he is very good talker. Anaweza pia kufanya comedy
@patricialuande9540
@patricialuande9540 Год назад
Huyo mkaka nimependa sana struggle yake..❤
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Yani ni mpambanaji haswaa
@yahayahanafi3234
@yahayahanafi3234 Год назад
Mr. Eliy hongerasana ndugu eliy mungu akubariki sana
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Amen
@Swedishmumy
@Swedishmumy Год назад
@yahayahanafi3234 (Mungu)
@Divine-conection
@Divine-conection 2 месяца назад
Glory to God 🙏
@user-wn9sc9xq9f
@user-wn9sc9xq9f 9 месяцев назад
safi sana elly tuna pambana kuja ughabuni
@georgeascona5457
@georgeascona5457 Год назад
Dada nimeenjoy interview yako
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Asante sana kaka🙌🏾🫶🏾
@azamakulwa4604
@azamakulwa4604 Год назад
You make me laugh today I enjoy thank my friends
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
😂😂I agree
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 9 месяцев назад
Mzee upo vzr
@user-zq7dn1cs7e
@user-zq7dn1cs7e 11 месяцев назад
Eli uko sawa
@Witnessvlog
@Witnessvlog 11 месяцев назад
🙌🏾
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Год назад
Wow mb zangu azijaenda bure nashukulu nimetoka nacho hapa
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Aw Asante sana kwa feedback
@YoungblitzDaBling
@YoungblitzDaBling 11 месяцев назад
From mbweni
@Witnessvlog
@Witnessvlog 11 месяцев назад
I see you. Thank you for your support
@nattyebrandy
@nattyebrandy 11 месяцев назад
Kukata tamaa ni mwiko ,his story is inspiring
@Witnessvlog
@Witnessvlog 11 месяцев назад
Very inspiring.
@kaupigwe
@kaupigwe 10 месяцев назад
Great interview. 👍
@Witnessvlog
@Witnessvlog 10 месяцев назад
Thank you🙌🏾👏🏾
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 9 месяцев назад
Point
@Ericzdeking24
@Ericzdeking24 6 месяцев назад
WAHAYA OYEEEE.MHAYA AKITAKA LAKE LAZIMA LIFANIKIWE.ELIMU KWAO NI MUHIMU.HONGERA ELLY KUKATA TAMAA MWIKOO.MIMI NIMEFANIKIWA HAPA HAPA TZ ILA NILIYOPITIA MUNGU ANAJUA.😂❤❤❤
@Witnessvlog
@Witnessvlog 6 месяцев назад
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@deniceereneo9904
@deniceereneo9904 Год назад
Big up Elly👍
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
🙌🏾🙌🏾
@rhodamwafongo6660
@rhodamwafongo6660 5 месяцев назад
Jamani nimewapenda bure Mungu azidi kuwatunza na kuwalinda wanangu
@Witnessvlog
@Witnessvlog 5 месяцев назад
Asante sana mama
@dioclesmjuni213
@dioclesmjuni213 6 месяцев назад
Safi sana niko Tanzania nimekuelewa kaka
@Witnessvlog
@Witnessvlog 6 месяцев назад
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@elizabethcakuru2861
@elizabethcakuru2861 5 месяцев назад
Thank you my dear boy. But on the issue that Ugandans thanked you, Kenyans thanked you but Tanzaniansa wa ka Anna ugeu gewu. I don't agree. I'm Ugandan and left Uganda and my best helpful, honest, loving friends were Tanzanians. Very thankful and appreciative for anything little. I will never forget Tanzanian hospitality and community spirit.
@Witnessvlog
@Witnessvlog 5 месяцев назад
Glad to hear that and thanks for sharing
@estersaul8180
@estersaul8180 10 месяцев назад
Bro Elly your so matured..
@Witnessvlog
@Witnessvlog 10 месяцев назад
Say that again🔥🔥
@yahayahanafi3234
@yahayahanafi3234 Год назад
Tunasikia
@caesargrams
@caesargrams 11 месяцев назад
Nice Talk
@Witnessvlog
@Witnessvlog 11 месяцев назад
Thank you for watching
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Год назад
Canada visa the best jamani fanyeni yote mkiweza ombeni kuja canada.nimeishi europe ,usa.ila canada kiboko yake
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
😋Asante sana kwa kututamanisha Canada
@princessjackson174
@princessjackson174 11 месяцев назад
Me nilikuwa naomba unisaidie napaatAj viz ya Canada
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 11 месяцев назад
@@Witnessvlog sijutii kukimbia europe
@Witnessvlog
@Witnessvlog 11 месяцев назад
Safi sanaa
@ramadhanimtozeni8030
@ramadhanimtozeni8030 6 месяцев назад
Elly, you are very bright, i like this interview.
@Witnessvlog
@Witnessvlog 6 месяцев назад
🙌🏾🙌🏾
@kingkendrickk
@kingkendrickk Год назад
Asante Kwa muendelezo
@user-xm4ot9ji4t
@user-xm4ot9ji4t Год назад
Nimefurahia kusikia stori ya Eli.
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Aw thanks for watching
@georginamgomapayo6340
@georginamgomapayo6340 Год назад
Asante kaka kwa ushauri
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
🙌🏾🙌🏾
@deograsiamgeni5716
@deograsiamgeni5716 8 месяцев назад
Nimeipenda hii ya kuforce kibali
@Witnessvlog
@Witnessvlog 8 месяцев назад
🙌🏾🙌🏾
@HilaryJulius
@HilaryJulius 3 месяца назад
Safi sana
@Witnessvlog
@Witnessvlog 3 месяца назад
Thanks for watching
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 10 месяцев назад
Big up sana bro Elly
@Witnessvlog
@Witnessvlog 10 месяцев назад
🙌🏾🙌🏾
@user-wn9sc9xq9f
@user-wn9sc9xq9f 9 месяцев назад
elly poa hii unatupa hope ambao ss topo africa we dream to at abroad
@nassinassor872
@nassinassor872 11 месяцев назад
Anaongea point kabisa,marekani siyo inchi ya kuishi,watu wanafataga jina marekani,hiyo inchi ya markani haina tofauti na south afric,inchi ya kijinga sana.
@user-jp2bz7mb2l
@user-jp2bz7mb2l 10 месяцев назад
Wa kwetu .wagumaa
@Witnessvlog
@Witnessvlog 10 месяцев назад
🙌🏾🙌🏾Nice to know
@georginamgomapayo6340
@georginamgomapayo6340 Год назад
Tunawasikia
@sarah-hy7gz
@sarah-hy7gz 11 месяцев назад
Kabisa hakuna kutuma pesa tz
@tunsumegideonmwamboneke9639
@tunsumegideonmwamboneke9639 10 месяцев назад
Regardlesa home is home no matter what? Abroad aio kubaya kwa kitembea labda na kuishi temporary kwa mimi lakini.
@Witnessvlog
@Witnessvlog 10 месяцев назад
Home is the best. Na kila mtu ana choice ya kufanya. Asante kwa maoni
@sarah-hy7gz
@sarah-hy7gz 11 месяцев назад
Asee kabisa waliniludisha naninakila kitu asee yn nilikasilika at hd uwe nalaki tano tupo na mdogo wangu niwe na million moja asee nililud nyumban nikasafilia zanzibar
@Witnessvlog
@Witnessvlog 11 месяцев назад
Ni huzuni kwakweli
@valentinemulokozi510
@valentinemulokozi510 11 месяцев назад
Bravo mdada.
@Witnessvlog
@Witnessvlog 11 месяцев назад
Shukrani sana
@salhakyande3905
@salhakyande3905 Год назад
Mungu wangu!
@estherlyanga834
@estherlyanga834 5 месяцев назад
Nimeipenda ya kuulizwa na wazazi majibu yake mungu amenijalia😂
@kakamkuu5383
@kakamkuu5383 10 месяцев назад
Elly ubarikiwe kwa ushauri wa maana ninajichangisha tuingie kwenye mchakato wa
@masanja2580
@masanja2580 Год назад
asante, sikuwa online lakini nmewapata
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Shukrani sana kaka
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 4 месяца назад
Yaani kaka wee ni Zaid ya mshidi
@user-pu6hq2vs8p
@user-pu6hq2vs8p Год назад
Kikubwa nimejifunza ni kupambana kutokata tamaa uku ukimtanguliza MUNGU
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Haswaa🙌🏾🙌🏾
@jimmykitura5803
@jimmykitura5803 8 месяцев назад
My brother do what you doing whatever it's back home they never stop talking no sense
@Witnessvlog
@Witnessvlog 8 месяцев назад
Well said
@ShadowScreamStudio
@ShadowScreamStudio 7 месяцев назад
Ell...kuhusu wamerekani kuja huku ni kweli nina marafiki wawili Black AMERICAN wamehamia huku Maeneo ya SARASARA na wameowa huku.
@sarah-hy7gz
@sarah-hy7gz 11 месяцев назад
Ndy nakusikieni
@frolahsaloon2506
@frolahsaloon2506 8 месяцев назад
Ubarikiwe sana naomba namba ya sm nitaipataje?
@rhma6073
@rhma6073 Год назад
Nm ipenda hata mie nipo nafuta vumbi abudhabi apa😂
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
😂Endelea kupambana🙌🏾💪🏾
@jitrihadarutamo2738
@jitrihadarutamo2738 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂hapo kwenye kuuza mkojo
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
😂😂😂😂daah
@KasaggiGodfrey
@KasaggiGodfrey 3 месяца назад
Eri wewe ni jembe nimekupenda sana
@Witnessvlog
@Witnessvlog 3 месяца назад
🙌🏾👏🏾👏🏾
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 4 месяца назад
Unasema ukweli mi nakupataje? Kaka Elly
@chidodosimon2932
@chidodosimon2932 Год назад
Huyu Jamaa dah sema nakumbuka alikuwa miongoni mwa asylum seeker Canada waliokosa maradhi dah sema please don't get motivate ilihali si halisi maisha yalivyo maisha ya huku nje duh
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Ameelezea situatuon
@chidodosimon2932
@chidodosimon2932 Год назад
@@Witnessvlog nimesikiliza sema nice but natamanigi watu kutokuwa motivated most people forget that effort sometime does not pay even luck ukisikiliza story za watu wengi huwa hawasemi uhalisia but ni njia kila mtu anapitakwae msisahau kurudi nyumbani kuijenga nchi life outside your home is not the life
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Asante kwa maoni yako
@nassinassor872
@nassinassor872 11 месяцев назад
Huyo jamaa amenifurahisha sana
@Witnessvlog
@Witnessvlog 11 месяцев назад
🙌🏾🙌🏾
@2oddsbure895
@2oddsbure895 7 месяцев назад
Ila nimependa Sana kuomba visa mara 8 kanipa somo kwamba usikate tamaa kwenye ndoto zako
@Witnessvlog
@Witnessvlog 7 месяцев назад
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@ShadowScreamStudio
@ShadowScreamStudio 7 месяцев назад
Ely..naweza pata group lako la whatsapp Na nia ya kuja canada
@bigboys016
@bigboys016 Год назад
Daa huyu mwamba umempata aisee
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Kabisaaa
@sarah-hy7gz
@sarah-hy7gz 11 месяцев назад
😂😂😂
@MoFamily-um7tq
@MoFamily-um7tq 11 месяцев назад
Kaka mimi niko uku South Africa naninajipanga Kaka nakuja uko
@Witnessvlog
@Witnessvlog 11 месяцев назад
Safi sana💪🏾🙌🏾
@devidjav3583
@devidjav3583 9 месяцев назад
Bora watoto daycare kuliko wazee jamami,kurushiwa kinyesi sio mchezo
@Witnessvlog
@Witnessvlog 9 месяцев назад
Haswaa
@shukurukisuguru6461
@shukurukisuguru6461 Год назад
hapo kwenye kibali....nakumbuka makulilo alivyokuja mwaka jana kwenye seminar makumbusho.....weng walikuwa wanapga nae picha tu, na wakat alikuwa na beg kubwa kalibeba..bac mm nkajikuta tu nachukuwa beg na kubeba...nlijipa kibali jmn...by miss namwambe hapa! nmeazma cm ya watu ili niingie live yako witty....cm yang nmeibiwa juzi kwenye mwendokasi nlikuwa naelekea kimara daah...😢
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Hi dear. Nakumbuka Wew siku yako inakuja ya ushuhuda. Wee pole sana
@user-fm2gl6gl6v
@user-fm2gl6gl6v 3 месяца назад
miimi.ninatamani.
@user-kz9ej4cu8u
@user-kz9ej4cu8u Год назад
Hii stori ni Kama changamsha genge, 1. $ 300 kwa siku kuuza mkojo? Yaani watu 15 kila siku. Hakuna kampuni itakayo kupima mkojo kila siku, hiyo ni gharama sana kwa kampuni. 2. Portland, Oregon ina waswahili na watu weusi pia. 3. News channel doesn’t pay for news, they don’t buy news, otherwise they will lose credibility.
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Thank you kwa mchango wako🙌🏾
@finestamarachi-un5zo
@finestamarachi-un5zo 9 месяцев назад
Sio mkojo huo bwana ni sperm donation
@genophevagasper5006
@genophevagasper5006 5 месяцев назад
Nshomile dunia imekutupa au dodo hilo
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Год назад
Mimi ni rn nalipwa dola 60 kwa saa ila kibaya siwezi kufanya masaa mengi kwa sababu ya watoto
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Ah asante kwa kutwambia. Oh walee tu wakikua unaweza fanya zaidi😍. Kitu ambacho hua namiss bongo ni ile una watu wakukuangalizia mtoto
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Год назад
@@Witnessvlog imagine.sasa huku ni kazi kweli kulea. Watoto ila tunakomaa
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Haswaa kujikaza kwakweli💪🏾
@gloriousn6425
@gloriousn6425 Год назад
Mm ni RN (BSN) niko bongo , nawezaje kufika huko pls Natamani sana ila sijui pa kuanzia
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Год назад
@@gloriousn6425 kiukweli wewe ni nurse tena BSn natumaini umeshafanya research online na kuweza kujua baadhi ya mambo sasa pale unapokwama ndio tujuze kuja nchi kama canada hakuna connection kila kitu kipo online .mimi nilikuwa na certificate diloma tena natokea mikoani ambako hata internet ilikuwa shida ila kwasababu ni mwanamke mbishi nikitaka jambo langu nilikuwa nauza viazi kijijini najikusanya nakuja dar kuperuzi vitu.
@efrahfarahahmed8960
@efrahfarahahmed8960 10 месяцев назад
Haahaha pesa ziko barabaran😂😂😂
@Witnessvlog
@Witnessvlog 10 месяцев назад
😂😂
@user-jl3ck5mf8p
@user-jl3ck5mf8p 11 месяцев назад
Mwenyw ninakiajuza hapa ugaibuni kina mdomo hatr yaan natamani hata kife jmn hawa wazee wanakera sana
@user-jl3ck5mf8p
@user-jl3ck5mf8p 11 месяцев назад
Tunawasikia
@Witnessvlog
@Witnessvlog 11 месяцев назад
😂😂😂😂pole sana jamani
@user-jl3ck5mf8p
@user-jl3ck5mf8p 11 месяцев назад
@@Witnessvlog thanks 🙏🙏
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 10 месяцев назад
😮 geuza shilingi
@mipasho_mareesh
@mipasho_mareesh 7 месяцев назад
No ya Ally
@rhma6073
@rhma6073 Год назад
Daa kumbe mkojo wao walikua wanautumia kwann sijaelw
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Nimeshajibu kwenye comment ila pia na yeye alielezea
@rhma6073
@rhma6073 Год назад
Sijaona dadaangu
@Byme6434
@Byme6434 10 месяцев назад
Mm sina hamu nao wale Wa Airport Kwenda kunipimisha Corona ya Pale Airport Mara mbili ili tu Ni Miss flight wale wa Pale ni Majipu Sugu Wale😡
@Witnessvlog
@Witnessvlog 10 месяцев назад
Polee sanaa
@Naw89
@Naw89 Год назад
Ila hapo kwenye mkojo sijaelewa Jaman Unatibu ugonjwa gani?
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Mbona ameelezea. Amesema kuna wale watu wanafanya kazi za maofisini wanaotumia dawa za kulevya. Sasa wakihitaji kupimwa ndio wanachukua mkojo ambao sio wao ili wasijulikane kama wanatumia
@Naw89
@Naw89 Год назад
NIMEJIFUNZA SANA JAMBO HAPA SIWEZI KATA TAMAA TENA NASHKUR SANA KWA HII INTERVIEW
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
🙌🏾💪🏾💪🏾 Hang on there. Karibu
@nassinassor872
@nassinassor872 11 месяцев назад
Witness, niombee namba ya WhatsApp kwa bwana eli
@Witnessvlog
@Witnessvlog 11 месяцев назад
Nyie bana nsmba hua nikitu personal. Mfolo huko ig @Elly david
@Alexthadey-lm3ju
@Alexthadey-lm3ju Год назад
Duuuh!!!!! Kweli ni noma
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
Sana yani ndugu🙌🏾🙌🏾
@devidjav3583
@devidjav3583 9 месяцев назад
Witness jaribu kuleta dnyotausa tujaribu kuskia story yake
@Witnessvlog
@Witnessvlog 9 месяцев назад
Asante kwa suggestion
Далее
HAKI YA NDOA KWA TIMETABLE | NIMEUZA MKOJO MAREKANI
53:51