Тёмный

Keti na Deby: Kp 'Mimi sio Comedian' | mahusiano na Zebuu | Nimekatishwa tamaa 

Dsj Tv
Подписаться 3,4 тыс.
Просмотров 51 тыс.
50% 1

KETI NA DEBY; Ni kipindi cha mahojiano ambacho kinakuletea watu maarufu kwenye tasnia mbalimbali nchini ili kuwafahamu kiundani. Kibindi hiki kinaandaliwa na Deborah Nelson ambaye ni mwanafunzi wa chuo cha DSJ. Karibu kwa maoni na ushauri ukiendelea kutufuatilia.
Karibu kwenye ukurasa wetu wa Instagram kupitia link hii..
www.instagram....
#dsj #kpartwork #zebuu #tamaa

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 74   
@MancaGilbert-os9kx
@MancaGilbert-os9kx Год назад
Kumbe nilikuwa najisemea moyoni kwamba kp na zebu wakiwa wapenzi ingenoga na kuna ukwel hapo bac mungu akulinde kp na zebu katika yenu mapenz pamoja na kaz
@evelnjuma1834
@evelnjuma1834 Год назад
Tunakupenda sna kp hasaa mkiwa na ze buu tunawapenda sana ❤❤❤❤🇹🇿
@mwajumalubuva
@mwajumalubuva 28 дней назад
Manshallah kp zebuu mungu awalinde inshaallah 😂😂😂😂❤
@MwanamisiAthuman-gn7cc
@MwanamisiAthuman-gn7cc 8 месяцев назад
Wooooo kp na zebuu na wapenda sana
@mwanamgenimohammed7904
@mwanamgenimohammed7904 Год назад
Mungu akubariki kp napenda sana movie zenu kwanza iyo yazebuu binti nyoka🔥🥰🥰🥰🥰
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 Год назад
❤❤❤❤❤ Much love sana ak napenda xan kp na Zebuu 🎉🎉🎉🎉🎉
@Lunesavage-vu8yv
@Lunesavage-vu8yv Год назад
Kwl k.p alunifanya niwapend watazania sana much lov u😍😍😍😍
@RichMediatz
@RichMediatz 2 года назад
Big up Sana Rafiki yangu Debora One step Ahead
@paulinabajutha4445
@paulinabajutha4445 Год назад
Waoooooh Kp na Zebu Mungu awatangulie mfike mbali
@Dullahopulo
@Dullahopulo Год назад
Much love brother Allah awaenue zaidi💪💪
@jovithatibatekeleza6598
@jovithatibatekeleza6598 8 месяцев назад
Kp kwakweli nikama umesomea haya mambo kabisa yaan HUKURUPUKI.❤
@LydiaIgiraneza-h8z
@LydiaIgiraneza-h8z Год назад
Kp na zebuu munanifulahisha nikikuwa n'a polobureme nkatiza filime zénu nabita najisikiya bien sana kbs n'a bapenda ❤❤❤❤❤
@TheresiaTemu-ye1lm
@TheresiaTemu-ye1lm Год назад
Hongera sana kp kazi zako ni nzur sanaaa nawapenda sana kp na zebuu
@MwanaharusiIssa
@MwanaharusiIssa Год назад
Daa kp Bomba sana inapendeza muowe kabisa yaani mnapendeza saana
@OmanAl-s9l
@OmanAl-s9l Год назад
Kp na zebuu napenda cn kz zenu pia nawapenda cn mng awavushie malengo yenu ❤
@NtahondereyeSilas
@NtahondereyeSilas Год назад
Kp kwa kweri mimi n'a kupenda zaidi tena Sana Niko Burundi
@Salumulhat001-lw4ez
@Salumulhat001-lw4ez Год назад
Nakupenda sana kp❤
@FlorenceAndreano
@FlorenceAndreano Год назад
Kp na zebuu nawapenda sana mwanzo movie zenu hewaaa ❤❤❤
@mamass7481
@mamass7481 2 года назад
Allah akufikishe mbali. Na zebuu umuowe ita pendeza
@khairatismail700
@khairatismail700 Год назад
Zebuu 💖kp Lov u all
@StephenKozgei
@StephenKozgei Год назад
Big up kp gotea zb tunawapenda❤❤
@StellaKahindi-m8b
@StellaKahindi-m8b Год назад
Nawapenda sana kp na zebuu❤
@happinesssamira-fp4hh
@happinesssamira-fp4hh Год назад
Vzr KP mungu akufikishe mbalu
@DorcasNdunge-fp3uk
@DorcasNdunge-fp3uk Год назад
Kwa hiyo Zebuu ni mpenzi wako? Safi sana
@Sheilah-xx8ve
@Sheilah-xx8ve 4 месяца назад
Hapo sasa
@YusuphBayasabe
@YusuphBayasabe 5 месяцев назад
Vizuri
@NycJoh-hs9rl
@NycJoh-hs9rl Год назад
Napenda sana movie zenu sana
@zainabhussein6603
@zainabhussein6603 Год назад
Mungu awaajaalie kwa kazi yenu
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 Год назад
Twampenda sana kp na zebuu ❤❤❤❤❤❤
@NaomiMateru
@NaomiMateru Год назад
Nawapenda mnoo kp na zebuu ❤❤❤ jmn video zenu zinanikosha nakesha tu kufuatilia video zenu
@AishaMunga-wn3pd
@AishaMunga-wn3pd Год назад
Kazi nzuri sana❤❤❤❤
@AishaNjiku-e9b
@AishaNjiku-e9b Год назад
Tunakupenda pia
@amosdevid5485
@amosdevid5485 Год назад
My name is Amoss I'm from South Africa. Kp I like u voice
@bitunimtunguja3666
@bitunimtunguja3666 2 года назад
Kp nawapenda na zebuu💯❤
@MariahKafwila
@MariahKafwila 3 месяца назад
🎉🎉🎉
@sarahmichael6623
@sarahmichael6623 Год назад
Binti nyoka kiboko tunasubr episode ya 40
@hadijaewuil2339
@hadijaewuil2339 Год назад
Brother unatuchanganya intaviu moja umesema ni shemeji na hii umesema mna mahusiano
@EddaYohanis-u8z
@EddaYohanis-u8z Год назад
Mimi mwenyew nimeipenda et
@gaf9874
@gaf9874 11 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤❤
@عاملهمنزليه-ي8ض
Napenda sana video zako kp ❤❤❤❤
@Marykache-h7x
@Marykache-h7x Год назад
Much love kwenu❤❤
@katotokazuri7412
@katotokazuri7412 Год назад
Nafatilia Sana nawapenda Sana
@joycemajala4355
@joycemajala4355 Год назад
Kp al the best
@AgnesMakasi
@AgnesMakasi Год назад
Vip kuhusu Sheila Wana mahusiano gani na kp
@MwajumaAbdalla-i9z
@MwajumaAbdalla-i9z Год назад
Kp mbn wamangush part 42 kimnya
@rayzodasiro
@rayzodasiro Год назад
Kp mashallah uko sawa but jaribu kutoa videos nyengine 👌
@nyanseraalbert6806
@nyanseraalbert6806 2 года назад
Kuna time ulisema zb ni shemeji yako how come leo kuna mshusiana🤔🤔
@mwajumsleman9070
@mwajumsleman9070 Год назад
Shemej shemej mara huzima taa 😀😀😀😀 kwaio usijiulze sna kwa ilo
@ShabaniIbrahim-t7u
@ShabaniIbrahim-t7u Год назад
Napend kuuliz kp na zebuu niwapenzi?❤
@zawadimgonde7331
@zawadimgonde7331 2 года назад
Upo vizur
@اان-ح7ذ
@اان-ح7ذ Год назад
@nurusaid4698
@nurusaid4698 Год назад
Inapendeza Sana Ukifanya Sanaa Na Mpenzi Wako Ongereni Sana Kp Na Zebuu Muowane Insha Allah Mfike Mbali Nimewapenda Bure ❤❤❤
@janethkessy7146
@janethkessy7146 Год назад
nakupenden na muowane maana nawafuatilia sana kwakuwa nawapenda
@alicesospiter7625
@alicesospiter7625 Год назад
Yaan mtapendezea atari mkioana nawapendaga atar sana
@Ashuraadam-n7s
@Ashuraadam-n7s Год назад
Kp ❤ hongera San ❤❤❤
@evodiadominicpaul5006
@evodiadominicpaul5006 Год назад
Kp na Zebuu nawapenda
@kendrickoffset981
@kendrickoffset981 Год назад
Na wananapendezana sana mnooo
@Mwagionline
@Mwagionline 2 года назад
Amigo amigo 👊
@debby_tv123
@debby_tv123 2 года назад
utaacha lini mambo yako amigo😂😂😂
@josemangula1852
@josemangula1852 2 года назад
Uko viziri bro
@martinmalle4111
@martinmalle4111 Год назад
Binti nyoka imebamba sana
@inbox_tz
@inbox_tz 2 года назад
Debby 💥
@debby_tv123
@debby_tv123 2 года назад
🙌🏽
@yohanachami7194
@yohanachami7194 2 года назад
Debby umetisha sana napenda namna unavyouliza maswali na utulivu ulio nao mbele ya camera nakuona mbali sanaaaa.
@debby_tv123
@debby_tv123 2 года назад
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@Amena-z5r
@Amena-z5r Год назад
Kp vp wamangushi mbna kimya
@ayushjhayayushjhay2476
@ayushjhayayushjhay2476 Год назад
Mashaallah mumependezana wallah
@asnahbaraka-zy9ys
@asnahbaraka-zy9ys Год назад
kp nmekpend bulee
@AtanasiaVicent-nu3il
@AtanasiaVicent-nu3il Год назад
Kp mi natak wamangush yaan ni tam iyo
@hadijaewuil2339
@hadijaewuil2339 Год назад
😂
@johnfilbert5915
@johnfilbert5915 Год назад
Kp unaupiga mwingi
@josephtula5525
@josephtula5525 2 года назад
Kipala kama kipala
@PaulIzaki
@PaulIzaki Год назад
Usimwache zebuu
@Sofia-u5z5k
@Sofia-u5z5k Год назад
Далее
Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati
6:19
Просмотров 386 тыс.
Китайка стучится Домой😂😆
00:18
How Many Twins Can You Spot?
00:17
Просмотров 19 млн
MZEE WA GIZA_Ep34(FINAL EPSODE)
27:49
Просмотров 240 тыс.
September 21, 2024
14:15
Просмотров 57
WAONGO | Kp Na Zebuu
20:05
Просмотров 287 тыс.
Китайка стучится Домой😂😆
00:18