Тёмный

WAONGO | Kp Na Zebuu 

Dibozi Manuva
Подписаться 64 тыс.
Просмотров 293 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 363   
@HawaSwaleheh
@HawaSwaleheh 10 месяцев назад
Waaaa😂😂😂😂😂kp kavua suruali kafanya suti nani amecheka after kumaliza kuongea na zebuu
@sylaszaire5666
@sylaszaire5666 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂nimeisha
@maramalansari3039
@maramalansari3039 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@maramalansari3039
@maramalansari3039 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mbavu sina
@Queendelphinah254
@Queendelphinah254 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂 kp na zebuu cna mbavu aky nyie nawapenda sanaaaa ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@MildredNyongesa-g7n
@MildredNyongesa-g7n 10 месяцев назад
Good job Zebuu and Kp,, nawapenda sana from Kenya.
@MildredNyongesa-g7n
@MildredNyongesa-g7n 10 месяцев назад
🥰🥰
@nindymuruga4798
@nindymuruga4798 10 месяцев назад
Sifieni kazi zao haya mambo ya nimekua wakwanza nipeni like zangu zinaboa kweli.leta na wewe kazi nzuri tukupe like
@AngelineSidi
@AngelineSidi 9 месяцев назад
Zebuu wewe nakupenda sna zaidi hio miguu yko yakushoto unavyo tembea❤❤🎉
@elizabethmulupirapando9774
@elizabethmulupirapando9774 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂aki kp na suti wueh aki siumuko na vituko yaani siezipoeka walai ❤❤❤much love from Kenya 🇰🇪
@edinarobert6716
@edinarobert6716 10 месяцев назад
Zebuu katika siku ulizo pendeza leo umewaka kinoma noma yani 🌹🌹🌹🌹🌹
@Jombawayuser-ps2vp4nh7u
@Jombawayuser-ps2vp4nh7u 10 месяцев назад
Nawapenda sana nyiye❤❤❤❤
@HussenJuma-y8y
@HussenJuma-y8y 10 месяцев назад
wakwanza kp na zebuu nipeni like zangu
@Damarisisanya-ww3lv
@Damarisisanya-ww3lv 10 месяцев назад
Hatari sana nawapenda sana kp na zebuu terms nzima
@maramalansari3039
@maramalansari3039 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nimechekaaa atar
@Jaydannychawaboy1.
@Jaydannychawaboy1. 10 месяцев назад
Nimekua wa Kwanza nipeni likes zangu basi hata tano ❤❤😂😂😂
@MbokoKaluta
@MbokoKaluta 10 месяцев назад
Nina wapenda sana ata movie zenu nzuri kabisa
@UniceJulius-rv6bp
@UniceJulius-rv6bp 10 месяцев назад
@@MbokoKaluta ,
@FrankJohn-we9mg
@FrankJohn-we9mg 6 месяцев назад
@@UniceJulius-rv6bp ok
@catherinebunyasi6051
@catherinebunyasi6051 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂njia ya mwongo ni fupi I say, FUNZO:Tuwe wakweli na ukweli utatuweka huru💗💗💗
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 9 месяцев назад
Uzuri ni kwamba Zebuu na Kp ni Mume na mke kabisa inapendeza❤
@StephenSimiyu-rs9qd
@StephenSimiyu-rs9qd 9 месяцев назад
nani amekuuliza
@maxwellgaitho8639
@maxwellgaitho8639 10 месяцев назад
Naitwa Max wa Gaitho nkiwa kinyeshamvua pwani ya Kenya napenda sana filamu zenu, namsalimu lafiki yangu Sadick Jumah Dudulz akiwa huko Nairobi Kenya n shabiki wennu nguli
@philohmutua2968
@philohmutua2968 10 месяцев назад
Mutaniua mbavu aki walai kp na zebuuu ❤❤❤
@christine1997-by9hh
@christine1997-by9hh 10 месяцев назад
Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪
@LukimbaEster
@LukimbaEster 10 месяцев назад
Atuchoki kuwafwatilia film zenu nzuri kabs❤❤
@PauloFeresiani
@PauloFeresiani 8 месяцев назад
Aaaaaaaaaaaa noma sana😊
@deborahmidiburo3541
@deborahmidiburo3541 10 месяцев назад
Nawapenda sana ❤❤❤
@lydiawaweru6391
@lydiawaweru6391 10 месяцев назад
Much love guys KP n zebuu ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@MerryPaul-k9p
@MerryPaul-k9p 7 месяцев назад
Hapo me ningezunga derevaa kapata ajali naondok vinzur Sanaa mbn hpoo
@ikyolemangapi3523
@ikyolemangapi3523 2 месяца назад
❤❤❤❤ nyinyi nawapenda bure kabisa 🇰🇪🇰🇪nikiwa Kenya
@matanoathman
@matanoathman 10 месяцев назад
Kp mungu akuzidishie uko juu mashallah
@richardmhoja1630
@richardmhoja1630 10 месяцев назад
Uhakika tupo pamoja from shinyanga
@SusanRioba-h7v
@SusanRioba-h7v 10 месяцев назад
Much love 💕 kazi safi!❤❤❤❤❤
@Lilianmbeyu-ev2rw
@Lilianmbeyu-ev2rw 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂Nawapenda Buree Kp naZebuu
@ZenaAthman-q4m
@ZenaAthman-q4m 10 месяцев назад
Ila mzee diboz keep it up mzee unajua kutia vocal bl kumsahau na kp, Ila kp ungemwbia huy Manz akurudi hap mi10 miwil , 50 nyng san
@FelistusMbithe-qg1ox
@FelistusMbithe-qg1ox 10 месяцев назад
Much love from kenya 🇰🇪 ❤❤❤❤❤❤❤❤
@LucyChengo
@LucyChengo 4 месяца назад
Kp na zebuu wow hapo sawa❤❤❤
@kura.the.boy-
@kura.the.boy- 10 месяцев назад
Nakubali San tem KP hamna baya nikiwa kam number tatu Ivi kazi kazi
@patyisaya4217
@patyisaya4217 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂jaaaaaaamani kp ametisha❤❤❤❤❤😂❤❤❤nawapenda sana❤❤❤❤❤
@victoriangasa
@victoriangasa 10 месяцев назад
Kp na zebu nawapenda sanaaa ❤❤🎉🎉🎉
@Baudouin-Tv
@Baudouin-Tv 10 месяцев назад
Wa kwanza leo ❤❤❤❤
@SummaiyaKassim-zv5nt
@SummaiyaKassim-zv5nt 10 месяцев назад
Mtuletee mzee wa giza
@HawaSwaleheh
@HawaSwaleheh 10 месяцев назад
HT mi nimeimiss sana hiyo😊
@AsAdd-so6de
@AsAdd-so6de 5 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣🤣 ak mwanifurahisha nyinyi KP na zebuu ❤❤❤❤
@ShawaalAbdul
@ShawaalAbdul 9 месяцев назад
Kazi safii kp na zebuu hongela
@gogoloveofficial5666
@gogoloveofficial5666 10 месяцев назад
Love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI
@BukuruLeoncy
@BukuruLeoncy 10 месяцев назад
Wa BURUNDI tujuane
@Ndereyimanaa
@Ndereyimanaa 10 месяцев назад
Au sio🇧🇮🇧🇮🥰🥰
@gogoloveofficial5666
@gogoloveofficial5666 10 месяцев назад
Tupo warundi wetu
@ZephaniahJohn
@ZephaniahJohn 10 месяцев назад
Bigger up broo mungu akubariki na kazi yako niko mwanza
@Pauline-y6t
@Pauline-y6t 10 месяцев назад
😂😂😂😂aki zebuu and kp nyinyi mnanimaliza gai🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@rynekiswaga4597
@rynekiswaga4597 10 месяцев назад
Nkajua mwishon Kila mtu atafunguka hali yake ya maisha kuliko kufichana
@ZoazinaJohn
@ZoazinaJohn 10 месяцев назад
Much love from TMK-DAR YOMBO KILAKALA POLICE POST ✍️
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva 10 месяцев назад
Homie,
@ScholaVedastus
@ScholaVedastus 3 месяца назад
Na wapenda sana ko na zebuu
@ZainabuOmary-ys8oq
@ZainabuOmary-ys8oq 21 день назад
Na kweli niwaongooo duu
@Shazzy2
@Shazzy2 10 месяцев назад
Kp na zebuu much love ❤️
@chadiaofficial
@chadiaofficial 10 месяцев назад
Love From Chadia Official to🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@JenipherLeo-y4l
@JenipherLeo-y4l Месяц назад
Aaise😂😂😂😂😂 mnatuvunja mbavu
@SumaOmary
@SumaOmary 26 дней назад
Duh hii kali😢😢💪🏻😂😂😂
@ChakoJuma
@ChakoJuma 9 месяцев назад
Jamani duuuuuh, nimeipenda.
@YoungsHilary-xd2ml
@YoungsHilary-xd2ml 10 месяцев назад
😅😅😅 hiyo suti imenitoa roho,hongera sana kp na zebuu
@halimaally2918
@halimaally2918 10 месяцев назад
Mnatufunza vingi kiukweli kuna watu wanaishi maisha yakupretend ya mtandoni
@ClarisSidi-lv1eu
@ClarisSidi-lv1eu 10 месяцев назад
Mbavu zangu mm jamani 😂😂😂😂😂
@AnnaSamuel-z7y
@AnnaSamuel-z7y 10 месяцев назад
Waaah hii nayo ni kali sana bana
@bebebebe5677
@bebebebe5677 10 месяцев назад
Kwaiyo wote waongo 😂😂😂😂
@Msaniitz
@Msaniitz 15 дней назад
Kp umenifanya nicheke ad mbavu zangu zimevunjika yaani suruali kaifanya suti 😂😂😂😂😂
@Thierrynsavyumukama-om9ku
@Thierrynsavyumukama-om9ku 9 дней назад
Kunafunzo kubwa sana
@NoorEesa
@NoorEesa 10 месяцев назад
Much love from Kenya ❤❤❤❤❤🎉
@MarthaFocus-q8u
@MarthaFocus-q8u 10 месяцев назад
Kp and zebuu nawapenda❤❤❤❤🎉🎉🎉
@jamilahussein1071
@jamilahussein1071 10 месяцев назад
Kivumbi Leo😂😂😂
@fatmahmuhamad7301
@fatmahmuhamad7301 10 месяцев назад
😂😂😂nawapenda bure KP na zebuu hebu fanyeni mfanye ndoa jemeni ❤
@NyandaShitarabu
@NyandaShitarabu 9 месяцев назад
Nmecheka sanaa aisee
@SakinaHassani-xm7ti
@SakinaHassani-xm7ti 10 месяцев назад
Bamba 2 bambaaa😂😂😂😂
@Baudouin-Tv
@Baudouin-Tv 10 месяцев назад
Nipeni likes zangu ❤❤❤❤❤
@alfredtebeka2497
@alfredtebeka2497 10 месяцев назад
😂😂😂😂 waongo kweli😂😂😂, nakupenda sana zebuu❤
@fatumaandrea247
@fatumaandrea247 10 месяцев назад
Dah kp unaishi gorofani..kapeto na kasuchi subili mwenyenyumba akukute kp
@HussenJuma-y8y
@HussenJuma-y8y 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂 nawapenda jamani❤❤❤❤❤
@veronicamwendwa9
@veronicamwendwa9 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂waah!!!,elfu hamsini!!!,inauma😮,zebuu hela utalipa😂😂😂
@jiluusalim5153
@jiluusalim5153 10 месяцев назад
Nikukujaaa Tanzania would like to meet you guys 😂❤
@jailosibrahim88
@jailosibrahim88 10 месяцев назад
Ila Zebuu cctv hazijakuona duh umetisha
@MwA-ni1uk
@MwA-ni1uk 10 месяцев назад
Nyinyi pia mwatia ngoa pia😂😂
@GENTRGXGENTRGX
@GENTRGXGENTRGX 10 месяцев назад
eti mapenzi waa yauongo
@eunicejefwa1935
@eunicejefwa1935 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂haya endeleeni kuwasubiri
@LutumbaBarthelemy
@LutumbaBarthelemy 8 месяцев назад
Iyi noma imepowa kinyama
@Mwanamkasi-s5e
@Mwanamkasi-s5e 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂mnafan kweli 😂😂😂😂nmependa iyo
@PauloFeresiani
@PauloFeresiani 8 месяцев назад
Mmetsha sana
@Nyanchama-c1n
@Nyanchama-c1n 6 месяцев назад
Hizi n mawhat zebu amevaa zimetokea juu Binti wa utajiri😂😂
@adamumlule9725
@adamumlule9725 10 месяцев назад
Kazi nzuri 😂😂😂😂😂😂
@AshuraAlex-o6q
@AshuraAlex-o6q 10 месяцев назад
Ila jmn 😂😂😂😂😂 yaani suluali imekua suti
@mirajidrissa9139
@mirajidrissa9139 10 месяцев назад
Nakubali kazi ila uwongo unakurudisha nyuma nakukunyima upendo🤣🤣😂
@estaraberd1245
@estaraberd1245 10 месяцев назад
😂😂😂ila nyie watu mtanivunja mbvu zebuu bwana😂,Et baba akitoka Irabu😂😂🙌🙌
@AishaTanzania-t1g
@AishaTanzania-t1g 10 месяцев назад
😂😂 kofia ya mwenye nyumba ss hatar❤❤🎉
@DEF832
@DEF832 10 месяцев назад
Hahahahahahaha 😂😂😂😂😂 suluhuuuuuuu jameniiii umwaaaaa
@mwanaathumani9594
@mwanaathumani9594 10 месяцев назад
Mmeshindikana nyie duu❤❤❤😂😂😂😂😂
@Shariphashabani
@Shariphashabani 10 месяцев назад
Kwani siumetaka sifa uonekane una hela tena mbona una patwa na preshaa😂😂😂
@sophiajarufu3420
@sophiajarufu3420 10 месяцев назад
Kp imeuma vibaya mnoo
@omarymathias8216
@omarymathias8216 9 месяцев назад
Nyie hatari kp na zebuu
@nabahyaombeni-ic4ft
@nabahyaombeni-ic4ft 10 месяцев назад
Haaaaaaaa😂😂😂 kp na zebuu mna chekeshaaaa 😂😂😂😂
@fatmahmuhamad7301
@fatmahmuhamad7301 10 месяцев назад
Love ya online shikamoo😂😂😂
@ZuwenaAbdulla
@ZuwenaAbdulla 8 месяцев назад
kwa magari kumi😂😂
@elinapetro7136
@elinapetro7136 10 месяцев назад
Ilanyiejamani😂😂tunawaombea Maisha marefu kwenye ndoa yenu mzidi kutufurahisha jaman😊kwanzaiyosuti ya kp miehoi😂
@Halima-fn6xt
@Halima-fn6xt 8 месяцев назад
😂😂😂😂 nawapenda jaman kp na zebuu
@MWANZEBISNESS
@MWANZEBISNESS 10 месяцев назад
Wewe ni noma
@elizakaloli3501
@elizakaloli3501 10 месяцев назад
Jaman mnavichekesho😂😂😂😂
@JakiiPearson
@JakiiPearson 5 месяцев назад
Shida ya kudate na wa mtandaon ndo hiyo😅😅😅
@hdgHdhd-eu7vf
@hdgHdhd-eu7vf 10 месяцев назад
😂😂😂Yani nyinyi watu muko funny sana
@zainzain1163
@zainzain1163 10 месяцев назад
Haaaaaa kp good job 👏❤❤❤❤
@enosyalubamba2449
@enosyalubamba2449 10 месяцев назад
Nawependa sana
@adelaadelaide8392
@adelaadelaide8392 9 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂 hii n baraaa
@Hekimagospelupendo
@Hekimagospelupendo 10 месяцев назад
Like zangu mimi ndo wakwanza ❤
@vdhhhgduue3577
@vdhhhgduue3577 9 месяцев назад
Kp utaniwa wewe wallah 😂😂😂😂
@BahatiKadenge-n5r
@BahatiKadenge-n5r 4 месяца назад
😂😂😂😂😂shogaangu hadi simu 😂😂😂
@DagmaJohn
@DagmaJohn 9 месяцев назад
Nawakubal ❤
Далее
CHOKOCHOKO | Kp Na Zebuu
18:14
Просмотров 255 тыс.
KITU KIZITO FULL VIDEO HD
22:31
Просмотров 426 тыс.
КТО БОИТСЯ КЛОУНОВ?? #shorts
00:20
Просмотров 561 тыс.
MTANANGE
10:47
Просмотров 148 тыс.
UTACHEKA!  RINGO NA TIN WHITE WAMEYATIMBA
10:46
Просмотров 368 тыс.
MKE MKOROFI | SHORT FILM @mgangawaTaifa
16:13
Просмотров 3,6 тыс.
Kp Na Zebuu | KIHEREHERE
19:55
Просмотров 423 тыс.
Kp & Zebuu _ UTAJUA HUJUI
18:30
Просмотров 255 тыс.
KIZAA ZAA | Kp Na Zebuu
17:00
Просмотров 237 тыс.
EXCLUSIVE; KP NA ZEBUU WALIVYO KUTANA HADI UCHUMBA
49:23
MAGIC RING | FULL MOVIE |
1:13:45
Просмотров 678 тыс.
KP & ZEBUU _ FUNGU LA KUKOSA
7:16
Просмотров 95 тыс.
AMEYABANANGA | Kp Na Zebuu.
18:23
Просмотров 211 тыс.