Тёмный

KEVO,NEYLA NA SIA MEZA MOJA 

Mr Uky
Подписаться 73 тыс.
Просмотров 130 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 692   
@Mrsmasandunje
@Mrsmasandunje 5 месяцев назад
Mambo ya kuwaficha wanaume sura Zao iyo aija Kaa Poá, mbona wanawake amuafich . Tusie penda hii tabia tujuwane kwa like
@antidiuskalugira6727
@antidiuskalugira6727 5 месяцев назад
Uwezi kuonesha sura yake ajaliziaa mbn mnakuwa kama amjuii Sheria wakuu
@Mrsmasandunje
@Mrsmasandunje 5 месяцев назад
Mnaboa
@lulugolden7133
@lulugolden7133 5 месяцев назад
Umeonaee ss watudhalilishe wanaume wafchwe
@keifatuke99
@keifatuke99 5 месяцев назад
WALE. WADADA WALIYATAKA,
@SantaJumaa
@SantaJumaa 5 месяцев назад
Umeona eeeh siyo haki wote angewaonyesha sura na yy
@Martha871
@Martha871 5 месяцев назад
Walee tunaenjoy kazi za Mr Uky like apaaaa
@faustaemmanuel1390
@faustaemmanuel1390 5 месяцев назад
Kaiga kwa kiredio bana
@Martha871
@Martha871 5 месяцев назад
@@faustaemmanuel1390 kuiga mafanikio sio vibayaaaa kikubwa tunaenjoy au wenginee mnaonaje
@HabbygilrofficialSaid
@HabbygilrofficialSaid 5 месяцев назад
Team asia like apa
@sweetbertalbert3542
@sweetbertalbert3542 5 месяцев назад
Sia anafaa sana ila uyo changudoa uyo mhhhh noma sana mwanamke,,,mpumbavu hujawa hasira kama hivo kutokana na tabia zake ila Sia nawe Mungu akujalie
@ZuwenaAhmad-v7j
@ZuwenaAhmad-v7j 4 месяца назад
Laha tupu kama unapenda kaz za mr uky like apaa❤
@FaridaKizenga
@FaridaKizenga 5 месяцев назад
Wanao mkubali sia gonna like hapa❤❤❤❤
@EstherCasmil
@EstherCasmil 5 месяцев назад
Sia ni mke kabisa Hana Mambo mengi anaakili frani iviii aisee umepatia bro
@scolasticanalle9105
@scolasticanalle9105 5 месяцев назад
Sia ni mwanamke na nusu💞
@madinasaid1095
@madinasaid1095 5 месяцев назад
Hata me nimempenda
@SiasSam
@SiasSam 5 месяцев назад
Sia tunateseka😢
@davidmakangila9112
@davidmakangila9112 5 месяцев назад
Sia ni bint mrembo na mstarabu sana anaitaji mwanaume anayejitambua kiukweli
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 5 месяцев назад
Sana
@JudyLee-hf9cy
@JudyLee-hf9cy 5 месяцев назад
Kabisa
@Allymzaki
@Allymzaki 5 месяцев назад
Kabisa.
@ZuwenaSalum-pd4ol
@ZuwenaSalum-pd4ol 5 месяцев назад
Yani mi pia nimeliona ili mashallah ila kwauyo ajajitambua nn anaitaji kutoka kwamanamke uyo
@RachelMalekela
@RachelMalekela 5 месяцев назад
Sia ndo mke ila wanaume sijui wanatakaga Nini?
@MarianJoseph-zp6br
@MarianJoseph-zp6br 5 месяцев назад
Nilikua najuaga ni ukweli kumbe wanaigiza, nimemsikia siah anamwambia mwenzake eti nilitaka nicheke alijisahau kua kavaa kile kimaiki duh😳😂😂😂
@JumaJuma-c3i
@JumaJuma-c3i 4 месяца назад
Kweli, wameigiza
@Zouh480
@Zouh480 4 месяца назад
Kumbe 😢😢😢😢
@AishaJuma-py7ve
@AishaJuma-py7ve 4 месяца назад
Nahata uyo mwanaume wa kipind cha nyuma 😂😂😂
@SweetnessEMbise
@SweetnessEMbise 3 месяца назад
Kama ni hvyo siangalii tena
@celinadavid9753
@celinadavid9753 2 месяца назад
noo atakua anamaanisha kidogo acheke mbele yao bhn
@afyayakonajullie4314
@afyayakonajullie4314 5 месяцев назад
Sijapenda kumficha sura kevoo
@antidiuskalugira6727
@antidiuskalugira6727 5 месяцев назад
Bila izini yake uwezi kuonesha sura yakee
@EpiphanDidace
@EpiphanDidace 5 месяцев назад
Skiliza mpaka dk ya 8 hii story imetengenezwa
@matildamoris3641
@matildamoris3641 5 месяцев назад
Mdada mzuri hvy unadate VP na mwanaume WA ivyo Kwanza uvaaji Ty auelewek kama binti uko seriously na life uwez ingia umoo yaan anaonekana anahudumiwa na awo wanawake amna kitu apo kama unakubali nachosema gonga like😂
@AshuraShafii
@AshuraShafii 2 месяца назад
Nimependa sana kevoo alovomchagua mwanamke wake mana huyo mwengine ni mkorofi sana tafuta chako dada usione kinag'aa ukakitolea macho haya siulisema uwezi kuwachwa Hilo limeumbuka😂😂😂😂😂
@AchenaSalumu
@AchenaSalumu 5 месяцев назад
Sia nimekupenda bule mpole unaeshima nakupa makopa yako❤❤❤❤❤❤
@janethfred4047
@janethfred4047 5 месяцев назад
Yaan kwa mazungumzo haya kevoo anaonekana bado anaakili za kitoto kabisaaa yaan daah! Shida vijana wanadate na wanaume wasio jitambua kabisaaaa
@neemaokanga
@neemaokanga 5 месяцев назад
Ayo ni fert
@FayBeauty
@FayBeauty 5 месяцев назад
Mimba yako? Baki nayo ikikua utanishtua😆🤣🙌🏻
@FaridaKizenga
@FaridaKizenga 5 месяцев назад
Oyoooooo..... 💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻nilikuwa nausubir huu mrejesho kwa hamu zote Asante studio💃💃💃💃💃
@araphasabra4498
@araphasabra4498 3 месяца назад
Sia wozaaaaaaaaaa 🎉nimefrahi Sana kile kingine sio kabisa
@BennyJumah-hd8yf
@BennyJumah-hd8yf 5 месяцев назад
Zingatia vizur Jamaaa anavyotoka kwenda kuongea na huyo Kevo Hawa wa dada wawil wanaskika wakicheka moja anmwambia mwenzie nilitaka kukosea
@Mjissa
@Mjissa 5 месяцев назад
Hyooo hata mm nimeisikiaa ety hawa washenz kumb wanatuigiziaaa dadek
@yasintakimaro5784
@yasintakimaro5784 5 месяцев назад
Hawa wanaigiza tuuu washenz wakubwa wamekosa kazi ya kufanya wakaona ss ni mabwege tusikilize utopolo wao....wamekosa vya maana vya kutuletea vya kuelimisha ata jamii vyenye maana😤😤
@BennyJumah-hd8yf
@BennyJumah-hd8yf 5 месяцев назад
@@yasintakimaro5784 wanacheza na skil za watu wajinga so welevu embu watuache kidogo
@BennyJumah-hd8yf
@BennyJumah-hd8yf 5 месяцев назад
@@Mjissa Hawa wanacheza na soil zetu
@صفوابنتسعيدباوافد
@صفوابنتسعيدباوافد 3 месяца назад
Mimi nasikia wanacheka tu
@irenembise541
@irenembise541 5 месяцев назад
Huyu kevoo mbona Kama Yule aloitwa kwa rafiki wa mpenzi wake na akaenda 😄kule kwa Kiredio
@MwileMkangwa-y1n
@MwileMkangwa-y1n 4 месяца назад
Hata Mimi Nimeona hivyo 😅😅😅😅😅 yule alie meza dawa
@abdallahassan6378
@abdallahassan6378 4 месяца назад
Ata mm nimeona ivo
@Samueldavics
@Samueldavics 4 месяца назад
Kumbe pale alimeza dawa😅😅😂
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 2 месяца назад
​@Samueldavic😅😅😅😅😅s
@Samueldavics
@Samueldavics 2 месяца назад
@@ziddyziddy2524 noma sana 😁🤔
@HildazablonZablonmakina
@HildazablonZablonmakina 5 месяцев назад
Sio vzr bhn kwann mwanaume amefichwa sura, Mr uky sio vzr apo
@rasholkhamismunga6136
@rasholkhamismunga6136 2 месяца назад
Weeh madem wa bongo mapenzi yanawatesa mbaya mbovu wallah
@floraflora9490
@floraflora9490 4 месяца назад
Majina ya kevoo kwenu Kenya tukiyasikia ni murife tuuuuu
@MohdSilima-v4b
@MohdSilima-v4b 5 месяцев назад
Nyinyi wanawake washezi kweli yan mwanamke umekamilika ukagombanie mwanaume kwel mh looo mmezidi
@AliceLuvanda
@AliceLuvanda 5 месяцев назад
Jamn wakwanza like zanguu😅😅😅
@TwahiriRajabu
@TwahiriRajabu 2 месяца назад
Nimekupenda bule Mr uky
@LeahS-z6t
@LeahS-z6t 5 месяцев назад
Hata ingekuwa mimi ningemchagua Sia kwa kweli😅😅😅
@olicej7837
@olicej7837 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂
@madinasaid1095
@madinasaid1095 5 месяцев назад
Anajielewa
@Realme-xm3sh
@Realme-xm3sh 5 месяцев назад
Alaf hi mimba yenu ikikuwa tuwashuwe sio😂😂😂😂😂bas poa👍😂😂
@Benj-w7s
@Benj-w7s 5 месяцев назад
Tena anatako nzuru
@alexmuli1681
@alexmuli1681 3 месяца назад
Kevoo na brayoo malaya sana mazee
@linahmlay8512
@linahmlay8512 4 месяца назад
😂😂😂😂 wasichana mnaopenda mume wa shoo au ndugu kitawalamba kitu mimba baki nayo utanishtua😂😂😂😂😂 Asia popote ulipo❤❤❤❤❤❤❤
@TallentMakero
@TallentMakero 5 месяцев назад
Uyo kevoo mbona kama yule wa fumanizi la kimara, alaf ya leo mbona kama drama iv mmeskia ao wadada wanavyoongea et uscheke jaman mr. Uky unatukatisha utam
@AgnessHerman-dp6fw
@AgnessHerman-dp6fw 5 месяцев назад
Shida mmebebea mimba mwanaume mvulanna,hata bado hajui anataka nn,mabinti tulieni jamani,mnaharibu maisha yenu,kevoo hata kujieleza hawezi,
@AgnesDavidmtalemwa
@AgnesDavidmtalemwa 2 месяца назад
Mbona mwaume mnaficha tunataka kumwona weka like hapa
@AgnesKomba-rv4zx
@AgnesKomba-rv4zx 4 месяца назад
Poleni Sana wadada shida wanaume wanatamani làkini tu hawapendi kuweni makini by samweli
@Joven-xg4vv
@Joven-xg4vv 4 месяца назад
mr uky umedhingua unafichaje sura ya uyo kevoo kwanz ajielw kabisa yan unadateje na shog wa rafik yako
@FaudhiaIssa-g1z
@FaudhiaIssa-g1z Месяц назад
Ushenzi kumnyenyekea mwanaume😂😂😂
@HalimaOmari-x8e
@HalimaOmari-x8e 5 месяцев назад
Sijapenda kwaio sis sio wasaman au
@halimajuma-zq9dk
@halimajuma-zq9dk 5 месяцев назад
M ndo mna nakuambia hizi content igen kenya mko nuum sana kwn kenya hawana haki kwa wanaorekodiwa lkn wanaonyesha sura ebu kuwen bana 😊
@rahelmlenga
@rahelmlenga 5 месяцев назад
Duh mbna boy kam ni yule yule wa kimala jmni ....wanaigiza awa.
@JESCAMUSA-l8r
@JESCAMUSA-l8r Месяц назад
Nmecheka kevoo alvoambiwa et wana mimba wote "heeeh"😅😅😅😅
@azizahasan2851
@azizahasan2851 5 месяцев назад
Safi sana mkome kuingilia mapenz ya watu😅😅uyo kk kanikosha sana amkatae mpenz wake kisa uyo maraya mgeni ncheke mie😂😂😂😂😂
@MagdalenaHoja-jh9qg
@MagdalenaHoja-jh9qg 5 месяцев назад
Mr UK s umchukue Sia awe Dem wako tu nibint mtiifu sanaa
@aishaabrahaman9957
@aishaabrahaman9957 4 месяца назад
Namvutia upepo 😂😂😂😂😂 mwanaume mwenyewee kama Tupac na kitambaaa😅😅
@JescaMgeni
@JescaMgeni 4 месяца назад
Mdada mwenyew wigi mstaarabu sana
@EnaraMfwango
@EnaraMfwango 5 месяцев назад
Kelvoo noma xanaa ety mimba imetokea wap tena
@fatuma7209
@fatuma7209 3 месяца назад
Uyo kevo ni yule fumanizi la kimara ad akanywa kidonge
@rizikisam6481
@rizikisam6481 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂 mimi nigombanie mwanaume hivo sina muda
@AlexnderAnzigat
@AlexnderAnzigat 5 месяцев назад
sia anampenda sana uyp mwanaume na ni mke sahihi
@KhadijaAli-zd8jq
@KhadijaAli-zd8jq 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂hahaha nimecheka jamani Daaaaaaàa mithani kwa kweli
@صفوابنتسعيدباوافد
@صفوابنتسعيدباوافد 3 месяца назад
Unapoingilia mapenzi ya watu,,,unajishusha thamani,,,huyo mwanaume amekudrau ,,anakukataa mbele ya shoga yako,,,,,Sasa mwenzio kawekwa ndani maanayake kapendwa,,,,,,,unamtaka kinguvu du,,,dharau nyingi bi dada
@LovenessDivana
@LovenessDivana 5 месяцев назад
Mtu utakiwiii unajibebishaa na mimba kbsaa..khaaa..ila sisi wanawake tukiambiwa ukwel unanuna ko bora mtu akudanganye kulikoo kukwambiaa ukwel..😅😅🙌
@Jennifermossesmsangi
@Jennifermossesmsangi 5 месяцев назад
Ikikua utanistua 😂😂😂😂 kevoooo🙌
@SaniaAhmada-vl3kw
@SaniaAhmada-vl3kw 5 месяцев назад
Sia ni wakuolewa kabisa yaaniii😊
@eggysulle7988
@eggysulle7988 5 месяцев назад
On this placeeee 😄sawa tumkbl
@MwajumaAlly-d1v
@MwajumaAlly-d1v 5 месяцев назад
Mdomo wotee shwaaaah nyieeee hapan
@abbynassor.4260
@abbynassor.4260 4 месяца назад
Nikifika nanyakua uyooo 😂😂😂😂😂 uyo mim kabisaaa yaan 😂😂😂😂
@theajoicy
@theajoicy 5 месяцев назад
Kwanza mwanaume mwenye chokolaaaaa
@irenesongelael
@irenesongelael 5 месяцев назад
Uyo neyla dish limeyumba ndo maan alikuw anatumika na kevoo Sia ni mstaarab San nmemlend kevoo kaon kifaa icho ndo maan kaondok nae Ushauri kwa wanaume tumia demu mjuaji ila usimpe mimba Ila nashauri wadada mwanaume anamjua mwanamke wa kumuoa
@CALVINMASSAWE
@CALVINMASSAWE 5 месяцев назад
Kevoo mwenzangu katisha na kama kevoo mimi pia nampongeza kachagua sahihi kabisa
@florahkimaso6769
@florahkimaso6769 5 месяцев назад
😅😅
@StellaMleba
@StellaMleba 5 месяцев назад
Kwakweli sia nimwanamke ana eshima zake
@evelnjuma1834
@evelnjuma1834 5 месяцев назад
Daaah mapenzi mtihan sana ❤🇹🇿
@dianajavan-s3v
@dianajavan-s3v 4 месяца назад
Kevo dem anaekufaa huyo mwenye wigi
@JofreyKanjanja
@JofreyKanjanja 5 месяцев назад
Watoto mnavamia mapenz, huo umri jitafutien elimu iwasaidie kujitegemea kifikra na uchumi, muache kugombania wanaume wanaish na kula kwa wazaz wao
@ashamdemeka
@ashamdemeka 5 месяцев назад
Kwel n kuwaza wanaume tu badala ya kujikwamua kiuchumu kulisaidia taifa
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 3 месяца назад
Mimi sijafura kwa vile unamficha huyo bwana Malaya sura inabindi sura ionekanllke kama vile wanawake wanaonyeshwa sura
@naimakhalid7798
@naimakhalid7798 5 месяцев назад
Huyo neyla sijui katokea uswahilin gn 😂😂kakaa kishar shariiii
@consesamallya9763
@consesamallya9763 3 месяца назад
Jamani wanawake mkiamua kubeba mimba ili uolewe au upendwe unafeli sana 😢😢😢 ukibeba ujue namna ya kulea mtoto
@SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
@SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct 5 месяцев назад
Safi sana kaka sia ndiyo habari ya mjini
@britneyivy
@britneyivy 5 месяцев назад
Kinachochekesha wa kutibuka ndo katulia zake kimya...uyo mpuuzi mwingine ndo anajifanya kacharuka charukaka
@trinnagriffo9366
@trinnagriffo9366 5 месяцев назад
Mtangazaji ni in this place sio on
@giddie_barnabas
@giddie_barnabas 5 месяцев назад
Wadada wazur wanawapenda wafunga vitambaa hao c future husband af ce wengine mnaotuona wanyasa ndo love imeja kilo150😁
@TinaElias-k5m
@TinaElias-k5m 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@LinahNicholaus
@LinahNicholaus 5 месяцев назад
😂😂
@QuamungaQuamunga
@QuamungaQuamunga 5 месяцев назад
😂😂😂
@Salmakaucha
@Salmakaucha 5 месяцев назад
Ila asiya kapole jaman ❤❤❤
@MaryaMarya-zw8mr
@MaryaMarya-zw8mr 5 месяцев назад
Hahahah Kevoo mwenyewe ndo huyu 😂 makubwa huyu ndo wakugombaniwa au kuna uchawi jamn
@daydaypapaa7709
@daydaypapaa7709 5 месяцев назад
Ilo likevoo linazarau balaa😂😂😂😂wadada tafuteni pesa
@SALMASULTANSAID
@SALMASULTANSAID 4 месяца назад
Kwan kweli sia achane na kevo man c mwanaum
@officialgidoti8992
@officialgidoti8992 5 месяцев назад
Mm nimempenda kevoo kwa kumchagua asia maana uyo mwingine nyodo nyiny kujitia anapendwa wakati anadanganywa tu mwanaume ata kama anacheat akikuchagua kwenye kadamu nasi basi iyo heshima inatosha huwezi kumzui kucheat ni yy atamua kustop au kuendelea
@jenipherishengoma1239
@jenipherishengoma1239 5 месяцев назад
Michepuko michepuko Ina la kujifunza hapa na kuzaa utamzalia ila mke halalii haachwi labda aamue kuondoka mwenyewe
@fatreybaby192
@fatreybaby192 5 месяцев назад
Mnaficha sura za vijana atujapenda 😮
@AsmaAlly-m9i
@AsmaAlly-m9i 5 месяцев назад
Kwann mnawaficha sula wanaume😊
@sumiyanachingulu9124
@sumiyanachingulu9124 5 месяцев назад
Pamoja na kwanba kevo ni msaliti lkn kachangua mwanamke sahihi huyo mwingine anaonekana uswahili mwing mno😅😅
@emmanuelandrew2259
@emmanuelandrew2259 5 месяцев назад
Jamaa amezingua kuwapanga but apo kwenye kuchagua nimempa bigup huyo sia ata mm nimempendaa
@newprecious5487
@newprecious5487 5 месяцев назад
Aibu naona mimi😃
@marygorethtemu4959
@marygorethtemu4959 5 месяцев назад
i was waiting for it...😂
@TwahiriRajabu
@TwahiriRajabu 2 месяца назад
Jaman neyra unadharau we
@NeemahChristopher-pq3kc
@NeemahChristopher-pq3kc 5 месяцев назад
Et hyo mimba wee kaa nayo tu ikizingua utanishtua😂😂😂😂😂😂 kevoo mshenzi sana 😅😅😅😅😅😅😅
@zhainabuissa4675
@zhainabuissa4675 4 месяца назад
Waonyesheni wanaume kama ambavyo mnawaonyesha wanawake
@neliciousmtata5309
@neliciousmtata5309 5 месяцев назад
hahahahah sasa io lkn nimeitaman iendelee uwhi......🙌🏼
@ReyzDon
@ReyzDon 5 месяцев назад
sema unajua kuwapanga sana hao wana
@RehemaJuma-uw9ct
@RehemaJuma-uw9ct 5 месяцев назад
Ndo maana shost yangu ni mm yangu Hy dd mwengine debe la taka hafai amuachie mnzke alimkuta nae
@SheilaabasiChuma
@SheilaabasiChuma 5 месяцев назад
Sia nimwanamke kwakweli ❤
@DadyMposh
@DadyMposh 5 месяцев назад
Munazingua wadada munawaonyesha sula zao ila wanaume munawaka, munataka ku2aminisha nn, kwamba wadada ni malaya sana au vip...
@cydemanchester2368
@cydemanchester2368 3 месяца назад
Mr. UKY sijapenda utaratibu wa kuficha sura za wanaume pale unapowahoji wakati huo huo sura za wanawake hamzifichi. Kama mnaona wanawake wanafaa kudhalilishwa lakini wanaume hawafai kudhalilishwa sio poa wala nini. Sura zote ziwekeni wazi
@giddie_barnabas
@giddie_barnabas 5 месяцев назад
Nioneshe kevoo alie loyal nikuoneshe mende yatima😂😂
@neilsskishimbo5546
@neilsskishimbo5546 5 месяцев назад
Niko hapa
@Naomimwakisyala
@Naomimwakisyala 5 месяцев назад
🤣🤣🤣
@dorcassmarco3425
@dorcassmarco3425 5 месяцев назад
SIA mremb alaf mstaarab 🥰🥰
@SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
@SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct 5 месяцев назад
Nampenda sia mstalabu sana
@NeziaWilliam
@NeziaWilliam 5 месяцев назад
Sia nimekupenda bure
@julianapeason6254
@julianapeason6254 5 месяцев назад
Kwa Kevo ,, Sia anajidhalilisha.😮😮😮😮😮
@Nelly-s3h
@Nelly-s3h 5 месяцев назад
Nyoooh nimechekaaa kizungu misifa yote kwisha habari
@LoyceMpochele
@LoyceMpochele 5 месяцев назад
Bwana tuh mwenyew mavaz yake anaonekana hat sio mwanaume wa maana
@rachelkaminyoge1046
@rachelkaminyoge1046 5 месяцев назад
Haya ndo mambo bhn unatumalizia vipindi
@jeraldmzuri9856
@jeraldmzuri9856 5 месяцев назад
Unakuwaje na dem bondia kevoo umezingua hukujuabkuwa huyo manzi ni mwanajeshi au 😂😂😂😂😂😂
@RAMADHANSIKWA-r5o
@RAMADHANSIKWA-r5o 3 месяца назад
Onyesheni izo sura za wanaume
@StylebyTully
@StylebyTully 5 месяцев назад
Kevooo? Alafu amevaa kitambaa😂😂😂😂😂
@AnethWambura
@AnethWambura 5 месяцев назад
Jaman imeishije hvoo
Далее
MUME,MKE NA MCHEPUKO MEZA MOJA
11:15
Просмотров 107 тыс.
MWANAUME WANGU AME GAILISHA NDOA KISA LAFIKIANGU
8:12
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
Why is it different from what I thought?
00:15
Просмотров 3,1 млн
PLAN B _ Episode 22
1:02:01
Просмотров 80 тыс.
DAH HII CONTENT IMENILIZA SANA PART TWO 2
15:01
Просмотров 52 тыс.
KAFUMANIWA NA EX WAKE
8:04
Просмотров 25 тыс.
MWANACHUO WA CBE AKATALIWA NA MPENZI WAKE | WAACHANA
6:21
SHEMEJI NA NEYLA
10:25
Просмотров 108 тыс.
KACHUKUA MPENZI WA MWENZAKE Pt2
8:59
Просмотров 230 тыс.
MUMAMA ALETA BARA
9:56
Просмотров 180 тыс.
MUME  WAKE  MALAYA  INAUMA SANA😭😭 | PART  01
12:07
Просмотров 20 тыс.