Тёмный

MUME,MKE NA MCHEPUKO MEZA MOJA 

Mr Uky
Подписаться 73 тыс.
Просмотров 107 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 700   
@MonicaBwaola
@MonicaBwaola 5 месяцев назад
Jamn ila mchepuko ana sauti nzuri😂😂🙌
@SiloohMilosevic
@SiloohMilosevic 3 месяца назад
Umalaya tu kuoa Aaaaah😅
@Sweetnaah
@Sweetnaah 4 месяца назад
Mke anashamra shamra hadi raha nimepentraaaaaaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@neliciousmtata5309
@neliciousmtata5309 5 месяцев назад
kwaaakili zangu chache zinazonisaidia kuvuka barabara ni hiv...... mke ndo chanzo cha mwanaume kutoka ..... nawasilisha mada 🙏
@rizikikhalid5119
@rizikikhalid5119 5 месяцев назад
Swadakta
@AlbinMsechu
@AlbinMsechu 5 месяцев назад
Upo sahihi kwakiasi kikubwa sanaaaa
@yohanakipako7934
@yohanakipako7934 5 месяцев назад
Nadhan upo sahihi
@bmmovieclips533
@bmmovieclips533 5 месяцев назад
uko sahihi↕
@dayana5513story
@dayana5513story 5 месяцев назад
​@@yohanakipako7934kabisaaa 👏
@RehemaAgai
@RehemaAgai 3 месяца назад
Sawa mume anauma,ndio umpige mbele ya watu jamn , pole Shem
@maimunaulotu2075
@maimunaulotu2075 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂kumbe mke ndo yupo hivyo sikuon😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimechek kwa saut
@CarloloneEddson
@CarloloneEddson 9 дней назад
Mke mcharuko uyooo😮😮salumu kuchepuk ni vyema
@aminamohamed8969
@aminamohamed8969 3 месяца назад
Mumewangu simpeleki mtandaoni hata nimuone kafanya dhambi gani😂😂😂😂😂 Tutamalizana tu huku kudhalilika huku
@mwapachukikombe2083
@mwapachukikombe2083 3 месяца назад
Upo sahh kbsa
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 2 месяца назад
Kabisaaa kipenzi tena hakuna anaejua mapungufu yake namsifia Kwa watu hatari
@FaridaKizenga
@FaridaKizenga 5 месяцев назад
Hata mm mwanaume wangu alikuwa anaongea siri za mkewe zote,😅😅😅 na mm nikawa nazdsha mahaba nyie🙌🏻🙌🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻 hadi tukaowana, we huwogop?
@neytasteven3851
@neytasteven3851 4 месяца назад
The next is you babe usifirahie mwanaume kama anaweza kuongea vitu vya mkewe bas na wew zako zitaongelewa
@IrakozeSandra-di1co
@IrakozeSandra-di1co 4 месяца назад
Basi mpenz zamu yako iko kikubw umeingiy kweny ule mtego wa ndoa 😂😂😂 bora ungebak mchepuk 😀 na ww unajisif eti hauogop wakati akitok anakuw sio mme wak ila akirud ndio mme wako,malipo ni hapa hapa duniani ndugu yang, zamu yako iko tuuuuu 🤣😀usifurahiy yalio mkuta mwenzak
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 4 месяца назад
​@@neytasteven3851na ndivyo itakavyokuwa
@LindaSalumu-yw9hq
@LindaSalumu-yw9hq 3 месяца назад
Usiogope tumia fursa
@brightnessmmbando3458
@brightnessmmbando3458 4 месяца назад
Bora hata uyo dada anajua kuropoka anatoa sumu moyoni😂💔 maan unaweza kufa
@idybwoytz8485
@idybwoytz8485 5 месяцев назад
Mr UK munafikii San wahiziii mambo 😂😂😂😂😂 semaa flesh San mzee baba 🙌 😀 kwanzaa hilo jimama miyeyusho san 😀
@TiffahMody
@TiffahMody 3 месяца назад
Afu kaka mwenyewe sasa hendsome mpka basi afu limama alina adabu ajui kuongea lazima atafute pakuzizimishwa roho❤😂
@ZennaSamson
@ZennaSamson 5 месяцев назад
Ila mchepuko ni mzuri 😂
@naimakhalid7798
@naimakhalid7798 5 месяцев назад
Picha linaanza mke hamuheshim mumewe 😂😂..ndio mume kakosea lkn huwez mtolea maneno ya ajab hvyo mbele ya watu..angekua mstarab km huyo mcheps mke angependeza zaid
@SamraAlly-kj5in
@SamraAlly-kj5in 4 месяца назад
Nmekapenda kamchepuko kaporeeee kama mimi😂😂😂
@catherinedaniel2265
@catherinedaniel2265 5 месяцев назад
Huyu mchepuko na yeye mjinga 7bu km mtu anataka kumuaacha mkewe kwanini anakuficha Si.,,ujingaa huo jmn ila wanaume 🙌🙌🙌🙌
@DoreenNyange
@DoreenNyange 2 месяца назад
😂😂😂Mwanaume amekalishwa chini😂😂
@MerinaMihayo
@MerinaMihayo 4 месяца назад
😂😂😂😂nimecheka kwanguvu mie jmn😂😂😂 mke ni chizi😂😂😂 mchepuko ametulia
@gracemwailima1780
@gracemwailima1780 5 месяцев назад
Mmmh kaka umeoa mshangaziii hahahhaa et nyokooo hahhahahaha
@Alf-e2x
@Alf-e2x 5 месяцев назад
😂😂uwiii mchepuko anasifa wallah
@johasaeed391
@johasaeed391 5 месяцев назад
Huyo dada alochukua mume wa mtu nimependa kwakweli wallah ni mstalabu sana huyo wa mume anahasila wakati yeye ndo kaitamkutano😅😅😅😅😅😅 sasa vinamtoa jasho
@aminamzuri9933
@aminamzuri9933 5 месяцев назад
Mstarabu wap mshenz
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 3 месяца назад
@@aminamzuri9933ushenzi wake ni nini?
@divadivana368
@divadivana368 5 месяцев назад
Huyooooo mkee Anaonekanaaa shangingiii saaaaana yaaaaan😅😅😅😅😅😅utasema yeye ndio mchepuko na Huendaa Analelewaa huyooo ndioo maaana
@BMMOVIES-d2u
@BMMOVIES-d2u 4 месяца назад
shangingi lkn a cheat angemuacha tu kwanza kabla ya kuanz mahusiano
@ByamunguGentil-su8ox
@ByamunguGentil-su8ox Месяц назад
Muta tugombania sana alafu sis tuna msipi umojatu jaman 😢😢 kwani tuigawe mara2 au 😂😂
@Jahariyashum
@Jahariyashum 5 месяцев назад
Kwani niwakwako pekeyak wew dad unachekesh san alokwambia mwanaum niwaumoj kak wew 😂😂😂😂
@ZedatHosain
@ZedatHosain 3 месяца назад
Hahahahahaahha jamani mke mbona ni jambazi sasa mbele za watu ndo kama ivyo tumejionea veep asitaft demmu mwenye bsara jmn atali sanaa kwa Hali hi nabado tunasalitiwa tu kwa jruri zetu
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 3 месяца назад
Hii ya myamwezi nimeipenda mtani wangu duu punguza hasila
@MuhinaCharse-gt7og
@MuhinaCharse-gt7og 5 месяцев назад
Huyo mkee tuu akionekana ni wamambo mengi umalaya mtuupu umemjaa
@nasrinassor9178
@nasrinassor9178 5 месяцев назад
Unauhakika gan 😅😅😅
@AzizaMpangaosi
@AzizaMpangaosi 5 месяцев назад
kweli kabisa
@zuberympulo6564
@zuberympulo6564 5 месяцев назад
Kwa muonekano tu. Mh. Ka..kweli vile Ajatulia 😂😂😂😂😂😂
@AlbinMsechu
@AlbinMsechu 5 месяцев назад
Kweli kabisaa....sura na anavoongea mambo mengi😅😅😅
@salimmalaka256
@salimmalaka256 5 месяцев назад
MIMI NAVYO MUONA JISURA KAMA LINAKUNYA 😂😂😂😂
@NeemamussaMaitale
@NeemamussaMaitale 5 месяцев назад
Hapo ndoa kazi mke mwenye ndiy huyo
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg 5 месяцев назад
Yaan huyo babi sijui ni nani hajui kutangaza hata kidogo 😩na hivyo vingereza mchwara sana 😂🙌
@EvaNasania
@EvaNasania 12 дней назад
Amuoe tuu mchepuko😂😂😂😂
@israeluronu9958
@israeluronu9958 5 месяцев назад
Wakati mwingine wanawake wakishaipata ndoa wanajisahau sanaaaaaa!! Unaeza ukawa mzuri ukajipodoa kweli lkn ulimi wako ukakuponza.
@Munayya-g2p
@Munayya-g2p 3 месяца назад
💯✍️
@maimunaulotu2075
@maimunaulotu2075 5 месяцев назад
Dada anajiamini😂😂😂😂unaweza uliwa hivihvi
@Cleopatrapatric
@Cleopatrapatric 4 месяца назад
Oyaa tambaaaaaaaaa😂😂😂😂 iyo imeendaaaaa
@kuruthumumussa
@kuruthumumussa 5 месяцев назад
😅😂etiii ndio Mary kapatikana😅😅😅
@benithashayo7749
@benithashayo7749 5 месяцев назад
Mhuuuuuuu mchepuko mwenyewe hata alipi sura mbovu kam yangu alafu kanajikuta mstarabu byokooooi
@Sharifajafari-ys6gx
@Sharifajafari-ys6gx 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂wekaka utatuua jamani 😂😂😂😂😂😂😂
@enockmaige8936
@enockmaige8936 5 месяцев назад
Mnaosema mke ana mdomo jaman hata kama huna mdomo kuna wakati unapokuwa na hasira unaweza kufanya kitu kisicho sahihi mume anauma
@Agnes-i6n
@Agnes-i6n 5 месяцев назад
😂😂😂 hii dunia inafurahisha sana 😂😂
@Grolyosborn
@Grolyosborn 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂baby niletee zawadiiiiiiii
@nuruanaelisha8731
@nuruanaelisha8731 5 месяцев назад
Nilichoona hapa za wanawake ni nyuso zao na ngozi za mwili ni tofauti, murky TU ndio ana rangi Moja,
@nancyg8664
@nancyg8664 4 месяца назад
😊we hujui wamepaka makeup au unataka na me uk apake makeup
@mwalagomwanaisha
@mwalagomwanaisha 2 месяца назад
​@@nancyg8664Alafu huo mkono mweupe sio wa Mary Hakuonyeshwa sura
@christermlewa8471
@christermlewa8471 20 дней назад
Mke ana lugha chafu hata kwa mume wake,ndio maana mume amechepuka kachoka,mchepuko yupo romantic❤😂
@faudhiaadam6773
@faudhiaadam6773 5 месяцев назад
😂😂😂mbona mwanaume anapigwa kama mtoto jamani
@Munayya-g2p
@Munayya-g2p 3 месяца назад
Ndo tunataka tujadiliane tumpe Mr UK jeshi la ulinzi na uokozi😂😂😂😂
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 3 месяца назад
Kabisaa mwenye kosa ni mwanaume
@JanethFrida
@JanethFrida 3 месяца назад
😂😂😂😂mniue sisemi
@EnjooHamiss-sg3nx
@EnjooHamiss-sg3nx 5 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hadi nimecheka uyo mwenye mume ni kichaa kapagawa
@JacklineMdolwa
@JacklineMdolwa 4 месяца назад
Mwanamke enyewe mbaya kaka mzuriii😂😂😂
@GaudenciaMadirisha
@GaudenciaMadirisha 5 месяцев назад
Mme anahaki ya kuchepika mke ana mpiga mme weweeee ata ndo mm nigekuwa mwanaume 😂😂😂😂
@ZuwenaMohammed-fp4yv
@ZuwenaMohammed-fp4yv 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂oyoooo ngoja nizeekee tu huku gulf maaan siwez kugombania mwanaume aise 😂😂nilishayaacha kitambo sana 😂😂
@NajmaSelemani
@NajmaSelemani 5 месяцев назад
Kwer my tupigane na vyombo2 vya waarabu😂😂😂😂😂😂
@ZuwenaMohammed-fp4yv
@ZuwenaMohammed-fp4yv 5 месяцев назад
@@NajmaSelemani yaan apo ndo uhakika mapenzi tuwaachie wahind 🤣🤣🤣
@jokhajj
@jokhajj 4 месяца назад
Kwakwel tuoshe vyoo tu 😂😂
@ZuwenaMohammed-fp4yv
@ZuwenaMohammed-fp4yv 4 месяца назад
@@jokhajj kabisa mamy
@eliambowe2576
@eliambowe2576 4 месяца назад
Nimeona kwanin huyu mwamba anataka kukimbia mahusiano😂 sio kwahio vitaa
@nawarbreezy5943
@nawarbreezy5943 4 месяца назад
Mr Uky ety merry mke wake mtarajiwa tena anacheka Uk mnafik😅😅😅
@LeahPhilipo-kx8yn
@LeahPhilipo-kx8yn 3 месяца назад
Jamn me naomb unifanyie challenge plz 🙏🙏😭 nakuomb nisaidie maan mpenzi wang sielew yey na rafiki yako kwahy nawaomba San
@fidonsostenes
@fidonsostenes 5 месяцев назад
Jamaa kawachanga sema mbona Kama yote mishangazi kwake 😂😂😂
@aishahamad7923
@aishahamad7923 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mke anq hasiraa😂😂😂
@beatricesway5782
@beatricesway5782 5 месяцев назад
😂😂😂mume wa mtu nipo nae ninatamba nae😂😂😂😂
@ZalkiaBendera
@ZalkiaBendera 5 месяцев назад
Km ni mume wangu nakutoa busha lakisimi
@beatricesway5782
@beatricesway5782 5 месяцев назад
@@ZalkiaBendera yanii mume wa mtu anajalii weee😀😀kama ni wako utanisameh shoga angu
@KhadijaRajab-j9r
@KhadijaRajab-j9r 5 месяцев назад
Nasemajeee kama ni wangu nakutoa mkia kwenye tundu la mkundu yani natafuta jina lako tuu afu chamoto utaenda kusimulia kwenuu​@@beatricesway5782
@راقيراقي-س1ع
@راقيراقي-س1ع 5 месяцев назад
Oyaaaa kumekucha hbu sbr nicheke kwnz 😂😂😂😂
@IrakozeSandra-di1co
@IrakozeSandra-di1co 4 месяца назад
Zamu yako iko dada, malip ni hapa hapa Duniani jinsi wanavy sema tutaonj umauti na jinsi utaonja ulichomfanyia mwenzak na unalip mara mbili yake
@MariaPeter-kv3qk
@MariaPeter-kv3qk 5 месяцев назад
Hahhahaah ndo maana hurefuki ila ndoa chunguu mume anauma jamani
@HappyKamera
@HappyKamera 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂ndio maana hurefuki😮
@RobertRange-uf3rf
@RobertRange-uf3rf 2 месяца назад
Aiseeee huyu wife ningempiga ngumi yenye kilo nyingi saaaaaaaana😅😅😅😅😅😅😅
@brianosiemo86x4
@brianosiemo86x4 5 месяцев назад
Ak macho kama ya chui nimeona leo 😂😂😂
@KhadijaShabani-iv4zl
@KhadijaShabani-iv4zl 5 месяцев назад
Mume anauma nyie acheni hayajawakuta,mimi yamenikuta na stasahau,mchepu anajiamini kushida mwenye ndoa😢😢😢
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 5 месяцев назад
Alafu Kuna mengine yapo kumkashifu mke halal, nafikiri ni michepuko pia wao au hayajawakuta lakini mwenye yashamkuta anaelewa mke halal anavyosikia
@KhadijaShabani-iv4zl
@KhadijaShabani-iv4zl 5 месяцев назад
@@chunaabdullah1333 mimi alikua akiniambia simuachi ndo nishampenda kama huwezi kukaa ondoka,ni ndoa na nina watoto
@bibitititv9333
@bibitititv9333 4 месяца назад
Mke ni mbabe sn, na haipendezi mwanamke kuwa mbabe mbabe, na hapo ndipo tunapoharibu sisi wanawake, Tazama alivyomkalisha kwenye kiti ni ubabe ambao hauna maana yoyote, kufanya hivyo ni kumdhalilisha mume ya kuwa unamuwezaaa sn, hata uwe mzuri wa kiasi Gani tabia mbaya zitakushusha na kuonenaka wa hivyo kbsaaa, arudi kwako miezi 3 km si 6 akajifunze namna na kuishi na mume
@NeemaIbrahimu-c2l
@NeemaIbrahimu-c2l 2 месяца назад
Namtaka hapa😂😂
@Mayasa-o2w
@Mayasa-o2w 2 месяца назад
alafunahuyu mchepuko anakusudi mana sio kwamadeko hayo akiongea na hio simu 😂😂😂😂
@ShaelKimaro
@ShaelKimaro 5 месяцев назад
Mume anauma ila wote wazinifuuuui ata mavazi sio ya wake za watu nimavazi ya mchepuko
@magdaleneemmanuel6990
@magdaleneemmanuel6990 5 месяцев назад
Kwa mwendo huu hapana kwa kweli I can't wait
@TimajumaMwaganje
@TimajumaMwaganje 3 месяца назад
Mchepuko kajiami kuliko mke 😂😂😂patam apo😅😅
@flavianaephraim1521
@flavianaephraim1521 5 месяцев назад
Aiseee, adui wa mwanamke n mwanamke mwenzie
@JanetAhmad-v3h
@JanetAhmad-v3h 5 месяцев назад
😅😅😅😅😅huo mwenye mume mkali njo maana mwanaume katoka kwake ukibaki hivo anatafuta nawengine
@Professor.Irene95
@Professor.Irene95 5 месяцев назад
Kwakweli kwahali nlioiona mke ndo sababu yamumewe kutoka nje mdomo na ubabe wakishamba😂😂😂😂😂😂 ataibiwa sana
@SweetnessEMbise
@SweetnessEMbise 3 месяца назад
Mchepuko anakauli nzuri kuliko mke
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 5 месяцев назад
Jamaa kakalishea haswaaaa😂😂😂
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 5 месяцев назад
Saaa kumbe mume wenyewe sio age yao😂😂😂
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 5 месяцев назад
Age ndio nn ss, au ujui ni no tu. Kama umuislamu utaelewa hata mtume wetu mkewe alikua na miaka ngapi bi khadija kwa iyo jiongeze
@BintRasheed1999
@BintRasheed1999 5 месяцев назад
Yan wamezeeka😂
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 5 месяцев назад
@@chunaabdullah1333 ni mtume sio vijana wasasa....mtume usimfananishe na vijana wa hovyo wasasa🙏🙏🙏
@bmmovieclips533
@bmmovieclips533 5 месяцев назад
naww unaejiita mr uk msenge tyuu uon unachokifny km cyo sahh....
@JamilaAbdallah-dp2nx
@JamilaAbdallah-dp2nx 5 месяцев назад
😂😂😂nacheka kama mazuri dahaa
@RahelAlly
@RahelAlly 3 месяца назад
Mery ❤❤❤ nakuelewa.
@somoonlinetv.6461
@somoonlinetv.6461 Месяц назад
Wanaume tunahitaji utulivu, kudekezwa kupetiwa petiwa, mke bondia Kam huyo aisee hata Mie tungeshindwana aisee😂 unakuaje na mke evanda Holly field😅
@ukhtymwana40
@ukhtymwana40 4 месяца назад
Sheria wanne 😂😂😂 bwana salum anzo nafasi 3 😂😂😂
@ChristianMaganga-b9h
@ChristianMaganga-b9h 5 месяцев назад
Nilichogundua kwann mme amechepuka ni pale alivyoambiwa atambae na wakati ana mkimbiza ndipo nilipomuoana vzr kwa makini mchepuko ana sababu zilizopelekea jamaa kuchepuka😂😂😂
@glorymutalemwa296
@glorymutalemwa296 3 месяца назад
😅😅😅😅
@MarryMaric
@MarryMaric 5 месяцев назад
😂😂😂😂kam mke ndio uyo ata mm ningechepuka
@ummibabysalim9522
@ummibabysalim9522 4 месяца назад
😂😂😂😂😂yaani mke ni bondia mikono inamuwasha kila sekunde
@Mrsmasandunje
@Mrsmasandunje 5 месяцев назад
Leo mmenoga kwa sababu tumewaoona wore, au mnasemaje wadau😅😅
@maimunaulotu2075
@maimunaulotu2075 5 месяцев назад
Naombeni mwendelezo😂😂😂😂😂😂
@MysaraMysaraabdul
@MysaraMysaraabdul 5 месяцев назад
yan hawa kuwaweka nanasi chini😢😢 mume wangu unijibu jeuri😏😏
@FatmaAlamry01
@FatmaAlamry01 5 месяцев назад
Heheheee ndio maana niko single siyataki hayooo ww Mr uky hehe 🇰🇪🤣
@RobertRange-uf3rf
@RobertRange-uf3rf 2 месяца назад
Ila kingereza cha mr UK😅😅😅😅
@Grolyosborn
@Grolyosborn 5 месяцев назад
I love you baby I love u moreeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂
@stanslaustwanje7543
@stanslaustwanje7543 5 месяцев назад
Ushaambjwa kaa hapa 🤣😂🙌😁
@malietamaliet
@malietamaliet 5 месяцев назад
😂😂😂😂mke anapaka mkologo chepuko liko natural kubabakee weka weka weka weka weka umutu umutu
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 3 месяца назад
Mume anahitaji utulivu mke ampi utulivu mumewe 😅😅😅
@MellanierChristian-wn9mw
@MellanierChristian-wn9mw 5 месяцев назад
Mwanamke ana kauli mbayaaa saana
@selinakatega6691
@selinakatega6691 5 месяцев назад
Huyo dada kwa hali hiyo lazima mwanaume achepuke..dada amejichubua kama shetani..mdomo sasa😅😅😅merry huyo mchukue moja kwa moja pumbavu
@YuniceChuma
@YuniceChuma 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@rukiapessa7112
@rukiapessa7112 5 месяцев назад
Naunga mkono hoja Na nilichopenda mwanaume hajamkana marry wake
@kitangenyimasile7872
@kitangenyimasile7872 4 месяца назад
Amejichubua kama Nani?
@kitangenyimasile7872
@kitangenyimasile7872 4 месяца назад
Kwa huyo Dada lazima Mme wake atafute pumziko la moyo
@JoyceNgela
@JoyceNgela 3 месяца назад
😂😂😂
@JafaryNambilo
@JafaryNambilo 4 месяца назад
Mishangazi ya bongo bana Dah kweli bongo wanaume wachache ila mishangazi mh😂🤣😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣ila tutafute ela tafuteni pesa mapenzi yapo2
@AndrewMatola
@AndrewMatola 4 месяца назад
Huyo meri hana ustarabu wowote ni malaya tu ila uyo mke ana maumivu sana hawezi kuvumilia mume anauma jamani
@ZawadiMwabadilanga
@ZawadiMwabadilanga 5 месяцев назад
Uuyu muchepuko hana aiibu hana aibu muuzi Ana subiri nini kupata mwana ume wake kusumbuwa watu na ndoa yao ipo siku muta lipa hiki mungu Ana jua
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 3 месяца назад
😂😂😂 Uyu mkewake komando kamkalisha chini eti ndomana hurefuki duuu
@christinanyamtema6516
@christinanyamtema6516 5 месяцев назад
Mke kwel mambo mengi,anaongea kama muhuni mla ngada duu mchepuko mstaarab
@zamdasalum3154
@zamdasalum3154 5 месяцев назад
Mchepuko ni mstaarabu kulikon mke
@mariaernest671
@mariaernest671 4 месяца назад
Kabisa ndio maana salum anasepa kwa merry
@AngelBoniface-oe8ug
@AngelBoniface-oe8ug 4 месяца назад
Ndo maana wanaume wanachepuka midomo yetu
@DativaMbowe
@DativaMbowe 4 месяца назад
​@@AngelBoniface-oe8ug hapa nimejifuza smropokei tena hubby wan
@RashdaAbdallahMahuwile
@RashdaAbdallahMahuwile 5 месяцев назад
Nimependa mchepuko anajiamin kupita kias😅😅😅😅😅
@gracemwailima1780
@gracemwailima1780 5 месяцев назад
Hahahhaha mm siwez ningekurukia hapohapo na kwenda police sitakagi dharau mm hasira ingeniponza walah.lakin pia mchepuko duuuu unajiamin sana na nimekupenda bute
@BiubwaMuhammed-un3dt
@BiubwaMuhammed-un3dt 4 месяца назад
Usinichekeshe utaenda police
@SimonBinde
@SimonBinde 5 месяцев назад
Mume au mke haibiwi- Siyo vzr kusema mtu mwenye akili zake timamu kaibiwa
@LinahNicholaus
@LinahNicholaus 5 месяцев назад
😂😂
@ashazuber6548
@ashazuber6548 5 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅Nyoko ndo maana hurefuki kwa kuhonga wanawake😅😅😅😅
@Cianadvd1
@Cianadvd1 4 месяца назад
Saa ngapi na wapi? 😂😂😂😂nyie nyieeee hivi michepuko inabembelezwaaaa😢
Далее
KEVO,NEYLA NA SIA MEZA MOJA
10:38
Просмотров 129 тыс.
Wait for it 😂
00:19
Просмотров 1,4 млн
На самом деле, все не просто 😂
00:45
Why is it different from what I thought?
00:15
Просмотров 3,1 млн
MAPENZI YA BONGO PART 1
10:27
Просмотров 154 тыс.
LIZZ KAWACHANGANYA WADADA
12:57
Просмотров 40 тыс.
MAMA KUONANA NA MWANAE BAADA YA MIAKA 4
9:31
Просмотров 176 тыс.
MKE NA MCHEPUKO WA KUTANA Part 2
9:56
Просмотров 270 тыс.
MWANACHUO WA CBE AKATALIWA NA MPENZI WAKE | WAACHANA
6:21