Тёмный

MWANAUME WANGU AME GAILISHA NDOA KISA LAFIKIANGU 

Mr Uky
Подписаться 71 тыс.
Просмотров 50 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 283   
@lovenessfracis
@lovenessfracis 3 месяца назад
Yaan hicho kijambazi komwee😏😏😏😏kibaya ila kinavyojishebedua nyokooo,yaan ndo maana mm Sina shoga
@sahraabdallah7242
@sahraabdallah7242 3 месяца назад
Kaone na komwe lake kama ngazi ya tanesco 😏😏😏😏 dada tulia we mzuri achana na huyo sister komwe😏😏😏
@rendee267
@rendee267 3 месяца назад
😂😂😂😂😂yoh
@hadijashafii9716
@hadijashafii9716 2 месяца назад
😅😅😅😅😅
@MayaOmani
@MayaOmani 2 месяца назад
😂😂😂😂
@kastoriraphaelmartin2628
@kastoriraphaelmartin2628 28 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 3 месяца назад
Hicho kidem sasa kinachomzuzua huyo D komwe kama kibanda cha simu.😂😂😂😂😂
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h 3 месяца назад
Ndiyo 😂😂😂😂😂
@user-gl8ij6mn6e
@user-gl8ij6mn6e 3 месяца назад
Tatizo hawajui nini wanataka sio wanaume sio wanawake😂😂
@mulhatsaleh
@mulhatsaleh 3 месяца назад
Mbona komwe😂
@AraphaCheki
@AraphaCheki 3 месяца назад
😂😂😂 Cha tigo pesa😂
@sadakazembe9034
@sadakazembe9034 3 месяца назад
😂
@malietamaliet
@malietamaliet 3 месяца назад
😂😂😂mkiona mapenzi inawasumbua Niko na mashamba uku jembe zipo kuja tujaribu kilimo
@user-rt1nk2pt6d
@user-rt1nk2pt6d 3 месяца назад
😂😂😂😂
@MariamOmary-ep6iv
@MariamOmary-ep6iv 3 месяца назад
😂😂😂😂😂
@AgnesDavid-et3zn
@AgnesDavid-et3zn 3 месяца назад
😅😅😅😅
@zilpaomary
@zilpaomary 3 месяца назад
Exactly 💯😂😂
@LucyCornery
@LucyCornery 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂
@ligujelimnma
@ligujelimnma 3 месяца назад
Mr. Uky una jina kubwa jaribu kutafuta hata mhariri au ongeza umakini kwa kiasi mfano: Rafiki umeandika Lafiki
@salmakasim8390
@salmakasim8390 3 месяца назад
Kabisa asee ajitahid ku maintain L na R media yake ni kubwa sasa watu ni weng wanafatilia
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 3 месяца назад
Imagine veli soli 😢😢mmh
@salmakasim8390
@salmakasim8390 3 месяца назад
@@salmaalimusa6809 hahahaha nimecheka jamani et veli soli hahaha Achana na hio kuna ile anasema mr uk awaplank wadada instead of pranks 😂 afanye improvements za headlines anazoweka ata kama yey ana shida ya L na R
@mulhatsaleh
@mulhatsaleh 3 месяца назад
​@@salmakasim8390mbona planks😂😂
@EeeeEeee-gr1fd
@EeeeEeee-gr1fd 3 месяца назад
​@@salmakasim8390😅😅😅
@Mariam-z5e
@Mariam-z5e 2 месяца назад
Guys niwaambie kitu unaweza ukawa unamuamini sana rafiki yako ukamwambia hadi hali ya mahisiano yako lakini kumbe huyo ndo mbaya wako tuweni makini wanawake jamani kitu hicho kinaumiza sana jamani yaan,,,, halafu pia wanaume jamani msitufanyie hivyo kuwa tu muwazi mtu umeshamuahidi ndoa halafu unamzunguka tena unafikiri laana zinatokana na nn ni kutotimiza makubaliano na ahadi mlizoahidiana unakuta mwenzako hakuigizii upendo ila wewe sasa ka umerogwa vile kha!
@BabaFarzan-ml4er
@BabaFarzan-ml4er 22 дня назад
Short n clear Wanawake muwe makini sana na ushauri mnaopeana na kuchukua kwa mashost ama watu wa karibu Kwa 40% labda Mamako mzazi kama sio mkazi wa Sinza Tabata Ilala Magomeni maana wa Mama wa huko hata huyo bwanaako kama ana maokoto wanabeba Ficheni Mahusiano kama bado hamjaolewa mtanikumbuka
@BiteNdomba
@BiteNdomba 3 месяца назад
Napenda sana kipindi chenu lakin mbona watu wanasema mnaigiza kaka uky,mi najuaga kwel
@momsash9210
@momsash9210 3 месяца назад
Itakua maigizo mbona zote n mtu na rafiki yake tu,,,,yan kila msaliti n rafiki wa karibu wa msalitiwa.,,,,wote jmn???hapana bhana,,,,
@JeladMahenge
@JeladMahenge 2 месяца назад
Nikweliii Wana igizaa AWA uyo naar uyo mwanaume katoka namanga mwaka Jana uyo mwanaume myakaa 3 wap na wapi😅😅
@chikuhamadi1340
@chikuhamadi1340 3 месяца назад
Akamuulize bwana ake nakuwasha kofi moja2 kione kilivyo na komwe fyuuuu wivu2 ep2 please 😂😂😂😂
@Tyughcdrbdt
@Tyughcdrbdt 3 месяца назад
Yaan nikiona wanawake wa hivii kama huyo mwenye kikomwee,nachukiaa sanaa wanaharibu sanaaa mahusianoo,,wivuuu sanaa
@RehemaHussein-n5u
@RehemaHussein-n5u 2 месяца назад
Inaumaga sanaa .... Ndiomaana sinaga rafiki au marafiki
@Salma-ho6wx
@Salma-ho6wx 3 месяца назад
Tujihadharin na mashoga looh wanawake hawana huruma😢😢😢
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 3 месяца назад
Kabisaa aisee
@OmaryMohamed-lj8ek
@OmaryMohamed-lj8ek 3 месяца назад
Hii hapana sio kweli. Huyo dada Hana Namba ya rafikj yake Hadi aichukue kwa cm ya mpenzi wake, aingize kwenye cm yake na haisijuwe km Ni rafikj yake hadi aje kumshangaa hapo? Mnatupanga mazee
@Dida-jv7es
@Dida-jv7es 3 месяца назад
Kweli
@OmaryMohamed-lj8ek
@OmaryMohamed-lj8ek 3 месяца назад
@@Dida-jv7es washaanza kutudanganya bila ubunifu wa kutosha
@omegadamian529
@omegadamian529 3 месяца назад
Bro inabid you keep up na speed ya kupost the way u delay unafanya kama watu wasiwe na excitement
@felicianboss6953
@felicianboss6953 3 месяца назад
komwEh is typing 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂and no 1 can delete 😂😂😂😂😂😂🙌🏻
@DoreenNyange
@DoreenNyange Месяц назад
Wakina dee jmn😂😂😂
@NeemaSarakikya-b2x
@NeemaSarakikya-b2x 3 месяца назад
Siitaji marafiki😢
@user-lg9sx7fk1b
@user-lg9sx7fk1b 2 месяца назад
Wanaume bwana sasa kuacha mdada mzuri kafata huyo kamwe 😂😂😂
@beatricesway5782
@beatricesway5782 3 месяца назад
Huyu keti na bichwa Lake kama papain bovu😂
@NanahBrown
@NanahBrown 3 месяца назад
Nikimpata shemeji enu ntamficha kama ugoro😂😂😂😂
@SaumuAli-ez5xf
@SaumuAli-ez5xf 2 месяца назад
Watu wa anko jay mko kila mahali😂😂😂
@NanahBrown
@NanahBrown 2 месяца назад
@@SaumuAli-ez5xf 😂😂😂😂usingekua miongon mwao usingenitambia🤣🤣🤣acha tuitumikie RU-vid 😂 ipasavo
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 3 месяца назад
Lijitu lisalit badala ushukuru mungu kakuonyesha mapema Badó waling'ang'ania uingie kwny ndoa likupe maradhi
@miriamdavis3893
@miriamdavis3893 2 месяца назад
😂😂😂😂
@user-xr8qv9mw9v
@user-xr8qv9mw9v 3 месяца назад
Nakushauri achana na uyo dada ana komwe
@Zainabuabdalah-vw1xw
@Zainabuabdalah-vw1xw 3 месяца назад
Mr Uky kazi nzury❤❤
@rqiyaabdallah840
@rqiyaabdallah840 3 месяца назад
Mhh wanaume jamani Anamuacha mwanamke mzuri Anapenda kwa komwe duu
@joycekambuga6286
@joycekambuga6286 3 месяца назад
Katakuwa kachawi
@bushbabytz
@bushbabytz 3 месяца назад
Cathy mkali hata mimi ningechepuka nae..ni aina ya demu wenye mvuto flani wa asili
@KhadijaJacob
@KhadijaJacob 3 месяца назад
Anauzuri gan kumzid Naaa! Ilo komwe au?
@bushbabytz
@bushbabytz 3 месяца назад
@@KhadijaJacob uzuri wake huwezi kuujua tuulize sisi wanaume ...huyu ana mvuto...omba mvuto kuliko uzuri...unaweza kuwa mzuri lakini huvutii....
@silamshana6249
@silamshana6249 2 месяца назад
Izi mambo nahis kama mnapanga mapema kama mnaigiza ichi kitu sio halisi?
@latifamiluko-gr9iw
@latifamiluko-gr9iw 3 месяца назад
Mwizi wa mwanaume mwenyewe kibaya komwe kama fanesi😂😂😂😂😂
@MonadiNadi-j6s
@MonadiNadi-j6s 3 месяца назад
😂😂😂
@joyagustino
@joyagustino 2 месяца назад
hv huyu mwenye komwe kashawai kupigwa kweli😅😅😅 jmn mtu ajichanganye 😅😅
@lynfredy
@lynfredy 3 месяца назад
Kabayaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
@CEYCILIAGABRIEL
@CEYCILIAGABRIEL 3 месяца назад
Yaan 😂😅
@ShadyAdam-w8o
@ShadyAdam-w8o 2 месяца назад
Aya matukio yamezidi ya kuchukuliana wanaume, Yan mm simtambulishi baby wangu kwa panya yyt
@user-vi3ck1cw3h
@user-vi3ck1cw3h 2 месяца назад
Hivi vingereza hivi jamani 😅
@Tilisa-g4b
@Tilisa-g4b 3 месяца назад
Duh nipo hapa😊
@ساميهحسن-ش8ص
@ساميهحسن-ش8ص 2 месяца назад
Kikulacho kinguoni mwakooo
@ndetamarisolebure6301
@ndetamarisolebure6301 2 месяца назад
Eeeh karuma mkojo kakanyaga mavi aisee wanaume bhana 😂😂😂😂
@mustaphahassani131
@mustaphahassani131 Месяц назад
Uwelewa nao pia ni rizki
@elizabethfrolence4344
@elizabethfrolence4344 3 месяца назад
Mm nitaua MTU yaani katika marafiki nilio nao hakuna MTU ataweza kufanya uo upuuzi
@bushbabytz
@bushbabytz 3 месяца назад
kuwa girlfriend wangu hafu nikuoneshee
@hildagabriel1003
@hildagabriel1003 3 месяца назад
Usiseme yote dada
@neemamabena-xx5er
@neemamabena-xx5er 3 месяца назад
Anaisimulia kisa Hana ata uchungu
@bushbabytz
@bushbabytz 3 месяца назад
MR UKY UNAZINGUA! WEKA TITLE ZAKO KISOMI!...VIDEO HII INGETAKIWA KUSOMEKA HIVI : MWANAUME WANGU AMEGHAIRISHA NDO KISA RAFIKI YANGU...
@AminaMtui
@AminaMtui 3 месяца назад
Icho kilichomuibia mwenzie mwanaume kilivyo kibaya xaxa Ila huyo alieibiwa mwanaume alivyomzuri Yan wanaume jmn mhm
@SalhaIsmail-ns2dp
@SalhaIsmail-ns2dp 2 месяца назад
Uyo dada mwizi wa mwanaume wa watu anajishaua so kwa hilo komwe😂😂
@umfahad2609
@umfahad2609 3 месяца назад
Tunaomba part 2 Pls. Story imeanza kunoga ndio imeishia jamani.
@aminamollel3571
@aminamollel3571 Месяц назад
Mbayaaaa mishauzi tu na hilo likomwee keti mbayaaaaa
@umfahad2609
@umfahad2609 3 месяца назад
Uky nimenda kipundi chako. Kuliko up ya Mange Kimambi kwa kweli. Mambo yako live. Sio ya kujificha.
@hajimlaponi1900
@hajimlaponi1900 3 месяца назад
Hvi hua n kwel au wanaigiza😂😢
@cinyoritha8168
@cinyoritha8168 3 месяца назад
Wanaigiza
@lenniefei6710
@lenniefei6710 2 месяца назад
Keti ana komo kama kombora la urusi
@mwanamwendy9265
@mwanamwendy9265 3 месяца назад
Nani kaonaaa hilo komweee😂😂😂
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x 3 месяца назад
komwe hilo 😂😂😂
@rendee267
@rendee267 3 месяца назад
Mdada anakomwe jmn😅
@neemareuben311
@neemareuben311 2 месяца назад
😂😂😂😢😢marafiki noo mm ningeshe mtandika kofi la mdomo la kilo mojA
@LeahPhilipo-kx8yn
@LeahPhilipo-kx8yn 2 месяца назад
Jamn me naomb unifanyie challenge plz 🙏🙏🙏 San Niko arusha njiro nawaomba San mr. Uky and kiredio nawaomba
@frankmrema7388
@frankmrema7388 2 месяца назад
una kifua cha kuzuia risasii, nyiee izi challange unaweza kufa aseee dont try kama huna ubavu😂😂😂
@lysterrichard8417
@lysterrichard8417 Месяц назад
Yani mm nimshaur kuwa tu nafurah yan chuki ya mwanaume nikukuona una gain on your things yan jitajid sana kuwa na furah kipnz
@MariettaNyoni
@MariettaNyoni 3 месяца назад
Atusabuskilabu sijui kwasababu ww unatuzingua tuvideo twako unazingua sana kwann usipost video nzima
@RachelJulius-fh9nl
@RachelJulius-fh9nl 3 месяца назад
Huyo mwenye manywele ana komwe alafu baya peleka mirasta Yako huko
@rendee267
@rendee267 3 месяца назад
Jmn😂😂
@user-ul8nf1nw1h
@user-ul8nf1nw1h 3 месяца назад
Jaman nimecheka sana eti komwe kama kibanda cha simu😂😂😂😂😂😂😂😂 from oman
@FatimaAo-r9p
@FatimaAo-r9p 3 месяца назад
Oyooooo
@erickmapene4049
@erickmapene4049 3 месяца назад
BRO JITAHIDI UJUE KUTOFAUTISHA L NA R TAFADHALI
@salehmdemu5722
@salehmdemu5722 3 месяца назад
Naamini kabisa hayo ni maigizo ,,lakin acha tuendelee kukusapoti Mr uk
@zakiaramadhan6976
@zakiaramadhan6976 2 месяца назад
🤣🤣
@byamnorayckalenga7163
@byamnorayckalenga7163 3 месяца назад
Mwenye komwe lake mjini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 3 месяца назад
Nyie tena😂😂😂jmn kwan mkiishi bila hawa kunguni mnawashwaga nn mnanikera mjue
@MeryMrosso
@MeryMrosso Месяц назад
Sitaki marafiki siwataki ng,o sitaki wanafiki siwataki ng,o By happy wenu apa
@officialijang
@officialijang 2 месяца назад
Wangapi wanajua KOMWE FORD😂😂😂😂
@SallyMateru
@SallyMateru 3 месяца назад
Leo wakwanza jamni
@momsash9210
@momsash9210 3 месяца назад
Oya mr uk nakufuatilia lkn kwann wadada wote unaokutana nao wasaliti wao n rafiki zao tu?
@ahmadkhamis6494
@ahmadkhamis6494 2 месяца назад
Maigizo ayo bhn
@BeatriceDismas
@BeatriceDismas 3 месяца назад
Huyoo cath anakomweeee😂😂😂😂😂
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 3 месяца назад
Huto D karogwa😂😂😂 afu ww dada mbona mzur usiforce ndoa muache huyo sio rzki bora umejua rang zake bado hajakuoa
@nasrinassor9178
@nasrinassor9178 2 месяца назад
Me ndio maana nasemaga nyie wanawake endeleeni kutuita mbwa hvi hvi ila ipo siku 😄😄😄😄sasa demu unaenda haribu mipngo ya ndoa ya shoga yako ukiamini ww ndie utaolewa ama vip yaan
@SmilingFlamingoBirds-cg4bh
@SmilingFlamingoBirds-cg4bh 3 месяца назад
Mmh jaman malafiki sio watu wazur nakamauna lafkiyako achana nae chap halak jamsni....
@GubraCity-dm5sx
@GubraCity-dm5sx 2 месяца назад
Ndio maana mpz wangu sitak awe karibu na mashoga zangu😂
@Hapygideon
@Hapygideon 2 месяца назад
Na Hilo komwe ka uvungu wa pumbu,afu ananyodo 😅😅😅
@meryorotha671
@meryorotha671 2 месяца назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbona kinajeur sas na kimechukua mchumba wa rafiki ake duh nyooo Yani unakikamata unakikunja pumbavu zake
@UstinaMayemba
@UstinaMayemba 3 месяца назад
urafiki huo😂😂😂
@Agatha-s4w5x
@Agatha-s4w5x 2 месяца назад
Hilo komooooooo jamani 😂😂😂😂
@imanimhagama4647
@imanimhagama4647 3 месяца назад
Tumesubscribe uko usitucheleweshe kupata story
@marygorethtemu4959
@marygorethtemu4959 3 месяца назад
Hahaaaaaaaaa
@FAUSTAMBAGA
@FAUSTAMBAGA 3 месяца назад
mbona kila mtu komwe, komwe
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 3 месяца назад
Hilo komwe vep 😮
@eggysulle7988
@eggysulle7988 3 месяца назад
Yaaan m nkuvuta izo vyeeele mpka uyo mr uky angejiita shemj upuuz spnd,af unanjib nyodo khaaa, haya akina,komwe ka kona ya kwa mtogole,hovyooo😏
@HawaMsuya-s2k
@HawaMsuya-s2k 2 месяца назад
Mmmmh nasmaaaa ww ushaanza kugombania wanaume 😢😢😢😢😢
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 2 месяца назад
Usaliti rafiki msaliti sana
@WemaMgale
@WemaMgale 2 месяца назад
Yaani hiyo stoo kama yang marafiki bwana Mungu anawaona
@SikuJuma
@SikuJuma 2 месяца назад
Nibora nisiwe na marafiki
@AnaCosmas
@AnaCosmas 2 месяца назад
Yan kimcjepuk kinajickia chenyew kina sur ngumu Kam flar ya magimb tna iliyolala 😏😏😏
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 3 месяца назад
Yn ss ivi akuna ht rafiki jmn kaa
@JerusaMkuyu-pw1zo
@JerusaMkuyu-pw1zo 3 месяца назад
Shikamooo marafiki 😢😢
@berthangowi55
@berthangowi55 3 месяца назад
Jamani, mbona kila kesi inayokuja hapo ni marafiki ndio wabaya wao?!, halafu NA mbona bado mrembo sana,baadhi ya wanaume wanna shida sana
@lysterrichard8417
@lysterrichard8417 Месяц назад
Si akichape makofi hilo komwe liwe na akili
@moureennyarusai536
@moureennyarusai536 2 месяца назад
Wangap wanajua komwew😅😅
@KhadijaJacob
@KhadijaJacob 3 месяца назад
Akamuulze Bwanaake mmmh! Marafk sina ham nao mimi! Y? Iwe yeye?
@faridasaleh7898
@faridasaleh7898 Месяц назад
Unanikera ukiongea english hujui bwana english broken 😢😅
@user-on3kz2kq7k
@user-on3kz2kq7k Месяц назад
Hako kajammbaz msura wake kaa tv yachogo
@DgmondTz
@DgmondTz 3 месяца назад
Nipo macho
@RoseKimath
@RoseKimath 3 месяца назад
Mr uk unazingua unaenda slow sana banaa
@fistonnibigira167
@fistonnibigira167 3 месяца назад
My dear sister I know how do you feel you feel so painful but don't never share something to your friends🇿🇦🇧🇮
@neemamabena-xx5er
@neemamabena-xx5er 3 месяца назад
Umbeya tu mkaka mzima
@husnakawana2068
@husnakawana2068 3 месяца назад
Nawewe mr uk unachosha vitu vyako vya mkatomkato tu aah badirisha
@racheljonathan1721
@racheljonathan1721 3 месяца назад
Nakuonea huruma mdgo Wang... Maana unatumika vibaya katafute wako umtengeneze sio mnafiki mkubwa aiseee
@user-gl8ij6mn6e
@user-gl8ij6mn6e 3 месяца назад
alikuwa anajua cath kumbe mess shogaako ambaye ulikuwa ukimwelezea habari zakp wasichana wachaneni na mashogaaa wacha wakuone unaringaaaa
@israeluronu9958
@israeluronu9958 3 месяца назад
Hivi kwenye haya mahusiano niwanawaketu wanapigwa matukio?? Hakuna wanaume wanaochukuliwa wake/wachumba na marafiki zao??! Najaribu kuwaza kwa sauti........tuletee na wanaume bana au wanavumilia kiume.
@AgnesyOmary
@AgnesyOmary 2 месяца назад
Next jamn Mr uky
@RoseKimath
@RoseKimath 3 месяца назад
Ulifanya makosa sana kumweleza rafiki yako mambo yako ya ndani kitu nilichokiona hapo ameendaa kumweleza huyo mwanaume kila kituu ndioo maana mwanaume kichwa kikaa jaa akaamua kubadilisha mawazo yakuoa
@jamesgeorge8279
@jamesgeorge8279 2 месяца назад
Kama paswad kwangu kila sehem
@GloryMollel-zp7yh
@GloryMollel-zp7yh 3 месяца назад
Jaman wanawake tubadilikeni inaumiza sana ukijua rafiki yako anatoka na mpenzi wako
@habibaraphael6583
@habibaraphael6583 3 месяца назад
Mwendelezo
@elinapetro7136
@elinapetro7136 3 месяца назад
Fanyeni kazi acheni kugombania mabwana
@AgnesDavid-et3zn
@AgnesDavid-et3zn 3 месяца назад
Wew unajua duduu au unaisikia ndo wanachogombania
Далее
KATUDANGANYA KISA PENZI
8:22
Просмотров 76 тыс.
MAPENZI YA WAGOMBANISHA SIKU YA BITHDAY
8:02
Просмотров 73 тыс.
Какой звук фальшивый?
00:32
Просмотров 184 тыс.
KACHUKUA MPENZI WA MWENZAKE
8:31
Просмотров 88 тыс.
FUMANIZI  B2 Part1. @Officialsonjordan
10:27
Просмотров 2,2 тыс.
MAMA KUONANA NA MWANAE BAADA YA MIAKA 4
9:31
Просмотров 174 тыс.
SHEM NJOO KWANGU TU LALE
15:36
Просмотров 117 тыс.
BIBI HARUSI MATATANI KUACHIKA KABLA YA HARUSI
11:32
Просмотров 160 тыс.
MUME,MKE NA MCHEPUKO MEZA MOJA
11:15
Просмотров 105 тыс.
Какой звук фальшивый?
00:32
Просмотров 184 тыс.