Тёмный

KHADIJA KOPA Afunguka kuhusu ndoa ya Zuchu na Diamond kuwa hakuna ndoa wala ndoano pale! 

NG'ARING'ARI
Подписаться 7 тыс.
Просмотров 156 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 92   
@yustayusuph9101
@yustayusuph9101 2 года назад
Ndoa tunayo bi hadija hata kwa mtutu wa bunduki, mimi kama shabiki wa diamond platnams kindaki ndaki nitamfungisha diamond platnams ndoa na zuchu maana napenda mno kumuona mondi na zuchu wakiwa pamoja walai nawapenda mno 🥰💯
@AliAli-rx6wu
@AliAli-rx6wu Год назад
Weeeee mama weweee au wewe bibi lizeee mpaka limechacha!!! Daah hata lichupi lako kubwaaaa limejaaa uharoooo na utoko wakizeeee weweee!!! Daah lizee kibibi ajuza bado umo tuuu!! Na toto lako linafirwa maviii!!! Linatombwa na kunyonya mboro mbwa weweee!!! Kuna sanda mbwa weweeee!!! Utanuka mbwa weweee!!! Utawekwa pamba panic,mdomoni,masikioni,mkunduni na kwenye kuma na mkundu mbwa weweeeeeeee!!!
@rehemasimba1265
@rehemasimba1265 2 года назад
Jamani mashallah Leyla ametulia safi wakubwa wakiongea mdogo lazima uwe kimya, pongezi kwa mzee Yusuf umepata mke.
@Pedeshee01
@Pedeshee01 2 года назад
Mi namtaka bi sabaha kama ana chura
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 года назад
Hapo umesema kopa,kujitunza ni safi sana.
@Dhahira16
@Dhahira16 2 года назад
1983 taaa sijazaliwa 😃😃 Sabah mama bado unaita kwa kweli ww ni mrembo 😘mashaallah 👌
@maryammdoe5801
@maryammdoe5801 2 года назад
Mama zangu mshaa go age acheni kujisifu ujinga rudini kwa Allah narudia tena turudini kwa mola wety mlezi hakika sisi ni wake na kwakwe tutarejea Acheni mambo ya dunia wala pesa haitokaa itoshe, Bas muoneeni Allah haya mana na yeye anawaonea haya kuwaandikia dhambi kutokana na umri subhanallah, turudini kwa Allah turudini kwa Allah kwani yy ni mkali wa kuadhibu
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 2 года назад
Naam watubu hawa vizee. Malaika wa Mauti hayupo mbali sana na sisi.
@rukiamaliyo1898
@rukiamaliyo1898 2 года назад
Naam Dada,Watu wampangia ataoa kila madam wanaemuona naye,bt kinachofanyika ni Uzinzi wa kusaka Umaarufu wala C Zaidi!
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 Год назад
Masha allaah nawapenda kweli hamzeeki❤️❤️
@JamilaMsuga
@JamilaMsuga 4 месяца назад
Kweli tupu kujilinda ndio urembo na siri ya kuwa kijana
@jenifalema81
@jenifalema81 2 года назад
Nampenda cn Khadija kopa
@mwanatumunjira1167
@mwanatumunjira1167 Год назад
Nayapenda haya mambo ya pwani mm......jaman c mnichukue niwe hapo tu nikirusha roho tu
@mamuhassan3415
@mamuhassan3415 2 года назад
Mama anajihisi vibaya ila hana la kufanya ty
@umranim5854
@umranim5854 2 года назад
Inna Lilah waina ilehi rajuun turudi Kwa mola wetu mlezi na wote ni waislam subhanallah
@khadijaali4657
@khadijaali4657 2 года назад
Mashallah,mm sina mengi ya kuongea nawapenda sana watching nikiwa Saudiarabia from kenya
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Год назад
Hii😢😮
@rahmaabdallah4514
@rahmaabdallah4514 2 года назад
Ni kweli bi khadija ulivyosema mwanamke akijitunza hazeeki sio kutumiwa na kila mtu..... hawana kwenda uturuki kufanya surgery km wengine tunaowasifia
@jan6703
@jan6703 2 года назад
Wamejitunza wapi watu wamenenepa is madam ya Michelin. Wote hao chakula kimewaharibu
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 года назад
Msisifu ujinga wamezeeka kupita kiasi hao, Hamjawaona live bila ya makeup!
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 года назад
Simnaona hapo hata hzo makeup hazikai zinawakataa?
@SofiaWasofia
@SofiaWasofia Год назад
Mashallah ❤
@mebakarimasudi532
@mebakarimasudi532 2 года назад
Nampenda Layla mstaarabu
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 9 месяцев назад
Ila.hadija.kopa mtoto.huyo.anachezewa.sana.zuchu.heeee
@saudashani5981
@saudashani5981 2 года назад
Nawapenda sana mama zangu
@khadijakinyala9407
@khadijakinyala9407 2 года назад
😂😂😂😂😂😂seklepa eti duuuuu!?? ,waaallah nami ngoja nizidi kujitunza
@AhmedHassan-cj9uv
@AhmedHassan-cj9uv 3 месяца назад
@hafidhali3020
@hafidhali3020 2 года назад
Hakuna ndoa ni zinaa tu na kwenda mbele
@MsAggie5
@MsAggie5 2 года назад
Hakuna ndoa wala ukwaju 😂
@hayfaswaleh8048
@hayfaswaleh8048 Год назад
Bii khadija nakupinga bi malika hakutoka kenya atoka somaliya
@halimaomari2370
@halimaomari2370 2 года назад
Hahahahahhha hakuna ndoa hakuna ukwaju hahahaha mama kiboko huyu
@mwanamwinyimwakinalo177
@mwanamwinyimwakinalo177 2 года назад
Kabisa, nambo ya mwambao mambio ya uswaz raha bila karaha, najivunia kua mcoast 🇰🇪
@khadijanjama8721
@khadijanjama8721 2 года назад
Somu huyu anamipasho eti umealikwa 😃😃😃
@khadizauyoupandewawakinaha5883
@khadizauyoupandewawakinaha5883 2 года назад
Maanshallah khadidja kopa nakupenda sana mungu akupe umri mrefu
@rukiamaliyo1898
@rukiamaliyo1898 2 года назад
Mondi aoe Nani?Acheni kuzungumza Coz hamjui anachowazia,Nasibu alipanga kuowa wangapi na Wote hajaoa? Mabinti Wenyewe kujipendekeza kwake tuu?Muacheni Mtoto wa Ma.Dangote ajinafas kwa raha Zake.
@lydiakemuntookindo7254
@lydiakemuntookindo7254 2 года назад
Good content❣️❣️❣️❣️
@zamzamahmed1870
@zamzamahmed1870 2 года назад
Mtualike na sisi jamani.....
@rehemamsuya2263
@rehemamsuya2263 2 года назад
Jamani hamna anaetaka uzee yn hao wahenga wanasifiwa wanaona kweli jmn
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hakuna ndoa hakuna ukwaju jamaniiii
@marthamsoma2664
@marthamsoma2664 2 года назад
Mashallah mashallah nimewapenda nawapenda wote
@lydiakemuntookindo7254
@lydiakemuntookindo7254 2 года назад
Waswahiii kweli😅😅😅
@asaa3219
@asaa3219 2 года назад
Ya MUNGU mengi,,,,mama alisema yeyé Ali zaa wenzake walikunya,,,,,Sisi yetu macho
@beautysalma4054
@beautysalma4054 2 года назад
Kila Mtoto na Babake wajitunza nn hapo 😂Amkeni mkafanye mazoezi wavivu nyie
@ummimohamed2148
@ummimohamed2148 2 года назад
Hongereni kipindi rasmin
@ashasaddiq7093
@ashasaddiq7093 2 года назад
Mm na ww
@ashasaddiq7093
@ashasaddiq7093 2 года назад
Mm Na Watakia wik ending njem
@lauraineniyomwungere2673
@lauraineniyomwungere2673 2 года назад
Zuchu mtoto wako Ana mambo mmmmm
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 9 месяцев назад
Mond atakuja ainuke na nyota.nyingine kwanza amalize kumvalisha mipepo.zuchu atawalushia wengine ataibuka na binti mwingine mpaka amalize idadi.waliyompangia kuzimu wamama wanawake daa.hatuelewi.tunapelekwa kuzimu bila.hata kupenda wasichana watanzania mapenzipenzi yenu hayo wanaume wamepewa.hela na mafreemason wawalete.kuzimu
@robertsadika1779
@robertsadika1779 2 года назад
Mdomo nyumba ya maneno 🤣🤣🤣🤣🤣
@rachelmbeyu4385
@rachelmbeyu4385 2 года назад
Mama Michael
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 2 года назад
Mmetishaaa hahaha Mtangazaj sakina 😂😍
@abuubakarkichimbo9957
@abuubakarkichimbo9957 2 года назад
Sasa Hadi hayo macho uyakodoe hivo
@Jamila-cz5ge
@Jamila-cz5ge 2 года назад
Mwajisifu law taarabu maskini hamjui mnatafuta adhabu yakaburini
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 года назад
Hii
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 года назад
Mama kopa mtoto tuna wasiwasi huendwa anatafunwa lakini!!!
@djtashrastababy2592
@djtashrastababy2592 2 года назад
Kweli yuatafunwa haha
@asslihifadhi2862
@asslihifadhi2862 2 года назад
Zouria nafahamo asifaje moina n'a Diamond si elle fait du bébé se fini l'amour avec lui.
@fuadshell5188
@fuadshell5188 2 года назад
True
@teresamaro9549
@teresamaro9549 2 года назад
Nawapenda hawa Top 3 yng ya wanawake wa shoka wa Taarab
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 2 года назад
Bi sabah akatiza umbea mbona😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mjukuuumachoz1599
@mjukuuumachoz1599 2 года назад
Kaniuzi🤣🤣🤣
@heritier5119
@heritier5119 2 года назад
Akioa tu anafilisika
@ashasaddiq7093
@ashasaddiq7093 2 года назад
Onomatopoeia
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 2 года назад
Nawapenda hawa
@CxzvFcdx
@CxzvFcdx 6 месяцев назад
Munamidomo kweli
@ashasaddiq7093
@ashasaddiq7093 2 года назад
Asnte
@saidasaid5855
@saidasaid5855 2 года назад
Ilo tanasha litafanyika wapi na lini
@dorothymutegeki7543
@dorothymutegeki7543 2 года назад
Hapo hakuna ndoa
@nemamwachepha1545
@nemamwachepha1545 2 года назад
Santaa kabisa mdomo nyumba ya maneno
@soberhousetv2245
@soberhousetv2245 2 года назад
Njoo umuone mzee anaeteseka na dawa za kulevya
@sidikatoi1334
@sidikatoi1334 2 года назад
Misha ngingi
@soinda87
@soinda87 2 года назад
This life 😂😂🤣. Wish I can love myself like this .
@nyarkindubay5454
@nyarkindubay5454 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kumbe swaba hatari hivi
@manirambonahawa3798
@manirambonahawa3798 Год назад
Iwongo tumevjpka hawowi ki frimasoni hayikubali mondo ahawowi acheni uwongo wandowa hakina
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 2 года назад
Kutana nao live wamezeeka make-up zinawastiri
@زينببورندي
@زينببورندي 2 года назад
Swadakta
@liliansamson674
@liliansamson674 2 года назад
Waswahili si watu wazuri
@leylasalim9380
@leylasalim9380 2 года назад
Skreppp hhhh
@lauraineniyomwungere2673
@lauraineniyomwungere2673 2 года назад
Bii kopa mtoto wako Ana ndoa isikatae
@ladysalma7893
@ladysalma7893 2 года назад
Mukome🤪🤪🤪🤪
@samiramawby1257
@samiramawby1257 2 года назад
Khadija kopa we ushakuwa screpa pia nyota huna tumia ya zuchu,pia kati ya wote waliopo hapo hadija nyamaza tu umechoka na hiyo lipstik kama unataka kumnyonya mtu damu😀heheheee utachekesha hata walonuna mtaani
@joycemwambe3494
@joycemwambe3494 2 года назад
Wivu
@salomeakinyi8525
@salomeakinyi8525 2 года назад
Mbona wivi jameni
@Zahrazahra-ue7bp
@Zahrazahra-ue7bp 2 года назад
Kavuma tangu zaman uyo zuchu kaanza juzi iyo hasadi urio nayo kupata kwa mwenzio kunakutoa jasho
@Zahrazahra-ue7bp
@Zahrazahra-ue7bp 2 года назад
Wanatafutwa wachawi wengine wapo mitandaoni kazi yao kurudisha nyuma maendereo ya watu
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 2 года назад
Mashaallah 🥰
Далее
RAISI AVAMIA SABASABA WATUMBULIWA VIONGOZI
2:24
Просмотров 22 тыс.
Wamesema Ugali kidogo, Mboga Miiingi🤣
4:02
Просмотров 512 тыс.