Тёмный

LEILA YUSUF | Yes, ni kweli nipo Singo. Mume ni Mtihani kwangu! SITAKI KUOLEWA TENA! 

NG'ARING'ARI
Подписаться 7 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 168   
@sabrasaid7739
@sabrasaid7739 3 месяца назад
Unataka Uhuru upi Kipenzi??kweni Mume ana haki ya kukuangalia na Kukukataza kwa mabaya Mwanamke uwe na Mipaka acha kubwabwaja
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 месяца назад
Hajasema baya!lkn Sio w/ume wote wa kiislam wanaweza kuuangalia mke!wapo waume wengine hata hawajui kama mke ni jukumu lake mume! Ila wao ndo wanataka mke ajue kuwa mume ndo Kila kitu kwa mume!waume ukiona mke anataka kuanza kujiangalia mwenyewe au anaomba kuachika basi ujue wewe mume hufanyi majukumu yako ipasavyo!hakuna mke hapendi kuangaliwa na kutunzwa! Ila ndani mambo hayako sawa
@salimali-rf9er
@salimali-rf9er 3 месяца назад
Huyu mwanamke na hao wanaume walomuoa wote hawana elim ya dini wala hawana takwa na uvumilivu ndio maana kashindwa kukaa ktk ndoa
@MeddyMasuddy
@MeddyMasuddy 3 месяца назад
Njoo kwangu mie nkustiri
@hamadmohamed3056
@hamadmohamed3056 3 месяца назад
Hiv Kwa Nini wanawake wengi wakishapata mafanikio kidogo tuu ya kidunia hua wanaanza kujiona wanaweza kuishi bila wanaume? Sasa kipi Bora kama wewe ni Muislam huwe na Mume ustirike au ukijiskia unaitaji sex uonge Mume Hela zko Mkafanye nae Zinah?
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 3 месяца назад
Huyu anataka kuwa na maaasiyaa
@husseinadan9329
@husseinadan9329 3 месяца назад
Karibu, leila, nikuoe uhuru utapewa
@salmaomar8612
@salmaomar8612 3 месяца назад
MashaAllah MashaAllah Leyla. Mwenyezi Mungu akulinde na Shari za kila aina, akujaalie moyo na ujasiri wa kujisitiri. Nimekuelewa sana. Umejaribu ktk ndoa, haikuwezekana. Endelea na maisha. Nakupenda Bure tu.
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 3 месяца назад
Tusidanganyane, na yeyotete asiwadanganye, heshima yya mwanamke ni NDOA bila ya NDOA hujakamilika. Tambuweni kuwa mila binadamu amepewa MIDOMO MIWILI wa chini na wajuu yote hiyo kwa madhumuni ale ashibe, sass kama hujaolewa na hutaki kuolewa huu mdomo wa chini una upatiajei chakula? Vinginevyo ni UZINIFU.. Mimi sisemi kwa unazi hili ni andiko. Niliko masheikh wanazuoni hawajafikia . Inapendeza sana kila binti awe tajiri awe masikini NDOA ndio wajibu kwake. Itokee sababu tu ya kutopata mchumba, na hii inatokana kwa binti kutojistiri. STARA ndio kitu cha kwanza kikubwa mwanamke amepewa na Mola wake, ndio maana Bikra Mariam alimpendeza Mola wake baada ya kuvunja UNGO alidumu katika kujistiri. BIKRA ni DHAMANA KUBWA wengi hawajuwi. Mwalimu nipo Darusalaam kwa ushauli ++255715417511 na +255784417511.Ila mimi si mganga.
@KhadijaKamus
@KhadijaKamus 3 месяца назад
Mashallah Mashallah Mashallah kweli kweli alhamdulilah Allah akusimamie inshallah
@odaamirsaab9185
@odaamirsaab9185 3 месяца назад
Pole sana amka saa nane zausiku wakati mola kataramka kwa sama umuombe kwa ikhlas inshallah shida zitaisha kwa uwezo wake
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 3 месяца назад
Kweli kabisa Leila ndoa ni Qadar ama majaliwa hakika. Ya salaam maneno yameni touch kazini at this moment !!!! Greetings from Adelaide South Australia 🦘🦘🌏
@AbdulahiHaji-o5o
@AbdulahiHaji-o5o 3 месяца назад
Umenena
@lordenoughforme4417
@lordenoughforme4417 3 месяца назад
Mm nimekupenda .njoo kwangu .nitakupeleka kwa uhuru na hata ukisema ruto pia
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 3 месяца назад
Kama unataka uhuru wa kumuasi mungu hapo sawa endelea na maasi Yako ,lkn kama unahitaji UTULIVU na heshima ingia kwenye ndoa
@abdihirsi362
@abdihirsi362 3 месяца назад
Sister yangu hapo umkosea kusema hutaki ndoa ni dhambi kubwa kuwa mtu scw asema mwenye hataki kuoa ajua si uma wangu
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 месяца назад
Ndoa ni lazima kwa mwanamke kwa mwanaume Wanawake wengi hawadumu ktk ndoa kwa sabanu hizi 1- Huingia katka ndoa bila kujua elimu ya ndoa 2- Kujifanya anajua kuliko mwanaume 3- kujiona anaweza kutafta pesa( wanawake wote wanaojifanya wamastaa hawana wanaume) 4- wanasoma elimu ya mdoa krk mitandao nan kasema nın bıla kujua kuwa kıla ötu ana aıma ta mume wake 5- kufananısha maısha yake ma menzake kwa mumewe 6- kupaza saut anapoongea na mumewe 7- kujisahau akiwa katka ndoa na kuish tu atakavyo 7- kuisg kimazoea 8- kutokumjua aina ya mune alinaye 9-
@ngaringari
@ngaringari 3 месяца назад
@@twaibumikidadi7377 Nice comments!
@guidoliusmichaelhulilo3886
@guidoliusmichaelhulilo3886 3 месяца назад
Magufuli angekuwa hai, huyo Mama angepewa u uWaziri haraka Sana. She is incredible brilliant congratulation!!
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni 3 месяца назад
Naomba mimi nikuoe mlaani shaitwani fanya nikuoe kheri itapatikana Inshallah
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni 3 месяца назад
Nipelekeeni Ombi langu basi
@sefoadelino6684
@sefoadelino6684 3 месяца назад
Pole sana leyla. Kaonane na Daktari, unaumwa
@zahornassor5420
@zahornassor5420 3 месяца назад
Mashallah Allah akulinde na shari za wanadamu wengi wanapatamani ulipo ata mm n mme pia ila natamani hiyo kazi cha msingi changa maadili tu na mche Allah.
@FatmaHamad-g6s
@FatmaHamad-g6s 3 месяца назад
Mm binafsi nakuelewa sana nimepitia hayo pia
@IdhamarieAhmed
@IdhamarieAhmed Месяц назад
Stara ya mke ni mume. Usijidanganye wala kupoteza wenzako. Pesa wala kazi si muhimu kuliko mume ,na ana daraja kubwa .mke radhi yke kwa mumewe. Maisha huenda na vi wili wili etc mke na mume,usipote .la muhimu maisha ni subra.
@jumaseifjuma4185
@jumaseifjuma4185 3 месяца назад
Wako wanawake tele kwenye ndoa na wameweza kutengeneza maisha ndani ya ndoa na maisha yanakwenda vizuri tu. Muandishi unataka kuwapa vichwa vikubwa hao kinadada wasiotaka ndoa tangu mapema na ujuaji mwingi. Ungewafuata na hao waliomuoa ukawahoji. Msema pweke hakosei.
@ngaringari
@ngaringari 3 месяца назад
@@jumaseifjuma4185 noted!
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 3 месяца назад
Utatapeliwa dada hapo ulipofika sema alhamdulillah. Simamia tu biashara zako uangalie na afya yako!
@AllyKija
@AllyKija 3 месяца назад
Shida anapotosha Hana maadili kbs laanatulaah
@nassormohammed9742
@nassormohammed9742 3 месяца назад
Mtihani huu
@omanoman2044
@omanoman2044 3 месяца назад
Mungu wangu hapa tulipo fikia tuna mtihan duuh usidhiniw tuy ndug yangu
@sabrasaid7739
@sabrasaid7739 3 месяца назад
Mshukuru Allah Rizki anakupa Allah
@loner_wolf
@loner_wolf 3 месяца назад
Ww acha ukinga nipe contacts zko
@mohamedmasoud6517
@mohamedmasoud6517 3 месяца назад
Mfumo wa maisha ulivo ni kama alivouweja Allah sasa kushindana na mfumo huo bas utapotea tu. Maana inajulikana sana tu kuwa mtu akisema hataki ndoa bas Allah anajua kwa nin hasa
@twahirshali8014
@twahirshali8014 3 месяца назад
Pole jamani mtoto mzuri
@SaidoHopa
@SaidoHopa 3 месяца назад
Fear Allah my lovely sister its fine to work
@babazungu3180
@babazungu3180 3 месяца назад
Km ni mwanaume unahis ndoa ni kifungo au mwanamke polen sana
@AminaAhmed999
@AminaAhmed999 3 месяца назад
Kichwa cha habari kufuru tupu muogopeni Allah
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 3 месяца назад
Innalillah wainnailaih raajeooun!! Msiba mkubwa sana,,,,,
@songoroalamin3376
@songoroalamin3376 3 месяца назад
Assalamu alaikum kina mama na waislamu wote lazima muelewe kua ndoa za KIISLAMU HAZINA UHUSIANO NA MALI AU BIASHARA ZA WANANDOA NA HESHIMA NDANI YA NDOA HAHARIBIKA KUTOKANA KUKOSA UCHAMUNGU someni dini inasema nini msiigie katika kulaumu ndoa na sheria za dini MTAKUFURU TAHADHARINI
@salmaomar8612
@salmaomar8612 3 месяца назад
Ndugu zanguni, haina haja ya kumtukana, kumsema vibaya nk. Hebu kuweni na moyo walau wa kumuombea dua njema kwa Mola Mtakosa nini? Waume wenyewe sasaivi ni wa sayansi na teke linalokujia !!! Mtihani mitupu.
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 3 месяца назад
😂😂😂
@numohd
@numohd 3 месяца назад
😂😂😂😂
@MilesReileigh
@MilesReileigh 3 месяца назад
Mwanamke akipata pesa hataki kuwa chini ya mwanamume,mume naye akipata pesa kila mwanamke yuamtaka.
@maryamsaid1307
@maryamsaid1307 3 месяца назад
Shida n kwambia
@KhadijaKamus
@KhadijaKamus 3 месяца назад
Thus true say
@joojombi2341
@joojombi2341 3 месяца назад
Aache kukufuru huyo Dini inaelezea kila kitu ktk uislamu. Wacheni kuandika mambo msoyajua ya Dini.mtaja kufuru bure
@salehaljadidi8206
@salehaljadidi8206 3 месяца назад
Huyu ndio wale wanawake wanaotaka kuchukua majukumu ya kiume ambayo sio ya kwake na kujifanya yeye ndio mwenye amri kwenye nyumba zaidi ya mumewe, . Mwanamke wa aina hii hafai kuwa mke, Atabakia kuolewa na kuachika mpaka kufa kwake. Jila lake la kipagani kwa Sasa anaitwa lala Joseph
@hamadmohamed3056
@hamadmohamed3056 3 месяца назад
Hiv Kwa Nini wanawake wengi wakishapata mafanikio kidogo tuu huu wanaanza kujiona wanaweza kuishi bila wanaume?
@TisaMkenda-oj5uj
@TisaMkenda-oj5uj 3 месяца назад
Subhanallah,,!!
@mohdahmed5389
@mohdahmed5389 3 месяца назад
Innalillahi waina ilayhi rajiuun .Allah akutoe katika ujinga huo,pumzi zinakupa shida
@chande2k250
@chande2k250 3 месяца назад
Na zinaa je utaikwepa kpnd hutaki NDOA Zama za Mwisho hz Kwny Binadamu Wengi wanaangalia Mambo ya KIDUNIA na kutokuwa na hofu ya Allah Mtihani sana
@Sheba4651
@Sheba4651 3 месяца назад
Ikiwa baba yetu Adam kapotezwa n shetani, iwe huyu na mawazo yake potofu.
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 месяца назад
Sio kila mwili unataka kufanya tendo hilo!amekwambia yeye mgonjwa! Mpaka hapo usha elewa,hawezani bora afanye yake maisha kama hivyo yamwendea vyema!mume ni shuuli nyingine nzito kazi juu ya kazi, ameona bora awekeze ktk anacho kuweza Alhamdullah anaweza Allah ambarik
@omanoman2044
@omanoman2044 3 месяца назад
Kabsa ndo kilicho tutawala
@omanoman2044
@omanoman2044 3 месяца назад
Ipo wap nina viheren vya dhahabu nataka kutengeneza heren duuh
@nasraswakala
@nasraswakala 3 месяца назад
Manshaa Allah ❤ ❤ ❤
@idrissahaji
@idrissahaji 3 месяца назад
Maisha ni mapito tu... pumzi zisikuhadae kuzikosoa sheria za ndoa katika dini sio sahihi
@HaroubAbdallah
@HaroubAbdallah 3 месяца назад
Unataka uhuru gani mama, pole sana Mwenyezi Mungu akuongoze jitahidi zaidi kuifahamu dini yako imekujengea mazingira yahuruma sana kuliko mawazo yako.
@omanoman2044
@omanoman2044 3 месяца назад
Hapo kwenye kulea nakujieshim kaongea ukweli haswaaa
@sefoadelino6684
@sefoadelino6684 3 месяца назад
Kuolewa ni asili ya kila mwanadamu mwenye afia
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 3 месяца назад
Wewe kama unataka umalaya tafuta malaya mwenzio lakin mume kua na wivu na mke wake ndio mapenzi hayo na mtume asema haingii peponi mtu asie na wivu wewe wataka uwachiwe kama limbuzi ama lingombe na hata upate mume wa aina unayotaka bado t utamtoa kasoro kwa unavyoonekana huna shukran
@kheriakida3309
@kheriakida3309 3 месяца назад
Waislam wengi ndio wapinga ndoa, ngumu, na hawa wengine wakipata fedha kidogo wanajeuri,
@fauziakarama8581
@fauziakarama8581 3 месяца назад
Maa Shaa Allah ❤❤
@RashidAbuu-b3z
@RashidAbuu-b3z 3 месяца назад
Kuoa au kuolewa ni maamuzi ya mtu mwenyewe , ninachoshangaa kwanini jambo hili kuwekwa ktk mitandao hali ni jambo la mtu binafsi ? Majibu yamekuja ni kwamba lengo ni jamii kuiharibu Ili waichukie ndoa na waachane na mafunzo ya dini mungu akuongozee dada yetu uzur wako huo mwisho ni dongo kaburini
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 3 месяца назад
Wasema sheria za dini zeme kuwa to mach chunga ulimi wako
@salehsaleh8608
@salehsaleh8608 3 месяца назад
pesa zinakutia kiburi, sheria za dini yako unasema too much, jiagalie sana haya maisha ya muda mchache,ndugu yangu
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 3 месяца назад
Exactly!!
@hadijawara1403
@hadijawara1403 3 месяца назад
Mm nikama huyu leyla pesa si kiburi mwenzagu ni bindii tu,
@HabibaHassan-t2u
@HabibaHassan-t2u 3 месяца назад
Sidhani kama ni kupenda kwake😢
@tobosha3236
@tobosha3236 3 месяца назад
Msungo tu uyo mwanamke
@BushDoctor-dw8el
@BushDoctor-dw8el 3 месяца назад
Nani kasema ndoa ni Ibada? Unasema ukipata mume muislamu mwenye dini huezi kufanya unayofanya ndiposa ukaonelea ni heri uwe "singo" uwe huru kufanya utakavyo. Swali langu. Lipi unalofanya hata kuwa mume akiwa muislamu mwenye dini hatokuacha ufanye? Nasiha yangu. Angalia mume mwenye dini mbali na uislamu au bora zaidi asie na dini.
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 месяца назад
Usiutukanishe uislam mama haujui dini leo unatomboka na kukashifu ndoa za uislam kwa sababu huo uhuru unaosema uko ukafirini sie waislam tunamipaka na sheria za haki ya kila mtu katika ndoa na ujue riziki anatoa Allah
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 месяца назад
Lkn msiitumie dini kuwaumiza wanawake! Siku hizi mume ndo afanya mke aweze kuwazuia maisha kama haya nyie waume mna wapresha mpaka waona bora awe na maisha yake! Kama aweza kujizuia na machafu Alhamdullah,lkn sie waume ndo tunawatumia vibaya wanawake kwa kisingizio cha dini, dini isiwe vitisho kumgandamiza mke! Tuwe nao kwa kuwapa nafasi atusaidie wakiweza Sio lazima!mpe uhuru wa mipaka asitoke inje ya mipaka yako na dini!lkn mume huna kitu cha kumlisha kumvisha mke nabadowamlazimisha aishi maisha yasiyo na furaha kisa wewe huna uwezo
@athumanially2
@athumanially2 3 месяца назад
Huyu sio mzima awaone mashekhe wa majini wamsaidie hayo sio maisha
@IdhamarieAhmed
@IdhamarieAhmed 3 месяца назад
Mume ni lazima awe na uivu Na kama Hana atakua dayus, unapotea Kwa msingi wa dini
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 3 месяца назад
Hapo sasa ukijielewa hupati shida
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 3 месяца назад
U napo I taka Dunia Mungu atakupa uhangaike nayo. Nsoa ni hesbima yako na m bele ya Mola wako na mbele ya Malaika. Na hukupa heshima mbele ya jamii na familia yako. Futa usemi huo. Iwapo kweli unamtii Mwenyezi Mungu.
@saidmakamo8764
@saidmakamo8764 3 месяца назад
Yaani hii media kuwanziya leo rasmi nachana nayo wanaleta vitu vya ovyo mno
@mwajumajumbe3325
@mwajumajumbe3325 3 месяца назад
Mekupenda bure hivo ndo tunataka
@ammaarmwinyi1120
@ammaarmwinyi1120 3 месяца назад
Wanawake tumcheni Allah ,waulizeni wenzenu wakike walo jifahamu malengo Makubwa ni kuridhiwa na Allah na the simplest way kupata nikupitia ndoa ,yalobakia ni mapambo tu haya saidii chochote kesho feminism is killing you silently .No one will understand this except pious one
@eddielkindy
@eddielkindy 3 месяца назад
Kosa lako ni kuikejeli dini tuu
@mrok284
@mrok284 3 месяца назад
Kama hutazini sawa. Ila kama hujiwezi tafadhali mume ni muhimu usiishi peke yako. Moto ni mkali.
@PhilkevinFelix
@PhilkevinFelix 3 месяца назад
Pamoja na maelezo yooote hayo, huyo bibie anayehojiwa hasemi ukweli kile hasa kinachomsumbua.
@ramiakassim3802
@ramiakassim3802 3 месяца назад
Kukataa kuolewa ni ushenzi
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 3 месяца назад
NDOWA MUHIMU PESA HAINA SAMANI MBELE YA MKUYATI HALALI❤
@FadhilyOthman
@FadhilyOthman 3 месяца назад
Mshenzi tu huyu
@mengikiguruwe6750
@mengikiguruwe6750 3 месяца назад
Hana lolote ni malaya mstaarabu tena mwizi
@RamyGichero
@RamyGichero 3 месяца назад
Pambana sana heshima pesa ukisaidia familia yako kwa pesa mume utateseka
@ismail_4_future.
@ismail_4_future. 3 месяца назад
MTIHAN WALLAHI 😢😢😢😢 TUMUOGOPE ALLAH TUSOME DINI YETU PUMZI ZISITUHADAE ... "ETI SHERIA ZA DINI ZIPO TOO MUCH " HUYO BIBI HADIJA ALIFANYA BIASHARA LKN KIONGOZI WAKE ALIKUA MUMEWE MTUME WETU... WW KM HUWEZI NDOA USISHAJIHISHE ZINAA
@alibachirofficial3939
@alibachirofficial3939 3 месяца назад
Umalaya2
@saidmakamo8764
@saidmakamo8764 3 месяца назад
Wewe cyo muislamu usituektiye eti kwa dini ya kislamu mume anatakiwa na wivu hivo ni ngumu nenda uko achana na uislamu kachaguwe kanisa uko ili uwe huru tena usijite muislamu
@ramiakassim3802
@ramiakassim3802 3 месяца назад
Cha ajaabu nikwamba hawa wasiotaka kuolewa wengi wao wanazini saana mpaka na waume wa wenzio
@karamaabood4367
@karamaabood4367 3 месяца назад
Mh mh mh🏃🏃
@Alrisaalaturrahmahislamiccente
@Alrisaalaturrahmahislamiccente 3 месяца назад
hutaki kuolewa lakini Zina bila shaka haikupigi chenga mche Allah umri wa binadamu ni mdogo sana akizidi sana ni sabini waliopita hapo Allah amewajalia Sasa wewe na mimi tuihesabu hapo tulipo Bado kama ishirini hivi takriban au dakika yoyote kwahivyo na kunasihi kubali hata Mimi hapa nikuoe Sina pesa na Wala sitaki zako kwa ajili ya Allah TU
@abbiecox1
@abbiecox1 3 месяца назад
INAPOTOKEA UPUPU UMESUMBUA INAKUWAJE!
@fatmakombo9793
@fatmakombo9793 3 месяца назад
Tusiifikire sana pesa hebu tujiulize walikuwepo matajiri wangapo hapo Tanzania wameshatangulia mbele ya haki ana walichokichuma kinapotea kila siku
@AllyKija
@AllyKija 3 месяца назад
Macho yake tu anaonekana mtihani tupu
@Americabeautifulland
@Americabeautifulland 3 месяца назад
Unaogea ujinga ww mama mtu mzima ovyo eti nataka uhuru
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 месяца назад
Kadange ukatupwe motoni vzr na mungu unawaza uhuni tuu
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 месяца назад
Yeye hajaachika ili akadange!ana pesa na maisha Alhamdullah, Amejaribu ndoa mara 2,ameona hana bahati ktk Ndoa!angekuwa ataka wanaume angelioleka tena mara 3,nahata 4!lkn yeye hayuko tena huko unako waza wewe,yani hapendi kuolewa tena! amejiangalia afya yake hawezi tena!kushuulikiwa mume, Mtu wajijua yeye kwanini kumuhuku kwa kitu ambacho pengine hatafanya hayo machafu unayo muwazia, Allah amnusuru i'nsha'allah
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 месяца назад
Subuhanah Allaaaah! achakumuwazia mabaya na kumuhukumu,navyo jua mie m/mke akiwa busy huwa hana mawazo ya kimwili,anakuwa amechoka kiakili na kimwili
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 месяца назад
@@aairraahseif5648 sasa ndoa ni dini so mtu mwanamke kusstilika hutaki ndoa unataka nini zaidi si kudanga atakaje bilaa matamanio sabu si malaika huyo laazima atamani si anakula na kushiba
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 месяца назад
@@aairraahseif5648 saasa maatamanio yake atatolewa na nani ikiwa mtume kasema ndoa ni jambo la kheri na ninusu ya dini anapesa anakula na kushiba hatotamani tendo la ndoa huyo
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 месяца назад
@@AbdulIssa-o7e amesema ni mgonjwa! Labda hajataka kuweka uwazi, lkn mwanamke akiwa busy huwa hana tamaa za kimwili, huwa akili mwili Umechoka
@RobertMachenga-tz3re
@RobertMachenga-tz3re 3 месяца назад
Leila mimi nataka kukuoa unasemaje?
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 3 месяца назад
Unataka uhuru utakwenda kuupata huko subiri
@HajiKelly
@HajiKelly 3 месяца назад
Dada yang kachoka tu uzee😂
@AlbertSabo-hp3ss
@AlbertSabo-hp3ss 3 месяца назад
Ndoa sio lazima. Piga kazi mume atakuja na atapenda unachokifanya.
@salehaljadidi8206
@salehaljadidi8206 3 месяца назад
Kwa hiyo kudanga ni kama Kawa.
@emmadora7848
@emmadora7848 3 месяца назад
​@@salehaljadidi8206kwani amekuambia anadanga ? Mbona unamtafutia jambo ?
@AlbertSabo-hp3ss
@AlbertSabo-hp3ss 3 месяца назад
@@salehaljadidi8206 kudanga ni kujiuza. Huyu ni mfanyabiashara anayejielewa na kusaidia jamii hajiuzi. Ndoa au Ngono sio lazima kwenye Maisha
@athumanially2
@athumanially2 3 месяца назад
Huyu dada atakua na mapepo talaka
@froma3732
@froma3732 3 месяца назад
Mwanamume asikuwa na wivu huyo Kuna kasoro
@muhammadmassoud3576
@muhammadmassoud3576 3 месяца назад
Una malengo gani wewe wakati kaburi linakunyemelea muogope Allah stara ya mke ni mume.
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 месяца назад
Stara ya mke nimume! Kweli'lkn hao waume wapo?mume yeye pia angojea chako mke ili aishi, hivi leo wako hao waume unao waongelea wewe!mume ni stress kwenda mbele waweza kufa sababu ni mume! Sio waume wote waweza kutunza mke! Wachache sana tena walo jaaliwa
@lexygeisar8303
@lexygeisar8303 3 месяца назад
Kuolewa sio lazima kama anaweza kuji stiri
@jumaseifjuma4185
@jumaseifjuma4185 3 месяца назад
​@@aairraahseif5648Anaehoji kaelemea upande mmoja na aende pia kwa mwanamke mwenye ndoa naye amuhoji.
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 месяца назад
@@jumaseifjuma4185 unaweza usikipate hicho unachotaka kukisikia kwa mwenye ndoa! Ukweli Sio ndoa zote zinafanya na kufanikiwa! Ni watu kuvumiliana tu'ndoa nyingi ni mtihani! Furaha ya ndoa ni chache sana, huwa nipale mwanzo tu'hata mwenye ndoa akiulizwa ataficha vitu vingi kuviongea akilinda ndoa yake na kuogopa fedheha aibu,lkn ukiamua kustahimili utafaulu Aakhera lkn siyo duniani kwa pande zote mbili mke na mume, na vipo vitu vichache waweza vumilia, pia vipo vitu vizito vingi huezi stahimili kuvumilia
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 3 месяца назад
Yaonesha uko na shida wewe leila wataka ujue ndoa ni stara na ninguzo katika uwislam utaipukana na viumbe mashetani
@ImamAbas-f9b
@ImamAbas-f9b 3 месяца назад
Unapotosha watu wewe ni mjinga kweli
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 месяца назад
Alafu mwamme mwenye akili hawezi kuwa na mke kama wewe huo mdomo peke yake janga
@sudisalehe192
@sudisalehe192 3 месяца назад
Msiba huu
@barutiabuu9492
@barutiabuu9492 3 месяца назад
Ukishazoea ujahaba bad kila kitu cha ndoa utakiona kibaya ogopa sana mwanamke aliezoea mboo za wanaume wengi hutodum nae kabisa maana ukahaba kesha uzoea
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 3 месяца назад
Hawa ni wale wanawake ambao wanataka huru zao dunia ismame nishuke 😂😂
@baharamsalim3572
@baharamsalim3572 3 месяца назад
UTAPATA UTAKALO NA MUNGU ATAKUPA HLOO UTAKALO MTANGAZAJI NA WW JITANGAZE PIAH UACHANE UWE NA UHURU
@TheTarabist
@TheTarabist 3 месяца назад
Mume humuhitaji? Utakuwa ni mgonjwa. Usitoe mfano wako kwa wanawake wengine walio na afya zao kamili za mwili.
@SaidoHopa
@SaidoHopa 3 месяца назад
Can I have your phone leyla
@AliKhamis-j9z
@AliKhamis-j9z 3 месяца назад
Izo pesa ndio zitakutomba au huwashwi chini
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 3 месяца назад
Mashamba boy tupo hapa tunawashughulikia wanawake wa sampuli hii. Anapigwa Kuni mpaka anafurahia mwenyewe😅😅
@rumesibarka5312
@rumesibarka5312 3 месяца назад
Una Matatizo dada ndio maana ndoa zako hazitulii
@saidmajeba9791
@saidmajeba9791 3 месяца назад
Nyooko
@abuuzakariyalibumba6303
@abuuzakariyalibumba6303 3 месяца назад
Acha ujinga wewe
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 3 месяца назад
Sawa, ila utaamua UZINI au UPIGE PUNYETO..!.
@newbwejuu4302
@newbwejuu4302 3 месяца назад
Kampeni ya kuzini
@Sheba4651
@Sheba4651 3 месяца назад
Shetani amesharusha chambo, wavuvi wanaelewa nini chambo.
Далее
skibidi toilet 77 (part 4)
05:20
Просмотров 13 млн
无意间发现了老公的小金库 #一键入戏
00:20
RAISI AVAMIA SABASABA WATUMBULIWA VIONGOZI
2:24
Просмотров 23 тыс.
JE SEREKALI IKOTARI YA ZANZIBAR????????????????????
7:07
MPYA - BINTI MASAWE - SIMULIZI YA MAPENZI
3:19:12
Просмотров 101 тыс.
skibidi toilet 77 (part 4)
05:20
Просмотров 13 млн