Sio vizuri bana wadada niwengi wanao igiza mbona muigize kia wadada sio poa mwamkosoa mngu tafadhalini sana zingatie haya mngu anahesabu yake yawaume na wanawake je ukiigiza jinsia tofauti wewe ninani mbele za mngu mmhh fikirieni sana asaniten ila samahan pia
Acheni usenge sisi tunapambana na ushoga nyie mnautangaza Kwan kashindikana mwanamke wa kuvaa uo uhusika .msituzinguwe tutaondoa mapenz ytu kwenu .yan clam hapa umezinguwa acha hayo mambo
Wanawake mnao tena na wazuri kweli sasa inakuwaje tena nyinyi wanaume mnajifanya kuwa wanawake ? maigizo ya namna hii mimi siyapendi, nyinyi mnafanya sana vizuri wakati huu lakini mnapojifananisha na wanawake sio poa 😡