mnatisha sana wanangu tena sana sema nini fanyeni kabisa full filam so clip yaan mtafika mbali sana kiukwel mnajua sana yaan mmeupiga mwingi kwa hii clip mpaka nikaanza kuis kaa kwel vile dah!!!!
Clam Naitaka hii nyimbo ulioeka Kwa kichekesho,Naipenda hii song wallahi karibu vichekesho zako Naiskia,siku ukiisoma comment yangu niandikie hapo Kwa comment ni nani alieimba Ili niitafute nitashkuru.