Тёмный

KIDUM KIBIDO APEWA UNABII PAMOJA NA MILIONI 20 - GeorDavie TV 

GeorDavie TV
Подписаться 244 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa

Опубликовано:

 

3 май 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 104   
@danielworshiper6002
@danielworshiper6002 Год назад
Mungu akubariki Mtumishi Kidumu .... Wanadamu tuna tembea na historia mbaya ya mtu ... Wakati wokovu ni swala la sekunde la mtu na Mungu.... Ole wenu mnaojiona mmesimama angalieni msianguke...
@glaury9938
@glaury9938 Год назад
Kwa kweli mungu atusamehe kwa kuhukumu watumishi utasikia nabii kafanya vibaya mbona wewe hufanyi vizuri tujifunze msituchanganyebana
@carindor9825
@carindor9825 Год назад
Kidumu mu Burundi wetu Hongera kwa kukutana n profet da!!!!kidumu barikiwa san n songambele Profet asante sana
@NiyongereProspere
@NiyongereProspere 2 месяца назад
Napenda nionane na mtumishi huyu wa Yesu
@rsfdzxzx2274
@rsfdzxzx2274 Год назад
Kindumu🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💪💪
@user-jh9wf2sf1d
@user-jh9wf2sf1d 7 месяцев назад
Mungu akulinde nabii mkuu GeorDavie na akupe maisha marefu Sanaa ww ni wapekee Sanaa baba ww umetumwa na mungu kweli kweli naitwa william mathayo nipo der salam
@tresormadelin1992
@tresormadelin1992 Год назад
KIDUM Is the King of Live Music in East Africa
@fridolinhabonimana4854
@fridolinhabonimana4854 6 месяцев назад
legends Kudumu 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 🎙🔥🔥🔥
@user-jh9wf2sf1d
@user-jh9wf2sf1d 7 месяцев назад
Baba shikamoo mimi nipo der salam kupitia unabii wako nimejikuta nampenda mungu
@user-cb5ou3uv7x
@user-cb5ou3uv7x 3 месяца назад
Mungu akubariki sana mtumishi Nabii
@user-oo4vi4hz1g
@user-oo4vi4hz1g Год назад
Baba nasi Rwanda tunakuhitaji. Karibu!
@EvaristoMatiya-hh5ez
@EvaristoMatiya-hh5ez Год назад
Du,hii Kali kinomanoma!!umetisha mze wang Mungu awe na we maana wapo weny kinyongo.ww endelea na Mungu hatokuacha kwa kile alichokupangia kabla hujazaliwa.God bless U, Amen!!!!!!
@collinsmercy3971
@collinsmercy3971 Год назад
Hakuna utakatifu hapo mnafanya mzaga na mungu...from kenya
@DavidKasina-kg5nk
@DavidKasina-kg5nk 3 месяца назад
Nani aliroga wakenya juu wengi farisayo shindwe
@iribaryurukundo5612
@iribaryurukundo5612 Год назад
Kidumu the best live singer in East Africa
@kanyangearakaza4677
@kanyangearakaza4677 Год назад
🎉tunampendasana kidumu kibido
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 Год назад
Imeandikwa kila mwenye pumzi na amsifu BWANA nabii sikupingi kwa kuwa karibiana waimbaji hawa
@g.karathaofficial666
@g.karathaofficial666 Год назад
Nimefurahi sana hili jambo
@Jombawayuser-ps2vp4nh7u
@Jombawayuser-ps2vp4nh7u 7 месяцев назад
Asante sana mungu akubariki❤❤❤❤
@josephitangishaka960
@josephitangishaka960 Год назад
Uhezagirwe Kidum mwana wa mama. Baba Ubarikiwe Sana my Father Senior Prophet GeorDavie. GITEGA BURUNDI
@nathangeor
@nathangeor Год назад
Kidumu with band equaz to💥💥💥💥💥
@rsfdzxzx2274
@rsfdzxzx2274 Год назад
Amin
@nananailla7723
@nananailla7723 Год назад
Nasikitika sana na wewe kitumu wa burundian 🇧🇮 kweli mungu akuongoze hivi umefikilia kweli hizo pesa zote zina heli mungu akusaidiye
@maryandason1815
@maryandason1815 Год назад
😂😂😂Zina her kwake tatzo watu hawajui unapewa pesa unauza nafs yko kwa shetan watu hawatak kuomba kuutafuta uso wa MUNGU Zaid ya kuombewa ombewa n kubeba vicvyobebeka.unauza nyota y thaman unapewa pesa ya cku kazaa😢
@janetkaingu7038
@janetkaingu7038 Год назад
Eeeeemen Haleluia kwa kumsifu Mungu
@devithadaniel5423
@devithadaniel5423 Год назад
Mbona anaimba nyimbo za yesu acheni kujaji muwe mnaangaliaa mwanzo mwisho muache ubabai
@nsengiyumvapierre9343
@nsengiyumvapierre9343 Год назад
So cool my preference artist
@ivanpeter4945
@ivanpeter4945 Год назад
Hallelujah
@manirambonaemeryhasta3739
@manirambonaemeryhasta3739 Год назад
Asante san NABII MKUU Dr GeorDavie kwa kushik mkono kimaendeleo bila kujali ni wakabila gani ao wa inchi gani🙏🙏 KIDUMU KIBIDO KIBUGANIZO wa kwetu Burundi bujumbura 🇧🇮
@SabinusMhagama-tk3rz
@SabinusMhagama-tk3rz Год назад
BABA WEWE NINABII WAKWANZA KATIKA ULIMWENGU UMETIMIZA KILE ALICHO SEMA YESU .MTAFANYA ZAIDI YAHAYA NINAYO YAFANYA MIMI
@kidumkibido257
@kidumkibido257 Год назад
Ok
@salmampinga4995
@salmampinga4995 Год назад
🔥🔥Hii unaipata Ngurumo ya Upako pekee 🥰💃
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Год назад
Karibu kwa Yesu
@anascholasticandagiwe6977
@anascholasticandagiwe6977 Год назад
Hongera sana mtumishi kwani Mungu wote ni wake na ndiyo maana akasema tuache magugu na ngano viote kwa pamoja,naimani kabisa hukumu si juu yetu nabii mkuu wewe ni baba na mlezi
@cliffdenis144
@cliffdenis144 Год назад
Nabii aliyepotoka anakadhana kuuleta udunia ndani ya kanisa la kristo ni aibu ata kusema huyu ni nabii kwa Sasa sijui imekuwaje adi amekuja kupotoka kiasi hichi
@saimoniboniphace
@saimoniboniphace Год назад
Tuta wajuaje? Kwamatendo yao live inaonekana giza gizani ila hatuwezi kuku hukumu yesu mwenyekuhukum anakuja
@samwelmollel602
@samwelmollel602 Год назад
Savi sana
@barakaphilip2015
@barakaphilip2015 Год назад
Awesome
@eliudnjenga9385
@eliudnjenga9385 Год назад
Nimefamu kuelewa nabii ni vingumu sana siku za nabii Elijah alitumwa kwa mama mjane tena sio myahudi nabii hosea aliambiwa akaoe kahaba so sihukumu nabii Geodavie igawa sikubaliani na waibaji wa kidunia kwenye madhabahu ya MUNGU ni maombi yangu mapenzi ya YESU CHRISTO YATIMIE 🙏🙏
@cliffdenis144
@cliffdenis144 Год назад
Hakuna Cha kujiuliza apo kwa kweli alianza vizuri ila Sasa amepotoka ameiacha njia kabisa Giza na Nuru havina shirika hatuweza Sema eti labda Kuna maono Mungu kampa iyo sio kweli Mungu achangamani na uchafu wa Dunia hii.....atubu arejee Yesu ni wa msamaha kwa watu wote
@eliudnjenga9385
@eliudnjenga9385 Год назад
@@cliffdenis144 ni kweli kabisa nilifikuliri hawa waibaji wa dunia wanakuja kuokoka ila kupiga nyimbo zao pale duu si imani tena kenya tunafuatilia sana mahubiri yake ila tumefadhaika sana
@ElizabethMtambo-pv2ql
@ElizabethMtambo-pv2ql Год назад
Halleluya
@teddyjohn7054
@teddyjohn7054 Год назад
🙏🙏
@nurumollel5988
@nurumollel5988 Год назад
Amen
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 Год назад
Safiiiiiiiiii
@sabinalaulian-yg1ud
@sabinalaulian-yg1ud Год назад
Bb nabii mkuu nami naomba mtaji nifanye biashara nateseka ila naona unavyosaidia watu nisaidie na Mimi mwanao
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 Год назад
Hata mavazi ni ya heshima
@akimanakarime5437
@akimanakarime5437 Год назад
Burundi is one in music live
@jimmycliffmoses3271
@jimmycliffmoses3271 Год назад
Ntiyoshikira vichou love 🤣
@davidkainonge8153
@davidkainonge8153 Год назад
UTUKUFU KWA MUNGU KWA NABII MKUU
@danielworshiper6002
@danielworshiper6002 Год назад
Kati Yesu alie letewa mafuta na kahaba na akampaka na akambusu... Na Nabil mkuu anae anae waita wasanii madhabahuni nani mkosaji kwako????? Jifunze kumjua Mungu haya madogo hayatawasumbua...
@cliffdenis144
@cliffdenis144 Год назад
Kwaiyo unataka kusema Yesu alifurahia maisha ya ukahaba aliyokuwa anaishi yule dada ...hivi wakristo wa miaka hii mna shida gani dada yule alikuja kwa Yesu kwa lengo la kutubu na kuacha njia mbaya Hawa wasanii wakidunia wanakuja apo kuimba udunia wanapongezwa na kushangiliwa duuuuu Bado unadhubutu kusema ni sawa kweli tubuni tubuni ndugu zangu Yesu anakaribia kurudi tubuni Giza na Nuru havina shirika tubuni jaman
@nabiimdogotv8686
@nabiimdogotv8686 10 месяцев назад
Una nguvu ya kupata bando tazama mambo yasiyokuhusu acha Kuna kosa gan hapo nenda mbinguni kama hutaki kuona ya duniani
@imakubari6786
@imakubari6786 Год назад
Mmmmmmmmmh uyoo mdada Sasa kanisan bwana
@nabiimdogotv8686
@nabiimdogotv8686 10 месяцев назад
Ivi nyie mnajua sanaa biblia kuliko yenyewe acheni ushamba wa kiroho mwacheni uyu baba
@princemshindi
@princemshindi Год назад
🇧🇮🇧🇮
@jeckobass7502
@jeckobass7502 Год назад
Mzeee wa bass nani uyuuuuuuuuu
@msteveg2181
@msteveg2181 Год назад
Kidum sio mu Kenya ni muburundi makazi yake ndo yapo Kenya
@balljmushi9599
@balljmushi9599 Год назад
Mungu hawezi nunua walio wakee kwa pesa.hahahahaaaaaa
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 Год назад
mwanadamu anapo kula nakushiba anamsahau MUNGU nakuona kila alifanyalo limfurahishayo moyo wake nisawa nakugeuza nyumba yamungu ni ukumbi wadisko
@DjemsBonane
@DjemsBonane 10 месяцев назад
Karibu kwako nabii mkubwa tuna kusalimu,Sisi tuko mkongo démocratique République.tuna kufata APA.
@reubennnko6270
@reubennnko6270 Год назад
Ashaaasemaaa ni jukwaaa sio madhabahu so badooo Dula makabila tu hapoo
@DeboraNgura
@DeboraNgura Год назад
😂😂😂😂umewaza mbalii
@eliudnjenga9385
@eliudnjenga9385 Год назад
Kutoka 254 tunawapenda sana warokole tz ila kidum tena jukwaani si huyu ni muibaji dance jamani hapo sikubaliani kabisa nimefuatilia nabii sana mbona anapromote sana wanamziki na wachekeshaji wa kidunia si harmonize alikuwa hapo zote tulifikili anakuja kuokoka afuatie diamond sihukumu ila kimimi natilia shaka huyu nabii kiukweli why promote the kingdom of darkness si tz inajulikana kwa waibaji walokole wengi tu sana wapo wapi wapewe mamilioni wahubiri YESU WA NAZARETH
@danielworshiper6002
@danielworshiper6002 Год назад
Muamin Mungu Na uamin anambadirisha yeyote
@cliffdenis144
@cliffdenis144 Год назад
Uko sahihi kaka nasikitika uyu nabii alianza vizuri Sasa amepotoka kabisa Hadi wakina 20 per aliwalika na wakaimba
@pascalmsegea4563
@pascalmsegea4563 Год назад
Ameimba nini? Upo nyuma sana ya wakati
@ofsatravella8463
@ofsatravella8463 Год назад
Huyu. Ni mpinga kilisto
@emmanuelshukiah1236
@emmanuelshukiah1236 Год назад
Unapata wapi ujasiri wa kupiga nyimbo za kidunia kwenye madhabahu ya Mungu kama wewe kweli unatokana na KRISTO YESU ALIYE HAI.
@marcellysumaye341
@marcellysumaye341 Год назад
Tafuta hela wew ndo unayejua sana madhabahu ya bwana hapa duniani!
@bahatimushi2003
@bahatimushi2003 Год назад
Yesu pia alikaa nao hawo ambao umewaona awafai
@ELLYJ24
@ELLYJ24 Год назад
​@@bahatimushi2003 Ndyo maana wahubiri wengi hawaoni ajabu hata kukaa na mashoga ukiuliza eti yesu alikaa na wenye dhambi
@lazmeck4754
@lazmeck4754 Год назад
Ndugu yangu ni mapokeo yako kutokana na ulivyo fundishwa hizo ni fikra zako kongwa
@rehemajoel7094
@rehemajoel7094 Год назад
MADHABAHU IMEJAA NGUVU ZA MUNGU HAKUNA SHETANI WALA VIBARAKA VYAKE ATASOGELEA HAPO MZEE!!
@ElipendoElias-no6ki
@ElipendoElias-no6ki Год назад
Yan huyu ndo ameamua kuonyesha ushetani wake wazwaz
@imakubari6786
@imakubari6786 Год назад
Mmmmmmmmmh 😢😢😢😢😢😢😢
@nicholaakonkwa9911
@nicholaakonkwa9911 Год назад
Nabbi mudogo njo Nani?
@davidkainonge8153
@davidkainonge8153 Год назад
🇰🇪🇰🇪🙏🙏📖
@yousupjabri7304
@yousupjabri7304 Год назад
Mmh ila ndugu zetu nyie..
@zenataashura792
@zenataashura792 Год назад
Kanisa la wasani 👀
@jeckobass7502
@jeckobass7502 Год назад
Mzeee wa bass nani uyuuuuuuuuu
@user-cb5ou3uv7x
@user-cb5ou3uv7x 3 месяца назад
Ni atar ana touch nouma
Далее
Вопрос Ребром - Субо
49:41
Просмотров 1,4 млн
Документы для озокомления😂
00:24
Mjue Msanii wako: Kidum
14:51
Просмотров 14 тыс.
Churchill Show The Story of Kidum
49:16
Просмотров 92 тыс.
Вопрос Ребром - Субо
49:41
Просмотров 1,4 млн