Тёмный

NABII MKUU AWAPATIA MILIONI 4 YA CHAKULA CHA MCHANA WATUMISHI WA MUNGU WANNE WAGENI - GeorDavie TV 

GeorDavie TV
Подписаться 244 тыс.
Просмотров 45 тыс.
50% 1

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa

Опубликовано:

 

12 май 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 169   
@yudathadecostantine926
@yudathadecostantine926 2 года назад
Wakusujudiwa ni Mungu peke yake, Mungu wasamehe watu Hawa.
@greysonmarithin2856
@greysonmarithin2856 Год назад
Nimekua nafuatilia kazi za Nabii mkuu ukweli kutoka moyoni hapa sio unatafuta waumini ila unasaidia watu kiroho na kimwili so acha Mungu aendelee kukutumia Baba yetu
@suavisndayizeye5732
@suavisndayizeye5732 Год назад
Mimi ni Apostle Joseph Itangishaka kutoka Burundi najiunganisha na mazababu ya NGURUMO YA UPAKO. Nakuja Arusha nionane na Baba
@apostlewakili9378
@apostlewakili9378 Год назад
Uuu jesus nabii naitwa pastor dani kutoka kenya nimepigwa sana naomba msadaa hili nifanikishe huduma yangu naisi kutumikia bwana
@stevemwakisimba5986
@stevemwakisimba5986 2 года назад
Acha kumsifia sana binadamu mshukuru mungu huyo sio mungu wa nabii ni mungu wa kila mtu kumsujudia binadamu ni kumkosea mungu nabii ashukuliwe kwa kazi yake!
@salmampinga4995
@salmampinga4995 2 года назад
"ANUANI SAHIHI"
@kasyaniTv
@kasyaniTv 2 года назад
Amina nabii unampizani duniani naomba kibali Cha kuimba hapo kanisani kwako
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 2 года назад
Mungu ee mungu wasamehe watanzania kuwasujudia wanadamu na kumwacha mungu kunaleta laana juu yenu tubuni maana yesu analudi acheni kuabudu miungu
@WinnifridaNkya
@WinnifridaNkya 10 месяцев назад
Mmh😊
@rogersgodwin5439
@rogersgodwin5439 2 месяца назад
Baba mungu akubariki hii huduma inaisha shetani anatetemeka
@NdihokubwayoSimeon-zd5db
@NdihokubwayoSimeon-zd5db 2 месяца назад
And you are the one who serves God well enough, I love you saying your message and I love you,
@juliuskipande8890
@juliuskipande8890 2 года назад
MUNGU akulinde mtumishi wa MUNGU,uzidi kutubarikia maisha yetu.
@chazdd1943
@chazdd1943 2 года назад
Hiv mmemsikia akitaja jina la Yesu Kristo mwana wa Mungu alie hai juu mbingun au tunasikia Mungu tuu
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md 3 месяца назад
Pungusa umalaya wamdomo kama hujamuelewa mtu nyamasa kuliko kuropoka
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 года назад
Mungu akubariki sana geodavie kwa upendo wa kusaidia binadamu ufunguliwe
@rens6841
@rens6841 Год назад
Mwenyezi mungu aendelee kukutunza na kukuhifadhi nabii ,ubarikiwe
@juliussanka9917
@juliussanka9917 2 года назад
Amen mtumshi wa Mungu napokea ukuu wa Mungu....kupitia madhabahu ya yako
@mwanjatabitha6554
@mwanjatabitha6554 2 года назад
Am from kenya,be been following the service since 2018,I ve been looking the number of Daddy but ve failed to get it,I love your services Baba may God bless you 🙏🙏🙏
@idrisajukulu2637
@idrisajukulu2637 2 года назад
Ur God is my God since I ever knew you dady
@jamesmugo4258
@jamesmugo4258 Год назад
Natamani huo upako uguze maisha yako na huduma baba tamuka neno kwangu
@navysanga4245
@navysanga4245 Год назад
Mungu akubariki Sana Sana Mtumishi
@mosesmakupe6076
@mosesmakupe6076 2 года назад
Iam blessed,pia nami natamani Sana nifike nikamuone prophet
@ruwaruwa5245
@ruwaruwa5245 2 года назад
God bless you Pst for the great job
@samuelmusyoki851
@samuelmusyoki851 2 года назад
Am blest lovely message thank you
@coolzeddy_official9216
@coolzeddy_official9216 2 года назад
Baba Geordavie Mungu akubariki
@samwelnuru6571
@samwelnuru6571 2 года назад
Manabii na watumishi wote natamani Sanaa wajifunze moyo wa nabii mkuu sio Kama baba anazo Sana Ila Ni moyo tu waupendo natamani kufika siku moja kwa baba
@frankfitiaelmbise9682
@frankfitiaelmbise9682 2 года назад
Kwamara ya kwanza naguswa thank you lord
@freddysolobaraka5658
@freddysolobaraka5658 2 года назад
Ameeennnnnn
@tariqbutt9516
@tariqbutt9516 2 года назад
GOD BLESS YOU AND YOUR FAMILY
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 2 года назад
Jamani Mungu akubariki sana baba. Watumishi naombeni no ya baba
@carokaseka7857
@carokaseka7857 Год назад
Hongera nabii mkuu Mimi naitwa Caroline nakaa shinyanga naangalia sana mahubiri yako nayafurahia sana ila siwezi kuja sina .mguu nimekatwa ila nakuangalia muda wrote pia nafurahi kuona unasaidia watu sana usiniache Mimi nabii mkuu
@peterswai391
@peterswai391 2 года назад
Ameen God bless more, Nabii mkuu,
@doctorphonessolutiontz7075
@doctorphonessolutiontz7075 2 года назад
Mungu anitie nguvu siku moja nitafanikiwa Kufka kanisan kwako baba ili nijione wa Thamani mbele za mungu
@frankmwakajila4652
@frankmwakajila4652 2 года назад
God bless you Chief Prophet spokesperson of God's Kingdom on Earth.
@saramtei4371
@saramtei4371 2 года назад
Nam najiungamanisha na mathabau hii kwa jina la yesu
@thadeothobiastharimo9774
@thadeothobiastharimo9774 2 года назад
Naomba niache pombe kwa jina payesu na omba kwa iman
@thadeothobiastharimo9774
@thadeothobiastharimo9774 2 года назад
Emungu naomba nifungulie kwa jina la yesu maisha yangu yawe mepes
@jacksonmagolwa8437
@jacksonmagolwa8437 2 года назад
NABARIKIWA NAWW BABA,JAMANI NAITAJI NAMBA YA NABII MKUU.
@ElizabethMtambo-pv2ql
@ElizabethMtambo-pv2ql Год назад
God bless u pastor
@mahinditv342
@mahinditv342 2 года назад
May God bless you
@cunthichthia5697
@cunthichthia5697 2 года назад
Naomba mawasiliamo tafadhali ni Mary kutoka Kenya
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 Год назад
Tumfahamu Mungu wa kweli sio mungu wa watu
@queenbby92
@queenbby92 2 года назад
Amina najiungamanisha
@JamesG-nm5xu
@JamesG-nm5xu Год назад
Nabii mkuu mi nakukubali sana
@drtobias_
@drtobias_ 2 года назад
Baba G Kwakweli mwaka huu umejitahidi mno,
@PFD123
@PFD123 Год назад
Watu wangu wanahangamia kwa kukosa maarifa...mna macho lakini hamuoni na mna masikio lakini hamsikiii
@thadeothobiastharimo9774
@thadeothobiastharimo9774 2 года назад
Adui zangu wawe adui za mungu amina
@samwelmollel602
@samwelmollel602 2 года назад
Amina mtumishi
@felixtchibambe2208
@felixtchibambe2208 2 года назад
Thanks nabii
@kelvindaudi2107
@kelvindaudi2107 Год назад
Mungu ni mwema sana baba
@evachuw8092
@evachuw8092 2 года назад
Amina Baba nabii mkuu
@dalalivyumbatz
@dalalivyumbatz 2 года назад
God Bless Nabii Heri kutoa nasiyo kupokea
@susanmutisya1092
@susanmutisya1092 2 года назад
Umenigusa mungu akubariki.
@shafiirajabu4521
@shafiirajabu4521 2 года назад
Nafatilia sana huduma zako baba
@franksean842
@franksean842 2 года назад
Prophet nabii mkuu tunaomba balaka zenu Baba nambao hatuna uwezo wakukugikia baba tunakuomba baba tusaidie baba.🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@constantinewilbroad1654
@constantinewilbroad1654 2 года назад
Mungu wa Ngurumo ya Upako nikumbuke na Mimi
@ibranoahngidange5909
@ibranoahngidange5909 2 года назад
I m Muslim but one day tatembelea hio madhabaho napenda sana confidance ya nabii dr geodavie
@pilimusa3217
@pilimusa3217 2 года назад
Unakwenda kufanya nini? We si mwislam
@abdulrazakzakaria300
@abdulrazakzakaria300 2 года назад
Usi jalibu hata kidogo wew mu islam
@chaomadedo
@chaomadedo 2 года назад
@@pilimusa3217 Yesu Alikuja kwa wote
@rens6841
@rens6841 Год назад
Mungu wa ngurumo ya upako naomba nikumbuke😭😭😭nami siku nishuudie
@venancjoseph1498
@venancjoseph1498 2 года назад
Nakupata nabii mkuu.nipo msumbiji naomba nisaidie maombi mengi nifunguliwe maisha yangu.amen,,,
@sharonmunyiva9865
@sharonmunyiva9865 2 года назад
Naomba uniombe changamoto zimenipata nisaidie n unibariki n kazi
@sharonmunyiva9865
@sharonmunyiva9865 2 года назад
Naelewa jinsi unavyo ona shida zawengine pia waona zangu niokoe pia nami
@josephlorri431
@josephlorri431 2 года назад
Sanaa na usanii
@zimanigervas7281
@zimanigervas7281 2 года назад
Una uhakika na unachoandika au unakariri vitu
@bahatisinkamba991
@bahatisinkamba991 6 месяцев назад
Bora nabii kuliko wachungaji wanafiki
@naomishimwela4093
@naomishimwela4093 2 года назад
Jamani mwenyewe natamani Sana kuponywa nauyo nb
@cmoshi7014
@cmoshi7014 2 года назад
TUSAIDIE YESU
@emmanuelchejo7154
@emmanuelchejo7154 2 года назад
Ntafika hpo cku moja.
@assayusuph3295
@assayusuph3295 Год назад
Mungu tukumbuke ni siku za mwisho kalibu unaludi kwa Mala ya pili okoa watu wako baba wamecha kukutwgemea wewe wanabud binadamu kama wakina gr devid wanao jiita manabii wakuuu eee Mungu tukumbuke
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 2 года назад
Hayo maisha ya pesa na Mungu ni mbalimbali,halafu nywele bandia,lip stick na vipodozi mbalimbali,jiepusheni na tamaa za mambo ya dunia.
@furahinimbwambo
@furahinimbwambo 2 года назад
Wewe ni msa bato
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 2 года назад
@@furahinimbwambo si msabato bali ni maandiko ya Biblia. Wachungaji wengi wanajifanya kuvaa miwani ya mbao wakifika kwenye vifungu hivyo kwani wake zao wanavaa kinyume na maandiko,hivyo wanashindwa waanzeje kukemea waumini?
@salmampinga4995
@salmampinga4995 2 года назад
😂😂 Make hapo kwanza nicheke Pesa na MUNGU ni mbalimbali?Kwa wale wasomaji wa Biblia mnisaidie kuna mahal Yesu amewatuma wanafunzi wake wakatoe pesa kwenye tumbo la samaki hii imekaaje sio kwamba na yeye alikuwa na akaunti zake kwa kipindi hicho.
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 2 года назад
@@salmampinga4995 ndiyo maana alisema wakachukue kwa samaki,maana yake yeye hakuwa na pesa na pesa haimfikishi mtu mbinguni,na pesa hiyo ilichukuliwa ili kulipia Kodi kwa kaisari. Na ndiyo maana alisema; ya Mungu mpe Mungu na ya kaisari mpe kaisari. Nadhani umeelewapo
@salmampinga4995
@salmampinga4995 2 года назад
Ooooh! Kumbe hazikuwa za kwake😅
@platinikabeymutomb9561
@platinikabeymutomb9561 2 года назад
Amina
@bahatisinkamba991
@bahatisinkamba991 6 месяцев назад
Yupo vizur
@nashonmwinuka1758
@nashonmwinuka1758 2 года назад
Huwa namfatiria Sana baba natamani japo niongee nae tu kwa simu kwasababu kwa uwezo wangu mdogo siwezi kumfika au nipate namba zake
@abdulrahmanpaskalina7627
@abdulrahmanpaskalina7627 2 года назад
Daaah Eeh Mungu😥🤲🙏
@pendocharopendo9559
@pendocharopendo9559 2 года назад
Amen 👏👏👏
@patrickmwaki6042
@patrickmwaki6042 2 года назад
Nabii Mkuu🙏
@banzamukalay5396
@banzamukalay5396 2 года назад
siku hizo wengi watakuja kwajina langu, angaliyeni msije mka danganywa, sasa hivi kuna kuwa miyungu mahali mengi tofauti.
@levinahmuspeka3952
@levinahmuspeka3952 2 года назад
Amen Amen Amen wow
@wilbrodwemaonlinetv8379
@wilbrodwemaonlinetv8379 2 года назад
Daaah! I feel crying kwa kweli Mtumishi wa Mungu... Mungu azidi kukuinua mataifa yote yafahamu ukuu wa Mungu uliopo ndani yako Amen
@salmampinga4995
@salmampinga4995 2 года назад
Daddy 🥰❤️🙏🙏Hakuna kama wewe upo kwaajili yangu.
@evangelist_gaitani
@evangelist_gaitani 2 года назад
Hakunaa kama nani?🙂
@salmampinga4995
@salmampinga4995 2 года назад
Hakuna kama Baba yangu Nabii Mkuu Dr Geordavie upooo kaa kwa kutulia bro ukiona haikuhusu pita hivi ndiyo maana nimesema Yuko kwa ajili yangu sikujumlisha na shida zako.
@michaelpamba7570
@michaelpamba7570 2 года назад
Mwenye roho ya kinabii huwatii manabii nami napokea roho hiyo kupitia ww mtumishi wa Mungu.
@tarasisihatungimana4242
@tarasisihatungimana4242 Год назад
Asante sana kwa msada wako na mungu aenderee kukubariki🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 ubarikiwe sana Nina taamani nikuone sku moja!!
@eliasamwel885
@eliasamwel885 Месяц назад
Amen
@queenbby92
@queenbby92 2 года назад
I love you Dady
@stevemwandambo587
@stevemwandambo587 Год назад
Mungu naomba utufunue macho tulio vipofu maana watt wako tunazidi kupotea...na hii njaa ndio itawamaliza watu kabisa...
@HabilyTech
@HabilyTech 2 года назад
Unawapoteza
@endlessloveofchristlovewor9991
@endlessloveofchristlovewor9991 2 года назад
Mathayo 6:1-2
@peterswai391
@peterswai391 2 года назад
Ameen
@OMBENIURASSA100
@OMBENIURASSA100 2 года назад
Bwana asifiwe mtumishi naitwa Nelson Brydon naomba uniombe nipate kazi kwasababu kazi ninayofanya ayinipi nafasi yakwenda kanisani kbsa ninafanya you kauko naomba maombi yako niko dar salaam
@lewiswanyama2596
@lewiswanyama2596 2 года назад
🥰
@mo_hustler9099
@mo_hustler9099 2 года назад
Huyu dada malaya2 tena anapenda wanaume wenye pesa na sio wenye mapenzi ya kwel
@zimanigervas7281
@zimanigervas7281 2 года назад
Unamtukana kwa kuwa si ndugu yako
@wisperfect5320
@wisperfect5320 2 года назад
Mnajuana?
@magrethdamas6334
@magrethdamas6334 2 года назад
Katafute Chanel ya kupeleka makasiriko yako sio hapa tafuta na wewe hela akufate
@tusekelegemwalusako55
@tusekelegemwalusako55 2 года назад
Muhifadhi bac
@nancyg8664
@nancyg8664 2 года назад
@@zimanigervas7281 yan
@successconcious703
@successconcious703 2 года назад
Hahhhaaaa jina kuu la Yesu Kristo lipitalo majina yote halitajwi hapa... I'm shocked!!
@joeloluoch7270
@joeloluoch7270 2 года назад
am Joel form Kenya I need your help
@happykisarika1337
@happykisarika1337 2 года назад
Da!! So painfully
@levislwamba9626
@levislwamba9626 Год назад
Mimi Nina swali,kutokana na Imani yetu ya kikristo tangu nianze kumfatilia huyu nabii sijawai kusikia akiomba na akamaliza kwakutaja jina la Yesu wakati ndivyo baba Mungu mwenyew ametuelekeza lolot tuliombalo kupitia Jana la Yesu tutapewa.naomba mnisaidie kwa ilo please
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 Год назад
Huyu anaitumikia nguvu nyingine ndio maana hajifungamanishi na jina hilo
@EliasSampa-wt1cz
@EliasSampa-wt1cz Год назад
Njaa zitawamaliza watumish wengi shetan ameshajua udhaifu wenu ni kwenye uchumi
@vitalisnyagali2774
@vitalisnyagali2774 2 года назад
Akika uyu ni mwana wa mungu natamani siku moja nimuone ata nipate kumshika mkona wake
@agathasungura5047
@agathasungura5047 2 года назад
Mmmmmmh MH aya
@selestinsongola2787
@selestinsongola2787 2 года назад
Kweli geordavie ninoma wanakuja wenyewe kusalenda
@paulokuze9307
@paulokuze9307 2 года назад
Yani mtu anapokea ibada,nawakati ni mmoja tu anayepaswa kupewa ibada,unaacha kushughulikia roho za watu ,badala yake unafanya mambo ya mwilini tu Mungu atashughulika na wewe.
@zimanigervas7281
@zimanigervas7281 2 года назад
Aanze kukushughulikia wewe aanze na wewe,unayehukumu
@josephmolle
@josephmolle 2 года назад
Nabii mkuu tunakupenda
@neemakipande5564
@neemakipande5564 Год назад
Nipo tanga nabii mkuu na kufuatilia sana nipo mbioni kufika kwako Ngomeni nabii wangu,nahitaji kufunguliwa kwani nimefungwa kila upande nisaidie baba.
@victorishengoma4599
@victorishengoma4599 2 года назад
Pesa pesa pesa
@lovenessmaiko2584
@lovenessmaiko2584 2 года назад
Shika Sana ulichonacho
@elliyalapiyadaleghi5892
@elliyalapiyadaleghi5892 2 года назад
Mungu mwema hakika
@tcplcsimba4369
@tcplcsimba4369 2 года назад
Hao walinzi na miwani myeusi wa nini?
@bonifasiacharles1808
@bonifasiacharles1808 2 года назад
Natamani kufika Na mimi
@piuspantaleo9675
@piuspantaleo9675 Год назад
Ee baba tukumbuje nasisi
@josephlyimo6968
@josephlyimo6968 2 года назад
Watanzania tunakwenda wap watumishi mnapenda pesa kuliko nenola Mungu
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 2 года назад
Dunia ipo ukingoni hii
Далее
#kikakim
00:31
Просмотров 11 млн
SOMO - AGANO LA MAUTI | FULL VIDEO  | 14-04-2019
2:11:31
Siku ya kihalibu roho za ucheleweshaji
36:22
JINSI  YA KUMILIKI UNACHOKITAKA.
38:48
Просмотров 63 тыс.
#kikakim
00:31
Просмотров 11 млн