Mungu awasamehe sana Hawa viumbe wenzetu watu weupe! Maana wanajiona Kama vile hii dunia ni yao hawataki mtu atokee na kitu kikubwa zaidi yao! Shj kwanin Kati kufa tutakufa wote!
Kwakwel story book mnajitahidi sana, pongezi ziwafikie wote mnaoshirikiana kuandaa story. Nlikuw naomba kama mtaweza mtuletee na story ya THE MUMMY. Shukrani 🙏🙏
Nimalizie, mtoto wa Bruce Lee Brandon Lee alifariki baada ya kupigwa risasi bahati mbaya akiwa anaigiza 1993, mkewe yupo mpaka leo na binti yake Shannon Lee ambae nae pia bado yupo, ni mtoto wa mwisho wa Bruce Lee.