Тёмный
No video :(

The Story Book: Mambo 20 ya Ajabu Zaidi Ya Viumbe Na Wanyama Pori 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 756 тыс.
50% 1

The Story Book: Mambo 20 ya Ajabu Zaidi Ya Viumbe Na Wanyama Pori
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

28 апр 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 459   
@rashidkishambo7494
@rashidkishambo7494 2 года назад
Mashallah ndio mana Allah akamtumia kunguru kumfundisha mwanadam kuzika binadam mwenzake enzi za Nabii Adam na kwamba kweli Allah hakitaji kitu bure katika Quran lazma kiwe unique Quran is real
@islachristabinastaravista8104
Sio tu kukitaja kitu chochote alichokiumba yy kinamaana
@josephclaud9594
@josephclaud9594 Год назад
Allahu akbar
@ElijahNtulo-qc8zc
@ElijahNtulo-qc8zc 2 месяца назад
,, mmmmmmmhh
@jeremiahkamuhukamau5900
@jeremiahkamuhukamau5900 2 года назад
Kenya kwa mstari wa kwanza like msiwe wachoyo
@shemadams6459
@shemadams6459 2 года назад
Jamal napendezwa sana uchuguzi wapo, mungu akuogezee maharifa zaid kuchuguza viumbe hivi
@J4UPro
@J4UPro 2 года назад
Wewe ni mtu hatariiiiiii sana kwenye huu ulimwengu. Safi sana kiongozi.
@ramamongi1078
@ramamongi1078 2 года назад
Nakubari kabisa nilishawai kupiga mtoto wa kunguru na kunguru mkubwa alikasilika juu yangu maeneo Yale kila nikipita alikuwa anakuja kasi kutak kunidonoa kichwani nilibadili njia aisee
@ramadhanimgasu2551
@ramadhanimgasu2551 2 года назад
🤣🤣🤣
@johnerisha5874
@johnerisha5874 2 года назад
😆😆😆😆 unatufunga kamba broo
@ramadhanimgasu2551
@ramadhanimgasu2551 2 года назад
@@johnerisha5874 nomaaa
@muuhplatinumz2322
@muuhplatinumz2322 2 года назад
@@johnerisha5874 kwel usibishe
@chifuwasalimatz9607
@chifuwasalimatz9607 2 года назад
Tumepigwa na kitu kizito🤭🤭🤭
@hassanpande9915
@hassanpande9915 2 года назад
Jamal wangapi tunamkubari, like 👍
@omaryteddy62
@omaryteddy62 2 года назад
Mash Allah mungu mkubwa atupe mwisho mwema wote tunao muamini mwenyezi mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ammarsalah5693
@ammarsalah5693 2 года назад
Ameen yaa Rabb
@rehematawalani733
@rehematawalani733 Год назад
Ammin yaarabbi
@huseinzainab6092
@huseinzainab6092 2 года назад
Mashallah allah akupe maisha marefu yenye amali njema
@abdulkarimmohammed5767
@abdulkarimmohammed5767 2 года назад
Nawew pia
@Special4uTV
@Special4uTV 2 года назад
The Genius Jamal, Endelea Kutufunza🙏🙏🙏🙏
@vitalisshija2073
@vitalisshija2073 2 года назад
Maajabu ya viumbè vyå Mungu
@edwinmandela5658
@edwinmandela5658 2 года назад
We ndo ungefanya royal tour ingekuwa tamu sana
@amosmichael487
@amosmichael487 2 года назад
Wasafii mmefanya mapinduzi makubwa sanaaa Mungu awabariki sanaaa
@zagatv5808
@zagatv5808 2 года назад
Noma
@aliabdallah8908
@aliabdallah8908 2 года назад
You're so talented Mr Jamal M/Mungu akueke uzidi kutuelimish mengi tusioyajua
@donramaa3717
@donramaa3717 2 года назад
Jamal April twataka Application ya the story book sahii🔥🔥🔥 ndio tusipitwe na elimu kama hii
@michaellyimo8057
@michaellyimo8057 2 года назад
Wa Kwanza leo naombeni like
@issahassani
@issahassani 2 года назад
Jamal you have bid iq thanks much brother pres us global unafaa kua kwenye top five ya wanatafiti Bora dunia and Nat Africa ''professor🙏
@davidmrisho7588
@davidmrisho7588 2 года назад
Mungu anamakusudi yake kutuletea mtu Kama ww hajakosea kabisa big up jamal
@maxmiregwa6731
@maxmiregwa6731 2 года назад
Personally i subcribed Wasafi because of this great guy jamal..much love from Kenya jamal
@salim02tv24
@salim02tv24 2 года назад
We ni nomaa. ..mtiga kajichimbia kabur
@CenityMninda
@CenityMninda 2 месяца назад
Napenda sana the storry book awadhidishie ubunifu
@khalithusa5589
@khalithusa5589 Год назад
Mimi Niko Kenya lakini napenda kufuatilia story book, so talented bro keep up.
@Isacmussaadinane
@Isacmussaadinane 2 года назад
mungu azidishe uzima wako bro kwa sababu unatujuza mengi amboyo alikuwa nyuma yetu god bless you forever
@is-haqrajab6973
@is-haqrajab6973 2 года назад
Professor, your so talented and genius
@Isacmussaadinane
@Isacmussaadinane 2 года назад
your right!!!!!!
@mwangiakila8020
@mwangiakila8020 2 года назад
Always tuned outta Kenya 254
@gitongahouse3245
@gitongahouse3245 2 года назад
we are here men
@simbascdailysimbasctanzani2835
@simbascdailysimbasctanzani2835 2 года назад
Na ndiyo maana uki mtendea jambo kunguru kama kuangusha kiota chao basi hapo mtaani hama
@jamesblackjaguar2084
@jamesblackjaguar2084 2 года назад
Big Up big Brother Tuko Na Wewe Kaka Atuwezi Kukuangusha
@utaliiwandanivisit_tz453
@utaliiwandanivisit_tz453 2 года назад
Kiukweli nimejifunza sana Kuhusu hii mala Naomba sana kuonana na wewe kaka jamani please Naomba sana tena Sana kaka Naomba sana
@balengatanda9240
@balengatanda9240 2 года назад
Nend kwenye offic zao wasaf inawwz kuwa lahis kumpat tofaut na hapo sidhan kama utampata nenda wasaf dsm
@bilalyally6527
@bilalyally6527 2 года назад
Umenifurahisha kwenye kumchambua paka big up
@evans3319
@evans3319 2 года назад
Big up sana Jamal kweli ni proffesa
@mk-ed5py
@mk-ed5py 2 года назад
Mashallah jamal
@shijaolomi6800
@shijaolomi6800 2 года назад
Kwa story za kuelimisha maajabu ya viumbe vya dunia na mambo ya kale ni the story book wasafi chombo kwa hewa of cose
@shijaolomi6800
@shijaolomi6800 2 года назад
Big up brother
@dadyshunaydah9421
@dadyshunaydah9421 2 года назад
Tunaomkubali Professor Jamal Kwenye The Story Book Tusisite Kugonga Likes 👍🏿 Kwa Kutupa Elimu Na Burudani.
@allyissa-sp3ql
@allyissa-sp3ql Год назад
Hatari
@victormwansasu8764
@victormwansasu8764 2 года назад
Nimejifunza Vingi sanaaa be blessd.
@timochazze9845
@timochazze9845 2 года назад
Wewe ni noma na nusu tatu. I love you so much for good job
@paulonjozi1638
@paulonjozi1638 2 года назад
Wewe ukifatiea na dizasta vina 🎵🎵🎼 huwa mnanijuza vingi sana
@rukingamaboar802
@rukingamaboar802 2 года назад
Allah bless you my Brother
@michaelmacochally3741
@michaelmacochally3741 2 года назад
Respect kwak brother uko Makin Sana
@divavlog2764
@divavlog2764 2 года назад
Real addicted to this channel!! April your are the best
@halimasuleyman1588
@halimasuleyman1588 9 месяцев назад
Asslm alkoom tunakupingeza sn sn mwanangu anataka aongee nawe ,ananiambua sna,sijuj anataka akwambie kitu gani anajue yeye, sijui akupataje, Jamal,
@raydiesel424
@raydiesel424 2 года назад
Pia hapo kwa mbwa. Mbwa ni mnyama ambae haoni rangirangi nyingi ye huona black and white kwa mbali mfano nyekundu huiona kama nyeusi kwa mbali njano huiona kama nyeupe kwa mbali, samaki aina ya Skate huona completely black and white na vunja chungu (Mantis) ndie kiumbe kinachoona rangi nyingi kuliko yeyote.
@durothedon7777
@durothedon7777 2 года назад
u are so talented Jamal
@omarypetro2419
@omarypetro2419 2 года назад
Jamal nakuelewa sana mzee baba, tupo pamoja ckupingi.
@peteranthony410
@peteranthony410 2 года назад
Unazid kutufunulia mambo mr. Professor nakubali sana kaka
@bongotrend5539
@bongotrend5539 2 года назад
Professor Jamal tuwekee basi na simulizi ya nuhu aliejenga safina
@jacksonmtungilehe7863
@jacksonmtungilehe7863 2 года назад
Mbona ipo
@mbwayastatehouse695
@mbwayastatehouse695 3 месяца назад
Allahu Akbar, mungu mkubwa aisee❤
@rashidmkuzi8210
@rashidmkuzi8210 20 дней назад
You are my role model bro from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@davidarimbaarimba1058
@davidarimbaarimba1058 2 года назад
Jamal you deserve to work in Kenya a big radio station
@algosteven3767
@algosteven3767 2 года назад
why in kenya😂😂, whats a big deal over there😁
@davidarimbaarimba1058
@davidarimbaarimba1058 2 года назад
@@algosteven3767 bro jamal akipata mshahara wa one million Kenya money iyo ni kama 20 million of tz
@jipozeonline3983
@jipozeonline3983 2 года назад
@@davidarimbaarimba1058 yes ni fedha nyingi lakini kumbuka pale wasafi sio tu presenter bali ni boss kwenye hyo media
@davidarimbaarimba1058
@davidarimbaarimba1058 2 года назад
@@jipozeonline3983 umeniweka vyema ila jamal ana deserve hii story book iwe inaletwa na a big media like BBC.
@jacksonsimbibalegana7758
@jacksonsimbibalegana7758 2 года назад
@@davidarimbaarimba1058 kwako wasafi sio big media . komala khi, akili kwa nini vya watu ! promot vya kwenu bila ku saahabu kama leo unajuwa story book nikupitiya wasafi.
@lazaropilla3887
@lazaropilla3887 2 года назад
Your story book is very interesting and amazing.
@princebeatz4993
@princebeatz4993 2 года назад
Una akili sana
@sekiondowarema1786
@sekiondowarema1786 2 года назад
Mwamba hapo kwa Turkey umetupiga na kitu kizito kichwani Naomba urudie somo juu ya hilo tupate kujua yai linapataje fertility bila dume😁😁
@user-oh6dd4rt6w
@user-oh6dd4rt6w 11 месяцев назад
Kweli umeongea kuhusu Kungur walimuandama mdogo wiki nzima kila wakimuona wanamuandama kisa aliwafukuza kwenye mnazi wetu na wengne aliwaua kwa manati ❤umenikumbusha mbali🎉🎉
@simbasportsclub6653
@simbasportsclub6653 2 года назад
Mashallah unajua kaka
@abdoulkarimmabulu1416
@abdoulkarimmabulu1416 2 года назад
Asante jamal
@emmilianamwakatwila
@emmilianamwakatwila Год назад
Na ainuliwe Mungu aliyekupa huo ufahamu jamal
@tricker2547
@tricker2547 2 года назад
Likes za professor zko wpi
@njiliclassic228
@njiliclassic228 2 года назад
Yaan uko vzur sana ww ni advanced
@kijeshiabdalla6316
@kijeshiabdalla6316 2 года назад
Mungu ni muweza kwa kila kitu.
@idrissajuma7308
@idrissajuma7308 2 года назад
Big respect Jamal April Jamal Mustafa Professor💪💪✌️
@barcxitenov2467
@barcxitenov2467 2 года назад
Tunakubalii kazi yakoo ana elimu yakoo,,tusaidiie kufikaa katika hizoo websites na kupata hayoo majarida professor...
@polycarptarimo5141
@polycarptarimo5141 2 года назад
Daah nimekusoma sana swala la Kunguru nimewahi kuua mtoto wa kunguru siku nzima kila nilipokatiza eneo lile walikuwa wananipigia kelele kunitishia na kukusanyika kwa wingi Cha ajabu hadi siku mbili bado walikuwa wananisumbua japo sikuwa na nguo zile zile
@salumsaid5416
@salumsaid5416 2 года назад
DRC Lubumbashi jamaaly 100 tunakukubali sana dkt
@allyhassani2813
@allyhassani2813 2 года назад
Mashallah professor utuletee na historia ya muafrika
@DUL69
@DUL69 10 месяцев назад
NAPENDA UNAVYOMTAMKA MOLA WETU MTUKUFU ALLAH S.W. " MWENYEZI MUNGU" 🙏🙏🙏🙏
@titosimanjilo3023
@titosimanjilo3023 9 месяцев назад
najifunza mengi sana kaka kuptia kazi zako nakubari sana nakusapt mda wote na mungu akulinde mda wote
@MrSam-vx7vl
@MrSam-vx7vl 2 года назад
Sasa jogoo Kama yuko kwenye banda na kuku wenzie akiwika si kuku wenzie wanazibuka masikio hayo
@fettyabiola1389
@fettyabiola1389 2 года назад
Paka jeuri jamni aaa, hata kama humwiti kwa jina kama hataki haji
@bintnouh4483
@bintnouh4483 2 года назад
Nna wa kwangu hapa ni jeuri hatari
@user-bj1zf8iw1q
@user-bj1zf8iw1q 7 месяцев назад
Vizuri na kazi yako
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 2 года назад
Masha"Allah sheikh wangu
@MohamedHassan-sp2un
@MohamedHassan-sp2un 2 года назад
Prof kazini ni moto mzee
@mwanamisinyarotso7952
@mwanamisinyarotso7952 Год назад
Thanks bro,nimejifunza sana.Mungu akujaalie hekima zaidi
@sheffirajab3361
@sheffirajab3361 3 месяца назад
Kwa kweli Allah ni mkubwa
@bukobamediatv2115
@bukobamediatv2115 2 года назад
Nimeelewa Professor
@yohanakebacho3990
@yohanakebacho3990 2 года назад
Prof. Jamal
@sammanexofficial1511
@sammanexofficial1511 2 года назад
Hongera jamal April🔥❤🇰🇪🙌
@WonderfulMacawBird-id1yc
@WonderfulMacawBird-id1yc 7 месяцев назад
Kwak ngumimi ni memuona professor ya ni anajjua❤❤❤❤🎉🎉
@kilogreekachananawatuwasio4054
JAMAL APLI MIAKA MINGI UMEITOA HII PROGRAM YA WANYAMA MIMI NDIO NIMEIYONA LEO 😂😂BRAVO MWAMBA JAMAL ❤
@veronicaleonard6191
@veronicaleonard6191 2 года назад
Allah akuzidishie kaka etu tunakupnda sna
@josaphatjames1367
@josaphatjames1367 2 года назад
My god be with you bro🙏🙏
@254cybercafe2
@254cybercafe2 Год назад
GOD
@hassanatihamisi1534
@hassanatihamisi1534 2 года назад
Indeed AllhuAkbar
@ahmedjuma7113
@ahmedjuma7113 2 года назад
Allahu Akbar
@raphaelkuya
@raphaelkuya Год назад
Mashallah may God bless you abundantly with the good work you do.
@ramadhankondo4643
@ramadhankondo4643 2 года назад
Kuongezea Jamal kunguru wana hadi mahakama ya kutatua kesi zao., Ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora Katika Uumbaji.
@rinirietransfomaorenge4309
@rinirietransfomaorenge4309 2 года назад
Marekani Kusini nawapata mbashara Prof.Jamal can't miss this
@mahabaclassictwentyseven27mjeu
@mahabaclassictwentyseven27mjeu 2 года назад
😂😂😂 hili swala la kunguru kukukariri sura hilo nikwel kbsa leo maneno yko yamenikumbusha mbali n kuamin kwel kunguru ni ana akili maan nilipokuwa naenda shule kipind hicho nilikuwa napenda cn kupiga kunguru bc mpk wakanikariri kila nikipita katik hilo eneo lazima kunguru wanifate na kunipigia kelele ya milio yao mpk nikamuwa kubadilisha njia maan wik nzim kila nikipita lazima wanipigie kelele na kunifata
@hajiay4751
@hajiay4751 2 года назад
😅😅😅😅
@jamalsuleiman4093
@jamalsuleiman4093 2 года назад
Nakubali Wajina
@MotheprinceMohamedtualib-qk6bw
@MotheprinceMohamedtualib-qk6bw 6 месяцев назад
❤assani mwamed nankubali jamali
@godloveemanuel1417
@godloveemanuel1417 2 года назад
Dah tunajifunza mengi🔥🙏
@deborasajilo1205
@deborasajilo1205 2 года назад
ni kweli jeuri paka
@najmamwanga4125
@najmamwanga4125 Год назад
Upo vzury sana nakukubali professor ur good interpreter....💯💯
@aloycembener6530
@aloycembener6530 2 года назад
Mr creative eye Jamal🔥🔥
@brunoh_bx
@brunoh_bx 2 года назад
Kaka tuletee na story ya Marcus Garvey, hongera sana kwa kazi👏👏👏
@dogozingo7121
@dogozingo7121 2 года назад
leo nmekubal kazi
@kennedykaira9696
@kennedykaira9696 2 года назад
Kazi nzuri Sana kutoka lusaka Zambia
@alindingo1382
@alindingo1382 2 года назад
The story book ibaki milele....,,,
@aloycesteven5998
@aloycesteven5998 2 года назад
The best story Teller
@warlie
@warlie 2 года назад
Jamal April,.napenda kazi yako
@sheillar07
@sheillar07 10 месяцев назад
Na katika umbo lenu na katika wanyama alio watawanya zimo Ishara kwa watu wenye yakini. Qur’an 45:04
@hamadiayossy190
@hamadiayossy190 2 года назад
Nakukubali sana kaka,
@ousmanetaratibu3922
@ousmanetaratibu3922 2 года назад
Respect bro Dubaï twakupata vizuri
@benadethamwenda4006
@benadethamwenda4006 10 месяцев назад
Mungu akupe maisha marefu.
@mustafarbacardaruquia7330
@mustafarbacardaruquia7330 2 года назад
Obrigado teacher Jamal
@salsashmomy
@salsashmomy 2 года назад
Professor jamal April 💥April Boy
Далее
Mortal Combat (Full Episode) | Animal Fight Night
44:25
Китайка Шрек поймал Зайца😂😆
00:20
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
The lightweights ended Round One with a BANG 💪
00:10
Orodha ya MATAJIRI 10 Tanzania ni hii
9:18
Просмотров 614 тыс.
The Story Book: Watu wenye uwezo Usio wa Kibinadamu.
31:02
Китайка Шрек поймал Зайца😂😆
00:20