Тёмный

KIFO CHA MANDOJO JESHI LA POLISI LIMETOA TAARIFA RASMI/ MTU MMOJA ANASHILIWA 

Uhondo TV
Подписаться 600 тыс.
Просмотров 24 тыс.
0% 0

#UhondoTV #Uhondo

Опубликовано:

 

9 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 50   
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 28 дней назад
Huyu polisi anasoma kama amelewa hata haelewi Nonsens 😢 Anasoma kama mtoto wa darasa la kwanza😢
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 28 дней назад
Ulimpeleka shule wewe au anavyosoma haeleweki mbona nyie ngedele mnatusumbua sana baada ya kuongea cha maana unaponda ripoti
@shabanikimeru8409
@shabanikimeru8409 28 дней назад
Yeye kaandaliwa ripot aisome sio Kaz yake uyo Camishna kuwa na adabu usilopoke ovyo
@FintanFelix-z6c
@FintanFelix-z6c 28 дней назад
Ndo tz lakini ikikutwa taili yagari kipala au Aina bima utakiona chamtema kuni
@FintanFelix-z6c
@FintanFelix-z6c 28 дней назад
Sasa Maelezo gani hata ayaeleweki
@shabanikimeru8409
@shabanikimeru8409 28 дней назад
Uchunguzi gani Tena wakat inajulikana kafa kwa kupigwa
@mtz5582
@mtz5582 2 дня назад
Embu komaa kidogo kiupeo.Mambo ya polisi hayaendi hivyo
@TonyMasterog
@TonyMasterog 28 дней назад
😢😢😢😢😢
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 28 дней назад
Hapa kupatiwa mafunzo ya utangazaji ni muhimu.
@VitalisMmassi-oh4jb
@VitalisMmassi-oh4jb 28 дней назад
Asome mwingine aleweki
@christinaalexander1213
@christinaalexander1213 28 дней назад
Walimdhibiti ,ameiba?
@jeremiahmbena4644
@jeremiahmbena4644 28 дней назад
Mbona nyinyi polici mnawakamata watu amuogopi munga?
@PrimsSilayo
@PrimsSilayo 26 дней назад
Kwakweli inauma sana😢😢😢
@user-sj1rf8ij7f
@user-sj1rf8ij7f 28 дней назад
Duuuh! Ni mimi sijaelewa au afande ajaeleweka😂
@GodfreyMwendawila-ff7on
@GodfreyMwendawila-ff7on 28 дней назад
Sio kwamba hujaelewa ndo ilivo Kuna jambo ndani yake, baada ya kumkuta ni nini kilifuata slipigwa au ilikuwaje ndo utajua selikali na dini zetu ni biashara tu ndo inamata
@leokamil6284
@leokamil6284 28 дней назад
​@@GodfreyMwendawila-ff7oninasemekana yule huchanganyikiwa kwa hivyo inaelekea alipigwa sana na hatujui aliyempiga ni nani ?
@simonbundala6382
@simonbundala6382 28 дней назад
Taarifa hii hata sijaielewa kabisa.
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l 26 дней назад
Ok kafa kanisan kuna hatua gani.
@farijalakhalid5558
@farijalakhalid5558 28 дней назад
Unga
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 27 дней назад
Haki itendeke kwa hote wario usika kumpga mbaka kufa
@JosephMokunda
@JosephMokunda 26 дней назад
Cjaelewa kitu
@user-zf3rj9bu4t
@user-zf3rj9bu4t 28 дней назад
Kama alijifungia kwny banda la Mbwa kanisani sheria sizipo Jaman hao waumini kwanini kujichukulia sheria za kumuua Mtu kanisani Wnyw ndo Wahukumu wa haki! Ole Wao Maana Muhukumu wa haki yupo asinzii wala halali
@JULIANAMAGANGA-g4j
@JULIANAMAGANGA-g4j 28 дней назад
Hapana😊
@anoldkayombo2541
@anoldkayombo2541 28 дней назад
Uwo ni wongo bana
@sabatojoshwa6684
@sabatojoshwa6684 11 дней назад
Mpumbavu
@user-cv4jb1bm6i
@user-cv4jb1bm6i 28 дней назад
Daaaaah asa kama unamuhisi mtu si ita polisi mnapoteza ndugu zetu kifara sana
@leokamil6284
@leokamil6284 28 дней назад
Hata wao wakiitwa unadhani ni wema ?ndio kwanza wengine wanampokea mtu kwa mateke na kipigo ili aseme hawatambui hata mwenye matatizo ya akili au chochote ni kipigo tu busara kwao ziro.Kuna siku nilikuwa kituo fulani cha Polisi akapita kijana na baiskeli bila kujua walikua wanashusha bendera mda huo .Mungu tu nilikuwa hapo nikamzomea huyo Polisi alimuita huyo kijana alimpiga kofi moja mpaka chini akaanguka akamleta kituoni akilia na kuomba msamaha akavuta droo yule Askari akatoa bangi akataka kumsingizia yule kijana. Nikasema kwa hasira mimi nitatoka hadharani kusema ukweli usimuonee ndio akaachiwa. Ninashangaa sana wakisema na kuwasifia hawa jamaa
@Upendogospelchoir
@Upendogospelchoir 28 дней назад
Huyu ni polisi kweli ?
@ericamkwena7736
@ericamkwena7736 26 дней назад
Alienda kuimba vyombo vya mziki kanisani
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 27 дней назад
Vp mumshikirie mrinzi tu moja hao waumin wakowap wakamatwe wote wario muhuwa tz watu wamezoeya kuchukua sheria mkonon hii si sawa
@Victor-rb8yc
@Victor-rb8yc 28 дней назад
UKUMA
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 28 дней назад
Sasa mlinzi alishirikiana na waumini kumdhibiti mbona ameshikiliwa mlinzi pekee..
@MagrethCharles-t5i
@MagrethCharles-t5i 28 дней назад
Asome mwingine Hilo karatasi
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 28 дней назад
Kwani alikuwa mteja au?
@asteriashios1852
@asteriashios1852 28 дней назад
Police hapana mmekuwa tishio nchini badala ya kulinda mnaua
@rahjah5882
@rahjah5882 28 дней назад
Mandojo hakuwa mwizi
@leokamil6284
@leokamil6284 28 дней назад
Wanasema huwa akinywa anapatwa na matatizo ya kichwa kuchanganyikiwa R.I.P Mandojo .Wao walipomuona kwa nini wasiite Polisi?ati kanisani imekuwa tena sehemu ya mauaji
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 28 дней назад
Jamani kwenye banda la mbwa hata wewe ukimkuta mtu kwenye banda la mbwa utamuelewa kweli!
@user-ym5ko9ov2o
@user-ym5ko9ov2o 26 дней назад
😅😅😅
@SAIDIMUKSIN-iy2op
@SAIDIMUKSIN-iy2op 28 дней назад
Uyu afande ata kuwa mwiraq
@MBESANATURALPRODUCTS-s5y
@MBESANATURALPRODUCTS-s5y 28 дней назад
Incomplete information
@user-fx6zr6ij5y
@user-fx6zr6ij5y 28 дней назад
Hukiona NCHI mtu anaiba kuku alafu anachomwa moto na watu wanafurahia na police wanaona sawa hiyo NCHI kimbia haraka sana
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 28 дней назад
Wewe unasubiri nini panya wewe na hata kiswahili usitumie hupunguzi wala huongezi kitu ukiwepo Tanzania na kama upo kuja amisha ukoo wako wote uende unapoona panakufaa.
@KhairatBundala
@KhairatBundala 26 дней назад
Huyu kazi yake ni mwizi wa kuku kwann asapoti wasichomwe moto
@SaimoniKamwaki
@SaimoniKamwaki 28 дней назад
Afande Hana kosa. Waliomuua ndio akili hawana. Mtu kajifungia kwenye Banda angethitiwa Kwanza, muda huo akiojiwa. Ila ukimkumbuka mwenyezi baada ya kuwa umetenda dhambi zako! Mfano kulewa,kuvuta bangi ni hatari zaidi kuliko ukiwa hajaunamia vilevi. MUNGU amuweke salama man dojo hakuwa na skendo kabisaaaa. Basi tena ndio yashamfikia bado wewe na mm.
@MagrethCharles-t5i
@MagrethCharles-t5i 28 дней назад
Maelezo yako hayajitosheleza
@samsonhaule3647
@samsonhaule3647 28 дней назад
Sasa nayeye mandojo kwanini kwanini Ajifungie kwenye chumba au Alikuwa Amelewa?
@user-ym5ko9ov2o
@user-ym5ko9ov2o 26 дней назад
Mi ata sielewi kwa kweli si pombe
@Nodrikeys
@Nodrikeys 26 дней назад
inawezekana aliiba huyoo..
@MagrethCharles-t5i
@MagrethCharles-t5i 28 дней назад
Asome mwingine Hilo karatisi
Далее
Они захватят этот мир🗿
00:48
Просмотров 801 тыс.
A-Z MAZISHI YA MANDOJO
5:13
Просмотров 3,1 тыс.
Они захватят этот мир🗿
00:48
Просмотров 801 тыс.