Тёмный

KIGOGO POLISI MWANAMKE ADAIWA KUJARIBU KUMUUA MUME WAKE KWA KUMTUMIA MAJAMBAZI AKIINGIA NYUMBANI... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 83 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 252   
@jacksonjasson8823
@jacksonjasson8823 9 месяцев назад
Mungu akulinde
@StellaRemi
@StellaRemi 9 месяцев назад
Mbona mmemficha sura wakati ingelikua ni raia wa kawaida mweka hazarani, kwani yeye ni nani? Lakini mjue mungu hafichiwi
@thehopetv2930
@thehopetv2930 9 месяцев назад
Kwakua watu wamemkosa MUNGU ndio maana unyama unaendelea kila siku
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 9 месяцев назад
Hiyo ndio shida ya 80 percent ya wanawake tanzania, pakiwa mafanikio hadi pawe mauaji...
@lordymawoiya5818
@lordymawoiya5818 9 месяцев назад
Watu wa kanda ya c huwa wanalindwa ndiyo zababu alikuambia utajuwa ni wa huko no kesi
@Kabwela776
@Kabwela776 9 месяцев назад
Inakuwaje huyo police kuendelea kufanya kazi na uchunguzi ni muda gani wakati kuna mtu amekiri ametumwa na messages zimekutwa kwa kaka wa huyo mwanamke . Hapo police wanalindana maana askari wa Tanzania ni waharifu na majambazi
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 9 месяцев назад
Hakuna namna haki ifanyike Dunia ya kimtandao huwezi zuia
@zawadijuma9681
@zawadijuma9681 7 месяцев назад
Duuu arusha bwan😢😢
@edisonpeter3894
@edisonpeter3894 9 месяцев назад
Huyo ndiyo mwanamke. Kiumbe hatari xana
@SamoniMwatile
@SamoniMwatile 9 месяцев назад
Uchunguz Gani mnataka kuufanya nyie kizaz Cha nyoka , kenge wenu huyo mwenye roho mbaya kuliko hata lusifa mwenyewe , xaxa hapo mnataka muipotezee majambazi nyie
@marykennedymarwa1641
@marykennedymarwa1641 9 месяцев назад
Very sad, 3 milioni kumtoa mtu roho ???!!!!! Ee mwenyezi mungu dunia imeisha . Pole sana mzee
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 9 месяцев назад
Mungu anawaona unyama wenu
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 8 месяцев назад
😮WATANGANYIKA WATU WABAYA SANA HAWANA IMANI .SHIIIIIIIIT
@issamatola2031
@issamatola2031 9 месяцев назад
Kila siku naawambia police ndio wanafuga wezi na majambaz wanajua walipo
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 9 месяцев назад
Kabisa
@UmmyUkasha
@UmmyUkasha 9 месяцев назад
Kabisa
@ruthjapheth174
@ruthjapheth174 9 месяцев назад
We mwanamke huna.hata hofu ya Mungu Mungu anakuonaa
@GodwinMaphie
@GodwinMaphie 9 месяцев назад
Duuuh
@bornifacecharles2
@bornifacecharles2 8 месяцев назад
Hapa hakuna vha uchunguzi akamtwe akae ndani ndo uchunguzi uendelee mambo gani hayo.
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 9 месяцев назад
Hiyo Mikoa mmmh
@AmedeusMbanda-gh4rj
@AmedeusMbanda-gh4rj 9 месяцев назад
Baziyao wanawake wamekua mashetani,
@DatiusBurchard
@DatiusBurchard 9 месяцев назад
Eheee Wanawake mmetufikisha hapo kwel? Chukuen hatua Kal.
@aeneaakundaely8691
@aeneaakundaely8691 9 месяцев назад
ili jambo lifikishwe kwa waziri wa ulinzi uyu polic amekua changamoto pia kwa ata kwa jami
@shamslukumay2627
@shamslukumay2627 9 месяцев назад
Milioni 3 kianzio laki nne+ kuua mtu+polisi=majambazi wakarushwa hela sijui nataka kusemaje ila tutangulize utu na hofu ya mungu
@ZawadiMgeni-l6r
@ZawadiMgeni-l6r 9 месяцев назад
Naomba sheria ifuate mkondo wake
@AminaRamadhani-gx8yr
@AminaRamadhani-gx8yr 9 месяцев назад
Amna Cha kigogo Wala asikari apo Sheria ifate mkondo ,
@zainabwage4658
@zainabwage4658 9 месяцев назад
Tamaa mbaya kwer
@Salimdid
@Salimdid 9 месяцев назад
Wafungwe maisha
@glorymsopa4221
@glorymsopa4221 9 месяцев назад
Viongozi ndio anasababisha Mauji tna haswa viongozi wa serekali
@beatricefredilick1646
@beatricefredilick1646 9 месяцев назад
Kama ni kweli amepoteza sifa za kuwa mtumishi was umma
@roswitaexavery3378
@roswitaexavery3378 9 месяцев назад
Dawa yamoto nimoto wenyewe nae aonje utamu wakukatwakatwa napanga siwanaona raha akatwe yeye nawewe mwanaume ondoka hapo hakufai huyo mungu niwako ndomaana uko hai hataaombe msamha usimsikilize
@roseshirima9365
@roseshirima9365 9 месяцев назад
Haki itendeke
@jackbillionaire
@jackbillionaire 9 месяцев назад
Njaa mbaya sana
@ChristinaMaphie-rj3ns
@ChristinaMaphie-rj3ns 9 месяцев назад
Hao si wakuachs kabisa
@hamadimgaza9351
@hamadimgaza9351 9 месяцев назад
Jeshi letu limejaa wahuni wengi
@ErickKilipamwambu
@ErickKilipamwambu 9 месяцев назад
Huyo mwanamke mnyama kweli
@josephatemmanuel458
@josephatemmanuel458 9 месяцев назад
Mzee ulikuwa wapi kabla ya matukio kutoakea? Acha uongo we mtu mzima,kwani kunahatua zingine za kisheria mbona hukulipoti?
@MgoriHc
@MgoriHc 9 месяцев назад
Kuna kitu hakipo sawa
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 9 месяцев назад
Kanda ya ziwa,wacha yanapoozwa,kwnn hanna baunsa na anatembea bila sime anajijua Yuko katka hatari police watakusaidia,saa ngapi,unategemea miujiza ya Nabii MUSSA,haipo,jipange, tafuta baunsaa,na ma sime,
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 2 месяца назад
Hili jeshi la polisi 😢😢😢😢
@BeatriceSaid
@BeatriceSaid 9 месяцев назад
Huyo mwanamke ni kichaa afungwe maisha
@AsiaRajab-c5u
@AsiaRajab-c5u 9 месяцев назад
Anatakiwa achukuliwe hatua Kali kabsa wasiangalie uwaskali wake kabsa
@OnesmoAndrea-j9u
@OnesmoAndrea-j9u 9 месяцев назад
Sasa siakamatwe muuaji huyo mbona wanawake mnawabeba Sana hivi ingekua ni mwanaume mngekua mnambembeleza
@elizamartin1023
@elizamartin1023 9 месяцев назад
Afunwe maisha huyo.mke ni muuwaji kwani alivyokubali kuolewa si alikujua kuwa mlevi.
@asteriashios1852
@asteriashios1852 9 месяцев назад
Milioni 3 umuue mwenzi wako dah unabaki na nani? Huyo mama afai si wamuue huyo mama tena ni askari duh ndo police wetu jamani msioe wanawake police mtauliwa akili kichwani
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft 9 месяцев назад
hiyo nyumba tu inatisha 😢
@HuseniMsumba
@HuseniMsumba 9 месяцев назад
DUU!?😭😭😭TUMEKWISHA TENA ETI POLICE?!!!!,
@leokamil6284
@leokamil6284 9 месяцев назад
Tumebaki ubumilivu lakini kuchoka tumechoka mda mrefu
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 9 месяцев назад
😢
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 9 месяцев назад
Apo ndo tunashangaa, uchunguzi gani wakati maerezo Yako wazi
@rogersdavis3058
@rogersdavis3058 9 месяцев назад
🤣 kapata kanyota juzi tu tyr ameanza kukodi watu
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 8 месяцев назад
MILIONI TATU SI KITU KWA KUZUDHULUMU NAFSI YA WATU .WATANGANYIKA NJAA SANA 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@jamilahsakina1561
@jamilahsakina1561 9 месяцев назад
Ila jamani mume wako baba wa watoto wako Aise Mungu ninusuru siwezi kumuuwa mume wangu mpz Aise kama mmeshindana achaneni tu na ukiachwa achika🙌🙌🙌🙌😝😝😝😝
@azzaalhabsi1505
@azzaalhabsi1505 9 месяцев назад
Pole sana baba.mungu aendelee kumlinda na kumnusuru mwanao kwa mengine na mengine.tunaiomba sheria ifate mkondo wake.huyo mama afunguliwe kesi ya mauwaji japo ni police hayuko juu ya sheria.
@judymarcus6445
@judymarcus6445 9 месяцев назад
aende jela kwanza malimali zinatafutwa tuu pumbavu zake hutu mama
@TedyChiguru-sm1nr
@TedyChiguru-sm1nr 9 месяцев назад
Kama mwanaume amekushnda SI unaachana name jaman Kwa nn umuue
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 9 месяцев назад
Hongera sana Baba Kwa kumsaidia mwanao
@RobertMachenga-tz3re
@RobertMachenga-tz3re 9 месяцев назад
Hawa woote Ni watu àmbao walikuwa Ni waharifu sasa walichookuwa wanakitafuta Ni kuuana tu ila huyu mwanaume bado mungu anampenda hapo Cha muhimu waachane tu na hiyo Askari wa like afukuzwe kazi hafai Tena kwa kazi ya polisi.
@godwimmkolomi8988
@godwimmkolomi8988 9 месяцев назад
Haki iliyotumika katika shauli la mzee aliebambikiwa pembe la ndovu na askali waliofungwa miaka 20 ndio itumike ktk kesi hii pia Dada uyu mkaguzi wa police anatuhumiwa kutuma watu wamuue mumewe.ametumia.vibaya taaluma yake na utu wake vibaya kutoa pesa kwa wayu waue mtu nu uuaji pia wa makusudi sheria ifate mkondo wake
@LeahMagembe
@LeahMagembe 9 месяцев назад
Anataka Mali uyo abak nayo mwenyewe nyooo
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 9 месяцев назад
Askari yoyote ni muuaji na jambazi na muuaji,ukimuoa au kuolewa naye una hasara.
@mabulajoel1967
@mabulajoel1967 9 месяцев назад
Si wote maaskari wengine ni majambazi hali wamesajiliwa kuwa askari polisi na wanavaa sare za polisi kumbe majambazi akiwemo huyo mama na maaskari wanao mtetea.
@twahaissack7887
@twahaissack7887 9 месяцев назад
Unalalaa n mwanamkeee anakuuuaaa
@mwijagenelsoni357
@mwijagenelsoni357 9 месяцев назад
Hapa chanzo ni kusalitiana kuna mmoja kashagawa Uchi anaona mwenzie hafai tena anambana
@shakirakalumuna6108
@shakirakalumuna6108 9 месяцев назад
Si bora sngeondoka kuliko kummuua kijana wa watu . Kaozee jera
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 9 месяцев назад
😢
@NoelaJohn-p5d
@NoelaJohn-p5d 9 месяцев назад
Wew mwanamk wew unayejuw uchung wa leba kutak kumuuw mtot wawat pia kak wawat mtafutaj kajitaid kakujengea nyumb nzur alafu unatak kumuuw ungefaid nin sasa na hao watot wangekuw wakubw ungesem bab yen kafa kumb muiwaj ni wew daah hiy dam bado utalip
@kenonpeter3692
@kenonpeter3692 9 месяцев назад
Nikweli
@judymarcus6445
@judymarcus6445 9 месяцев назад
cjui tunaelekea wapi jamani ndio hamna siluhu zaid ya kumpoteza kabisa mwenza wako afu wanao waishi bila baba aende tuu gererezani na kazi hana😮
@jackbillionaire
@jackbillionaire 9 месяцев назад
Afutwe kazi na afungwe maisha.. Ni mwuhuwaji
@Elfordobokegillo-ne4jo
@Elfordobokegillo-ne4jo 9 месяцев назад
Awalete na wale wauaji walioshindwana kutoka dar.
@EsterbernardoVumo-kn2xv
@EsterbernardoVumo-kn2xv 9 месяцев назад
Mungu Ni Mwema Ameyaweka Wazi Mambo Hayo.
@rukianyakawaga6465
@rukianyakawaga6465 9 месяцев назад
Kweli ndoa ngumu jamani, unaishi na muuaji ndani
@josephinegravasiano8860
@josephinegravasiano8860 9 месяцев назад
Jaman unyama umezidi wanawake, kwa nn lkn tumwogope Mungu .
@MeemOman-p2l
@MeemOman-p2l 9 месяцев назад
HUYO ASIKARI. AKAMATWE. MAMA. SAMIA. RAIS. MAMA. SAMIA INGILIA. KATI.
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 9 месяцев назад
Kama ni mapenzi busara itawale tusitoane roho tuchepuke kupooza jazba !
@Kabwela776
@Kabwela776 9 месяцев назад
Police ilitakiwa ivunjwe iundwe upya imejaa wauwaji wengi kwenye jeshi mfano huyo police muuwaji halafu wanalindana kuna watanzania wengi wasio Na hatia wanafia mikononi mwa police au wanaumizwa na kutiwa vilema vya kudumu
@mariamngoha639
@mariamngoha639 9 месяцев назад
Uchunguzi uchunguzi serikili yetu hii shida tupu
@jamesriwatuvana9561
@jamesriwatuvana9561 9 месяцев назад
Kwaiyo huyo polisi anawajua majambazi, du!
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 9 месяцев назад
Mm nilikataa siwezi kuoa askari polisi au mwanajeshi ni hatari ukikosea kidogo tu unachezea kichapo
@ototek8037
@ototek8037 9 месяцев назад
Kawakodi majambazi..kesho utasikia uhalifu umetokea na majambazi wanatafutwa pia awajulikani wanafanya upelelezi. Polisi ni majambazi na majambazi ndo polisi, yani amanai na usalama wa mali zetu wao ndo waamuzi.
@nuruurio8319
@nuruurio8319 9 месяцев назад
Af ukipeleka kesi polisi mpaka ela ndo inafanyiwa kazi na mshtakiwa akitoa ela zaid yako kesi inafutwa
@haikaelkiwia9705
@haikaelkiwia9705 9 месяцев назад
Wanasheria wasomi kama. Mwabukusi na Madeleka msaidieni kijana Daudi hawa polisi watalindana
@HawaOmary-bq7uc
@HawaOmary-bq7uc 9 месяцев назад
Duu kama mmechokana niheri mtengane
@idrisamakupula7211
@idrisamakupula7211 9 месяцев назад
Niko paleeeeee,hakuna hatau atayochukuliwa
@juliethmziray
@juliethmziray 9 месяцев назад
Ndoa ndoano😢
@benedictntilla6943
@benedictntilla6943 9 месяцев назад
Kama asipoangalis hakuna kesi hapo Wana tabia ya kulindana wauaji wote hao.
@yapukahassan
@yapukahassan 9 месяцев назад
Juzi juzi 2 m2 kaingiziwa chupa leo tna police
@fatmaabeid9668
@fatmaabeid9668 9 месяцев назад
Maaskari hawaaminiki Tanzania mmm😢
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan 9 месяцев назад
Wachaga mna nini jamani hapo ugomvi nimali tu
@GamaRacing123
@GamaRacing123 9 месяцев назад
mamamee yanii mtuu unakaa naee unachekaa naee kumbee mkatilii iviii
@sirielsamweli
@sirielsamweli 9 месяцев назад
Jamaniiii binamu yangu
@SilyvesterElisha
@SilyvesterElisha 9 месяцев назад
Kwanini umdhuru muache akiwa mzima kama ulivyomkuta
@noelarhobininestide5190
@noelarhobininestide5190 9 месяцев назад
huyo mkewe kigogo tumuone
@neemamwanga5447
@neemamwanga5447 9 месяцев назад
Wewe mpumbavu unayesema wamachame wanaua ukome mbuzi weww
@AishaSwalehe-c7d
@AishaSwalehe-c7d 9 месяцев назад
Mmmh
@ShafiRashidi-p7e
@ShafiRashidi-p7e 9 месяцев назад
Kaka hii inaitaji coment ya kistrabu kweri
@yonasimion3130
@yonasimion3130 9 месяцев назад
Askari wetu ni alshababu, wanaua Hadi waume zao
@judiththobias5132
@judiththobias5132 9 месяцев назад
Dhambiiiiiiiiii mweeeee
@haikaelkiwia9705
@haikaelkiwia9705 9 месяцев назад
Yaani hakuna kugawana mali hapa, ahumiwe haraka na ndugu zake wote wasionekane pale. Wahaya wanajilundika nyumbani kama makondoo, hovyo sana
@hanifamziray277
@hanifamziray277 9 месяцев назад
Duuu ana roho ngumu sn
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 9 месяцев назад
Mtihani na ikiwa kweli nifedheha kubwa viogozi mnayaona haya nifedheha kubwa inatakiwa uchunguzi ufanyike tena wa kina
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 9 месяцев назад
Huo uchunguzi chuguzeni latinistes mtuhumiwa musimuachnlie maana kashaiobaduwa yakeyakukaaj jela sasa ndio hilo kitamlamba
@allymahiyo2464
@allymahiyo2464 9 месяцев назад
Watu wa kasikazin ktk pesa wapo ladhi ata kutoa uhai wa mtu si wanake wala mwanaume wote hatar.
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 9 месяцев назад
Neno kigogo sijuagi hata matumizi yake au maana yake. Wakati KUNA wanawake wanaomba wanaume zao waishi kuna mke ana kodi wauwaji kuua mumewe. Mhm AMA KWELI
@mwanagwakyala3213
@mwanagwakyala3213 9 месяцев назад
Ana uhakika wa spea
@furahinimbise7969
@furahinimbise7969 9 месяцев назад
Kazi ya uaskari ni laana
@OfficialA83640
@OfficialA83640 9 месяцев назад
95% Police uhalifu mwingi wanachangia wao sasa kwann wazuie asitoe habari na kwann wasipaze sauti watu tukawa makini majumbani aisee Arusha mnaongoza kuuana miaka hii Astaghafilullah
@Abdul-p6r7p
@Abdul-p6r7p 9 месяцев назад
Ww unafirwa ndoukasema HIV
@nuruurio8319
@nuruurio8319 9 месяцев назад
Wanaofanya uhalifu siyo wazawa wa Arusha ni majinga mengine tu yanayokuja yanapatamani nanyanataka kumiliki mali watu wa arusha hatunaga tamaa wala
Далее
RAIS MWINYI AANDIKA HISTORIA SOKO LA MWANAKWEREKWE.
7:56