Тёмный

KIGOMA MWISHO RELI KUMENOGA:UMEME WA GRIDI YA TAIFA, MELI MPYA MBILI ZAJEGWA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 63   
@kassioothemiracle1688
@kassioothemiracle1688 2 года назад
Kama unaikubali kigoma like af pitia file langu usikilize magoma makali
@bellam.vyampi5528
@bellam.vyampi5528 Год назад
Kimsingii kabisaa mama samia suluhu umefanya kazi iliyotukuka mkoani kwetuu,,munguu akulinde sanaa.
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 2 года назад
Kigoma ni nyumbani toka 2011 mpaka leo 😀😀😀 I miss k.town
@magomakabanja480
@magomakabanja480 5 месяцев назад
Hio Ndio KIGOMA ya Mama Samia Sulhu Hassan
@hamzaswaibu9470
@hamzaswaibu9470 Год назад
Hayo ni mama samia acha unafiki siyo magufuri mlikuwa mnasema miradi haiwezi kuendelea leo nafsi zinawasuta mama endelea unayoyafanya kigoma tunayaona kazi iendeleee
@stanleylupogo8545
@stanleylupogo8545 2 года назад
Jamani nimepamiss nyumbani kigoma l love 💕 kigoma.
@jacksonrambiro1298
@jacksonrambiro1298 2 года назад
Good job somehow
@rajabrukonge580
@rajabrukonge580 2 года назад
Kiukweli Mhe. Rais Samia Katukumbuka sana wana Kigoma Mhe. Rais ampe afya njema sana Na Mhe. Doct. Mpango wanaupiga mwingi sana
@millhamissa7490
@millhamissa7490 2 года назад
Samia yupi huyo nawakati huo mladi aliuanza magu acheni ujinga ujinga usio faaa
@rajabukipara3008
@rajabukipara3008 2 года назад
@@millhamissa7490 we Msenge sa C ufate Uyo fala Mwenzako
@hamzaswaibu9470
@hamzaswaibu9470 Год назад
Sanaa tu alaafu hapa kuna watu eti magufuri
@hamzaswaibu9470
@hamzaswaibu9470 Год назад
@@millhamissa7490 Yuko wapi sasa nyinyi si mlidai miradi haiwezi kuendelea leo nafsi zina wasuta
@shomitz1885
@shomitz1885 2 года назад
Magu the best🙏🙏🙏 pumzika kwa amani
@abi-onlinetv4181
@abi-onlinetv4181 2 года назад
Yaani watu kama nyinyi niishie tu kusema Makalio yenu.
@abi-onlinetv4181
@abi-onlinetv4181 2 года назад
Basi mfate huyo magufuri wenu huko alipo.
@bellam.vyampi5528
@bellam.vyampi5528 Год назад
Magufuri hakuna alicholeta kigoma,,,mpeni maua yake Samia suluhu jamanii.
@Gregoiresidehustle
@Gregoiresidehustle 2 года назад
uwanja wetu wa ndege bado ni mbaya. y all have to do better I was back in 2021 and it wasn't all of that, asanteni for trying tho. kigoma deserve better
@cidewashington670
@cidewashington670 2 года назад
Pumzika kwa amani mtumishi wetu MAGUFULI uzalendo wako tuliuona
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 2 года назад
Waooo nyumbani waooooo
@uzungupoint
@uzungupoint 2 года назад
Waha tujuane hapa👇
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
Wana Kigoma, boresheni majengo mabovu ya Ujiji! Jengeni Stendi nzuri ya mabasi pia! Msisahau hospitali ya rufaa, International Airport na Chuo kikuu!
@uzungupoint
@uzungupoint 2 года назад
@@j.c.maxima816 Hata Sasa tunamshukuru Hayati JPM kwa maana angalau alionyesha nia ya kuendeleza mkoa wetu, japo kwenye SGR aliweka umimi kidogo. Ila mkoa wetu ni center ya biashara kubwa kati ya Nchi za maziwa makuu ila ulitelekezwa na serikali. Tunachoamimi kila hatua dua, kwanza waha kwa sasa tunapiga kazi sana mikoani na tunarudisha fadhila nyumbani, mdogo mdogo mwendo wa Kobe kila kitu kitakuwa sawa. Ahsante 🤝
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
@@uzungupoint 😃😃😃 Hongereni sana, ndugu zetu Waha, "nyumbani kumenoga" ! Jitahidini pia kuwa ambitious, achaneni na bajaji, mnao uwezo wa kununua magari!!! Mkoa wenu lazima uwe na hadhi inaostahili! 👍👏👏👏
@uzungupoint
@uzungupoint 2 года назад
@@j.c.maxima816 Haha shukrani mtani.🤝
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 2 года назад
WAHA MPO...... Wabishi sana mnagomea barabara wakati mnajengewa
@mkemiamagege8477
@mkemiamagege8477 2 года назад
Sio umeme wa grade ya Taifa. Ni umeme wa sora za Magufuli
@abi-onlinetv4181
@abi-onlinetv4181 2 года назад
Eti magufuri. Akili zenu nyie zipo kwenye makalio yenu
@haroldtarimo3115
@haroldtarimo3115 2 года назад
Sora za magufuli au solar Na huyo magufuli alizipata wapi sijui
@hamzaswaibu9470
@hamzaswaibu9470 Год назад
Aliyekwambia sola za magufuri nani wakati alikuwa anazipiga marufuku sola zisifanye kazi leo mama samia anaifungua kigoma mnaanza kujipendekeza na huyo magufuri wenu
@bellam.vyampi5528
@bellam.vyampi5528 Год назад
Mfateni huyo magufuri wenu aliko,si aliwaahidi atakua kiongonzi ata akifa.
@amanlenatus9067
@amanlenatus9067 2 года назад
R.I.P MAGUFURI
@twalibubiza8161
@twalibubiza8161 2 года назад
Mm na myaka kumi nne sijafka hme majameni
@onesmocharles3223
@onesmocharles3223 2 года назад
Kigoma inapendeza
@iboibo2989
@iboibo2989 2 года назад
HOME SWEETY HOME🥰🥰🥰❤❤❤💚💛💖💘
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 года назад
YAANI LIEMBA HAIFANYI KAZI?. JAMAANI.. HIYO PORT ILIBIDI WAZUNGU WAENDELEE KUSHIRIKISHWA KAMA ZAMANI ENZI ZA NORAD. NYINYI VIONGIZI WA KIAFRICA MNA MANENO MENGIIII, VITENDO HAKUNA. TUNATAKA MATENDOOOOOO, SIYO BLAA,BLAA ZENU ZISIZO NA MWISHO.
@fadhilikaphizi7772
@fadhilikaphizi7772 2 года назад
Safiiiiiiii saaaan mara 200
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye Год назад
Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa kigoma shida ya mkoa wa kigoma ni mashamba ya kulima ni shida hakuna mashamba utatusaidiaje tupate mashamba ya kulima
@januaryyolamu4069
@januaryyolamu4069 2 года назад
Sweet home
@leilahasani3118
@leilahasani3118 2 года назад
Sxa wtu million mbili na point kumbe yakaribia kuwa sehemu ya kufanya investment zakutosha na zauhakika
@alexbenedict5378
@alexbenedict5378 2 года назад
Duh
@vedastusmalimi5176
@vedastusmalimi5176 2 года назад
Swaga nyingi kuliki utekelezaji
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 2 года назад
WAHA ... manatatizo GANI lakini
@mgasaemanuel53
@mgasaemanuel53 2 года назад
kasulu Nyumbani
@josephmalik7780
@josephmalik7780 2 года назад
Pongezi wana wa kigoma👏👏👏 wangapi waliskia hii 👇👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-KgvKJ0gI_Js.html
@mlandagodfrey121
@mlandagodfrey121 2 года назад
Tatizo ni matukio Kila kukicha sinaga ndoto za kufika huko🥴🥴🥴
@ObadiaSanga-f7t
@ObadiaSanga-f7t Год назад
Apo nyumban kumenoga yaan so p
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 года назад
Changamoto ni kubwa sana ujenzi wa miundo mbinu na huduma za kijamii haziendani na ongezeko kubwa la watu watu wanazaana kama panya, na hili linazidi kuleta umasikini mkubwa kwenye jamii
@millhamissa7490
@millhamissa7490 2 года назад
Nawewe ukiwemo mwenye kiwanda cha hizo mbegu za panya msiyu wewe
@andrewkalubi3524
@andrewkalubi3524 2 года назад
acha ujinga ww unafananisha uzaaji wa panya na binadam
@abdallahsuleimani7416
@abdallahsuleimani7416 2 года назад
Watu wangepanga uzazi hata wewe usingezaliwa
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 года назад
@@abdallahsuleimani7416 kwa hiyo mnataka kuzaliana tu kama panya ndio maana umasikini sana Afrika hususani nchi ya Mavi kunuka Tanzania , sasa nini maana ya kuzaa watoto wengi wakati mtu masikini tu
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 года назад
@@andrewkalubi3524 fanyeni uzazi wa mpango kuondoa umasikini unafikiri kwa nini kila siku mnajenga madarasa sababu watu wanazaa kama panya
Далее
TAZAMA MUONEKANO MPYA WA MELI YA MV - VICTORIA
4:15
Просмотров 26 тыс.
This is Kigoma Tanzania 2024. Things have changed
20:19
Israeli Army Special Forces
1:00:36
Просмотров 531 тыс.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 6 млн
MWANAFUNZI ANAKATA KIUNO KAMA FENI KIBIRIZI KIGOMA
6:48