Maelezo yako hayako fasaha yanazalisha masuali mengi na kujirudia rudia gharama zimepatikanaje? Wakati hata ujenzi haujasnza, inaonekana kama umevamia michapo
ndio maana mashagala wanaplkwa shambani Waka Kate mitende ili ikajengewe meli upo chonjo bro 😂ladha wa fanye ukarbati w meli y jangwa n siyo y kwenye maji juu uarabuni sehemu kubwa n jangwa 😢Tema unacho tafuna usitudanganye kazi nikula kiporo cha jaba n sup y bangi tu apo 🖖🙌
Kwanza iyo mitende wanakata bure? Au wewe ni gorikipa unadaka tu nakula? Alafu usiongee kitu kama huna ushaidi nacho uliwai kwenda uko ukaona kazi zao jinsi zinavyofanyika au ndo umeangalia tu hii video ndo ukaanza kuyawaza yako?😢
Mungu alimpa binadam uwezo wa kufanya vitus kama hivyo.Na siyo chamahajabu sana.Leo Kuna simu za Hatari mno ambazo za kuona haha kama Yukon mbali.Wazungu si kama watu weusi hapa.Tuendelee kushangaa tu!!?
.Ahahahah! Ama kwl dunia ni kijiji kwa maoni yangu ingelikimilika mapema iyo meli ilikusudi kizazi cha sasa kile burudani before kwenda janam alaf iyo meli yenyewe haizami
😂😂😂😂 inawezekana lakini hio mikono ya mbele isiguse maji kitendo cha kugusa maji ndio uwongo utapo anzia kwani meli huzuiwa na mawimbi makubwa kutokana na muundo wake. Kwa muundo huo ata chumbe haifiki hio.