Тёмный

KIJANA ALIYETOLEWA FUVU BAADA ya AJALI MBAYA - SASA ANAWEZA KUVAA NGUO na KULA - MAMA AFUNGUKA... 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 11 тыс.
50% 1

KIJANA ALIYETOLEWA FUVU BAADA ya AJALI MBAYA - SASA ANAWEZA KUVAA NGUO na KULA - MAMA AFUNGUKA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

7 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 43   
@globaltv_online
@globaltv_online 12 дней назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@mimahmimah1595
@mimahmimah1595 12 дней назад
Mama anaweza kuangalia watoto kumi kwa wakati mmoja lakin watoto kumi wakashindwa kumuangalia mama Mama mungu akutunze umuangalie mwanao mama ni mtu muhimu kwenye maisha yetu
@user-zl5mt6lk4n
@user-zl5mt6lk4n 13 дней назад
Dada Imelda .....mbali na kuwa hyo ni kazi yako lkn unafanya makubwa sana Hongera sana unawafarij sana watu
@mamasalhat
@mamasalhat 13 дней назад
Tunasaidiana sisi kwa sisi alhamdulillah 🤲🏽 hatutegemei selikali
@fatmamohammed8346
@fatmamohammed8346 12 дней назад
kabisaaaa mungubazidi kutusimsmia❤
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 13 дней назад
Rais Samia tunaomba mkono wako ktk hiyo familia
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 13 дней назад
Mashallah mashallah Mungu ni mwema sana
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 13 дней назад
Mungu ni mwema siku zote na Azidi kumuponya
@magrethmathayo2800
@magrethmathayo2800 12 дней назад
Imelda mtema mungu akubariki sana iko vizuri kwenye kazi Yako 🙏🙏🙏🙏
@strawberryrachii12-xh5bq
@strawberryrachii12-xh5bq 13 дней назад
Allah Akbar na hakika kalisimamia hili kwa kila shifaa basi yeye ni doctor mkubwa pole sana mama Mungu anajibu dua
@estakapufi7582
@estakapufi7582 13 дней назад
Hakika mungu ni mwema sana na atazidi kufanya uponyaji wake, na mungu awabariki wote walioguswa na awabariki pale walipo towa kwa kijana huyu🙏🙏
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 13 дней назад
Mungu wetu ni mkuu na wakusifiwa sana
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 12 дней назад
SubhanaAllahAllahuAkbaru
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 11 дней назад
Hakika mungu nimwema kila wakati 🙏🙏🙏
@user-dx1hz3ow7k
@user-dx1hz3ow7k 12 дней назад
Mashaallah kira mwenye subra yupo pamaoja na Allah Allah azidi kumpigania
@latifamubba100
@latifamubba100 13 дней назад
Allah akujaalie kher utakaa saw
@omanoman2044
@omanoman2044 13 дней назад
Inshaallah mwenyez mungu hata kuacha inallah maswabirina mwenye subura yuko na mwenyez mungu
@zainabwage4658
@zainabwage4658 13 дней назад
Ujafa ujaumbika
@khamisswalehe
@khamisswalehe 9 дней назад
nikweli kabisa kikubwa kumuomba sana allah atupe mwisho mwema
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 12 дней назад
Mashaallah ❤allah atazid kumuimarisha zaid inshallah 🤲🤲hussein kafanana na mamake haswa maradh yanaingia fasta kutoka taratibu ipo ck hussein atakuwa km zaman kwa uwezo wa Alllah inshallah 🤲🤲
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 13 дней назад
Ma Daktari nyie mnafanya kazi ya Mungu, Mungu pekee ndiye atawalipa. Mnamtumikia Mungu wa mbinguni. Mungu awabariki
@farajimustafa6423
@farajimustafa6423 9 дней назад
hongereni global tv
@DORADO748
@DORADO748 13 дней назад
Mungu anaweza kweli
@josephinejohn2752
@josephinejohn2752 13 дней назад
Jamani mungu ni mwema kivule gani iyo maana Mimi nipo kivule chakenge jamani
@NadhiraNa-vm5hs
@NadhiraNa-vm5hs 12 дней назад
Nikivule iyooyo yauko challenge frem kum uyoo alikuwa Boda wafrem kumi
@NadhiraNa-vm5hs
@NadhiraNa-vm5hs 12 дней назад
Dada MDA Sana iro tukio mungu nimwema
@hawakiza6067
@hawakiza6067 13 дней назад
Jamani vp kuhusu Sauda na mwanae
@SihabaAbdallah-li6dx
@SihabaAbdallah-li6dx 12 дней назад
Mashalla
@rachelsika9588
@rachelsika9588 13 дней назад
Mungu ni mwema, Amina
@zahraaisha6069
@zahraaisha6069 9 дней назад
ALLAH kareem🤲
@Japharyhh
@Japharyhh 13 дней назад
Andiko lisipo kamilika hata upigwe bomu hufi mungu anamakubwa namiujiza ya kustaajabisha love god
@user-cd8pq6bu8q
@user-cd8pq6bu8q 13 дней назад
❤❤
@christaoman8890
@christaoman8890 13 дней назад
Mungu ni mwema sana
@user-wp3hw5hd2e
@user-wp3hw5hd2e 13 дней назад
Mungu ni mwema
@abuubaya7614
@abuubaya7614 13 дней назад
Amiin
@user-by4xk2vx5w
@user-by4xk2vx5w 13 дней назад
♥️🙏
@DrLissu
@DrLissu 12 дней назад
Pole sana
@AshaMwamba
@AshaMwamba 12 дней назад
Kumbe mzurii uyu Kaka jamanii
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 13 дней назад
Subhanallah. Allah kabilah
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf 13 дней назад
Pole kijana
@DativaMbowe
@DativaMbowe 13 дней назад
Glory to God ❤❤❤😢
@LaurenciaKitauli-or8rr
@LaurenciaKitauli-or8rr 12 дней назад
Mungu yu mwema atapona
@SihabaAbdallah-li6dx
@SihabaAbdallah-li6dx 12 дней назад
Mashalla
Далее
شربت كل الماء؟ 🤣
00:31
Просмотров 12 млн
Разбудили Любимой Песней 😂
00:14