Тёмный
No video :(

RAIS SAMIA ATEUA 17 - NAPE na MAKAMBA WATENGULIWA - SILAA AMTOA WIZARA ya ARDHI - MKEKA WOTE HUU... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 84 тыс.
50% 1

RAIS SAMIA ATEUA 17 - NAPE na MAKAMBA WATENGULIWA - SILAA AMTOA WIZARA ya ARDHI - MKEKA WOTE HUU...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 373   
@globaltv_online
@globaltv_online Месяц назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@saidramadhan71
@saidramadhan71 Месяц назад
Mama tunakuomba tusikilize na sisi watu wako wapiga kula wako mama silaa mrudishe aridhi mama
@safiaothman5175
@safiaothman5175 Месяц назад
Kweli kabisa Jerry Slaa anafaa kuendelea kuwa Waziri wa Ardhi,Nyumba ma maendeleo ya makazi kwani ni mtetezi wa wantonge na kwa muda mfupi ametatua migogoro mbalimbali ya ardhi.
@johnmbise8996
@johnmbise8996 Месяц назад
Slaa hapa alikua sawa kabisa
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Месяц назад
Kabisaa 😢😢
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 Месяц назад
Kweli Kabisa Silaa arudishwe Aridh, Please mama yetu
@ShortyShorty-mr3jb
@ShortyShorty-mr3jb Месяц назад
Ni kweli kabisa ndg yangu
@majidimussa8678
@majidimussa8678 Месяц назад
Asante sana mama kwa kutuondoleo mwenye dharau kwa maboss wake walipa kodi pamoja na mpambe wake,ila kwa siraa Anafiti sana Ardhi
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv Месяц назад
Bro nape hongera umetumbuliwa kishujaa huku umetudokeza nini mnafanyaga kwenye kuiba kura mkisaidiana na mtaalam wa it January mk asante broo
@kamikazineema1957
@kamikazineema1957 Месяц назад
Slaa alisimama kwenye kazi yake vizuri👏👏👏mungu akumbuke kazi alio ifanya🙏🙏🙏from 🇷🇼
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 Месяц назад
Ni kweli amejitashidi kuwajibika vizuri kwenye wizara ya ardhi lakini serikali ya ccm ni janga kwa Taifa hili! Nakumbuka huyo Slaa ndiyo wale mawaziri waliyopewa uwaziri wa shukrani kwa kupigia kampeni mkataba wa bandari IGA na kuupitisha kuuza bandari za Tanganyika kwa mkataba wa milele! Bado kuna mawaziri na viongozi mizigo wengi kwenye serikali hii ya ccm! Dawa ni wananchi kujitambua na kuikataa ccm uchaguzi huu 2024/2025 kuanzia wenyeviti wa vitongoji, mitaa, vijiji, madiwani, wabunge na Rais msiwachague hao wauza rasilimali zetu! Mtajutia baadae! Ikatae ccm sasa!
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Месяц назад
Mungu ibarik Tanzania 🇹🇿, Mwenyezi mpe afya na umri mrefu Rais wetu
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf Месяц назад
Bado wizara ya pesa
@joycemmassi5046
@joycemmassi5046 Месяц назад
Big up mama Yetu umeona mbali sana na sasa bado Bodi ya Mazao huko Korosho/Ufuta n k
@FatnaMfinanga
@FatnaMfinanga Месяц назад
Mama umefanyavizuri kuwatenguwa nape namakamba ila kwasila kubadilisha wizara hapo hujawatendea watanzania haki sila alifiti ktk wizara hiyo alikuwa matumaini yawatanzania wengi kupata haki Yao waliyo zulumiwa alifiti sana ktk wizara Ile watanzania wameumia sana ila ww ndiye mkuu wanachi unajuwa unachokifanya kazi iyendelee mweshimiwa
@giovannir.restone182
@giovannir.restone182 Месяц назад
Slaa alifanya vizuri sana kwnye Wizara ya Ardhi
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o Месяц назад
Alianza kulemewa.
@DavidJosia
@DavidJosia Месяц назад
HAPA MAMA BADO WAWILI HUYO WA SUKARI NA WA NOTI WANATUNYONYA SANA MAMA
@LatifaJuma-z5w
@LatifaJuma-z5w Месяц назад
Mama Samia tunakuomba mama mrudishe silaha kwenye kazi yake ana fanya vizuri sana mama 😢😢
@user-hn7uv4yg2q
@user-hn7uv4yg2q Месяц назад
Mama mtoe Ridhiwani pls hana ufanisi, atoke haijarishi uchawa sio ishu
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Месяц назад
Anakula kwenu acha chuki nae anahaki ya kuchaguliwa
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 Месяц назад
Slaa imefanya vizuri mno kwenye wizari yake sasa ckikizeni wizara ya ardhi dhulma itarudi kama wamati wa yule mama
@MejjatScott-mf2vi
@MejjatScott-mf2vi Месяц назад
Mama umechelewa sana! Nape na Makamba ni poison kwako
@stevenjackson4985
@stevenjackson4985 Месяц назад
Sio kwake bali ni kwa nchi
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 Месяц назад
Kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu Muumba Mbinguna Ardhi. Ubarikiwe sana mpendwa raisi wetu kwa kuyaona hayo. Ila kwa upande wa Silaa kijana muadilifu alifaa sana ardhi. Mungu aeendelee kukupa maono yake Ubarikiwe sana❤
@nicodemashaggite8429
@nicodemashaggite8429 Месяц назад
Mwigulu hatufai Tz, mama ukitaka kujua fanya kama kuuliza waziri gani atoke!! Hana kibali kwa watu ila kwako tu mama
@RabihuHussein
@RabihuHussein Месяц назад
watu watammiss sana Mh Slaa! dah nape na makamba kutenguliwa si bure kuna donge nono linawajia kwaajili ya maandalizi muhimu huko mbele.
@user-uh3eg5cj2r
@user-uh3eg5cj2r Месяц назад
Umenena!!!
@raymondngajagu66
@raymondngajagu66 Месяц назад
Kauli zake alizotoa haukusikia Yanga ilichukua nafasi
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 Месяц назад
Umeongea neno nimekuelewa vizuri sana ndugu! Hawa wanawezakuwa wametolewa uwaziri lakini chini ya kapeti kuna yaliyojificha mengi! kadiri siku zinaenda yatajulikana tu! Hawa watu wamelalamikiwa sana na wananchi tangu mwanzo kuteuliwa kwao lakini wameachwa wamekula kwa urefu wa kamba kwanza wameshajilimbikizia vya kutosha ndiyo wanatolewa! Hapo bado siyo mwisho wa upigaji! Hawa mashetani nakumbuka hata jpm aliona hawafai akawatumbua! Bado kuna na wengine mizigo ndani ya serikali hii! Naamini kadiri muda unaenda Mungu atawaadhibu kadiri ya matendo yao! Ccm siyo ya kuendelea kuongoza Taifa hili tena!
@mohamedkazema6381
@mohamedkazema6381 Месяц назад
Apparently taking Slaa from Ardhi is a big mistake .
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari Месяц назад
I saw it coming in tz good people are not wanted who ever trying to do good is taken away , they use Nape mayhem to soften his Transfer ,
@nicolausngindo6712
@nicolausngindo6712 Месяц назад
Hongera sana Rais wetu kwa kazi nzuri sana
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 Месяц назад
Rais umekosea kumtoa slaa kwenye waziri wa ardhi sasa masikini watalia hawana mtetezi bora mrudishe mimi maoni yangu
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 Месяц назад
Mwigulu kwanini bado unamuaacha ama lenu moja
@abdul-rahimkadhi766
@abdul-rahimkadhi766 Месяц назад
Amekukosea nini!?
@raymondngajagu66
@raymondngajagu66 Месяц назад
​@@abdul-rahimkadhi766alitwambia tuhamia Burundi kauli hiyo sio ya kiongozi mwadilifu
@tato8979
@tato8979 Месяц назад
😂😂😂​@@raymondngajagu66
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 Месяц назад
😂😂😂😂
@stevenjackson4985
@stevenjackson4985 Месяц назад
Hiyo ni chuki binafsi. Mwigulu hana shida
@ME-kb8rk
@ME-kb8rk Месяц назад
Mama hongera kwa kuwatumbua Makamba na Nape, Maua yako kama yote!🌺🥀🌼🌷🏵🌸🌹 Jerry Silaa tafadhali mrudishe Ardhi Mama.... Mama vipi yule wa "ukishindwa maisha uhamie Burundi" siku yake lini Mama? Tunangoja kwa hamu!
@christinadominic980
@christinadominic980 Месяц назад
Hongera sana kaka Longo mungu akusimamie kwa kazi yako mpya
@AnaniaMhoja
@AnaniaMhoja Месяц назад
Mama mimi ni mtanzania mwadilifu kabisa, kwanza nikupongeze kwa kazi nzuri ya kuiongoza nchi yetu pili nikupe pole kwani kuna watu waliokuzunguka hawakupi ushirikiano sio kwa bahati mbaya ila ni kwa makusudi,mfano huwezi kuwa kiongozi halafu ukawa na kauli mbovu kiasi cha kuwafanya wananchi waichukie serikali,Mwigulu hafai,Chalamila hafai,Bashe hafai, hawa uliowatengua hakika umefanya matamanio ya watanzania wengi. Mungu akubariki Raisi wetu.
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o Месяц назад
BASHE ANAFAA SANA. NA ANAIJUA KAZI YAKE VIZURI.
@ME-kb8rk
@ME-kb8rk Месяц назад
BASHE ANAFAA SANA!!! SANA!!! ANAIJUA KAZI YAKE!
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Месяц назад
Huyu wa sukari?? Anafaa kwa lipi?​@@user-kr9xx8br4o
@boaziamos1224
@boaziamos1224 Месяц назад
Safi
@greenwellnsyukwe4729
@greenwellnsyukwe4729 Месяц назад
Mungu unisamehe Mm, Mwigulu simpendi kabisa kwa sababu anafanya mambo mengine haangalii khari halisi ya watanzania.
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Месяц назад
Anakula kwenu
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 Месяц назад
Hapo Samia sasa nimekuelewamo. Yaani kumtengua Nape umefanya kazi nzuri na inayo tukuka. Samia sasa umeweza kujitenga na viongozi wa hovyo. Ila napata shida sana na Makamba cjui ana shida gani kila mara lazima atenguliwe ama kubadilishwa position kila awamu. Mama wewe ndio unajua anyway. Kwa nape umefanya vyema.
@philipongenzatv
@philipongenzatv Месяц назад
Hujui tu kilichofanyika
@nicodemashaggite8429
@nicodemashaggite8429 Месяц назад
Hata mm sijaelewa ila kama ndivyo hivyo mama kaanua kutumikia wananchi Sasa rasmi But time will tell the truth​@@philipongenzatv
@AMENMUSHI-wt4li
@AMENMUSHI-wt4li Месяц назад
Mama Mungu kakuonyesha mwiba mwiba mwiba wa kutaka urais 2030 urais unatafutwa uondoke washike Bors umeshutuka kikulacho ki unguo mwako Cheka nao c wema kwako
@mungunipemwishomwema6737
@mungunipemwishomwema6737 Месяц назад
Big up my mommy ❤ U more and ever ,God be with u, I beg U 2 be my roll model
@Fundi12345
@Fundi12345 Месяц назад
Hapo sawa rais wangu bado mwigiru nnnnn
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 Месяц назад
Umeenda haki kumtumbua nape mnauya, huyu ni mhuni na mwizi wa kura zetu,
@britoMdemeka-eg6xj
@britoMdemeka-eg6xj Месяц назад
Kuna mchezo hapo siyo utumbuzi huo
@Nick16697
@Nick16697 Месяц назад
Wanaandaliwa hao 2925
@MartiniEnock-e2e
@MartiniEnock-e2e Месяц назад
Huyo nnape atarudishwa kwa kazi yake
@maikoyona-cm5xu
@maikoyona-cm5xu Месяц назад
💥💥
@user-tx6dh6ii3m
@user-tx6dh6ii3m Месяц назад
Nape na makamba hao wameandaliwa kwaajili ya uchaguzi hapo Kuna sniper na IT
@gkanyanda1173
@gkanyanda1173 Месяц назад
Uko sawa mh rais ...waropokaji.hao vilaza
@zulekhanassor6323
@zulekhanassor6323 Месяц назад
Ass Aleykum Wapiga kura hao wamefurahi saana inafaa wasikilizwe maahauri yao shukran Mh
@johnkmjema9727
@johnkmjema9727 Месяц назад
Bado Mmoja!!!
@simonchristian6319
@simonchristian6319 Месяц назад
Silaa Bora uje huku,mitandao wezi sana
@user-wl7kl3qw3t
@user-wl7kl3qw3t Месяц назад
Mama ahsante kwa kuliona hili.
@JaneChissawilo-dr7nn
@JaneChissawilo-dr7nn Месяц назад
MH. Rais Doctor Samia Suluhu Ninakushauri sana umuache Slaa kwenye ardhi aliyekushauri kumtoa Slaa kwenye ardhi ukakubali hujatenda haki kwa watanzania. Tunaomba umrudishe ndiyo itakuwa salama. Maana ndiyo kwanza alikuwa amechora ramani ya utendaji. Vinginevyo utaharibu sana kwa hapo.Mrudishe Slaa
@toniomega3890
@toniomega3890 Месяц назад
Well done Mama, i expect this from you, juu sii kwa kashifa zile. Mtu huwezi ongea kama umeibiwa kinywa,hiyo ni kujisahau nakuzoea kazi. Position aliyokuwa nayo na maeneno aliyoongea ni kukidhalilisha wana chama. you get what you deserved. Once again hongera MAMA kwa maamuzi yako ya busara. LIVE LONG
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Месяц назад
Rais Samia umeanza kukubali maana GenZ wa Kenya wameonyesha mfano. Bora uanze mapema. ILA hujafanya VIZURI kumtoa JERRY SLAA kwenye kitengo cha Ardhi. Bado pia hujamtoa mtu mmoja anayetuumiza na TOZO, mwenye kutuambia tukishindwa maisha tuhamie Burundi. Kwa haya machache nimekupa UA moja 🌹✔️
@suleimansultan3333
@suleimansultan3333 Месяц назад
Kazi iendelee
@user-su6xu7ks7m
@user-su6xu7ks7m Месяц назад
Mwigulu uuuuuuu Toa .
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 Месяц назад
Barikiwa
@zablonmlazi4415
@zablonmlazi4415 Месяц назад
Mama kajielewa kabisa. Nape na January mzee magu aliwakataa kabisa hao watu
@rehemashabaniameen
@rehemashabaniameen Месяц назад
Wali lambishwa tena kuona kama watabidilika ila tabia nikama ngozi kuibadili haiwezeni
@anthonymgina3893
@anthonymgina3893 Месяц назад
Mama OYEEE!!, Mama OYEEEEE!!, Nasema tena Mama OYEEEEEEE!!!, Hongera sana mama na KAZI IENDELEE.
@user-wn6ke3dp6z
@user-wn6ke3dp6z Месяц назад
Mama anajielewa kisawasawa.Huyo ndy SAMIA SULUHU BWANA.Hapo bado moja tu.
@ME-kb8rk
@ME-kb8rk Месяц назад
Wawili
@JosephJon-wk6il
@JosephJon-wk6il Месяц назад
Mama kazi nzuli sana napeakasomee shelia mtama mwehu huyo
@josephgalandu128
@josephgalandu128 Месяц назад
South Africa and Kenya😮😮😮😮😮
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Месяц назад
MAMA huko juu. Safi sana.❤❤❤
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Месяц назад
Silaaaaaa,😢 wenye kujua kudhulumiwa tunampenda ,na bado tulimuhitaji huku kwny ardhi, alimudu, dhuluma inauma sana jamani!!
@lucylyuki4852
@lucylyuki4852 Месяц назад
Mamaaaa wakae mbali na siasa vijana wazurii wapooo
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 Месяц назад
Uwiiii silaa
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui Месяц назад
Mkubwa Huwa akosei ila kwa SLAA Umechemka.
@Lusindehalima-si3ej
@Lusindehalima-si3ej Месяц назад
Mama kwanza pole na majukumu Rais wetu mpendwa, mama upo vizuri ila slaa aliitendea haki wizara ya aridhi haki ya mungu chonde mrudishe jamani amerudisha imani ya watu wengi kwenye ccm utazoa kura nyingi sana kwa utendaji kazi wa slaa ila bado umemuacha mwigulu ungembadilisha pale sio kabisa
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o Месяц назад
Slaa alilemewa. Na siku za hapa karibuni alikuwa amechoshwa sana. Hivyo ni bora amempa mapumziko, ni kwa faida ya Slaa.
@mpefu_4936
@mpefu_4936 Месяц назад
Mwigiru naona ni nguvu za Giza anatumia
@GilbertCheyo
@GilbertCheyo Месяц назад
Mama!!!!!
@josephgalandu128
@josephgalandu128 Месяц назад
Heeeeeeheeeee eee Mungu
@DavidJosia
@DavidJosia Месяц назад
KWENYE ARDHI MAMA KUMTOA HUYO SLAA SIJAPENDA UONEVU UNARUDI TENA
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o Месяц назад
HAYA MABADILIKO YATAMSAIDIA SANA JERRY SLAA. NA NDIYO ITAKUWA AGENDA YA RAIS. ILI KUMSAIDIA PIA SLAA.
@YusufLubangula-yn6tq
@YusufLubangula-yn6tq Месяц назад
Bado tuna mawazo na mtetezi wetu wa Wanyonge Mh Slaa Anaechapakazi Hadi USIKU! Sijui atarudi lini kwenye wizara ya Aridh🤔 Hakika Alitusaidia sana Wanyonge 😟🤔
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel Месяц назад
Jambo lakwanza mh.Slaa binafsi naomba kwanza hushughulike na service za mitandao Naisi kuna mambo sio sawa kabisa Exemple garama wanazo tucharge sio rafiki nikama wanatuibia . Makamba na Nape Naisi wanatayarishwa kupewa nafasi nyungine muhimu zaidi ndivyo inavyo honekana sio kwamba wamepigwa chini Hii Nchi bwana mi Naipenda sana the way stlye ya maisha na viongozi wetu tunavyo hishi.
@ommimg2467
@ommimg2467 Месяц назад
Hao wanatafutiwa donge kubwa kaeni hapo mkidhania hawapo tn
@user-su6xu7ks7m
@user-su6xu7ks7m Месяц назад
Hapana Ridwani Tegeta Escrow scandal,Richmond.
@MwesigeMwesige
@MwesigeMwesige Месяц назад
Mtowe na mwigulu wazili wafedha jipu
@andrewmuya7212
@andrewmuya7212 Месяц назад
Huko sahihi
@yahayaramadhani6418
@yahayaramadhani6418 Месяц назад
Bado yule anayejifanya yeye nimsomi kizidi watu wote yule WA Fedha, na yule anayetusumbua sana kwenye Suları yule wa Nzega wote majipu hal watumbuliwe hawatufai kila siku tunawalilia utafikiri hoi nchi ndogo kila Kitu wao tumechoka.
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md Месяц назад
Kwa kweli nitakuwa mnafki nisipompongeza nape kwa kutujulisha halamu na nusu halamu na halali wengine tuliijui halali pekee
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Месяц назад
Jamalini Silaa anaenda wapi wakati huku alikuwa anatendea watu vyema bila upendeleo bila rushwa😢
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o Месяц назад
Hekima imetumika maana migogoro ya Ardhi ilimchosha Slaa. Sasa hekima ni kimpatia mahali pengine pa hewa nyingine. Huko ndiko kujenga.
@AMENMUSHI-wt4li
@AMENMUSHI-wt4li Месяц назад
Viongozi was watu Silaa na Makonda,na Mpina
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Месяц назад
Yaani Mimi wananchi wakinipenda hivyo nitafutahu sana. Silaa🥀🥀🥀🌹🌹 yako.
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t Месяц назад
Kumtengua Slaa umeniumiza kama ulvomtengua Makonda akiwa Muenez Taifa
@sa3dasa3da87
@sa3dasa3da87 Месяц назад
Mungu wangu😢sasa huyu waziri wa Ardhi wamemtoa tena jamani😢ili kesi ziendelee kupitisha miaka mahakanani😢ee mungu Africa yangu inanini haitaki kiongozi wa kutatua matatizo ya wananchi😢
@barakamanga5502
@barakamanga5502 Месяц назад
Hata mimi nashangaa
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 Месяц назад
​@@barakamanga5502nashangaa sana Jerry Slaa kubadilishwa!!!
@user-bi7gk7im4f
@user-bi7gk7im4f Месяц назад
Aisee ndio mana Kenya wanawakataa mawaziri wasio waadilifu,Slaa alifanya vzr saana wanamhamisha kijanja.Mungu tuhurumie na utusaidie
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Месяц назад
Aliye mpa kazi kaona amtoe. Ukifanya kazi usiwe maarufu........kuzidi .....na.....
@FransisLaurenti
@FransisLaurenti Месяц назад
Nc
@saidabdillahi8107
@saidabdillahi8107 Месяц назад
Best decision ever kwa kumuondoa Makamba nasikia alikopa mabilioni utawala wa kikwete au Magufuli kumpa uongozi mdaiwa wa mabilioni nikumlazimisha kuiba alipe madeni
@bakarimakalo7128
@bakarimakalo7128 Месяц назад
Please Mama, Jerry Slaa has Done the Best in Minustry of Land. We still need this Guy there. But where is Mwigullu?
@hawahussein137
@hawahussein137 Месяц назад
Slaa alijitahidi wizara ya ardhi
@PetroSilas-bm2ic
@PetroSilas-bm2ic Месяц назад
Mama ukisikia mtu fulani hafai .basi chukua hatua .watanzania wanataka kauli zako .wakati huu ni mgumu kwako kupitia viongozi uliowateua .wanaharibu taifa.kwa mtendo yao na kauli zao.mbona wapo watu wenye hofu ya Mungu na watendaji wazuri tu.ushauri wangu .achana na watoto wa kifalme waibue wengine watakusaida.kazi njema mama.
@PetroSilas-bm2ic
@PetroSilas-bm2ic Месяц назад
Umesha wajaro has vijana watano na wazee wawili waio achwa na mzee magu.matokeo yake wanakuangusha mapema kabla 2025.kuwa makini.ila nashauri mrudishe slaa.ardhi anafiti.labda kama kuna lililojificha watanzania hatulijui..
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Месяц назад
Mama mpole raisi unaetafakari vzr nakugumdua wananchi wanatamani nn.Nakupongeza nakuombea,uteuzi nimzuri sana,ila mama mweshimiwa muigulu kitngo ulichomweka hkimfai kbisa,nikilio chawengi watanzania tunaojali amani yanchi hii.Mpe kitengo kingine.Wanapewa madaraka wanakuwa nadharau namajibu yasiopendeza watanzania.Mungu akupe hkma mama najicho lakuona nakusikiliza.Hongera kwakujua watanzania wako wanatekwa bila sababu,tumekuwa waoga kwakuogopa wasiojukikana.Tulinde raisi tulinde mama Samia suluu hsani.🎉🎉
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 Месяц назад
Mama yangu mpendwa hongera sana kwa kumtoa NAPE Na MAKAMBA ,hongera sana ila SILAA AKAE MIEZ MITATU HUKO THEN UMRUDISHE ARDHI
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje Месяц назад
Tupo july january ishapitwa na wakati
@georgematiko1732
@georgematiko1732 Месяц назад
Mama,wapiga kura wako tunaamini kuwa wewe no msikivu sana! Mama,chonde chonde Silaa mama Silaa alitufaa sana ardhi
@ZalkhaRawahi
@ZalkhaRawahi Месяц назад
Serekali yetu ni kikundi maalum kwaiyo wamejiekea wabadilishane milango tu utadhani tnz haina wasome kila cku mnakula nyinyi hebu waoneeni huruma jamani na family ambazo hazina mtu madarakani angalau na wao wajisikie sehemu ya walanchi wamechoka kuwa wananchi kikwete Thabit Komb ndo walewale
@lucylyuki4852
@lucylyuki4852 Месяц назад
Huyo Nape na makamba wakalimeeeee waone tinavyoteseka walijisahau mnooo hapa sasa sawa
@brezhnevthadey7368
@brezhnevthadey7368 Месяц назад
Ila kwa silaha dah sijui itakuaje
@nicodemashaggite8429
@nicodemashaggite8429 Месяц назад
Mama Slaa slaa Slaa Slaa Slaa bring back Jerry Slaa Ardhi
@Mhabeshi.Madayi
@Mhabeshi.Madayi Месяц назад
Huyu mama nae amejichanganya kumtoa silaa wizara ya ardhi hovyo kabisa kwani mama samia huyu waga haoni mtu anavyojitoa kwenye wizara yake wewe unamtoa tena hapo mama umezingua sanaaaa
@Worldunite
@Worldunite Месяц назад
..ila kuhusu mheshimiwa Slaa, hapana, ni heri angebaki kuwa waziri wa ardhi
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Месяц назад
Nape na makamba Kuna sekta maalumu wanaandaliwa sio bure ngoja tusubiri
@sabrinaali9750
@sabrinaali9750 Месяц назад
Sadakta na wanapangiwa kwenye sekta ya ukiba uchaguzi watu wasisahau mambi ya luwasa na wazalendo. Wanababaisha watu tu hwao sio wakweli hawamtowi bape hata siku moja
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l Месяц назад
Mama silaa kafanyaje tena. Labda waziri slaa ameomba apumzishwe maana hii wizara unaweza kufa mapema.
@saiditasher8362
@saiditasher8362 Месяц назад
Watanzania wanzangu wala msifulaishwe kwa kutenguliwa nape na makamba uyu mama samia mtu wao kunajambo lao wanalo lipanga mtakujakuona mama samia apindui kwa timu msonga dawa tuwapeni nafasi ata wapinzani japokuwa awanasela yakutosha tujalibuni uwenda tukawa afueni😅😬🇹🇿
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l Месяц назад
Upinzani sikubaliani nao. Kama mbowe tangu msichana mpaka sasa yeye ni mwenyekiti wa chama. Inavyoelekea hicho chama hakijui kupika viongozi . Ccm ni chama kinChojua kupika viongozi. Hapo kenya unaona ruto chama pinzani jinsi anavyopata tabu. Wacha tubaki na zee let ccm .
@PetroSilas-bm2ic
@PetroSilas-bm2ic Месяц назад
Hata kwenye familia ukiwa Huna pesa thamani yako ni bure.Muacheni mbowe ana kazi kubwa kwenye chama.kukijenga chama wakati mwingine unaweza kutumia pesa binafsi ili jambo fulani liende kuhakikisha kinakua.vyama vingine vimekufa kwa nini?nguvu ya pesa haipo.Binadamu hakosi kasoro.lakini zisizidi.tumuache kwanza.
@josephgalandu128
@josephgalandu128 Месяц назад
Jicho la kiroho😮
@EzekielChalomhola
@EzekielChalomhola Месяц назад
Nafikir watajufunza
@charlessentiyongo8484
@charlessentiyongo8484 Месяц назад
Dr.slaa alifit kwenye ardhi,na alitenda haki sana, alikuwa na msimamo mkubwa sana, kiongozi inatakiwa kuwa hivyo na si vinginevyo
@lucylyuki4852
@lucylyuki4852 Месяц назад
Yasooo kwailingalinga
@madamloveness7274
@madamloveness7274 Месяц назад
Ni sawa Ila kumtoa silaa kwenye ardhi ni dhuluma na majonzi kwa wananchi
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 Месяц назад
Yaani kuna mawaziri wengine utadhani cheo cha mpaka kufa wanajisahau sana sana wanajiona wao Mungu watu.
@MaryamKhawar-h3j
@MaryamKhawar-h3j Месяц назад
Tunakuomba rais wetu kipenzi arudi silaha kwenye ofis ya ardh aliwatetea sana waliodhulumiwa tunakuomba sana mama yetu mpendwa
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Месяц назад
Silaa ardhi aliitendea haki na alijitoa sana, angalau dhuluma zingepungua zaidi kama sio kuisha, lkn rais na jopo lake naamini wanamuamini pia waliyemleta ktk hii wizara ngumu na iliyojaa kesi.
@restitutalucian78
@restitutalucian78 Месяц назад
Kwa mh silaa mama umefeliiiii
@paschaljoh5729
@paschaljoh5729 Месяц назад
Huyu Mama miyeyusho tu, Utenguzi wa Nape na Makamba hayo ni mambo y kisiasa tu kwasababu tunakaribia uchaguz mbona tangu wanapiga pesa mbona hakufanya hivyo anatuzingua tu huyo Mwanamke
@lucylyuki4852
@lucylyuki4852 Месяц назад
Niambie ndugu yangu Ili tupige juraaa ehh
@MikaMolell
@MikaMolell Месяц назад
Mama uko sawa tumbuwa waraimbifu wachama rasiwagu
@user-su6xu7ks7m
@user-su6xu7ks7m Месяц назад
Slaa no experience.
@naqiahmad26
@naqiahmad26 Месяц назад
Dr Slaa ni silaha, natoa amri Slaa arudishwe
@alfredbyangwamu9821
@alfredbyangwamu9821 Месяц назад
KUMTOA SLAA KWENYE NAFASI YAKE YA ARDHI NA KUMPELEKA KWINGINE HUKUFANYA VIZURI SANA!!! MTU ANAPOIMDU NAFASI YAKE MWACHE AIKAMILISHE KAZI YAKE!!!
@JescaMwagama-oc9yt
@JescaMwagama-oc9yt Месяц назад
mama nimekupnda kwakutumbua
@ElibarikiMshana
@ElibarikiMshana Месяц назад
Mimi sijafurahia silaa kuondolewa Aridhi kwani anafiti hiyo wizara na Anatetea wanyonge , why this,?
@zuenahamoud1532
@zuenahamoud1532 Месяц назад
Toa nallile la iramba
@princeteu973
@princeteu973 Месяц назад
Makonda has won😊
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Месяц назад
What has he won?
Далее
Почему-то хочется плакать
00:17
Просмотров 500 тыс.
KAULI ZA NAPE NA KASHKASH ZILIZOWAHI KUMKUTA
6:48
Просмотров 150 тыс.