Тёмный

Kijana anayedaiwa kuuawa wakibishania umri Moshi azikwa 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 48   
@ireneshao7950
@ireneshao7950 4 дня назад
Hakuna bingwa wa malezi😢tuombe Neema ya Mungu tuu kwenye jamii yetu
@modestamodesta3940
@modestamodesta3940 2 дня назад
Hilo ni pepo jmn tukazane kuomba mungu 😭😭😭daah inatisha
@maswamills3161
@maswamills3161 2 дня назад
Ehee!!! Uuwii 😮!!
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 4 дня назад
Kwa sikio laumakini inaonesha kijana marehemu alikuwa pinda saana Sasa akakutana napinda wenzie mh nibola nibaki na Mungu tuu 😢
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 2 дня назад
Jaman adi naogopa haya matukio kila siku
@failunaomari9372
@failunaomari9372 4 дня назад
Poleni Sana kwa haya maumivu jamani.
@JeskerMasawe
@JeskerMasawe 4 дня назад
Poleni sana jamani
@merinachalinze-rn2cc
@merinachalinze-rn2cc 3 дня назад
Dunia imeisha
@RamadhaniSelemani-bn1fz
@RamadhaniSelemani-bn1fz 4 дня назад
Poleni sana asee daah
@nourannouuran3514
@nourannouuran3514 4 дня назад
Pole sana baba
@asteriashios1852
@asteriashios1852 3 дня назад
Sijawaelewa kabisa japo poleni
@user-uf7oh5eu4v
@user-uf7oh5eu4v День назад
Poreni wafiwa😢life is gone
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps 4 дня назад
Kumbe bangi tupu
@AgnesMakunege
@AgnesMakunege 3 дня назад
Maisha ya siku hiz kujihami2 sisi tumkua haikua hiv😢😢
@gabrielishmael5956
@gabrielishmael5956 3 дня назад
Ni huzuni lakn friends wameshow ❤
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 5 дней назад
Poleni sana wafiwa.😢
@user-qf3py6nx5b
@user-qf3py6nx5b 4 дня назад
Ugomvi wa chuga kama wamasai wagogo. Ukiwazngua kaa atensheni. Ngumi hawajui hao silaha tuu
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 4 дня назад
Mtuhumiwa ànatakiwa akamatwe na achukuliwe sheria kali sana iwe fundisho kubwa isijirudie tena maana haiwezekani ugomvi wa umri mtu unamtoa roho.
@nadiatanzania
@nadiatanzania 4 дня назад
Mungu tuhurumie 😢
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 4 дня назад
Mungu awatie nguvu na kuwapa faraja kwa maumivu haya mnayopitia
@blezywatino1043
@blezywatino1043 5 часов назад
😭😭😭😭😭
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 3 дня назад
Miaka 17 unaua jmn jmn nyiee😢😢wamama tuwaombee watt wetu hakuna gumu kwa Mungu n mapepo mabaya yanawaandama
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 20 часов назад
Kweli
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 5 дней назад
My God,vijana wa Arusha wameharbika sana,poleni wa fiwa.
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 5 дней назад
Bangi ndugu yangu,😢ona hapo,baba sura Bangi,watoto sura za bangi,wazikaji Bangi,yani basi TU.😢
@agnessima5032
@agnessima5032 4 дня назад
Kichwa cha habari kinasema tukio liko Moshi sio Arusha.
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 4 дня назад
Jinga kubwa unajua tofauti ya Arusha na Moshi?
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 4 дня назад
Arusha nimeishi miaka 2+ yn hata kitoto kidogo kinatoa maneno ya ajabu sana ukizubaa kinakufanyia kitu mbaya
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 4 дня назад
​@@bbclondonulimwenguwasoka6126Arusha Moshi😂😂😂😂😂
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 4 дня назад
Bangi za alachuga ni hatari mno , serikali iwekeze kuokoa vijana wa Arusha
@PennyLuis
@PennyLuis 4 дня назад
Huko ni Moshi bana 😂
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 4 дня назад
Hata mikoa tu hujui😂😂😂😂hii ni darasa la 3 Geography muwege mnatulia darasani
@EverliseKenedy
@EverliseKenedy 4 дня назад
Umri na kifo wapi na wapi tuelewe miako ya maadui Kwa wakati vingine tuachane navyo ikibidi...
@mwalukojohnjohn6467
@mwalukojohnjohn6467 5 дней назад
Duuuu
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 3 дня назад
😢
@AminaTanzania
@AminaTanzania 4 дня назад
Arusha kunamadudu sana Mungu atazame hiyo nchi
@vaikaayagadiel520
@vaikaayagadiel520 4 дня назад
Jiografia ndogo sana, Moshi ni Arusha?
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 4 дня назад
Uliishia darasa la 2 hata Geography ya nchi huijui???
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 4 дня назад
Hata hamueleweki
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 4 дня назад
SACCOOS lazima tuandamane MOSHI 😢😢😢😢
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 4 дня назад
Hujielewi none sense.
@petermogha7025
@petermogha7025 4 дня назад
CDM tukaandamane watu wanakufa MOSHI tangaza trh jaman
@HamisiSamweli
@HamisiSamweli 4 дня назад
Umbwa ww watu wamejiua unasema cdm
@MwanakomboNassor-bw3by
@MwanakomboNassor-bw3by 4 дня назад
Wachaga mnamtia huruma kwa matukio mabaya
@juliethswai4263
@juliethswai4263 4 дня назад
matukio yapo nchi nzima ndugu acha kukariri wachaga
@MtanganyikaTanganyika
@MtanganyikaTanganyika 2 дня назад
Tanzania mashoga mengi sana
@lucykimaro1345
@lucykimaro1345 3 дня назад
😢😢😢
@Rehema-h6t
@Rehema-h6t 4 дня назад
😢😢😢
Далее
MTOTO LUCIA AMEIBIWA GEITA
9:23
Просмотров 2,3 тыс.
SNAKE BOY | ep 38 | final mwisho | SEASON TWO
26:41
Просмотров 61 тыс.