Тёмный

KIJANA MZALENDO AIGEUKIA TLS "MSIFANYE MAKOSA KUMUACHA MWABUKUSI/HAKIMU WA KESI YAKE AKUMBATIWE" 

MwanaHALISI TV
Подписаться 314 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 83   
@MkudeSimba-fg1sf
@MkudeSimba-fg1sf Месяц назад
❤❤❤❤❤mwabukusi jembe watakimbia sasa.mwamba ndani ya nyumba alipo kuwa nnje ya ulingo walitetemeka Sasa mbio zinafuata
@JoelRichard-hj3bi
@JoelRichard-hj3bi Месяц назад
Mwabukusi on fire 🔥forever.
@user-yz1xq8xo8s
@user-yz1xq8xo8s Месяц назад
Polepole kitaeleweka,damu iliyomwagwa ya wazalendo wetu na wengine kufukuzwa kwenye nyadhifa zao mungu ataonyesha njia yakupita sisi wanyonge
@user-ij2vf9fn3t
@user-ij2vf9fn3t Месяц назад
Mwabukusi Mungu awe na ww mpaka kesho tunakutegemea sana
@Ambwene
@Ambwene Месяц назад
Hatuna Rais tanzania 🇹🇿
@leonardramiye8207
@leonardramiye8207 Месяц назад
Kajunjumile mwambukusi oyeeeeeeeee🤛🏽🤛🏽
@judicateurassa7817
@judicateurassa7817 Месяц назад
Mwabukusi anafaa sana hiyo nafasi hakuna mwingine hapo
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 Месяц назад
Mwambukusi Anafaa sana,Anajierewa,Anasubutu yuko tiyari kufia watanzania
@bogoheidaso2628
@bogoheidaso2628 Месяц назад
Tumeanza kujiandaa kwenda Dodoma ukuja na ushindi wa mwabukusi
@haruniaisha5905
@haruniaisha5905 Месяц назад
Misukuma inajielewa saaana
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 Месяц назад
Boniface na amini ww utalisaidia taifa kupata sura furani
@user-qe5cb7vy6o
@user-qe5cb7vy6o Месяц назад
MWABUKUSI NI MZALENDO NO. ONE,(1)ACHAGULIWE MPENDA HAKI ANAFAA KUWA RAIS WA TLS.
@user-mn2et2pf6z
@user-mn2et2pf6z Месяц назад
Na ikibidi kiongozi alie chaguliwa na wananchi ashitakiwe kwa kiapo Cha katiba ya Chama chake na Irani ya Chama anapokiuka.
@madoone-ug6zh
@madoone-ug6zh Месяц назад
Safi sana sanaaa mzalendoo
@johnsonsabanya5860
@johnsonsabanya5860 Месяц назад
Mwambukusi jembe letu wanasheria msituangushe
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Месяц назад
Haki na utawala wa sheria ndiyo utavusha Tanzania
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Месяц назад
TLS msifanye kosa miaka 3 mkiwa na Rais mbovu mtachoka sana.
@isaackchambo2642
@isaackchambo2642 Месяц назад
Hv kumbe urais wa t l s ni miaka 3 nilifikiri ni mwaka 1safi 3inatosha sana kwa Kajunjumele
@matukimerchant5170
@matukimerchant5170 Месяц назад
​@@isaackchambo2642 ndio mwaka huu kumefanyika mabadiliko ya kwanza kwaio rais wa TLS atakaywchguliwa ndiye atakuwa wa kwanza kutumikia miaka 3
@josephpetro2968
@josephpetro2968 Месяц назад
Mwabukusi atasaidia kuleta utawara wa sheria
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Месяц назад
Ukishakuwa na nchi yenye viongozi madalali ni shida kubwa wao wanatafuta ten percents ndio wanachoangalia wananchi sisi ni wajinga mnooo nchi za wenzetu hakuna huo upuuzi
@StevenGendo-vx9jo
@StevenGendo-vx9jo Месяц назад
Do
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 Месяц назад
Wajina
@user-mn2et2pf6z
@user-mn2et2pf6z Месяц назад
Magufuri hakushindwa .bali arisaritiwa na watu wasio wazarendo tu.ila angekuwa hai angeweza sana tu.
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 Месяц назад
Serikali na rais watu kama hawa wenye akili mingi ni mali yako achan na mabung'azi kuyajaza maofisini huyu jama atakusaidia
@user-fj4kj8xc5x
@user-fj4kj8xc5x Месяц назад
Boniface anyisile kajunjumele mewabukusi anastaili kuongoza.
@estambuya3901
@estambuya3901 Месяц назад
Mwabukusi alindwe,tulijifunza kwa tukio la tundu lisu.
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Месяц назад
ASANTE SANA KIJANA MZALENDO UMEONGEA UKWELI
@JemeslaizerJemeslaizer
@JemeslaizerJemeslaizer Месяц назад
Umesema ukweli hayo ndio mambo tuyota ifanyanyike kwa Sasa nchi hii ilichezewa PA kutosha na serikali.
@lucashakili2719
@lucashakili2719 Месяц назад
Huu ndyo uzalendo sasa. Kijana yupo smart with evidence. Yupo objective. Unatakiwa sasa uwe kwenye siasa kaka. Nenda chadema
@mwili_wa_ndoto_yangu
@mwili_wa_ndoto_yangu Месяц назад
Safi sana kwa content hii nimeipenda
@user-eb3hf1lm9e
@user-eb3hf1lm9e Месяц назад
Upo sahh sana
@elvisikimaro1178
@elvisikimaro1178 Месяц назад
Mwabukusi anafaa kuwa Rais❤
@user-qy4gb1kn4z
@user-qy4gb1kn4z Месяц назад
mwambulukuzi watanzania ushindi
@yamesulle2057
@yamesulle2057 Месяц назад
Bila Katiba mpya hakuna dira maana kila kiongozi anaeingia anakuja mambo yake Mara kil
@matukimerchant5170
@matukimerchant5170 Месяц назад
Duh! Huu mradi wa liganga na mchuchuma yaani nahisi kulengwa na machozi nikisikia unavyouongelea. Hivi kweli ipo siku moja ambapo huu mradi huu utatekelezwa kwa maslahi mapana ya taifa hili?
@nyamarungujr7834
@nyamarungujr7834 Месяц назад
Maswala ya repeat again😅😅
@user-df9ue7ko3u
@user-df9ue7ko3u Месяц назад
Ww ndyo chizi
@yamesulle2057
@yamesulle2057 Месяц назад
Marakilimo Mara viwanda je hapo Kuna dira?Katiba kwaza
@user-mn2et2pf6z
@user-mn2et2pf6z Месяц назад
Kwenye huokataba ukweri mwanashelia mkuu wa serikari ashitakiwe mahakamani na afungwe kwa kuriingiza taifa hasara.kwa maana yy ndiye mwanashelia mkuu wa serikari yetu.
@user-jj1uj3my7b
@user-jj1uj3my7b Месяц назад
Mwakumbusi anatoshaa
@chrispinrafael3831
@chrispinrafael3831 Месяц назад
Duu atari sana
@MkudeSimba-fg1sf
@MkudeSimba-fg1sf Месяц назад
MUHESHIMIWA. RAIS MAMA YETU UNALETEWA. WATU MAMA KIMBIA NAO TUTAKUWA NAWE MAMA TUNAKUPENDE
@naqiahmad26
@naqiahmad26 Месяц назад
mwabukusi bukua
@beinafuu6219
@beinafuu6219 Месяц назад
Sio lais kupewa maana msema ukweli sio chaguo lao
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk Месяц назад
Hicho kitabu ndiyo wanamtumia kufanya ushetani wao hao ccmu
@karimmveyange280
@karimmveyange280 Месяц назад
IHADHARINI NA WALE ANAFIKI AMBAO NI NDUMILA KUWILI WEPESI WAKUNUNULIWA NA MAADUI WA WAKITAIFA
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Месяц назад
TLS mjafanye uchaguzi huru na wa haki ili muwe mfano mwema kwa chaguzi nchi hii.
@josephpetro2968
@josephpetro2968 Месяц назад
Mwabukusi ndiyo jibu sahihi wengine ni pandikizi ndiyo maana walimfanyia figisu wachumia tumbo kumuondoa katika kugombea.
@WakwetuWakwet
@WakwetuWakwet Месяц назад
Mwambukus oyeee
@MkudeSimba-fg1sf
@MkudeSimba-fg1sf Месяц назад
Mtu 1 ana 327 bilioni😂😂😂😂😂😂
@judicateurassa7817
@judicateurassa7817 Месяц назад
Wakimwondoa taifa litapata pigo
@NickyTajiri
@NickyTajiri Месяц назад
Mungu atakupa tu bon
@majaliwacosmas3322
@majaliwacosmas3322 Месяц назад
Mwabukusi ndio rais hakuna mwingine Apewe apige kazi
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 Месяц назад
Niupigaji tu
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Месяц назад
Mhuni tu hanasifa anajifanya mwaharakati
@JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye
@JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye Месяц назад
kagombee Basi weye mpumbavu uanyejua Kula kushiba na kwenda chooni hauelewi chochote pumbavu kabisa nyie ndiyo mnatufanya Tanzania tuwe na maisha duni
@victoriabernard5287
@victoriabernard5287 Месяц назад
Na wewe unajifanya nani? Chunga maneno yako
@JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye
@JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye Месяц назад
@@victoriabernard5287 ungejua weye mwenyewe ungechunga kauli zako za kuita viongozi wahuni MB zako zisikutie kiwewe ongea kwa hoja acha ujinga
@RashidiDaudy-ez6zt
@RashidiDaudy-ez6zt Месяц назад
ovyo
@Ambwene
@Ambwene Месяц назад
Tulia shoga wewe au tako linakuwasha mbwa wewe
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw Месяц назад
Mwabukusi anajidanganya hawezi kuwa rais wa TLS ajiandae kwenda mahakamani kumuachia mwabukusi awe rais wa TLS ni kosa kubwa kwanza yule ni chizi.. Serikali hakikisheni huyu chizi achukui hiki kiti... Povu ruksa kwa mijitu ya chadema na ngedere wengine
@mwl.frankmadembo7472
@mwl.frankmadembo7472 Месяц назад
Serikali ni nani kwenye uchaguzi huu? Ninyi ndio mnaotuharibia Taifa letu. Acha mambo Yako bana
@user-ec8tx9oi9e
@user-ec8tx9oi9e Месяц назад
Mwabukusi anagombea Kuna kushiñdwa au kushinda anachotaka uchaguzi uwe huru acha ushabiki wako wa kijinga
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Месяц назад
Kafilwe na mabasha yako huko lumumba
@MkudeSimba-fg1sf
@MkudeSimba-fg1sf Месяц назад
​@@emmapaul1766Kaka matusi yanini tena
@gracemwakibolwa7910
@gracemwakibolwa7910 Месяц назад
Labda wewe ndio chizi hujielewi.subili sasa ubaki na haya zako.chizi wewe.unamwitaje mtu chizi kasoma kukuzidi.
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 Месяц назад
Hafai kabisa TLS itakuwa imefanya kosa kubwa sana ķama watamçĥa gua Mwambukusi
@ErnestiSulle-w9k
@ErnestiSulle-w9k Месяц назад
We sema nani anafaa, isizwe unaleta uchazwa tu.
@Ambwene
@Ambwene Месяц назад
Rudini kwenu zanzibar mbwa nyie mamamae mutakunya mavi Mwabukusi akiwa rais wa TLS wasenge wa kizanzibar
@ahmedmakame1687
@ahmedmakame1687 Месяц назад
Vita ya kiuchumi ni ngumu kashindwa MAGUFULI ataweza nani?
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 Месяц назад
Utaweza wewe
@nasramusaro
@nasramusaro Месяц назад
Kwani Magufuli alikuwa Mungu? Alikuwa mwanadamu na ana sifa ya mapungufu kama wengine msimpe sifa za ujinga
@Ambwene
@Ambwene Месяц назад
Kwani Magufuli alikuwa bwanaako
@c.l.g.mchurch6426
@c.l.g.mchurch6426 Месяц назад
Mwalimu wako alipata shidaa san 😂
Далее
DR SLAA AFUNGUKA A-Z UTEKWAJI WA ALLY MOHAMMED KIBAO
15:08
Bike vs Super Bike Fast Challenge
00:30
Просмотров 6 млн
IBADA YA PILI||UTAJIRI WA KIFALME||8:9:2024
1:10:03