Wakina mwakabusi.Tanzania.inawategemea.kwanini usisimame kati.ya spika na mpina usipende kusimama.upande moja mwakabusi Mungu.alikuamini funguka saizi.kipindi.tulichonacho dunia imesaini ushoga tulipo.sipo.uangaliage na upande wa.kwanza.wa Mungu
Mwabukusi ungekuwa umeshika nafasi kubwa yoyote hapa Tanzania sijuwi ungekuwaje kila kitu Unajua .Tatizo la mpina sihoja zake au madai yake Bali nikuongea na vyombo vya habari juu ya kumpeleka ushaidi aliopeleka .Achakumdanganya mpina .